|
HAPPY BIRTHDAY BIJOUX...... |
|
Written by Mange
|
|
Saturday, 28 August 2010 13:18 |
|

MY BEAUTIFUL , SEXY FRIEND BIJOUX IS CELEBRATING HER BIRTHDAY TODAY…..
HAVE A GOOD ONE SWEETIE!!!
|
|
FLASH BACK FRIDAYS....TUPAC- HIT EM UP...... |
|
NATAKA KUJUA TABIA ZA WANAUME WA KIARABU.... |
|
Written by Mange
|
|
Thursday, 26 August 2010 19:03 |
|
Niaje mama U-turn? wadau wa u-turn naomba mnisaidie katika hili Ni kawaida kuwasikia watu wakianisha tabia za baadi ya jamii fulani,utasikia kabila fulani bwn wahuni,au wachoyo n.k.japo inakuwa si kweli kwa wote.Hasa hasa katika mapenzi nimeshawahi kusoma humu watu wakieleza tabia za waswahili na wazungu.Mm sasa shida yangu ni kujua tabia za wanaume wa kiarabu na tena akiwa anatoka na msichana mswahili..
Uturn
Ntakusaidi kidogo hapo kwa vile nimeshaishi uarabuni kidogo…kwa miaka michache niliyoishi huku sijawahi kumuona mwarabu na msichana mweusi…ukweli ndio huyo…sio mall wala sio barabarani wala sio kwenye hoteli sijawahi kuona…
Wanaume wa kiarabu hawadate wanawake weusi openly.sana sana anaweza kukudate kisirisiri akakupa kila kitu unachokitaka ila hawezi kwenda na wewe popote au kumwambia mtu yoyote…
Mwarabu akiwa na mwanamke ambae sio mwarabu ni mara chache sana tena maran nyingi wanachukua wazungu, wale mablond kabisa, I have seen a couple of arabs hapa at dinner with Caucasian blonde women….
Labda kama unaongelea waarabu wa bongo.ila waarabu wenyewe wa urabuni umkute na mwanake mweusi…sijuiiiiii
Ila wako very attracted to black women,kuna shogangu flani alikujaga kunitembelea huku kipindi flani mbona palikuwa hapatoshi yani walikuwa wanamshangaa huyo rafiki yangu wanatamani wamfate ila wanashindwa,huyo shogangu kafungasha kweli kweli,mambo ya serious junk in the trank…lol …yani walikuwa hawaaamini kuwa yote yak wake…that was the first them niliona mwanaume wa kiarabu totally mesmerized by a black woman and still hawakuweza kusogea kumuomba hata number ya simu…
|
|
Written by Mange
|
|
Thursday, 26 August 2010 18:55 |
|

|
|
Written by Mange
|
|
Thursday, 26 August 2010 18:51 |
|

Salaam Aleikum. Naomba msaada kuwatanganiza wadau kuhusu hii machine (ipad) ambayo mtu aliniagiza kumletea, na mara baada ya kufika nayo bongo story ikawa ndefu, hela ikawa haipo mkononi tulivyosikilizana.
Brand New ipad Wifi-3G Never been opened. VGA Connector, Docking Station and Original Carrying Case ; both have never been opened Serious Buyers Only, Please Call 0787-842-328 or
This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it
Please dont call if you are not ready to purchase the item...Bei Maelewano
|
|
Written by Mange
|
|
Thursday, 26 August 2010 18:46 |
|

From Rea
|
|
GLOBAL PUBLISHERS WAMEFULIAAAAAAAAAAAA...... |
|
Written by Mange
|
|
Thursday, 26 August 2010 18:38 |
|


Picha feki iliyotolewa na global publishers leo...

picha iliyorushwa na uturn majuzi
Waandishi wa habari wa kibongo bwana, hawana hata haya…
Sasa kama mlitaka kuweka story na picha si mngeweka tu na kutoa credit kwa uturn kwa hiyo picha ya pete,
Sasa cha kwenda kujaribu kutoa logo ya uturn kwenye hiyo picha manake nini?manake uwizi and very poor journalism…
Ila atleast leo mmetoa story moja ya ukweli in years…lol…
Alafu huyo mtu wenu wa graphics need to be fired yani unaona kabisa picha feki…lol….
|
|
ZAWADI'S SUMMER VACATION...IN THAILAND.... |
|
Written by Mange
|
|
Thursday, 26 August 2010 18:26 |
|














|
|
LOOK OF THE DAY...KHADIJA..... |
|
Written by Mange
|
|
Tuesday, 24 August 2010 18:50 |
|

|
|
MISS MEXICO NDIE MISS UNIVERSE 2010..... |
|
Written by Mange
|
|
Tuesday, 24 August 2010 18:44 |
|


|
|
|
|
|
<< Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > End >>
|
|
Page 2 of 102 |