Kibonge,
You could not find something nicer to say.. I guess ur mama did not teach you if you don't have something nice to say, just don't say anything.
Hahahahaha.... Kibonge yote maisha, mashauzi tena Mbona ndio yanayotuleta u turn. We are here to stay!! mpaka Kenzo akue na yeye tuone mashauzi yake maana ya Lance yameanza si tulimwona pale kwenye pochi mmmmh "maumivu ya kichwa huanza taratibu"
TATIZO TUMEZOWEA KUMUONA NA MASK YA MAKE UP, ATA KAMA MTU NI MBAYA KULIKO WATU WOTE UKIPATIA MAKE UP YA UKAKIKA NA UJUE KUIPAKA NA MANYWELE WEEEE...
ALTHOUGH SIONI KWAMBA CEO KACHOKA USO, SHE JUST LOOK A LITTLE DIFFERENT.. SHE'S GOT A SOFT SKIN.
BY THE WAY KWANI MNAFUNGUA LINI? MI NIMECHOKA KUONA HIZI NGUO...
TUALIKANE EID JAMANI KWA WALE WOTE TUNAOWAKILISHA VUMBINI(BONGO.COM)HAHAHAHAHAH MANGE NAONA UMESHAFUMUA WEAVE UWII YANI NAONA IN 3D KAMA SIR GOD LOL......
Mashallah wanawake mmependeza na mavazi yenu na saumu. Mange msiache kwenda kwenye friday prayers hata baada ya Ramadhani, na usiache kusali sala zako ili Mungu azidi kukupa ulinzi wake na rehma zake. Pamoja na kuwa huko ni kwa mumeo lakini bado ni ugenini, mtumainieni Allah kwa kila jambo lako!
Kisses to baby Kenzo, mchukueni kwa Eid prayers na yeye jamani!
kuna tofauti ya kupendeza na kuchoka! sikui mwenzangu unazitofautishaje..unaweza kupendeza hata kama macho yametumbukia ndani kwa dehydration,ila machoni pa watu watagundua kama jana yake ulikesha au ulilewa sana..hajachukiza bila make-ups,ila amechokaaa
napenda unavomkaa na zenat humbagui yaani kila sehemu anayohitajika Kwnda unaenda nae hadi raha good relationship btw you guys sio kina nanihilii unavowafanya madada km ??.idd mubarrak
Kwa wale wote mliojaaliwa kufunga Ramadhani hii msisahau kutoa Zakat-fitri. Hii zaka ni lazima na wala si hiyari. Na tena inatakiwa itolewe mapema ili huyo utakaempa aweze kufurahia siku ya Eid na yeye.
Kwa wale wanawake wote mliojaaliwa kufunga na kuna siku hamkufunga, msisahau kulipa hizo siku, mara nyingi watu huona uvivu anabakiwa na deni la siku 4, 5, 6 au 7 mpaka Ramadhani nyingine inamkuta. Kama hutaweza kufunga sita mfululizo baada ya Eid, unaweza kufunga siku moja moja ndani ya huo mwezi wa Shawali mpaka ukatimiza siku 6 au zaidi. The simplest way ni kufunga Jumatatu na Alhamisi, utajikuta ndani ya mwezi mmoja umemaliza madeni yako na umepata thawabu za kufunga sita. Otherwise una mwaka mzima wa kumalizia deni lako unaweza kuamua kila mwezi ukafunga siku 2 tu na deni likaisha kabla ya Ramadhani nyingine.
Namuomba Mwenyezi Mungu azipokee saumu zetu, atusamehe na kutufutia madhambi yetu, apokee maombi yetu na atujaalie uhai na afya njema sisi na familia zetu AMIN YA RABIL-L-ALAMINA!!
jumaa maqbur mange, kibonge umeona eeh na da zenat nae naona anafuata nyayo, sasa kibonge hicho kipicha ni tumbo au kitu gani, ujue sijakusoma kabisa.....hahahahaaaaa..!
Comments (57)
kibonge
Mbeba mabox
You could not find something nicer to say.. I guess ur mama did not teach you if you don't have something nice to say, just don't say anything.
Have great friday you too our CEO.
Mshamba
Muke Ya Albino
k0ku
Muke Ya Albino
msukule wa miami
DESPERATE HOUSE WIFE
ALTHOUGH SIONI KWAMBA CEO KACHOKA USO, SHE JUST LOOK A LITTLE DIFFERENT.. SHE'S GOT A SOFT SKIN.
BY THE WAY KWANI MNAFUNGUA LINI? MI NIMECHOKA KUONA HIZI NGUO...
wewe kazi unayo
Anonymous
m a r i c h u i
msukule wa miami
Mshamba
msukule wa miami
muke ya jaluo
Anonymous
Anonymous
BEAUTIFUL ONYINYE
m a r i c h u i
Mariam
miss u turn
Nai Nai
Mashallah wanawake mmependeza na mavazi yenu na saumu. Mange msiache kwenda kwenye friday prayers hata baada ya Ramadhani, na usiache kusali sala zako ili Mungu azidi kukupa ulinzi wake na rehma zake. Pamoja na kuwa huko ni kwa mumeo lakini bado ni ugenini, mtumainieni Allah kwa kila jambo lako!
Kisses to baby Kenzo, mchukueni kwa Eid prayers na yeye jamani!
a
Anonymous
Canada
Anonymous
k0ku
Anonymous
Nai Nai
Kwa wale wanawake wote mliojaaliwa kufunga na kuna siku hamkufunga, msisahau kulipa hizo siku, mara nyingi watu huona uvivu anabakiwa na deni la siku 4, 5, 6 au 7 mpaka Ramadhani nyingine inamkuta. Kama hutaweza kufunga sita mfululizo baada ya Eid, unaweza kufunga siku moja moja ndani ya huo mwezi wa Shawali mpaka ukatimiza siku 6 au zaidi. The simplest way ni kufunga Jumatatu na Alhamisi, utajikuta ndani ya mwezi mmoja umemaliza madeni yako na umepata thawabu za kufunga sita. Otherwise una mwaka mzima wa kumalizia deni lako unaweza kuamua kila mwezi ukafunga siku 2 tu na deni likaisha kabla ya Ramadhani nyingine.
Namuomba Mwenyezi Mungu azipokee saumu zetu, atusamehe na kutufutia madhambi yetu, apokee maombi yetu na atujaalie uhai na afya njema sisi na familia zetu AMIN YA RABIL-L-ALAMINA!!
SAUM MAQBOOL na BARAKATUL-EID
The one and only
Nai Nai
a
Anonymous
Anonymous
Anonymous
m a r i c h u i
Anonymous
Anonymous
U-Turn-Freak
ummie
parrotkasuku
Msomaji Body Languaje
TBL
maudodo
kibonge
Mijjalicious
c's mum!
mukeyamuzungu
mukeyamuzungu
sally
jason
someone
BEAUTIFUL ONYINYE
TMK
Anonymous