09May

SIFURAHII TENDO....NAOMBA USHAURI......

Habari yako Mange. mimi nahitaji ushauri. Mimi niliolewa nikiwa bikira miaka 8 iliyopita, kusema ukweli nachukia mno tendo la ndoa, kwangu ni kama adhabu. Ningependa wadau wanishauri je ni maumbile yangu tu, yani nataka kujua je kuna wanawake wengine ambao hawafurahii tendo la ndoa au ni mimi peke yangu? mume wangu huwa anajaribu sana kuniandaa na tumenunua vitabu vingi tunasoma ila bado sioni mabadiliko. Je inawezekana nina tatizo au labda mume wangu hajui mapenzi? kusema ukweli nashindwa kujua kama ni yeye au mimi sababu sijawahi kuwa na mwanaume mwingine zaidi yake yeye mpaka napata kishawishi cha kujaribisha kufanya mapenzi na mwanaume mwingine ili nijue tatizo liko wapi.


Tuna watoto wawili tayari. Kwa hiyo tatizo sio uzazi ila ni kufurahia hilo tendo, natamani nimnyime ila naogopa atatembea nje. kwa kweli sijui cha kufanya


Kama ungependa kupewa ushauri  na wadau wa Mange Kimambi blog kwa lolote lile linalokukwaza maishani  tuma email kwenda This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it

Hata kwa wale mnaonitumia email mnataka mimi peke yangu ndo niwape ushauri mtakuwa disappointed tu sababu sina muda wa kujibu email za ushauri kwa sababu i am extremely busy, so tafadhali ombeni ushari kwa wadau wote na sio mimi peke yangu.

09May

A WASTED DAY....LOL...

Leo niliamkia saloon....

Nimehama salon. uwiii my shoga Verronette wont be too happy....lol..

 

New hair

 

Shame on me... after spending half the day getting my hair done nikakuta post office wamefunga...

Mizigi ya watu itabidi nilale nayo till kesho....

Chezea mbongo.... Nywele kwanza then kazi... hahahahah

What a waste of a day.

 

So on Friday hubby and i are going to the state we will be moving to to find a house etc before we bring the kids....

I'm super excited about where we are moving to , cant wait to tell all y'all....

08May

LACE WIGS ZIPO MUJINI..........

Lace wigs zipo Kinondoni Muslim kwenye duka la DIVAS2006 kwa

Devota Diva....

kama hupajui piga number hizi 0655622376  and 0715494914......

Utakuta kifurushi chako kimeandikwa jina lako juu.....

 

PS. Wateja wa corset vuteni subira, nasubiri order inifikie from Columbia. Ikifika tu na mie natuma mzigo bongo fastaaa....

mnisamehe kwa kweli i had no order it takes this long to make an order from the manufacturer....Ningesema ninunue kwa retailer

bei ni kubwa mnooooo ndo maana nikaona nizifate huko huko.....

Beba pesa za shopping kabisaa maana kuna new arrivals za ukweeeee hapo DIVAS2006...

 

PS: Hivi mnajua kwamba posta yetu ipo very very efficient? mnajua huu mzigo nimeutuma kupitia posta?sio fed ex wala dhl na umefika

kwenye muda mzurii na haujaibiwa.... So kuanzia sasa ntakuwa natuma kwa post sababu its cheap aisee.....Yani nilikuwa sijui,ilikua

mtu akiniambia ananitumia kitu kwa posta nakata kumuuliza kama akili nzuri, maana nilikuwa naamini ukituma mzigo kwa posta lazma upotee au uibiwe.....

Kwa wale wafanya biashara wengine mlioko USA mliokuwa mnanitumia email kutaka kujua natumaje mizigo bongo, Now you know... Tumieni postaaaaaa

08May

THE SIMPLE LIFE OF A WIFEY,MOMMY AND BUSINESS WOMAN....

Started my day at the post office kama kawaida....

Guys Etsy is officially taking bongolicious to another level

Yani hizi sales zote za leo zimetoka Etsy , a none Tanzanian market. Yani

everytime i sell to a none Tanzanian nafurahi sana coz it tells me we are really growing....

God is really good people...

PLEASE FACEBOOK LIKE US ON ETSY.....

 

At around 4pm, i  picked  Kenzoki from school....

Tumefananaje nywele....lol...Only zangu kipilipili...

 

A Kiss for the babe.....Love you mad....

 

After i picked up Kenzo we went grocery shopping....Jamani mtoto analilia kila kitu

vitu havijui anavililia......lol...

The terrible twos can be really terrible....

 

The dress will be available wakati wa bongolicious isn Bongo and Arusha, end of july

 

Since it gets dark very late these days, after daddy got home from work we went to the play ground.......

Kenzo just loves the playground....

 

Swinging competition with my daughter....lol..

 

Theres a very good reason why parents don't ride the bouncing dinosaur at the park...

Brings on impure thoughts.....lol...

07May

CHIDI PULLS A KANYE WEST....LOLEST.....

Chi chi chi chi chi chi chi chi Chidi Benz....

Nimecheka nilivyoona hii video ya Chidi alivyovamia steji na kumyang'anya mtu mic.

Kanikumbusha balaa la grammys Kanye West alivyovamia stage....lol...

Chidi has been my boy for ages, I love him mnooooo.....

last yr nilivyofanyaga ile event ya watoto yatima @ kURASINI, he was one of the

artists that perfomed for the kids for freeeeeeee......

Kalapina nae ana hasiraje sasa...lol......

 

Nkipiga stori na Chidi at kurasini orphanage, February 2012....

 

 

Chidi performing for the orphans  @ Kurasini orphanage...

Chidi ahsante mtu wangu kwa kuitika wito.......



07May

DINA MARIOS AULIZA- WATU GANI MAARUFU UNGEPENDA KUKUTANA NAO NA KWANINI????

Kuna msomaji wangu mmoja ndo kanistua nikaangalie hii list kwa Dina Marios....

Apparently Dina aliuliza watu ni watu gani maarufu wangependa kukutuana nao and why

basi HAWA NDIO WATU WALIOPENDEKEZWA KWA WINGI NA WATU.....

 

Mmefurahi kumwona CEO wenu kwenye list????? LOL...

Why do you guys think people want to meet me?????LOL

 

kumpata Dina Marios bonyeza hapa

Haya ndio majina yaliyotajwa zaidi...

Wema sepetu muigizaji wa filamu za kitanzania na mkurugenzi wa endless fame.

Dina Marios mtangazaji wa leo tena ya clouds fm.

Joseph Kusaga Mkurugenzi wa clouds media group.

Jacob Steven JB mwigizaji

 

Asha Rose Migiro aliyekuwa naibu katibu mkuu wa UN

 

Mh.Jakaya Mrisho Kikwete raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.

 

Mh.Edward Lowassa mbunge wa jimbo la Monduli

 

Mh.Zitto Kabwe mbunge wa Kigoma kaskazini

 

Mh.John Pombe Magufuli warizi wa miundo mbinu

 

Said Salim Bakhressa mfanyabiashara mkubwa Tanzania

 

Shamim Mwasha blogger 8020fashions

 

Millard Ayo mtangazaji wa clouds fm amplifire

 

Nancy Sumari former miss Tanzania

 

Janet sosteness wa Ongea na Janet talk show

Dr.Fenela Mkangara
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

Gerald Hando mtangazaji wa PB ya clouds fm

 

Mange Kimambi- blogger +Fashion designer....

 

WOw, what an honor being among these very important people....