Yeye anapenda waliojaziajazia. I honestly believe kwamba kila mwanaume ana preference yake na zinakuwa tofauti sana. Kuna wanaopenda wembamba wengine wanene wengine wa kati. Halafu kuna wale wanaopenda features fulani bila hivyo ni no go. Kuna wanaokufa pale wanapoona tako, wengine mguu wengine bila nyonyo mambo hayaendi kabisaaa. Mimi nimegundua kuwa kweli beauty is in the eye of the beholder unaweza ukamuona mtu ukafikiri mzuri mwingine wa pembeni yako akakuambia kuwa ni mbaya ile mbaya ndio hapo utakaposhangaa.
mange kimambi napenda sana mambo yako ambayo ni ya ukweli na hayana ubishi unachokisema ndio unachokifanya endelea vivyo hivyo na mungu akujalie na akuzidishie
mm huwa sishiriki ku comment lakini nimevumilia nimeshindwa imenibidi leo nikwambie uko juu
HAHAHAH MANGE UWIIIIII NIMECHAKAJE,MAANA SIJAMUELEWA HUYU SHEKHE POINT YAKE KABISA ILIKUA NINI YE ANAPENDA WALIOJAZIA TUUUU NDIO NINAYOSIKIA LOLEST KWEELIIII ALLAH AKHBAR
ha ha ha, nimelipenda hiloo neno wanawake waleee waliojazia jazia ingawa sijajazia ila hata mi ningekuwa mwanaume ningempenda mwanamke angalau unaona tako lipo wapi? paja, akivaa kitenge kinaka mashallah sijawahi tamani mwanamke mwembambaaaaa,kidogo mwanamke wa kiafrica nyama nyama,ngoja nikazane kula nipate japo kijimwili labda sheik akiniona atameza matee. ha ha ha. mwili kama wa Kim Kardashian, beyonce, safi wengine kama kaukau hapana siwataki
mh kazi kweli kweli! hapo ni msikitini? maana ameeleza kama hafurahishwi na uchangiaji wa uzinduzi wa umisi, wanawake wanaonyesha maumbo yao mazuri mazuri mh, lakini baadae anasifia tena maumbo ya ma miss bantu, naye anampenda mwanamke mwenye shepu ya kibantu (maumbo yaliyojaziwa kwa neema za allah)mwenye umbo la kimisi labda itokee tu kumpenda. huyu vipi? anakosoa wakati anapenda? unahaki ya kucheka mwaya, maana akisifia umbo la kibantu mate kama yanataka kumtoka vile kwa uchu alafu anamwambia sheh yeye anapenda waliojazwa jazwa nyama na mwenyezi Mungu.
Walojazia neema za Allah( miss bantu) halooooo maana Sheikh alipofika hapo kasahau topic nzima ya mkutano na Pia kilichomleta. Topic imegeuka wanawake wenye mizigo mikubwa mikubwa kwa nyuma walopewa neema na Allah!!!
Allah akbar!!!!!
HOLY CRAP! LOL, NA HAYO NI MAHUBIRI MSIKITINI TENA MWEZI UNAOITWA MTUKUFU. YAANI HUTAKAA USIKIE SUCH CRAP KANISANI LABDA MAKANISA YA BIASHARA YA SIKU HZ. SASA SI ANAHARIBIA SWAUM WAUMINI HAPO, ATI ANAPENDA WANAWAKE WALIOJAZIAJAZIA KIBANTU INAHUSU? NA NNAVOWAJUA NDUGU WAISLAM HAPO WANASIMAMISHA NA KUPRECUM TU.
Acha kashfa wewe msikilize tangu mwanzo anachosema ni kuwa watu hawataki kuchangia mambo ya dini lakini kwenye mambo ya mipira na mashindano ya urembo wako mbele mbele kutoa mapesa yao. Halafu amekuwa muwazi kuwa yeye hawezi kuoa mwanamke mwembamba hao mamiss kwa kuwa kwake yeye mwanamke mzuri ni miss bantu aliyejazia jazia. Na akasifu uumbaji wa muumba. Isitoshe mwanamke wa kiislamu anaolewa kwa sifa moja kati ya hizi; uzuri wake, mali yake, dini yake au ukoo wake. Kosa lake hapo nini? na hujaambiwa hiyo video imerekodiwa leo.
Mwisho ndugu yangu haya mambo ya kusema eti watacum hapo msikitini je na wale wanaolawiti watoto wadogo unasemaje? Au wanaowapa mimba wasichana wadogo na kuzaa nao ilhali wanakiapo cha kutokuoa? Toa boriti kwanza jichoni mwako hakuna cha makanisa ya zamani wala mapya, hakuna cha msikiti wala kanisa mtu anapofanya udhaifu wake hatusemi msikiti au kanisa ndio limefanya learn to respect other religions.
sikuhitaji majibu yako kalio we. Nimetoa maoni yangu. Wanaolawiti watoto hawahubiri kulawiti kamisani, na pia wamejaa hata madrasa. Ati uumbaji wa wanawake, ndio ahubiri anapenda waliojazia na wenzie wenye wasiojazia wafanyeje au wa kwao hawajaumbwa na huyo muumbaji anaemsifia, crap na wewe. Na usinijibu ibuka kivyako na comment yako
Kumbe unajua umeandika pumba? Ungemsema huyo Sheikh peke yako na sio kusema waumini wengine wote walioko humo eti NINAVYOWAJUA NDUGU WAISLAMU HAPO WAMESIMAMISHA NA KUPRECUM; typical stereotype na pumba dot com. Waislamu gani unawajua wewe? Na watu wengine ambao kichwani ni zero kama wewe waje waseme NINAVYOWAJUA NDUGU ZANGU WAKRISTO HAPO WANGESHAKUWA WANATIANA WANAUME KWA WANAUME? I will never insult watu kwa sababu tu mtu mmoja kwenye dini au kabila lao amefanya kitu ambacho sikubaliani nacho au hata kama ni wrong. Nitamjudge huyo mtu tu. Your opinion was stupid na nimekujibu kwa sababu umetukana waislamu wote, na pia wakristo ambao sio wa madhehebu yako eti LABDA HAYO MADHEHEBU MAPYA.
Unawatukana watu wa dini na madhehebu mengine simply kwa weakness ya mtu mmoja? Inaelekea una zero tolerance na hutaweza kuishi na watu tofauti na wewe! Mimi mwenyewe nina ndugu kibao wa damu wakristo na waislamu, na tumelelewa na baba mkristo na he never taught us to insult one another kwa sababu ya tofauti ya imani zetu. Ndani ya nyumba moja wako waliokuwa wanakwenda msikitini Ijumaa, wanaokwenda kanisani Jumamosi na wa Jumapili pia. SO LEARN TO RESPECT OTHER PEOPLE FAITH OR GO AND LEARN ABOUT THEIR FAITHS KULIKO KUMAKE STEREOTYPES COMMENTS!!
shosti ya kweli hayo unayosema kwamba unapenda dini zote? mbona msg zinaonyesha wazi kuwa unatetea uislam na ku insult wakristo kwa mifano yako? come on lady usitufanye wajinga umu ndani. umeandika gazeti lakini point zilizoonekana ni mbili tu..mwenzio sitaharisha kaongea machache lakini point za kumwaga. ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi ati..
lol tulia dogo we took already na baby wangu,,,wasafiiii,we smell so sweet,, full ku saivi heheheheee ....u need to work on ur picture language hehehee
huyo shehe nae mdhaifu sana atakuwa nouma,ila sheikh mzuri huwa anaongea mambo ya msingi hata kama kuchekesha huyo kazidi Mange mtafute sheikh mmoja anaitwa Othman Maalim au Hashim Rusaganya au hata Nurdin Kishki uwaskize watu na umakini wao lol
Hapo ilikuwa saalati Jumaa,Shekhe anasifu makalio ya mwanamke wake aliopo kwenye chumba cha wanawake ananijua.Alianza kulaani vizuri kitendo cha watu kuto kuchangia misikiti badala yake wana changia mamiss eg kariakoo,mtwara,lindi.mara akaanza miss bantu,hapo picha ya makalio aka mizigo ikamjia akilini na kupoteza mada yote.Shekhe kama huyu anafundisha au anapotosha?
Msema kweli mpenzi wa Mungu! Sheikh kajisemea ukweli binafsi anapenda mizigo mikubwa mikubwa... ... ila mmmmh nadhani ana waumini wengi maana mahubiri yake mashalah huchoki kuyasiliza kama siku zote niya design hii.
halafu alipofika hapo kwenye miss bantu kaongea kwa herufi kubwa mwisho akaamua kumwaga la moyoni eti anapenda mamiss bantu wallahi... afu akaonyesha lile tabasamu la kibwege wanaloonyeshaga wanaume wakiwa wanakodolea macho inyee ... huyo inaelekea akipita town akipishana na inye lazima rojo la chini limtoke maana anaonekana anapenda nyuma huyoooo...shame on him...
HAHAHAAA SHEKHE KANIVUNJA MBAVU..JAMANI SASA WANATUCHANGANYA WANAWAKE. UKIWA MNENE WAAMBIWA OVER WEIGHT PUNGUZA KILO. UKIWA MWEMBAMBA WENGINE HAWAKUTAKI WANASEMA TOO MUCH MIFUPA. NA WAEZA KUWA MNENE ILA UMEJAZIA OVYO OVYO, I MEAN UNAKUWA NA SHEPU KAMA TANGAWIZI KA AVOSEMA MDAU FULANI HUMU.. NAYO NDIO BALAA KABISAAA...MI NAONA MTU UJIANGALIE KWANZA UNAPENDA WEWE MWENYEWE UWEJE NA SIO UJIWEKE KAMA MWANAUME ANAVOTAKA..PIA KAMA HUNA TAKO NI BORA KUWA MWEMBAMBA, UKIWA MNENE SI VURUGUMECHI HILO LA MWILI. BUT UKIWA NA TAKO CHOICE NI NYINGI UKIPUNGUA UTAPENDEZA, UKINENEPA NDOKABISAA FURAHA KWA SHEKHE. TATIZO NI KWAMBA UKINENEPA NA TUMBO NALO HALITAKI KURUDI NYUMA..NDO UBAYA WAKE..ITS SO HARD KUWA MNENE BILA TUMBO THOUGH.
TAKBIRR!!!!!!, Wallah! hata miye naungana na Sheikh wangu, wale wanawake wenye mizigo mikubwa mikubwa ile ya vifuani na kule uwani wallah! hata miye nawapenda, nyie pendeni hao hao wembamba, TAKBIRR!!!!
Kuna makanisa yana gay ministers na ndoa za jinsia moja zimeruhusiwa zinafungwa huko kwenye hayo makanisa lakini watu hatusemi kuwa wakristo wote wanapenda ndoa ya jinsia moja au wanafanya ndoa ya jinsia moja!! Kama ulikuwa hujaelewa.
What sense? Angekuwa anaelewa kuwa waislamu hawaruhusiwi kuingia msikitini bila tohara, asingesema hao wanaume wangesimamisha na kuprecum. That means wangesali na janaba? Mtu hata ukipata hisia tu ukatokwa na manii ni lazima ukoge tohara, na ukisex na mtu lazima ukoge tohara. Mwanamke akiwa kwenye hedhi haingii msikitini mpaka akoge tohara. Na yeye aliwaona wapi hao wanaume wanaomwaga kwa kusikia tu story?
Comments (63)
m a r i c h u i
Anonymous
BEAUTIFUL
Anonymous
Anonymous
chaijaba
c's mum!
maudodo
m a r i c h u i
KIBONGE
Mshamba
Mbeba maboxj
msema kweli
bella
mm huwa sishiriki ku comment lakini nimevumilia nimeshindwa imenibidi leo nikwambie uko juu
BEAUTIFUL ONYINYE
BEAUTIFUL ONYINYE
Chaunabe
If Not Why Not.
anonymous
koku
makerubi
anonimous
Anonymous
93
Allah akbar!!!!!
Anonymous
SITAHARISHA
Kijariba
Mwisho ndugu yangu haya mambo ya kusema eti watacum hapo msikitini je na wale wanaolawiti watoto wadogo unasemaje? Au wanaowapa mimba wasichana wadogo na kuzaa nao ilhali wanakiapo cha kutokuoa? Toa boriti kwanza jichoni mwako hakuna cha makanisa ya zamani wala mapya, hakuna cha msikiti wala kanisa mtu anapofanya udhaifu wake hatusemi msikiti au kanisa ndio limefanya learn to respect other religions.
SITAHARISHA
Kijariba
Unawatukana watu wa dini na madhehebu mengine simply kwa weakness ya mtu mmoja? Inaelekea una zero tolerance na hutaweza kuishi na watu tofauti na wewe! Mimi mwenyewe nina ndugu kibao wa damu wakristo na waislamu, na tumelelewa na baba mkristo na he never taught us to insult one another kwa sababu ya tofauti ya imani zetu. Ndani ya nyumba moja wako waliokuwa wanakwenda msikitini Ijumaa, wanaokwenda kanisani Jumamosi na wa Jumapili pia. SO LEARN TO RESPECT OTHER PEOPLE FAITH OR GO AND LEARN ABOUT THEIR FAITHS KULIKO KUMAKE STEREOTYPES COMMENTS!!
Anonymous
Anonymous
folowa
BEAUTIFUL
kibonge
Anonymous
Nakuaminia
Anonymous
MISS KIJAMBIO
baby ya Mange
baby usijali kuhusu hilo,,,
i like the way urrrr....
baby ya Mange
Anonymous
baby ya Mange
Anonymous
Kimada wa baba kenzo
Mzee wa ttotoz
tu
Anonymous
Anonymous
BAMKUBWA
brother kay
Anonymous
m a r i c h u i
Miss Bantu
Anonymous
Anonymous
Anonymous
Muke Ya Albino
maudodo
Anonymous
Mtoto wa kichagga Marekani
brother kay
Anonymous
Anonymous
SITAHARISHA
na we mbishi KIJAMBIRO hapo juu dole la kati saizi yako
nainai