21August

SHIKAMOO OMMY DIMPOZ.........VIDEO NI NOUMERRRRRR....


SHIKAMOO KAKA OMMY  A.K.A SUPER HANDSOME........ UMETISHAAAAAAAAAA

Comments (56)

  • muke ya jaluo

    muke ya jaluo

    21 August 2012 at 08:23 |
    blowkiss iko bomba snaaaaaaaaaaa
    • muddy washington

      muddy washington

      22 August 2012 at 08:48 |
      Bi TULLY huyo mrembo aliyecheza kwenye hii video katisha,lol hivi bongo kuna watoto wazuri namna hii underground?!!!!!!!mi nilijua ni kina mwamvita,kisa,k lynn na wengine wa sampuli hiyo kumbe kuna hazina kubwa namna hii?watoto wazuri kama hawa ni tourist attraction pia,nashangaa waliopewa dhamana ya kuutangaza utalii wetu wamevisahau vivutio hivi,nchi inaweza kujipatia fedha nyingi sana za kigeni kama jitihada za makusudi zingefanyika kuvitangaza vivutio hivi,sio kila mgeni anataka kusikia habri za mlima kilimanjaro sijui ngorongoro n.k. some people are interested na mambo ya kupanda milima wala kutazama wanyama wa porini but wanapenda kuona wanawake wazuri,so watu wa utalii wanaweza kuweka tangazo cnn mfano karibu Tanzania uone wanawake wazuri then anatokea kwenye screen mrembo kama TULLY guyz nawaambia u will see things..mapato yatokanyo na utalii yata increase mara tatu ya sasa,wanawake ni tourist attraction,naomba itambulike hivyo,nchi kama Bangkok inaingiza pesa nyingi sana kupitia kivutio hcho cha utalii..hawana mlima wale lakini wanaitangaza nchi yao through kina mama na watu wanafurika kweli kule kwa ajili ya kujionea kina mama warembo tu kule,Y not us???swali hili kwa mheshimiwa waziri Lazaro Nyalandu na timu yake pale wizarani maliasili na utalii
      • Anonymous

        Anonymous

        22 August 2012 at 10:08 |
        umedata muddy mweeeeh!
      • Mshamba

        Mshamba

        22 August 2012 at 15:40 |
        Uuumm, ummm! Uuummm! basi bwana no comment!
      • Tajibeba

        Tajibeba

        22 August 2012 at 21:39 |
        Muddy wewe so in other worlds you r trying to promote prostitution in Tz duu nao na box linakukera kakangu
        • muddy washington

          muddy washington

          23 August 2012 at 01:30 |
          No ni strategy tu ya kuongeza wigo wa mapato yatokanayo na utaliiguyz,kuna vivutio vingi sana tunavyo bado hatujavitumia,tumekazania tu mlima kilimanjaro mlima kilimanjaro,hivi mnajua watalii wangapi kwa mwaka wanaitembelea nchi kama Rwanda kwa ajili tu ya kwenda kuwaona warembo wa kinyarwanda kitu kinachopatia Rwanda mamilioni ya dola za kimarekani,wizara ya maliasili na utalii inabidi iamke na kuchukua hatua za makusudi kuutendea haki utalii sampuli hii
  • m a r i c h u i

    m a r i c h u i

    21 August 2012 at 08:30 |
    • muke ya jaluo

      muke ya jaluo

      21 August 2012 at 08:47 |
      marichui za idd hope iliisha salama
      • m a r i c h u i

        m a r i c h u i

        21 August 2012 at 22:45 |
        Nashukuru Mungu Imeisha Salama Muke ya Jaluo pamoja na vimialiko vya hapa na pale...mambo ni aje ?
        • muke ya jaluo

          muke ya jaluo

          22 August 2012 at 08:21 |
          poa my dia
    • marikenge

      marikenge

      21 August 2012 at 18:58 |
      blowkiss to my Marichui
      cheers
  • DESPERATE HOUSE WIFE

    DESPERATE HOUSE WIFE

    21 August 2012 at 08:44 |
    MODO KAMPATIA! SHE IS BEAUTIFUL..
  • DESPERATE HOUSE WIFE

    DESPERATE HOUSE WIFE

    21 August 2012 at 08:44 |
    MODO KAMPATIA! SHE IS BEAUTIFUL..
  • k0ku

    k0ku

    21 August 2012 at 09:33 |
    yaani huyu na mr ALMASI wakishikana vema,hii industry ya music itabadilika sana. yaani video safi na watu wasafi..big up kijanablowkiss
  • maudodo

    maudodo

    21 August 2012 at 09:41 |
    dimpoz kwa poz huwa habahatishi kwenye video, hata NAINAI iliwashika...big up ommy...!cheers
  • c's mum!

    c's mum!

    21 August 2012 at 09:57 |
    the enviroment is awesome! mdada ni superb! lolest! watoto wanakuja juu! niiiiiiiiice video kiukweli, lol!
  • anchiwela

    anchiwela

    21 August 2012 at 10:40 |
    aiseeeee nimekukubali kaka shikamoo mara saba
  • Uturn Addict

    Uturn Addict

    21 August 2012 at 11:09 |
    heeeeeeeyyyyyy uturners......

    DHW
    C'S MUM
    MARICHUI
    MUDY
    NODDY
    JAQKIE

    NGOSHA
    KOKU
    AND ALL THE UTURNERS I MISSED YOU SO MUCH AND IAM OFFICIALLY BACK....

    MWENZENU NILIKUA NA MATATIZO YANAFATANA MPAKA NIKAHISI CANT TAKE EM ANY MORE BT NOW NAAMINI THAT WHAT DOESNT KILL YOU, MAKES YOU STRONGER

    fan
    • DESPERATE HOUSE WIFE

      DESPERATE HOUSE WIFE

      21 August 2012 at 18:24 |
      JAMANI UTURN ADDICT. IM GLAD YOU ARE BACK. TULIKU MISS MWAYA. THANKS GOD UMEWEZA KUTATUA TATIZO LAKO. YES, WHAT DOESTNT KILL YOU MAKES YOU STRONGER, STAY STRONG SISTER.blowkisscheers
    • k0ku

      k0ku

      21 August 2012 at 18:28 |
      pole kwa matatizo, tunashukuru umerudi salama na karibu kijiwe *MALIMBUKENI MSIIGE* bado tupo na tunalisongesha. relax & enjoy ze showcall me
    • c's mum!

      c's mum!

      21 August 2012 at 18:58 |
      POLE SWWTHERAT! MUNGU NI MWEMA ATAKUVUSHA SALAMA! WE LUV U!blowkiss
    • m a r i c h u i

      m a r i c h u i

      21 August 2012 at 22:44 |
      Pole Uturn addict Mungu ni Mwema Siku zotee...Karibu sana home
      • Uturn Addict

        Uturn Addict

        22 August 2012 at 13:05 |
        teammange forever .......
        blowkiss
  • sushi puppet

    sushi puppet

    21 August 2012 at 11:58 |
    fagilia wawawapeace
  • OMMY

    OMMY

    21 August 2012 at 12:00 |
    MARAHABA MANGE TEHE TEHE TEHEcheers AM GLAD YOU LYK IT
  • Anonymous

    Anonymous

    21 August 2012 at 12:12 |
    Ommy heshima yako kakablowkiss
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    21 August 2012 at 14:09 |
    wow!this is beautiful,,,the quality of the video clip is so on point,,, clean n clear big up Ommy!!!
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    21 August 2012 at 14:20 |
    God bless our singers!as for sure they'v got talent!!we need more of this taste in bongo music walahi,,, its high time to wake up n do something great in our music industry hapa nimefananisha Ommy na kina Psquare,neyo...very nicegoodluck
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    21 August 2012 at 14:25 |
    the girl in video clip got sexy long tighs,,,lakini hajamfikia Mange wangu kwa uzuri,,,baby wangu kamuacha miaka 900000 kwa sura na shapematiti if u know wat am on n aboutshakebutt ...yeah!
  • Anonymous

    Anonymous

    21 August 2012 at 15:06 |
    model is beautiful shape bomba but amevaa chupi ya ndani, si angevaa chupi ya kuogelea. Kidoti nawewe hio si chupi ya kawaida kabisa mwe mwe mweee nyie watoto nyie..........
    • MINGI

      MINGI

      21 August 2012 at 20:19 |
      Comment yako imeniua nimecheka... thank you mdau you made my afternoon... Kidoti ana chati mzuri lakini isipokua huo mjupi tu.
  • BEAUTIFUL ONYINYE

    BEAUTIFUL ONYINYE

    21 August 2012 at 16:15 |
  • KIPELE

    KIPELE

    21 August 2012 at 17:14 |
    igaufe Chezeiyaaaaaaa omari wewe
  • Siri

    Siri

    21 August 2012 at 17:49 |
    Mbona anaimba na pua?
    • c's mum!

      c's mum!

      21 August 2012 at 18:18 |
      UMESIKIA MAKENGEZA! MBONA YUPO FRESH TU?!
    • Uturn Addict

      Uturn Addict

      22 August 2012 at 13:07 |
      toka lini pua ikatoa sauti
  • Jazline

    Jazline

    21 August 2012 at 17:53 |
    Hakunaga kama Ommy Dimpose , Video imetulia .
  • marikenge

    marikenge

    21 August 2012 at 18:52 |
    cheers omari madimpoz heshma yako
  • marikenge

    marikenge

    21 August 2012 at 18:55 |
    Manger juzi nilikiwa DFF heee nikamuona Adeline. nilishindwa kuvimilia nikaombaje kupiga picha.jamani acheni tu wanaume tuhongee kuna wanawakewameumbwa... looooh Adeline kama anaogea fanta
    • k0ku

      k0ku

      21 August 2012 at 21:57 |
      una maanisha mtamu ??omgomg
  • 93

    93

    21 August 2012 at 19:54 |
    pumbavu this ios wat ppl can call work.
    shikamooooooooooooooooooooooooooooooo kaka ommy dimpoz!!!!!! tutauchezaje huu.....chulu chulu chuluchulu chulu........
  • 93

    93

    21 August 2012 at 19:59 |
    jamani kumbe kuna waoogea fanta haya wacha nianze na sprite labda nitanoga!!!marikenge nimependa sana ya kuoga na fanta!!!
  • Anonymous

    Anonymous

    21 August 2012 at 20:36 |
    Hii video imkenifanya ni prove nilichokuwa naamini...wadada wembamba wako sexyyy wakiwa kwenye bikini na probably wakiwa watupu. Wadada mabonge wanaonekana sexy wakiwa na nguo wakivua unatimua mbio.

    Nimeshawahi kumchungulia kibonge wakati niko college akiwa anaoga...ana manundu mwilini kusema ameng'atwa na madondora mwilini...ila akivaa utasema binti si ndo huyu.
    birthdaydanceblowkiss
    Mwone huyu binti kwenye hii video alivyonoga.
    • BI KIDUDE

      BI KIDUDE

      22 August 2012 at 08:13 |
      ndio maana wanene wanahangaika kupungua unadhani bure
  • MIMI

    MIMI

    21 August 2012 at 21:36 |
    MAKUBWA HAYA JAMANI KUMBE KUNAWANAOOGEA FANTA..shower ..... HAYA MIE NA UBONGE WANGU NTATUMIA CHUPA NGAPI WALAGHI MANA HATA KRETI HALINITOI
  • DUDEZI

    DUDEZI

    21 August 2012 at 21:39 |
    MI KWAKUWA NAPENDA UTAMU WA NYUMA I THINK NTAANZA KUCHAMBIAshakebutt FANTA IKIBIDI NIIMIMINIE YOTE CHUPA NZIMA
  • primrose

    primrose

    22 August 2012 at 01:00 |
    Kuna wakaka wengi wanasoma humu uturn lakinj huwezi wajua wanauchuna kimya jamani be free msione haya kujionyesha kama kaka MUddy Washngton lol,Huu mwimbo nimeupenda sana yaani so good nataka ringtone yake kwenye simu yangu nitaupataje nami sihishi tz kuna njia ya kudownload hiyo ringtone au?mnijuze wadau wajuzi wa haya mambo asante
  • Mshamba

    Mshamba

    22 August 2012 at 05:21 |
    Congratulations to Ommy Dimples but more so to the producer Adam Juma. The video quality is excellent. This is how videos are supposed to be...super clear, beautiful colours and location, etc, etc. Big up to everyone who was involved to make this video superb!
  • Anonymous

    Anonymous

    22 August 2012 at 06:20 |
    yaani i have this song in one of my CDs and i had no clue who sang it.....si unajua zile za kurekodiwa mtaani!
  • Tajibeba

    Tajibeba

    22 August 2012 at 21:48 |
    No words for Ommy you and diamond are my number one in bongo music industry not to forget Ally Kia thou he has been a little too slow? Love the video love the girl in it she is very pretty. Big up producer also kudos to kidot fashion mrembo your serious on your fashion business I can't wait for the official of this video great job Dimplos
  • Tajibeba

    Tajibeba

    22 August 2012 at 21:48 |
    No words for Ommy you and diamond are my number one in bongo music industry not to forget Ally Kia thou he has been a little too slow? Love the video love the girl in it she is very pretty. Big up producer also kudos to kidot fashion mrembo your serious on your fashion business I can't wait for the official of this video great job Dimplos
  • marikenge

    marikenge

    22 August 2012 at 21:51 |
    cryingomg
    twin ndo unanishtua now kuwa kipicha changu hakionekani......
    Mange imekuwaje mbona kipicha changu sikioni jamaniii.....??? kunani uko mtamboni jamani
  • Anonymous

    Anonymous

    24 August 2012 at 22:09 |
    mbona wamekosea jina wameandika ommy dimploz...