21August

I'M IN LA FRIENDS......

Hey wapenzi. Nipo pande hizi za LA mambo yakutafuta madolali..... Mnaikumbuka ile coming soon niliwaambiaga nilivyokuwa Bangkong? well, ile soon inakaribia kaeni mkao wa kula....lol.....

 

I'm about to put my MBA to the test, see if i learnt anything.....lolest.........

 

kuhusu swala la nywele, aisee nakubaliana na nyie 100%....

lol,,,,nazifanyia maarifa faster.....lol...

ila nipo safarini inabidi mpaka nirudi Miami....

kumbe sometimes mnaniambiaga ukweli eeh?

nawapendajeee sasa!!!!!

 

 

 

 

PS: Sitorusha picha nyingi nikiwa LA maana im not ready to share my project with the world, when im ready y'all will be the first to know....lol...

Comments (144)

  • Anonymous

    Anonymous

    21 August 2012 at 02:13 |
    Mama Bhokenzo, subira yavuta heri hakuna tatizo.
    • c's mum!

      c's mum!

      21 August 2012 at 07:47 |
      mange wakuacheeeeeeeeeeeeee! mi admire u mbayaaaaa!
      • SHAMBENGA

        SHAMBENGA

        21 August 2012 at 16:32 |
        fartinface WHY ALWAYS HAVE NEGATIVE THING TO SAY, WAMUACHE KINA NANI? NDIO NYIE MANGE AKIKOSOLEWA MNAKUJA JUU, WAKATI MWENYEWE ANAAPPRECIATE CONSTRUCTIVE CRITICISM...KATIKA MAWAZIRI WA HUMU NDANI U OFTEN RUB ME THE WRONG WAY...LOVE ME SOME MSHAMBA,KOKU,BEAUTIFUL ONYINYE,DESPERATE HOUSEWIFE,MARICHUI AND OTHERS, WHILE THEY LIKE MANGE, THEY STILL TELL IT LIKE IT IS, LAKINI WEWE KUTWA MATUSI, AAARGH
        • c's mum!

          c's mum!

          21 August 2012 at 19:03 |
          HAWAKUJA NA MIMI! NA WEWE HUKUJA NA MIMI! FYOKOFYOKO HAINIHUSU! THIS IS HOW I AM, NA SITABADILIKA JUST BCOZ UMEONGEA! WEWE KUNIHATE NI KAMA TONE LA SUKARI KWENYE BAHARI, HAITABADILISHA LADHA! SO KIP YOUR GOOD JOB ON HATING ME, I DONT CARE, I DONT GIVE AFUCKING DAMN! WANGAPI WAMESEMA SENTENSI KAMA YANGU YA 'WAKUACHEEEEEEEE' HUKUWAONA WOTE, UMEMUONA C'S MUM! HILOOOOOOOOO SURA PANA KA SINIA ZA SHUGHULI! TENA UNIACHEEEEEEEEEEEEEEE! NAKUTEMAhurl PUUUUUUUUUUUU!
          • SHAMBENGA

            SHAMBENGA

            21 August 2012 at 22:45 |
            HAHAHA WE UNANITEMA, I JUST BLEW WIND ON YA FACE, NOW GO SIT ON A CACTUS.
          • Prestigious Graduate!!

            Prestigious Graduate!!

            22 August 2012 at 00:43 |
            C'Mum hebu nenda uka papaswe khaaa chill and ake it easy... Mange is leaving her life we utajikuta unazeekea humu na mvi juu maisha yamekupita kisa uturn...
        • Kijaruba

          Kijaruba

          22 August 2012 at 03:32 |
          Umezidi USHAMBENGA NA USHANKUPE na wewe, maana hilo neno la WAKUACHEE AU WANIACHE MIAKA 100 ni msemo tu umezuka huko Bongo, na watu kibao kwenye post hii wameitumia wewe macho yako yamemuona C's mum too? Na tena kwenye hiyo post yake hapo juu uliyoijibu matusi yako wapi? Khaa jamani wanawake punguzeni Ushankupe!!

          Sasa kama hilo neno kuna wengine wameweka bango lake kabisa mbona hukwenda kudandia komenti zao?

          Mie nimekujibu kama MJUMBE WA NYUMBA 10, maana nimekuona kabisa umeanza uchokozi!!
        • baby ya Mange

          baby ya Mange

          22 August 2012 at 21:53 |
          shambenga uko juuu unatumia kinywaji gani jamaniblowkissshakebutt
    • Anonymous

      Anonymous

      21 August 2012 at 08:31 |
      mange kwa kupiga wenzio za uso jmn poleni mlopewa za uso live live
      :nanikanuna:
  • Anonymous

    Anonymous

    21 August 2012 at 02:14 |
  • Anonymous

    Anonymous

    21 August 2012 at 02:17 |
  • Independent Girl

    Independent Girl

    21 August 2012 at 02:27 |
    Mange you look mwa... pisces rockshappy
    • primrose

      primrose

      21 August 2012 at 09:28 |
      blowkiss Umeona ehe independent girl piscean rock big mwah!!!
  • ZARI

    ZARI

    21 August 2012 at 02:29 |
    Wee nawe kwani kama hutaki kusema project si unyamaze kwanza mpaka itiki.. sema una mdomo mrefu huwezi mezea jambo.. kujiona uko juuu.. ungekuwa kama ZARI wa Uganda mbona tungehama nchi! Mfyuuuuuuuuuuuuuu
    • m a r i c h u i

      m a r i c h u i

      21 August 2012 at 06:50 |
      Uwiiiii! you look hot Mama Bhokee...All the Bestkanuna
      • Anonymous

        Anonymous

        23 August 2012 at 04:16 |
        ZARI hahaaaaaa
    • muke ya kenzoki

      muke ya kenzoki

      21 August 2012 at 08:14 |
      Na atafika mbali wewe Mwenye sura kama mbilimbi utabaki kumponda tu kama humpendi toka haraka u turnsorry
    • primrose

      primrose

      21 August 2012 at 09:37 |
      We Zari mgeni nini hapa UTurn halafu humuelewi kabisa Mange she is informing us fans wake na wewe hater pia lolest!Hata iphone kabla hazijatoka wanaanza dodondoo kwanza lakini hawasemi the actually date of release na design yake until last minute,it is a type of marketing tool we kalaghabao
      Lakini sikushangai sana mjazie Ceo traffic hapa soon u will be converted hahaha chezea uturn
    • anchiwela

      anchiwela

      21 August 2012 at 10:28 |
      mijitu ya hivi inaniboaga humu, namtakufa kwa vijiba vya roho kama humpendi Mange unatafuta nini kwenye blog yake, utakufa kwa mapigo humu..... go mange go
    • Anonymous

      Anonymous

      21 August 2012 at 11:31 |
      we hater Ongeeni sanaaaaa!!!! lakini mwisho mnamkubali ourceo kimya kimya
    • lalola

      lalola

      21 August 2012 at 14:42 |
      eewwwwwww!...kwani yanakuhusu nini!..
  • SO?

    SO?

    21 August 2012 at 02:30 |
    So fuckin what? who cares!
    • m a r i c h u i

      m a r i c h u i

      21 August 2012 at 06:55 |
      Kama uko Bongo nakushauri Mtafute Anti Sadaka....poleee eheeee!
    • anchiwela

      anchiwela

      21 August 2012 at 10:37 |
      bwhahaahahahahha utakufa ww umeingia choo cha kiume, YOU CARE NDO MAANA UNA BIP BIP UTURN bwahahahahah
  • Independent Girl

    Independent Girl

    21 August 2012 at 02:32 |
    N.B ulivyovaa leo nywele hazijaonekana mbaya sana cause you kind look casual.
  • DESPERATE HOUSE WIFE

    DESPERATE HOUSE WIFE

    21 August 2012 at 02:36 |
  • Anonymous

    Anonymous

    21 August 2012 at 02:41 |
    Shikamoomukeya ourceoblowkissblowkiss
  • Yousou

    Yousou

    21 August 2012 at 02:58 |
    Shit...Mange You Look So Dope...Your So Fine.Kumekucha U-turn...Twende sasa face to face...cash to cash....Education Is Sexy.Your the Finest Blogger from Tzee
  • Yousou

    Yousou

    21 August 2012 at 03:07 |
    Mange una matusi wewe....daaah yani nnavyosubiri hiyo Coming Soon naona inachelewa.Mwisho wa ubaya aibu.Mange kajipanga anawachora tu mnavyopomponda na kumkashifu.Sasa ni za uso tu.
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    21 August 2012 at 03:15 |
    wow baby i like ur body shape,,,so sexy!!!mwuah.
  • SITAHARISHA

    SITAHARISHA

    21 August 2012 at 03:17 |
    OL ZE BEST BI DA SHOST. MIE NLISHA-SURRENDER SPEED YAKO SIIWEZI
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    21 August 2012 at 03:22 |
    lol for the first time i see a watch in mababys hand heheheheh that should tell us something,,, baby jamani mistaki uanze kazi manake najua utakuwa busy sana na hutakuwa na muda na sisi especially me baby wako(the first lady) na wanaofuatia mawaziri...confused
  • baby ya Mange

    baby ya Mange

    21 August 2012 at 03:31 |
    baby u know what this hair style suit uuu n i like when u go blonde,,, sometimes too much dark color is boring but with this one i think is either the hair is too silk for that style or the one who did u didnt know exactly what he/she was doing....au baby umeende kwenye saloon za wazungu u should find some black people saloon im sure kuna wajamaica huko their so good in hair,,,,au kama vipi tumwambie my girl wako arudishe pesa yetu haraka saaana nywele haina quality tunataka heheheh
  • Anonymous

    Anonymous

    21 August 2012 at 03:36 |
    this is the first time i see u in JEANS!
    • Anonymous

      Anonymous

      21 August 2012 at 11:33 |
      Inaelekea we mgeni humu. Mbona ourceo huwa ana vaa jeans, sema sio mara kwa mara
      • Anonymous

        Anonymous

        22 August 2012 at 00:15 |
        dontbebitchy Mange hua havai jeans kihivyo bana, usually busy na vishorts na vijigauni sio jeans especially bleu jeans.....
  • Anonymous

    Anonymous

    21 August 2012 at 03:40 |
    Best wishes my Commandor nataraji good news sooner as possible inshallah u insp me so much.education
  • livvy

    livvy

    21 August 2012 at 03:52 |
    umependeza .
  • lee

    lee

    21 August 2012 at 04:03 |
    Wishing you all the best girl.Allah be with you wherever.
  • k0ku

    k0ku

    21 August 2012 at 04:09 |
    poa mamaceo tunavuta subra kusubiri hayo mambo mazuri.. i wish u lucky..wape hei wa LA.. btw u look mmwaaa kwenye hiyo jean&blazergoodluck
    • kuntuafro1

      kuntuafro1

      21 August 2012 at 17:14 |
      Umeona eeeh Koku, amependeza sana hiyo Jeans na blazer.

      I wish you good lucky CEO, sisi hatuna haraka tunakusubiria whenever you ready utatuholla. Mpe hi mama naniiii yule wa LA nimesahau Jina la mwanae.
  • Anonymous

    Anonymous

    21 August 2012 at 04:20 |
    Inshaallah utafanikiwa tueducationgraduation
  • k0ku

    k0ku

    21 August 2012 at 04:22 |
    tusubiri story za wajuzi wa mambo;itakuwaje wewe ufanye kazi LA na mumeo MIAMI,lazima mange atakuwa ameachika tuu..lollestkanuna
    • SHAMBENGA

      SHAMBENGA

      21 August 2012 at 12:56 |
      WE NAE WHY THE NEGATIVE THOUGHT?
      • c's mum!

        c's mum!

        21 August 2012 at 19:14 |
        HUYO NAYE NI C'S MUM! KAMATA TAMBARA ANZIA MKONDO WA NUNGWI, USITUCHEFUE!
        • Muke Ya Albino

          Muke Ya Albino

          22 August 2012 at 08:21 |
          C's mum asikuumize kichwa huyu! seems kaja kutafuta shari tu.
    • Anonymous

      Anonymous

      21 August 2012 at 16:59 |
      wewe nawe....kwani kasema kahamia LA? sasa wewe ndo tunakuona mshakunaku
      • k0ku

        k0ku

        21 August 2012 at 18:17 |
        sura kama mbilimbi. shut up...kwani ni lazima unijibu nilichoandika??utaambulia vidole hukoshakebutt
        • c's mum!

          c's mum!

          21 August 2012 at 19:06 |
          BORA ULIVYOMCHAMBA HUYO SHAMBENGA! KAANZA NA MIMI HUKO JUU NIMEMPA VALIUM ZAKE ANAUSAKA KINGUVU USINGIZI! NAONA NA WEWE UMEWAPA MAJI WAMEZEE! KAKOMAA TAKO KA UBAO WA GYPSUM! KOKU, MZIMA WEWE???
          • k0ku

            k0ku

            21 August 2012 at 20:15 |
            nipo poa kabisa mum. hofu kwako..tumsindikize boss kwa macho huko LA. kiroho tupo naweceo hao waja na kuondoka na ushambenga wao tuwaache kama walivyo
          • SHAMBENGA

            SHAMBENGA

            21 August 2012 at 22:50 |
            IT IS FUNNY HOW U THINK U HAVE THE RIGHT TO RESPOND TO PEPLE AND YET GET MAD WHEN TTABLES ARE TURNED,SUCK IT UP..fartinface
        • SHAMBENGA

          SHAMBENGA

          21 August 2012 at 19:23 |
          kissmyass aAS IF HUWA HUJIBU WATU..
        • Anonymous

          Anonymous

          21 August 2012 at 19:39 |
          Hahaaaaaaa kokucheers nimeipenda hiyo vidole hukomangeblog
        • Anonymous

          Anonymous

          21 August 2012 at 20:26 |
          haaa kumbe upendi kujibiwa mbona ndo wewe kisebengo kwa kujibu watu... mkoki kwa nguruwe........
  • bahati

    bahati

    21 August 2012 at 04:33 |
    Kila la heri mdada...do ur things..
  • muddy washington

    muddy washington

    21 August 2012 at 04:50 |
    ALL THE BEST MAMA KWENYE KUSAKA HIZO "KAZI ZA WAZUNGU"....UKIPATA ZINALIPA,UNAWEZA KUANZIA HATA MNYAMWEZI(DOLA)25 KWA SAA SEMA HAZINAGA MASAA KAMA BOX,SANA SANA UTAISHIA KUGONGA MASAA AROBAINI TU YA KAWAIDA PER WEEK JAPO KISU CHAKE KIREFU,I MEAN HAKUNAGA OVER TIME NYINGI MOST OF THE TIME KAMA ILIVYO KWETU SISI WABEBA BOX AMBAPO MASAA YA KUMWAGA MPAKA KUSAZA
    • Yousou

      Yousou

      21 August 2012 at 06:50 |
      Kwani Moudy Uko state Gani?!just curious
      • Anonymous

        Anonymous

        21 August 2012 at 20:34 |
        Wewe muddy jibu unalo kushindana na wazungu.. lol ukichanganya na Accent ya kibongo na kigugumizi hahahh ..... afathari sisi wafunga vidonda Nursing home tunapata overtime kwa mwezi sio uwongo.
  • Jazline

    Jazline

    21 August 2012 at 04:52 |
    Umependezajeeeee mama Bhokenzo .
  • Jazline

    Jazline

    21 August 2012 at 04:53 |
  • Anonymous

    Anonymous

    21 August 2012 at 05:03 |
    Hiyo boutique..location..location..location. Alafu hala hala...mafashionista wa marekani..wakigusa ngua tu material wanakuambia..ni made in Thai..au China..so kuwa makini unatoa wapi your stock! labda watu wa H&M ndio utawapata :-) Na huko Miami..is like Vegas..beach wear..na trshy glitter ndio zinatoka...madem wengi wa huko ni ''white trash..beach babes..party animals'' so wape kitu roho inapenda...KNOW YOUR MARKET! WINK
  • Real House-wife.

    Real House-wife.

    21 August 2012 at 05:12 |
    woohoo ,there she go!mama Bhokenzo herself.have fun and all the best to ur plans.
  • U-Turn-Freak

    U-Turn-Freak

    21 August 2012 at 06:04 |
    ENJOY UR TRIP IN L.A. N' GOOD LUCK WITH WHATEVER U R UP TO. MAY GOD GOD PROTECT U N' UR FAMILY, MAY HE UP IN HEAVEN OPENS THE DOORS FOR U, DEAR MANGE.
    LOVE U N MISS U ALREADY, MAMA K.
  • Anonymous

    Anonymous

    21 August 2012 at 06:14 |
    Amen!Action speaks louder.Go do your thing...
  • muddy washington

    muddy washington

    21 August 2012 at 06:34 |
    mayi ya miso mayi,mayi ya mvula mayi,mayi ya pembe mayi,hii ni lingala language...maana yake maji macho(machozi)ni maji pia,maji ya mvua nayo ni maji hata maji meupe nayo pia ni maji..haya maneno nimeyapata leo nilipokua nasikiliza nyimbo za koffi olomide,pamoja na kujua kwangu lingala hapo kwenye "mayi ya pembe mayi" akiwa na maana ya maji meupe ni maji ameniacha njia panda,hivi kuna maji meupe kweli jamani?maana mie ninavyojua maji hayanaga rangi,wanasayansi naamini mpo humu,hebu fungukeni maji meupe anayoyazungumzia koffi yana exist kweli,hii ni out of topic by the way,but i luv the music nimekumbuka sana africa baada ya kuusikiliza toka kwa mpopo huyu tunashare nae apartment hapa
    • Yousou

      Yousou

      21 August 2012 at 06:52 |
      Kwani ni papa plus nini Hiyo Moudy?M
    • MISTRESS YA OBAMA

      MISTRESS YA OBAMA

      21 August 2012 at 12:59 |
      ha ha haaa we moody weye! yani mfungo umeisha unaulizia maji ya sharbat ehhh! hayo mayi mayii meupe ni yale maji yetu yaleee kunaku sita kwa kumi upo ehh! nikalale miee karibia kunakucha jamani hii u turn imeniletea insomnia!
    • maridhawa

      maridhawa

      21 August 2012 at 13:37 |
      Moody si umesikia kuwa ni maji ya "pembe",sasa unashangaa nini?ni meupe yale ati!
  • shani

    shani

    21 August 2012 at 06:43 |
    one word.........shining
  • Mshamba

    Mshamba

    21 August 2012 at 07:07 |
    Casual smart. Madame Lowrey, tu es Très chic. Yaani, nimeipenda hiyi casual smart yako iko poa haswa especially the jacket. Good luck to you with the project you want to do. Business is all about courage to start and persevere.
  • c's mum!

    c's mum!

    21 August 2012 at 07:34 |
    narudia tena na adore vibaya mnoooooo maisha yako! ila sikucopy ng'ooooooo! chezeiya kufutwa marinda!! uko juuceo tenawakuache
    • JaCq!!ie

      JaCq!!ie

      21 August 2012 at 13:24 |
      lmao Na nani Tena jamani...wakuachie japo mia moja na moja .....
      • c's mum!

        c's mum!

        21 August 2012 at 19:21 |
        SHAMBENGA AMUACHE MANGE MIAKA 1000000000! NAONA ANAKEREKA SANA! MTAFUTIE NGAZI AKADEKI MAVUMBI ANGANI, EBO! JACQUIE MZIMA WEWE?
        • SHAMBENGA

          SHAMBENGA

          21 August 2012 at 22:56 |
          fartinface HAMNA MTU ANAKEREKWA NA MANGE,I JUST HATE YOUR ATTITUDE,IT SUCKS. BY THE WAY I FIND IT A BIT CHILDISH WHEN U KEEP ON REPEATING THE SAME THING..I DONT THINK U ACTUALLY GOT MY POINT THE FIRST TIME AROUND, I REST MY CASE.
  • Dogo la Mange

    Dogo la Mange

    21 August 2012 at 08:13 |
    Wakuache miaka 300 mama mimi iko penda wewe sana Aisee nikija state lazima nikutafuta,may be unibanie kuonana na veve but,sisi n mabalozi wako hapa kazi tu kula na kupiga majungu,kwao I love u mama bhokenzo......!
  • parrotkasuku

    parrotkasuku

    21 August 2012 at 08:14 |
    Hayaaa, twende sasamoonwalker
    All the best mama BK
  • muke ya kenzoki

    muke ya kenzoki

    21 August 2012 at 08:16 |
  • Lady LA

    Lady LA

    21 August 2012 at 08:20 |
    Karibu LA city of entertainment. Ningejua uko wapi ningekuja kukupa hi.... All the best ...
  • maudodo

    maudodo

    21 August 2012 at 08:27 |
    pendeza muke ya muzungu, mange cjwahi kukuona na jinz yani imekutoajeee, na hy blazer ndo umeua kabisa, twaendelea kusubiri mambo mazuri, ni vzuri inavyofanya kimyakimya mpaka mambo yatiki mana haters hawakawii kujambiawhitch issue za watu, all the best mamita..
    • m a r i c h u i

      m a r i c h u i

      21 August 2012 at 08:32 |
      kujambia ... maudodo umeniacha hoi lol!laughinglaughingwinking
      • maudodo

        maudodo

        21 August 2012 at 10:17 |
        eeh mwenzangu marichui haterz wataanza sasa hv...mara ooh hawakuchukui wala nini.... mara MBA ya dubai haikubaliki USA...utafikiri wenyewe wana hata hy 1st degree ya Kayumba University...ndo kujambia issue za watu huko marichui,fartinface
        • muke ya jaluo

          muke ya jaluo

          22 August 2012 at 09:07 |
          ha ha aha ha ah aha h MAUDODO umeua lol ulijuaje walianza kusema MBA mpaka sasa bila kazi????? wanaumiajeeeeee
    • kayemba ney

      kayemba ney

      21 August 2012 at 14:21 |
      Maudodolaughinglaughinglaughinglaughing hicho kinaitwa kimavi hewa.Watu wengine wanamidomo mibaya utasema malaika wa shetani
      mweeee
      • c's mum!

        c's mum!

        22 August 2012 at 16:15 |
        kwi kwi kwi! eti kimavi hewa, lolest! nimekufa kucheka wallah!
  • muke ya jaluo

    muke ya jaluo

    21 August 2012 at 08:28 |
  • TBL

    TBL

    21 August 2012 at 08:43 |
    Kila la heri mama bhokenzo,pamoja tunawakilisha.
  • Muke Ya Albino

    Muke Ya Albino

    21 August 2012 at 08:51 |
    goodluck with whatever U R up to. Mungu akutangulie. Umependeza sana!!! nywele ulituambia wapi twaeza pata haya na hiyo blazer?? sio siri imekutoa sana.
  • BIBI NYAKOMBA

    BIBI NYAKOMBA

    21 August 2012 at 09:32 |
    tupeleke, tupeleke mamito,umetokelezea kichizi, gosh! ka jeans kamekutoa sana muke ya muzungu...smart!
  • MAPENDO DAIMA

    MAPENDO DAIMA

    21 August 2012 at 10:14 |
    Mange wish u all the best in whatever u doing mumie,God bless u even more.huyo ZARI hapo juu namjua ni nani huyo,pua kubwaaa.utabaki kugala gala tu, mwenzio anazidi kusonga mbele.wakuache
  • Anonymous

    Anonymous

    21 August 2012 at 10:28 |
    haha umewatoaje watu macho na the unyayo red.kama nawaonaaa..chezeaamukeya
  • Anonymous

    Anonymous

    21 August 2012 at 10:40 |
    umewatoaje macho na unyayo mwekunduuu..kma nawaonaaa.chezeamukeya
  • joyousjoymdogoyamange

    joyousjoymdogoyamange

    21 August 2012 at 10:42 |
    umewatoaje watu fodoo macho na unyayo mwekunduu.kma nawaona.chezeyamukeya
  • joyousjoymdogoyamange

    joyousjoymdogoyamange

    21 August 2012 at 10:43 |
    kwelieducation
  • Dadaa

    Dadaa

    21 August 2012 at 10:44 |
    Kila la kheri Mama bhokenzo,uongo zambi umependeza flani na jeans zinakupendeza.
    Niliwambia Marekani u sharp wako ndio mpango mzima,ukizubaa basi miaka itaenda irudi upo upo tu.Haya wale mliopo uko miaka 5/10 na zaidi mnijifunze kuwa sharp sio mnaikalia party za waAfrika na Umbea tu.
    Mange mama Mungu akusaidie mambo yako yaende vizuri,mwanzo ni mgumu ila usikate tamaa Kamwe.
  • Kijaruba

    Kijaruba

    21 August 2012 at 11:00 |
    You look hot! hot kama pili pili inawasha lakini tamu! mpaka umewatia majaribuni hao wakaka hapo pembeni, cheki jinsi wanavyokukodolea macho!!

    Mie sina wasi wasi na wewe Mange, kichwa chako kimetulia, determination unayo, connection ya nguvu unayo (ile english tea ya Bangkok pia), unajua kutumia opportunities. una guts za kutosha halafu weweeducation

    Wale wenzangu na mie wa SEXY/SEX IS EDUCATION wataishia kunawa kamwe hawawezi kula sahani moja na wewe!! Watabakia kuja kubwabwaja humu na kututukana sijui mbwiga sijui nini. Tatizo kubwa ni kukosa elimu maana mtu aweza kusoma na asielimike. Ukiwa umeelimika hata huko Bongo jamani opportunities ni nyingi mno mpaka unashangaa watu hawazioni?? Ngojeni tuje tuanze kuzitumia kisha tukishafanikiwa mtuite mafisadi.
    • c's mum!

      c's mum!

      21 August 2012 at 19:23 |
      TELLLLLL THEMMMMM MY SISTA! BAELEZE BAELEWE! NIKISEMA MIE CHUCHUNGI!
    • c's mum!

      c's mum!

      21 August 2012 at 19:23 |
      TELLLLLL THEMMMMM MY SISTA! BAELEZE BAELEWE! NIKISEMA MIE CHUCHUNGI!
  • Nai Nai

    Nai Nai

    21 August 2012 at 11:10 |
    You go girl, mbona wa West Afrika wanaweza kwanini sisi tusiweze? You gonna go places girl! hasa hapo upo kwenye land of opportunities zitumie ipasavyo. Ukiwa International ni bora zaidi maana unaspread risks.

    Mimi nakuaminia hata wasi wasi sina. All the best in your project na usisahau kumuomba na kumshukuru Mungu all the time.
  • my love

    my love

    21 August 2012 at 11:50 |
  • wifi ya mange

    wifi ya mange

    21 August 2012 at 12:20 |
    nakupendaje wifii umwkubaliana na sisi kuhusu nywelw.
    tunakupendajee sasa.wakuache
  • mahips

    mahips

    21 August 2012 at 12:27 |
    you look hoooot madam........
  • getuu

    getuu

    21 August 2012 at 12:44 |
    Mange umenifundisha kitu ktk maisha,"to live my life no matter what"...go gal makuombea ufike mbali!lingine u look houut
  • MISTRESS YA OBAMA

    MISTRESS YA OBAMA

    21 August 2012 at 12:53 |
    hivi mange ni kwa nini huvaagi jeans wakati zinakutoa chicha? kiukweli umenoga hasaaaa hayo ndo mapigo yangu mie yani im crazy with jeans na blazer upigilie na heels wallah hata uweje lazima unoge tuuu! pendeza sana! good luck na kusaka job, imeandikwa asiefanya kazi asitie timu mezani, hope utafanikiwa.
  • Anonymous

    Anonymous

    21 August 2012 at 13:21 |
    All the best Mange.. usirudi nyuma.. maana haters wanasubiri ushindwe, ila wanakusaidiaje uendelee mbele maana lazima upiganie kumaintain maendeleo yako ili wafunge mabakuli..
  • JaCq!!ie

    JaCq!!ie

    21 August 2012 at 13:28 |
  • kayemba ney

    kayemba ney

    21 August 2012 at 14:15 |
    Uwiiii nakupendaje sasa!Hapana chezea u.teammange Me nawahi kuomba ajira kwenye hiyo project yakocheersI dont want to see
  • riwe90

    riwe90

    21 August 2012 at 14:35 |
  • mrs Bolt

    mrs Bolt

    21 August 2012 at 14:45 |
  • CAELISH

    CAELISH

    21 August 2012 at 15:18 |
    Mimi penda wewe sana umependeza sanaaaaaaaaa
  • BEAUTIFUL ONYINYE

    BEAUTIFUL ONYINYE

    21 August 2012 at 15:38 |
  • maitha

    maitha

    21 August 2012 at 15:42 |
  • tifa

    tifa

    21 August 2012 at 15:51 |
    goodluck mama KENZO
    Mimi penda sana ww coz hunaga manenomengi nivitendo tu.endeleakuwapiga za uso tu.sonya
    ukojuumange
    wakuache
  • tayz

    tayz

    21 August 2012 at 16:04 |
    Hi dada Mange kwanza hongera sana, kiukwel this is my first time to comment here, kiukwel napenda life style yako na baba Kenzo yani uko huru you don't care wewe unafanya vitu kama utakavyo na si kama watakavyo nakupa big up sana.
  • tayz

    tayz

    21 August 2012 at 16:05 |
    big hug pendaje wewe
  • Sensitive Samurai

    Sensitive Samurai

    21 August 2012 at 16:09 |
    WISHING YOU ALL THE BEST MA CEO I KNOW THE END OF THE DAY WE GONNALletspartycheersblowkiss

    mWENYEZI MUNGU AKUTANGULIE
  • mama kayaii

    mama kayaii

    21 August 2012 at 16:17 |
    What doesn't kill you, makes you stronger, you got to do what you got to do my dear, hustle hard , I wish you all the best
  • MRS SOLIS

    MRS SOLIS

    21 August 2012 at 16:36 |
    Daaamn!! (in Tasha Smith voice) Gurl you are dazzling!!
  • MRS SOLIS

    MRS SOLIS

    21 August 2012 at 16:36 |
    Daaamn!! (in Tasha Smith voice) Gurl you are dazzling!!
  • Mama S.

    Mama S.

    21 August 2012 at 16:36 |
    leo naungana na baby ya mange kwa mara ya kwanza ndio nakuona umevaa saa..halafu kwa nini huwa huvai jeans more often?? zinakutoa kinoma za design hiyo na hivyo vihipsi, kwa kweli leo umependeza everything on point nazani hata baba bhokenzo alikwambia wakati unatokaceo
  • TBL

    TBL

    21 August 2012 at 17:00 |
    Hiyo jeans yako ni tamuu!!! Nimeipenda pia umependeza nayo +blazer. U rock babe
  • Anonymous

    Anonymous

    21 August 2012 at 17:01 |
    OUT OF TOPIC. jamani mie nimetokea kuwachukia wahaya, is that normal? hadi na-wish warundi na warwanda na wa-uganda wagombanie huo mpaka wagawane kagera yote
    • k0ku

      k0ku

      21 August 2012 at 18:21 |
      mbona hasa sie tunakuchukia hivyo hivyo. na naombea hilo jitumbo lako lipasuke,mautombe yadondoke mbwa wagombaniewe hater
      • Muke Ya Albino

        Muke Ya Albino

        22 August 2012 at 08:31 |
        For sure that's not normal go seek medical advice asap.

        Koku said it all.blowkiss to Koku.
  • Afro-Mdhungu

    Afro-Mdhungu

    21 August 2012 at 17:56 |
    U look so damn classy, iyo slim jean inakupendeza saana and ur blond hair iko on point but u know some peaple don't like change...Do u....
    And LV damier is on pont with ur CL...Umetoka bomba.
  • sina

    sina

    21 August 2012 at 18:29 |
    love u mammy. haya wabeba mabox mbongo kaja huko anafukuza ile mbaya, nyie mmelala tu. pull up ur socks mange.
  • k0ku

    k0ku

    21 August 2012 at 18:32 |
    MANGE VAA SURUALI/JEAN TIGHT KAMA HIYO OFTEN..LILE somo langu la feet stockings usilipuuzie,linahusika sana kwa vimini dress na vihot pantspopcorn
  • Kareena

    Kareena

    21 August 2012 at 18:48 |
    Wow Mange you look like a serious business woman no joke that's tight i love it...mwaaah
  • Mjukuu wa malkia

    Mjukuu wa malkia

    21 August 2012 at 19:33 |
    Mange umependeza darling ila nywele hazijanipendezesha macho yangu but we all have different tastes. Mimi penda u bure kabisaa, wish you all the best with your project...
  • Anonymous

    Anonymous

    21 August 2012 at 21:19 |
    Haya wapi picha za business class kwenye ndege au leo umeenda kajamba nani? theeeeeeeeeeefreedom
    • Anonymous

      Anonymous

      21 August 2012 at 22:57 |
      Kumbe huwaga zinakutoa roho zile business class anazopanda, tangu umeziona ukilala ukiamka unaziota.

      Halafu ulivyo boga, mtu kama ana uwezo wa kupanda business class kwenye safari ndefu, ya more than 10 hrs ndio atashindwa one or two hours flight? Hebu punguzeni ujinga jamani khaa mpaka mnatia aibu, maana hii blogu inasomwa mpaka huko kwa majirani zetu lol!
      • Anonymous

        Anonymous

        22 August 2012 at 04:52 |
        shit up. yamanza wewe bwege kwani wewe ndo umeulizwa au kujipendejeza coz zile ndege za Dubai air line ndo imemfikisha Usa coz mme alikuwa anapata ticket bure, sasa kama alikuwa anapanda masaa kumi leo kashindwa nini????/ kuku wewe
        • Anonymous

          Anonymous

          22 August 2012 at 10:17 |
          hahahahahahahahaha Ukweli unauma mpaka umechanganyikiwa, eti mumewe alikuwa anapewa tiketi bure, si uende na wewe ukapewew za bure bila kutoa senti 5 kama inawekana!!hahahahahaha Ndio umezidi kujichoresha ujinga wako, uwiiiii!! Heri mimi kuku nikitaga mayai yanaliwa, nyama inaliwa mshikaki, mchuzi, supu, kuliko wewe Nyoka hasidi wa roho za watu mja laana uliyelaaniwa na Mungu!
          • Anonymous

            Anonymous

            22 August 2012 at 14:35 |
            TARATIBU JAMANI MSIJETOBOANA MACHO TU HEE!!!
  • SIMPLY

    SIMPLY

    21 August 2012 at 22:04 |
    rfreedom mange you look nice but its not wow just ok really dear.
  • none

    none

    22 August 2012 at 06:25 |
    Msalimie TK,Tena mkipiga nae picha itakuwa balaa
  • asya

    asya

    22 August 2012 at 08:29 |
    EL CLASSIO!!!YN MANGE UMEPENDEZA SANA....I LIFE YO OUTFIT!!!
  • jane mushi

    jane mushi

    22 August 2012 at 09:01 |
  • muke ya jaluo

    muke ya jaluo

    22 August 2012 at 09:12 |
    chezeaceo ndani ya jeans nimekukubali unatisha pendeza snaaaa
  • grace

    grace

    22 August 2012 at 10:30 |
    nakutakia kila lakheri mpendwa
  • camila

    camila

    22 August 2012 at 23:56 |
    i love uuuuuuuuuuuuuuuuuu mangeeee...... i dont know what to say...
  • Kelly

    Kelly

    08 September 2012 at 01:48 |
    bahut sahi...Neeta ji ekdam sahi baat kahi... aur ekdam sahi mudda uthaya... aajkaal is net ke chakkar mei to pata nahi sabhi ko kya ho gaya hai...n specially females ka to aise logon se yunhi pala padta rahta hai...
  • c's mum!

    c's mum!

    22 August 2012 at 09:41 |
    • Anonymous

      Anonymous

      22 August 2012 at 14:40 |
      C'S MUM UNAMZABA NANI MAKOFI? HEHEHEHEE. IM SURE MPAKA DAKIKA HII ATAKUWA KESHA VIMBA SANA SURANI NA MINUNDU KIBAO KUNAKO KICHWA KA DOKTA ULI..TEH TEH TEHsilly