|
BOYFRIEND WANGU ANAANGALIA SANA UTURN.NFANYEJE????HEHEHEHHEHEHE |
|
Written by Mange
|
|
Tuesday, 24 August 2010 18:17 |
|
hi mange na wana u-turn
Natumai unaendelea vizuri na kitumbo,,kwa ufupi naomba
nishee na hili nililonalo na wana uturn na kupata ushauri ambao
naona utaweza kunisaidia,ni hivi mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28
nina ishi na boyfriend wangu ndani ya 2yrs now,Na nimekuwa kidogo addicted na hii
uturn,Sasa basi ni Huyu mpenzi wangu ananikosesha raha ya kujiuliza mimi mwenyewe maswali zaidi ya 100?ni hivi anajua mimi ni mpenzi sana wa uturn,lakini nahisi sasa yeye
amekuwa mpezi zaidi ya kwangu kwenye hii blog,mara nyingi huwa nambamba,yupo kwenye
u-turn,kila baada ya saa namuona kwenye pc!nikimchungulia nini anafanya yupo kwenye u-turn,ooh??najiuliza kwa nini anapenda sana kuangalia hii blog???? nasijui nimfanyaje aache kuwa anachungulia kwenye hii u-turn
plzzzz wadau wa hii u-turn nisaidieni,na cha kushangaza sio mwafrika ni MZUNGUUUUUUUUU?nimfanyajeeeeee,
|
|
AISHA'S SUMMER VACATION IN MIAMI.... |
|
Written by Mange
|
|
Tuesday, 24 August 2010 18:04 |
|














|
|
ANGALIA BONGO IMEHAMIA HUKU....SHOW SARAH SOME LOVE GUYS.... |
|
Written by Mange
|
|
Monday, 23 August 2010 19:57 |
|

Natatumaini kuwa mnaendelea vyema na shughuli za kila siku za kujenga taifa..Jambo la msingi ni kuwaomba wana blog wenzangu kuweza kunisaidia kuwataarifu wasomaji kupitia blog zenu kuhusu mabadiliko ya blog yangu kutoka www.angaliabongo.co.tz na sasa kuwa
www.angalia-bongo.com Natumaini mtaweza kunisaidia kwa hilo. NATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI. SARAH.
|
|
BREAAAKIING NEEEWWWSSS.......ELIZABETH GUPTA AVALISHWA PETE YA UCHUMBA NA KEVIN PAM.... |
|
Written by Mange
|
|
Monday, 23 August 2010 19:12 |
|

NA PETE NDIIO HIYOOOOOO...iking'aa kwenye mkono wa Elizabeth...
diamond ya ukweli......REMEMBER U SAW IT HERE FIRST...LOL


Kumbe ilikuwa true love all along…haya mtoto wa kibongo bidada Elizabeth Gupta mshiriki wa big brother Africa 4 got engaged to Big Brother Africa 4 winner ,Kevin Pam huko Nigeria a few days ago….
Kama mnakumbuka Elizabeth alikuwa hamtaki kabisa Kevin walipokuwa ndani ya big brother house, sijui what changed her mind, ila nasikia familia ya Kevin imempenda sana Elizabeth….
Congrats guys…very very happy for u
|
|
PARTYING IT UP IN NEW YORK...... |
|
Written by Mange
|
|
Monday, 23 August 2010 18:56 |
|

Kisa and Jennifer...

jen,Kisa,Millen and a friend...

beautiful women....millen,kisa and Jen



|
|
BELLA'S SUMMER VACATION IN BONGO.... |
|
Written by Mange
|
|
Monday, 23 August 2010 18:41 |
|








|
|
LOOK OF THE DAY...JAMILLA |
|
|
Written by Mange
|
|
Sunday, 22 August 2010 20:00 |
|


|
|
BALOZI WA REDDS TAYARI AANZA KUTAFUTWA... |
|
Written by Mange
|
|
Sunday, 22 August 2010 19:55 |
|


Habari zenu!
Jana ilikuwa Redds day kwenye kambi ya Miss Tz 2010 iliyoko Giraffe hotel.
Meneja wa kinywaji cha Redds Ms. Kabula Nshindo aliwatangazia rasmi washiriki wa Miss TZ uvumbuzi waThe Search for Redds Fashion Ambassador
Ndani ya Miss Tz ambapo redds watatafuta balozi wa kinywaji hicho. Shughuli hii itafanyika tarehe 3 september 2010.
Balozi wa Redds ni taji la pili kwa ukubwa kwenye mashindano ya Miss Tanzania.
Nimeweka habari zaidi kuhusu taji hilo na picha kadhaa.
Asanteni kwa ushirikiano wenu.
Regards,
KIWIA, Irene E.
Managing Director,
Frontline management
|
|
ETI UKIZAA NA MWANAUME MKAACHANA BABA WATOTO HARUHUSIWI KUTAFUTA TOTOZ NYINGINE??? |
|
Written by Mange
|
|
Sunday, 22 August 2010 19:43 |
|
Hodi Hodi Shake well before use
Mwanamke umbeya babu kusutwa ndio mwake ile story ya mabwana za watu imenikumbusha stori nyingine ila hii ni kinyumenyume
Eti mtu ukizaa na mwanaume mkiachana baba watoto haruhusiwi kutafuta totoz nyingine Hii inapatikana live huku scandanavia Jamani kuna dada jina laanziwa na B amemkaa rohoni rafiki yangu kama kitu gani sijui
story yenyewe ni hivi huyo kijana alikua anaishi na huyo mama watoto wake sasa katika maisha yao jamani si unajua mahusiano wakatengana mwanaume huyo akajipatia totoz nyingine ya ukweli lakini mtoto malezi full na matumizi full ku supply na wakionana na mwanamke(mama mtoto) ni mtoto tu mapenzi hamna kingine
sasa zogo limekuja kuibuka huyu mwanadada alipogundua kaka ana totoz nyingine ni yaleee yaliyotokea kichenchele imekua tafrani mtindo mmoja anamshutumu shosty kamnyang'anya bwana bwana akiulizwa anasema wao walishamaliza zamani ni mtoto tu tena wana kidume cha ukweli(mtoto) shosty wangu mie mstaarabu akaona labda kweli inawezekana yule mwanaume labda ndio walewale akampiga kibuti kijana unaambiwa kaka alimwaga chozi hilo kafa kazikwa kwa bidada anaapa anampenda yeye na hata ndoa atatangaza basi na kwa vile bi shosty kakolea kiaina akaona isiwe tabu akarudisha mapenzi kwa handsome na karibuni wanaanza kuishi wote huyo B anataka kupasuka kila siku anatangaza visasi na maneno ya vitisho kwa kusema ana hela anaweza kumdestroy mtu na kwa vile baba watoto ana pesa basi akajua msichana kazimika kisa mkwanja kumbe binti naye kwao mambo safi baba tycoon mama anakula pesa za nchi na huo usafiri wake balaa na vilevile ana proffession yake nzuri analipwa mshiko mzuri na amenunua apartment wiki iliyopita tena cash hamna cha morgage hata huyo mwanaume hamfikii kwa huo mkwanja wake anafanya masters yake aunge jina na ni mzuri balaa huyo kinaga u.... hampati hata kwa ukucha
Jamani akina mama na wasichana tujifunze kuachwa kama umeachwa na wewe subiri wako uliyepangiwa mbona viroho juu kama break za fusso wewe B waache waenjoy na ukizaa na mtu akikuacha usitumie mtoto kama kigezo mapenzi hayalazimishwi shoga utaumia sasa rafiki yangu anataka ahame nchi waende zao europe na kaka shoga akiipata hii atajimeza na walienda Tanzania kutambulishana wewe aunt meza topaz au mikasi ya china unaleta ujuzi wa makobazi kwenye jimmy choos unalo mwaka huu ndio maana eating disorder handsome anataka nyama
wananiita kiruka njia kizabizabina niliyekosa mshipa wa haya sina hiyana
Mange usiweke email yangu na asante kwa Blog yako inaleta raha mpaka kunako siku hizi hata mume akiniudhi nikiingia huku full burudani
|
|
MISS UNIVERSE NI KESHO....GOOD LUCK HELLEN DAUSEN.... |
|
Written by Mange
|
|
Sunday, 22 August 2010 19:35 |
|








|
|
|
|
|
<< Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > End >>
|
|
Page 3 of 102 |