07May

DINA MARIOS AULIZA- WATU GANI MAARUFU UNGEPENDA KUKUTANA NAO NA KWANINI????

Kuna msomaji wangu mmoja ndo kanistua nikaangalie hii list kwa Dina Marios....

Apparently Dina aliuliza watu ni watu gani maarufu wangependa kukutuana nao and why

basi HAWA NDIO WATU WALIOPENDEKEZWA KWA WINGI NA WATU.....

 

Mmefurahi kumwona CEO wenu kwenye list????? LOL...

Why do you guys think people want to meet me?????LOL

 

kumpata Dina Marios bonyeza hapa

Haya ndio majina yaliyotajwa zaidi...

Wema sepetu muigizaji wa filamu za kitanzania na mkurugenzi wa endless fame.

Dina Marios mtangazaji wa leo tena ya clouds fm.

Joseph Kusaga Mkurugenzi wa clouds media group.

Jacob Steven JB mwigizaji

 

Asha Rose Migiro aliyekuwa naibu katibu mkuu wa UN

 

Mh.Jakaya Mrisho Kikwete raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.

 

Mh.Edward Lowassa mbunge wa jimbo la Monduli

 

Mh.Zitto Kabwe mbunge wa Kigoma kaskazini

 

Mh.John Pombe Magufuli warizi wa miundo mbinu

 

Said Salim Bakhressa mfanyabiashara mkubwa Tanzania

 

Shamim Mwasha blogger 8020fashions

 

Millard Ayo mtangazaji wa clouds fm amplifire

 

Nancy Sumari former miss Tanzania

 

Janet sosteness wa Ongea na Janet talk show

Dr.Fenela Mkangara
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

Gerald Hando mtangazaji wa PB ya clouds fm

 

Mange Kimambi- blogger +Fashion designer....

 

WOw, what an honor being among these very important people....


07May

RUGE AJIBU KWENYE POWER BREAKFAST.....

part 1

part 2

clip nzima inapatikana humu

kama ungependa kutoa maoni yako..... Toa maoni ya kiutu uzima na akili sio Maoni ya kumbeza mtu.....

 

Mie ni mutu ya clouds fm ndani nje, wananisaidia sana nikiwa na issue zangu toka nipo shule wakati nafanya miss Dar indian ocean etc,

hata nilipoanzaga ile biashara ya nywele nilikuwa napewa matangazo ya bure, mpaka wakati wa Diamonds are forever nilifanya nao kazi freshhhh tu.....

Kwa kweli hawa jamaa wamenibeba balaaaa........Ningekuwa nnajua kuimba weeeee,tatizo no talent....hahahahhaha...sibebeki...


Ila still siwezi kuiongelea hii issue sababu mie sio msanii so sijui wao wanavyokwazika......

They say mpaka utembee kwenye viatu vya mtu ndo uongee kama hujatembea kwenye viatu vyake usiongee.....

I hope issue itaisha vizuri, mi naona ni issue ya kutokuelewana tu....... I hope haitofika mbali kama issue ya Sugu.....


07May

RIRI WOO - I WANT I WANT I WANT I WANT I WANT I WANT.......


uWII It sold out within an hr.....nilikuwa naisubiria wa hamu....

kama kuna mtu anayo aweza niuzia plsssss naitaka... I will pay twice the original price but nomore than that and i will pay for shipping...


Uwiii i want it soooo bad....

Just when i was getting over Mac , Rihanna had to pull me back in.....lol.....

I need this lipstic in my life......

06May

FAMILY SATURDAY.....

 

African print dress available for sale

www.mybongolicious.com

I removed the hair today maana i have lost a bit of weight mpaka naskia nywele nzito...hehehehhehe

Soon napitwa urefu....lol...

 

 

 

My boyz... Love 'em....

 

My boyz @ Coco walk...

 

 

 

 

Yani hawa hawatusubirigi wanatembeaga mbeleee kivyao yani....lol...

 

 

My clique....Daddy, Kenzo, B and Da Zenat....

 

Swagg....

 

Dadangu hapitwi...lol..

 

Do not disturb....lol...

 

 

 

 

Yesterday, Lunching @ Coco walk with the family.....Awwwwwww......

05May

HAPPY BIRTHDAY LOVENESS......

Today a super beautiful lawyer friend of mine is celebrating her birthday...

Duh, me and this chicka have been through alot together. We have shared a room in mabibo hostel (chuo days),

we have fought, we have made up, we have cried together, we have laughed together,

in our stupid childish days, we stole Bhoke and we hid her at her mom's house. We used to miss classes to go to court to fight for custody eti she was my lawyer..... hahahahahahhahaha

Oh Gosh, we have have done it all.........

we have walked the walked........

And today we are nolonger friends but rather sisters....

Loveness is just as lovely as her name, the kind of friend each and every one of us needs in their life.....

Thank you for always being there for me, No matter what , no matter how much our friendship was tested you always had my back and today i say

THANK YOU......

 

 

Loveness at the back with a black shirt, Juntwa and Leah (Loveness's mom) at Loveness's  mom's place back in 2003, OMG 10YRS GO,Siku zinaenda aisee.....LOl...

Chuo days.....  our crazy days...@ Jutwa umejiona???? lol..

Dont laugh @ my eyebrows pls...hehehhehe

 

Special birthday message from Bhoke to Aunt Loveness....too cute....

 


05May

MOVIE DATE WITH HUBBY......

Mama Bhokenzo.....

 

Hapa ni saa moja usiku, kabla wengine hawajaanza movie gani ya mchana....lol...

 

That waist though.......lol..

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Baby got back...

 

Last night hubby and i went to the movies, we saw ' The company you keep'.

I loved it. It's a Robert Redford movie....

 

Mume ya Mange Kimambi.....

 

Basi mie kinachonipelekaga movies ni popcorn...hehehehe

 

I couldnt wait nkaanza kuzila nje.... mbongo utamjua tu... hehehehe

 

PS- Please no comments za ugomvi ......Tufanye yetu......