WEWE NAWE HUO USHAMBA SASA,UNATUHARIBIA BLOG BWANA,MBONA UNATULETEA MAMBO YA USWAHILINI UNITED KULE KWA SINTAH WA JUMA NATURE NA KULE KWA YULE MTANGAZAJI WA KIPINDI CHA MIPASHO REDIO TIMEZ,MSITUHARIBIE BLOG NYIE WAGENI HUMU,NA NYIE KINA MARICHUI NI MAVETERAN HUMU MNAJISHUSHIA HADHI KUJIINGIZA NA KU ADOPT STYLE YA HUYU AN INVITED GUEST
Lol Csmum sio mgeni, na muende huko kwa Sitaharisha mumwambie na yeye aache uchokozi. Isitoshe huyo demu wa Juma Nature wala sie anaesemwa na Csmum. Mwambieni huyo jamaa yenu aache kuweka kifinga cha kati mtaona kama C'smum anamsemesha.
Kitu kingine wewe sio Starlisha wa Minesota, msg sio yako inahuuu!! Mwache mwenyewe aje ajibishane nae kama walivyokuwa wanajibizana kwenye ze udaku. Isitoshe sio Csmum peke yake anayemtaja huyo Sitaharisha wa Minesota!!
Naona mnataka kumfanya Csmum kama mlivyomfanya Koku, akaacha kukoment huku juu, mna hila sana nyie controlling freaks. Sasa hivi ukitaka comment ya Koku mpaka sijui uitafute wapi, wengine tunaingia humu kusoma comments za Koku, Csmum na mengineyo.
NYIE NDIO MNA NONGWA MNAENDA HUKO KUTAFUTA NINI KAMA SIO USHAMBENGA MBONA WENGINE HATA HIYO BLOG HATUIJUI NA WALA HATUNA MPANGO WA KUIJUA ZAIDI YA KUISIKIA TOKA KWENU NYIE MNAOTANGA TANGA,ACHENI HIZO BWANA MNAHARIBIA BLOG WENGINE HATA MWAKA HAMJAFIKISHA TOKA MUIJUE U TURN
Kweli Mange..mpatane tu na mwenzako..hakuna haja ya kugombana.Mimi naona wote nyie ni watu wazuri sana..ila wachonganishi tu ndo wanachochea, Mungu anakupenda amekubariki sana Mange...mshukuru,furahia maisha yako..ondoa kinyongo kwa wale walokukwaza...na hawa wachonganishi washindwe kabisa...kila la kheri familia yako..
tihi ,tuhu, tehe tehe, Sitaharisha na wewe imba bwana, sema 'IM IN FIDLEY BITCH'. we mpare acha uchokozi wako ulioenda shule hadi ukapata PhD mwenzio hata diploma hana. ila MBA ya kulala na waume za watu anayo
by the way minesotta hivi anafanyaga shughuli gani?? au desparate house wife kama mimi na DHW wa humu ndani?? ooooo utaiona marecani kwenye CNN, oooo una criminal record, ooooo hutakaa upate visa ya USA! sasa hivi wata lol, jamani dunia hii, inafundisha! karibuni uji wa kungu waungwana!
NGOJA NA MIMI LEO NIINGILIE HII KITU NAONA IMEKUA TOO MUCH SASA,HIVI HUYO UNAELAZIMISHA KUWA NA BIFF NAE ANAKUJUA LAKINI AU UMEAMUA TU KUPADA BASI BILA KUJUA LINAELEKEA WAPI KISA BAADHI YA ABIRIA WALIOMO NDANI YA BASI HILO UNAWAJUA
hv c's mum alocomment kule juu ni ww kweli mbona hana pix, au ni mtu tu ameamua kukuharibia cv shost wanguuuuu....? beautiful onyinye rudisha ile picha ya kunyali bwana me naipenda...!!!
mange mpige global ban C's mum,hafanani na watu wa u turn,ulipe onyo kali genge lake lote humu ndani kwa kuendekeza uswahili na kuunda genge la uswahilini united ndani ya u turn pia uwaambie waandike barua kuonyesha kujutia kitendo cha kushirikiana na huyo mama wa kiswahili namaanisha c's mum na katika barua hiyo waeleza kwanini na wao wasifungiwe maisha kushiriki harakati za u turn,hii itasaidia kuturudishia heshima ya u turn yetu ya ile ya zamani na kuacha kushindanishwa na viblog uchwara vya huko mashenzini,na kwanza ulimtoaga wapi huyu mama?pengine tuanzie hapo.
Wawapi wewe? Ampige stop kisha atoe onyo kali, hee umekerwa sana wewe kama hujui hii ni blogu yenye So long as huyu Csmum hamtukani mtu. Kama ungekuwa muasisi wa Uturn ungejua kulikuwa na Judith humu akijibu koment za kila mtu kwa matusi na akafungiwa itakuwa Csmum? Inaelekea ulihama kijiwe wewe enzi ya ze udaku, ingelikuwa hujahama ungeijua kazi ya huyo Csmum na kundi lake unaloliita uswahili united. Wakati nyie wazungu pori mlipomkimbia Mange kipindi kile anatukanwa yeye na wazazi wake na kufanyiwa kila hila, kina Csmum na kundi lake ndio waliokuwa wakimsuport na kumfariji na kumpa moyo pamoja na kwenda kumpigania huko huko kwenye mablogu. Eti leo awafungie kwa sababu mshaona hao hawafai kuwa humu mnaofaa ni nyie mliomnyali wakati ule na mkimsema kwa watu kuwa kaachika sijui kafanywaje. Na ni kipindi hicho hao kina Csmum na kundi lake ndio waliitwa Mawaziri wa Uturn. Na bado mkitoka hapa mkienda huko kwingine mnakwenda kuwatukana kuwa wanamsikiliza Mange. Walishamwambia kuwa she will never walk alone!!
Leo mmeona kunanoga kila mtu Uturn Muasisi, so what!
MAWAZIRI WA U TURN! JAMANI ANDIKENI BARUA YA KU-RESIGN! WEWE HUKO JUU, UNA MAPEPO AU?? MDAU ULIYETUTETEA ! MUACHENI MANGE MWENYEWE ATUZUIE! LAKINI SI NYINYI VIZURUDA!
we mmsai desprate lea watoto wewe, mmasai gani una mdomo mrefu over chuchunge. ndo shida ya ugolikipa kazi kushinda kwenye mablog na kuandika umbea 24/7. hata kama mlienda kutukana kwenye ile blog wengine tulibaki humu ndani sawa na askari wengine wanaenda vitani wengine wanalinda nchi, tangu mpewe huo uwaziri hewa mnajiona keki mngekuwa mnalipwa je? mmearibu chachu ya u turn mtadhani mashoga wa vibarazani, nawachukiaje sasa?
achana nao mwaya,eti wanadai wanampigania mange..!!hivi kweli wanamjua mange hawa au wanamsikia tu,mange anahitaji kupiganiwa wakati yeye mwenyewe ni mpiganaji,kweli usilolijua litakusumbua,haya endeleeni kujituma kwenda kwenye mablog ya watu kuchokoza watu kwa kisingizio cha kutumwa kumpigania mange wakati ukweli ni kwamba mnajituma tu wenyewe bila kutumwa
ulimtaja judith umejiumbua mbaya na kuonyesha jinsi ulivyo wakuja humu,judith na hilo genge lote la uswahilini united humu walianza kuijua uturn pamoja,nakumbuka hayo majina tulianza kuyaona humu kuanzia september last year n record tunazo mkileta ubisha tutaziweka hadaharani kuwaumbua kwa kuonyesha day ones zenu humu,u turn inao wenyewe nyie pigeni mayowe tu,wangapi mnamfahamu FRANK RUTASHUBANYUMA humu ukiacha waasisi wachache tu,kwa mfano nyie uswahilini united tukiwauliza mnamfahamu huyo mkaka ni nani humu mtajibu?
Haya basi pewa cheti cha uasisi, ni nani asiyemjua Frank na sex classes zake humu. Eti Uturn tumeujua kuanzia September, useme labda watu wameanza kujipa majina kuanzia mwezi huo. Isitoshe nimesema kuhusu Judith aliyekuwa anajibu comment ya kila mtu tena kwa matusi makubwa. September mwali mbona juzi tu hapa hata mwaka bado unaota wewe!! Haya panga foleni basi ukae kiti cha mbele!! Msg yangu iko pale pale, sio Csmum peke yake anaesema habari za kurusha roho humu ndani wako kibao. Na wako kibao wanaotoa comment za kuponda vile vile na zinawekwa; kwa hiyo wacheni wabalance, kama unaona comments za Csmum zinakuuma jiangalie mara 2 2 inawezekana pepo mbaya ameanza kukunyemelea!!
weka jina basi tukujue,mbona unajificha,nyie ndio mmekuja na mbio za mwenge juzi juzi humu kutoka kwenye viblog vyenu vya huko mashenzini na ndio mnatuletea shida,sisi zamani humu tulikua kimya kimya na wala kulikua hakuna kujuana na blogger wala wenyewe kwa wenyewe lakini nyie wakuja eti mkienda kwenye events zenu huko mavumbini kwenye hiyo mlimani city yenu eti mnamsaka mange mpige nae picha na kujitambulisha,inahuuuu?!hakukua na mambo hayo humu,zamani mankutana na mange japo humu mko friends lakini mnampotezea tu
tatizo ni kuwa huyu c'mum na group lake wanaJIona kama wao ndo vigogo wa u turn kumbe humu kuna wakongwe na wastaarabu. yani kazidi kama unga kwenye maji hadi anaboa, hivi bila kutaja huko mn siku haiendiii? inaelekea shost bonge la mswaz ndo mana mwarabu anabonda tu kama ngoma, punguza speed wewe. u turn ilikuwa inanoga kweli kabla hiki kirusi cha mn hakijatibuka, sasa humu ndani ndo imekuwa nationa anthem hamjui mnampaisha kiaina, enyi wake za watu poeni ati ebo!
Hlafu huu ushamba wa kutumia tofauti mtu yule yule kumbe bado upo?nadhani nyie wengi wenu mtakua na virusi toka jamii forum ambao mliletwa u turn na jamii forum mwaka jana wakati jamii forum ilipokua inaiandama sana u turn na mange,ndio tokea mlivyokuja humu mmeng'ang'ania mpaka leo mbaya zaidi mnatuletea mpaka na maushamba ya huko kwa wasomi uchwara wenzenu,mtutue,huku hatutumage comment na kujijibu mwenyewe,ni mchezo wa kitoto na kizamani sana
YES U ARE MANGELICIOUS KWA RAHA ZAKO BINTI WA KIPARE. WATANUNAJE SASA. ILOBAKI WAKATUMBUKIZE VICHWA KWENYE MIZINGA YA NYUKI WAKITOKA UKO MINUNDU KA NYUNDO ZA KUPONDEA NYAMA..TUTAWAKIMBIAJE JINSI MTISHO..ALL THE BEST WITH UR NEW LIFE N YOUR LOVELY FAMILY MANGE. ITS EVERY TANZANIAN WOMAN'S DREAM HATA WABISHE KWA MAANDAMANO..DAWA YA MOTO SIJUI NI MOTO AU NI MAJI, HAPA UNATUACHA TUJAZE WENYEWE...
NI MIE SAMAKI MWENZIO HATUNAGA WIVU WA KIJINGA NA TUNAPENDA MAENDELEO YA WENZETU..PERIOD!!!
bado 2 hawajakusoma? inamaana hata kwa pics hawakuelewa? i bliv kwa those words above wamekuelewa, watafunika mabakul yao. Nakupendaga wewe bas 2, mwanamke maconfidence sio confidence ziishie miguun kla cku kucros vilegs kam mwafulan mtaa wa pil......lol....wapiii, kama hampend vita vya maneno kwann ucopy na kupest? weka style yako c una maconfidence au confidence ya kucopy na kupest? Mange vandu vekukunda mno
Mange this is gud. Dont consider ushabiki but keep doin good stf. Wl aprct if u post more usfl news for entmnt or celbrts but not alwz tlkn abt ur huby coz its bcmng too much. c ya
When I step on the scene
Ya'll know me, cause I walk with a limp
Like a old school pimp o real o g
I'm rocking vans (vans)
I'm in the sand (sand)
Ive a got a red bull and vodka up in my hand
Hey, you looking kind of cute in that polka dot bikini, giiiiiiiirl
Hae, this is what I want to do take of that polka dot bikini, giiiiiiirl
Drink all day
Play all night
Lets get it poppin
I'm in Miami bitch
Drink all day
Play all night
Lets get it poppin in Miami
BABY WE ARE IN AUGUST ALREADY...WOW!!!DAYS ARE RUNNING MEEEINNNN....SOON ITS GONNA BE CHRISTMASS N BABY U GONNA HAVE WHITE XMASS IN MIAMI INSH'ALLAH!CANT WAIT FOR RAMADAN TO FINISH SO MY BABY U START DOING UR THINGS,,,,, ME LOOOOOVING MY BABY TOO MUCH...
BABY HATERS ARE COMPLANING WANASEMA UNATUCONTROL SANA SIJUI UMETUPA LIMBWATA HEHEHEHE,,,UWIIII MTAJICARRRY MAHATERS,,,TUNAFANYA ILE KITU BABY ANATAKA HEHEHEH,
BABY ANY THING FOR UUUUU MY LOVE,,,I LOVE LISTENING TO MY BABY!HATERS
"YEAH BOWWWWYYYY" NA SAUTI YA FLAVOR FLAV. THESE GUYS ARE ALWAYS FUNNY.
BY THE WAY NYIE MNAO KEREKA NA HII POST KWANINI MSIACHE KUISOMA AU KUSIKILIZA HIZO NYIMBO? MWEZI MTUKUFU MWEZI MTUKUFU... I GUESS MANGE NI MUISLAM KWAHIYO ANAJIJUA. ANAMAANA YAKE KUWEKA POST YAKE. AND STAY CALM PPLE.
OH PIA KAMA MANGE ASINGEPENDA COMMENTS ZA C'S MUM SIMPLY ANGEZIBANIA, SI NDIYO JAMANI? KAMA C'S MUM ANAUBAVU WA KUJIBIZANA NA WATU BASI LET HER BE.. MI NASEMA TU.
mbona wewe ndio umekua mstari wa mbele kujibu huku ukijadai kuwaambia waswahili wenzio kauli hiyo hiyo bila kui edit!!!bibi hebu punguza maji utie mchele,yani mpaka u u turner mzoefu baby ya mange siku hatumuoni na zile raha zake,kuuutwa mmejazana mnotangatanga kwenye mablog ya watu na kutuletea habari za huko,hamuachii,sisi hatutaki upekupeku wa mabo ya watu na mange kawawekea mpaka post nzima kwa ajili yenu kwamba hajawatuma kwenda kwenye mablog ya watu kwa mgongo wa u turn,mkome tena mkomae wana watoka pabaya nyie,huo uswahili wenu pelekeni huko kwenye blog zenu za mashenzini
hahahahahahaha eee kiruu !!OUT OT Topic ! Gesi What !!!nimegundua Blog ya sitaharisha , jamani wale ambao mlikuwa kizani kama mimi tumia vi hint watu wanavyocomment utapata link , mie sina roho mbaya jamani , kipofu kaona mwezi Hahhahahhahah sa hivi sitakuwa gizani tena
Comments (93)
c's mum!
LILII SEXII MWANA KINONDONI
Anonymous
Kitu kingine wewe sio Starlisha wa Minesota, msg sio yako inahuuu!! Mwache mwenyewe aje ajibishane nae kama walivyokuwa wanajibizana kwenye ze udaku. Isitoshe sio Csmum peke yake anayemtaja huyo Sitaharisha wa Minesota!!
Naona mnataka kumfanya Csmum kama mlivyomfanya Koku, akaacha kukoment huku juu, mna hila sana nyie controlling freaks. Sasa hivi ukitaka comment ya Koku mpaka sijui uitafute wapi, wengine tunaingia humu kusoma comments za Koku, Csmum na mengineyo.
c's mum!
Kweli
c's mum!
LILII SEXII MWANA KINO
Anonymous
Anonymous
bahati
Anonymous
c's mum!
Fatuma Mtanga
DESPERATE HOUSE WIFE
c's mum!
DESPERATE HOUSE WIFE
ngosha
Anonymous
BEAUTIFUL
mamito
HaPPyMe
CAN WE ALL GET ALONG ..
THANKS....
maudodo
Kijaruba
Super model
Enjoy ur life Mange thats ur destiny
Shaniqwa
Hata wakifurama
BEAUTIFUL ONYINYE
c's mum!
maudodo
c's mum!
Kweli
asya
dadia
muke ya kenzoki
BEAUTIFUL ONYINYE
neyla
koku
u turner muasisi
Nawasilisha.
Anonymous
Leo mmeona kunanoga kila mtu Uturn Muasisi, so what!
c's mum!
DESPERATE HOUSE WIFE
ISIDINGO
U TURNER MUASISI
DESPERATE HOUSE WIFE
???????????????????????????????????????????????????????????????????????????
U TURNER MUASISI
Anonymous
u turner muasisi
CL
c's mum!
ISIDINGO
c's mum!
ngosha
u turner muasisi
Anonymous
NI MIE SAMAKI MWENZIO HATUNAGA WIVU WA KIJINGA NA TUNAPENDA MAENDELEO YA WENZETU..PERIOD!!!
kwatariq.com
If Not Why Not.
kwatariq.com
Anonymous
Tajibeba
killer queen
BEAUTIFUL ONYINYE
toto ya kipare
Mshamba
hanif
baby ya Mange
When I step on the scene
Ya'll know me, cause I walk with a limp
Like a old school pimp o real o g
I'm rocking vans (vans)
I'm in the sand (sand)
Ive a got a red bull and vodka up in my hand
Hey, you looking kind of cute in that polka dot bikini, giiiiiiiirl
Hae, this is what I want to do take of that polka dot bikini, giiiiiiirl
Drink all day
Play all night
Lets get it poppin
I'm in Miami bitch
Drink all day
Play all night
Lets get it poppin
baby ya Mange
this is keep up with my babyyyyyy...
awwww wapi Scot Rob N Lamar???awwwww.....
baby plz pass malove to khloe n Kourtney......awwww
LMFAO...
baby ya Mange
baby ya Mange
BABY ANY THING FOR UUUUU MY LOVE,,,I LOVE LISTENING TO MY BABY!HATERS
KADADAA
weweeeeeeeeeeeeeee
charaza fimbo wenye viriba
DESPERATE HOUSE WIFE
BY THE WAY NYIE MNAO KEREKA NA HII POST KWANINI MSIACHE KUISOMA AU KUSIKILIZA HIZO NYIMBO? MWEZI MTUKUFU MWEZI MTUKUFU... I GUESS MANGE NI MUISLAM KWAHIYO ANAJIJUA. ANAMAANA YAKE KUWEKA POST YAKE.
OH PIA KAMA MANGE ASINGEPENDA COMMENTS ZA C'S MUM SIMPLY ANGEZIBANIA, SI NDIYO JAMANI? KAMA C'S MUM ANAUBAVU WA KUJIBIZANA NA WATU BASI LET HER BE.. MI NASEMA TU.
primrose
c's mum!
u turner muasisi
BEAUTIFUL ONYINYE
BEAUTIFUL ONYINYE
SUPER WOMAN
SUPER WOMAN
HaPPy!!Me( " .. " )
Anonymous
MISS KIJAMBIO
Ifunganya
MISS U TURN
Anonymous
Bambi
folowa
Anonymous
dadia
Anonymous
Anonymous
Fatuma Mtanga