SATURDAY.....

Wearing a Bongolicious African Print casual dress. Made in Tanzania....
Available for sale next week.
www.mybongolicious.com

Jana i posted this pic on my instagram watu wakaanza ku comment bora umewekea picha kuwa prove haters wrong sijui nini...
Guys, my life has always been on this blog na maneno nimeshayazoea, this is the life i have chosen to live sasa nikianza kusikiliza maneno
ntaumia kichwa..... i don't need to prove anything to anyone..... WHAT YOU SEE IS WHAT YOU GET....
Besides nipo busy kutafuta mahela sina muda wa kuprove huyu yuko wrong huyu yuko right......
Haya ndo maisha niliyoyachagua inabidi nijifunze kuzoea na kuvumilia maneno, ukishajulikana kama navyojulikana mimi lazma haters wawepo hiyo nipende nisipende
lazma kunawatakaokuwa hawalali usiku wanawaza wakiamka waseme lipi kuhusu Mange Kimambi....
Anyways,mie sijali maneno mangapi yanasemwa as long as mwisho wa siku wanangu wanalala peacefully, mume wangu anakoroma pembeni yangu na biashara yangu inaingiza mahelaaaaaa......
maneno yakiweza kuniondolea moja ya hivyo vitu vitatu hapo juu basi watakuwa wameniweza ila wakishindwa hivyo vitatu basi nimaloser tu....hehehhehehehe

Kenzoki's swag always on point....

Family lunch at Cheesecake Factory...

It's Tax Season so after lunch tukawaacha watoto home tukaenda kwa accountant wetu to file Bongolicious taxes....
nchi hii na Taxes......lol...

The look on my face......you can tell im not a very happy tax payer but it's the law inabidi....lolest....
SUNDAY....

Im wearing a Bongolicious African Print top, Made in Tanzania & a forever21 skirt...
Many have been asking me about the skirt. Well, i just bought it 3 days ago so they should still have it......
The bongolicious top will be available for sale next week, keep checking the website.....
www.mybongolicious.com

Kissing my B....Love u mama....

when they were taking their afternoon nap mie huyooooo nkaenda nunua malace wigs....
Haya wateja wangu wamalace wigs muzigo unakuja in a week. ukifika Bongo tu mtapigiwa simu.....

Nilivyomaliza mambo ya lace wigs i joined them at the park for some play time....

Come here Kenzo.....




Shame on u hubby.....hahahhahahaha

My family......

swinging competition with my daughter....lol...

PS. HUBBY'S JOB IS TAKING US TO ANOTHER STATE..... WANNA GUESS WHERE?????????