MAWAZIRI WA MANGE BLOG ACHENI KUCOMMENT KWENYE BLOG ZA USHENZINI....
Hie wapenzi wangu wasomaji wangu, especialy wale wenye majina yenu mnayoyatumia kuchat humu, tafadhali naomba sana tena sana ,msiwe mnaenda kutukana au hata ku comment chochote kwenye mablog mengine especially kwa kutumia majina yenu ya humu ndani.
mimi naona kama mnawapa umaarufu usiowafaa tu, yani they dont deserve hiyo attention mnaowapa at all, achaneni nao.
tafadhalini sana kina tajibeba, C'mum, Beautiful Onyinye na wengineo naombeni sana muache, maana tutaonekana ni wagomvi tu, also mnavyo comment mjue kwamba mnazipa blog zao umaarufu hata kama mnacomment kwa kuwatukana...
naombeni tuache, au kama mnaona lazma mkacomment naombeni msitumie majina yenu ya humu. atakaeendelea kufanya hivyo ntaanza kublock comment zake humu ili abaki huko huko......
I mean nyie ni members wa number 1 blog in TZ alafu mnaenda ku comment kwenye viblog vya ushenzini..........why why why why why why???? Wenye hizo blog wenyewe wameshindikana kwa uswahili so mkianza kulumbana nao mnazidi kufanya na sie tuonekane ni wale wale.....
MANGE
Alafu Hivi bloggers wengine hawawezi kuwa creative jamani? yani mange kubadilisha blog yake imekuwa tabu watu wengine pia wanataka blog zao zifanane na ya Mange, jamani lets be creative fanya kitu chako wewe kama wewe kitanoga tu, sio lazma uwe kama Mange.....lol.......
Comments (187)
Anonymous
Anonymous
mvaa abaya miami
she say Yees
BEUATFUL
????zile picha alizopiga ni za siku nyingi za weding bell.
m a r i c h u i
m a r i c h u i
c's mum!
c's mum!
c's mum!
baby ya Mange
muke ya mkwele
koku
Nai Nai
Kwa hiyo kukomesha hiyo tabia ya watu kufake fake vitu mpaka majina ya watu ni kuwa na concrete ID yenye picha ambayo haiwezi kuibiwa. Na narudia tena atakayeiiba hawezi kuweka picha yako so itajulikana tu ku huyu ni Koku wa kichina, Tajibeba wa kichina, na Cs Mom wa Kichina. Wapi Muke ya Muchina asijenizodoa bure!!
m a r i c h u i
Tajibeba
Mshamba
nishati madini
Anonymous
Anonymous
Kwanza kuna nini cha ajabu huko wakati kila kitu ni copy na paste? Subiri kesho utawaona na wao wako busy kwenye vibaraza vinavyouza magari huko Bongo au wako busy kwenye showroom za majuu. Nakumbuka ilivyowekwa picha ya nyumba humu basi blogu kibao za wanawake ilikuwa nyumba ya nani sijui, mwengine masikini ya Mungu akaweka kiapartment chake na kapoodling pool pembeni, mwingine kaweka nyumba ya shost yake!
Ilivyosemwa Iphone huku basi taabu, my baby ananispoil basi huko nako my baby ananispoil.
Jamani waacheni waige wengine ni ZERO BRAIN wasipoiga blogu zao zitakufa maana watakosa cha kupost lol!!
swahili united
Like
mama t
Anonymous
mama t
muddy washington
If Not Why Not.
MKEIII
Anonymous
Bongo tambarareee hata mimi nina PhD bisheni muone!!
Mshamba
anchiwela
Anonymous
Anonymous
Anonymous
USA
Mama M.
c's mum!
Muke Ya Albino
JUDITH
\
USA
Mama M.
USA
Mama M.
maudodo
Anonymous
Kijaruba
forgot her name
Kijaruba
Anonymous
camila
akunaga kama mmange
akunaga kama mmange
ISIDINGO
FENESI P. PATEL
mie
ISIDINGO
Muke ya muchina
ZAYNAB M
romiego
Tajibeba
KIRUUU
BEAUTIFUL ONYINYE
mie
space
MANGI HANIONI a.k.a MAMA KUNTU
c's mum!
SITAHARISHA
Anonymous
DESPERATE HOUSE WIFE
The Evil HR Lady
MUUZA UTUMBO AOGOPI NZI
mie
Anonymous
Roma
mamy clarice
Anonymous
mama otieno
daissy wa mange
DESPERATE HOUSE WIFE
USWAHILI.COM
BY THE WAY MANGE COULD U PLZ ADD BANGO LINALOSEMA "NO ONE BLOG OR BLOGGER IN TZ"? I THINK U OWN THAT TITLE.. NA MADOLE BANA MBONA HUWEKI??
m a r i c h u i
DESPERATE HOUSE WIFE
I BETTER SHUT UP..
Anonymous
wifi ya mange
Anonymous
Anonymous
Anonymous
ISIDINGO
Anonymous
Anonymous
makubwa haya
Anonymous
Kenzo's grandmaa
suna
marikenge
nyoooo ila jamani anachosema CEO cha kweli.. tuacheeeee
mamito
baby ya Mange
olympic village
JaCqiie
olympic village
JaCqiie
baby ya Mange
mama otieno
MRS SOLIS
Faithy muhanga
mama otieno
baby face
Anonymous
megan
Anonymous
megan
THE ORIGINAL MEGAN
megan
am done with u
Ahmed
Ahmed
ney
marikenge
mti natamani hata nimpige
nani
:cheers: to mangereza na all uturners
marikenge
mange ebu turudishie madole yetu na rangi rangi bwanaaa.. inahuuuu kuiga
sijigus
Anonymous
Anonymous
m a r i c h u i
Kijaruba
romiego
m a r i c h u i
Mshamba
m a r i c h u i
sasha
ISIDINGO
Anonymous
mama t
Anonymous
Lilian
ISIDINGO
HAKUNAGA
Anonymous
suna
Anonymous
koku
anonny
baby ya Mange
Anonymous
baby ya Mange
Temptation
Temptation
Mbeba boxi
Malimo
BODABODA Girl
Mdigo
simple lady
BEUATFUL
Anonymous
Kijaruba
asya
MUKE YA MUHAYA
baby
katyuska cardona
kwatariq.com
mi nilikuwa nashangaa navyowaona kina beautiful onyinye kule na nilikuwa nakerwa sana nashukuru mange wetu umeliona na umelifanyia kazi.joka la mdimu umezidi kumuiga mange wetu.ni mimi mwenyekiti wa serikali za mitaa wa u-turn
mdau
JUMONG
Mwanjy
juhchaul
kibibo
SAPRAPASEN
SINTALICIOUS
wifi ya mange
wamenunajeeeee sasaaaaaaa. waache kukopi na kupestiiiii
Anonymous
Anonymous
zara
Anonymous
Kijaruba
USIJICHOSE BURE HUU UJUMBE SIO WAKO HAUKUHUSU WALA HUHUSIKI, UJUMBE HUU NI MAALUM KWA WATU MAALUM AMBAO WANAJULIKANA KAMA MAWAZIRI WA MANGE BLOG, NA WANA (eti wajameni special bond kwa kiswahili ni nini vile? eeh nshakumbuka) UHUSIANO MAALUM NA MANGE WANAWEZA KUMWAMBIA CHOCHOTE NA YEYE ANAWEZA KUMWAMBIA CHOCHOTE KWA HIYO USILOWEKE KEYBOARD YAKO NA MVUA YA MATE BURE KWA SABABU WEWE SI MMOJA WAO, HUU UJUMBE HAUKUHUSU!!
muke ya mmasai
Anonymous
Anonymous
muke ya mmasai
Anonymous
Kijaruba
Kijaruba
Kijaruba
Kijaruba
Anonymous
kijaruba agent
florah
Anonymous
muke ya jaluo
DESPERATE HOUSE WIFE