Jamani kwanini hawafanyi mazoezi wanakuwa na vitumbo vya chura yaani vya chini ya kitovu??? hawako fit kabisaaa, mie siko fit lakini sigombei umiss so it doesnt matter, but to be in miss universe position you've got to be fit and flat stomach is a requirement!! bottom line! they should go to the gym 5days a week and eat well! khaaa!
Au mie sina macho jamani... tumbo la chini lipo wapi hapo? i know Hellen na ana the flatesttttttt stomach u could ever wish 4.. 1. u either just hating or 2. una an obssession na super skiniiness, ndo maana watu wanakua aneroxic hivi hivi!!
Mange utakuja kuniambia huyu miss Hellen ni mzuri na ana vigezo vyote kimwili sijua anavyoongea lakini ana chances nzuri sana za kushinda au kuwa kwenye top 5 naanza kubet naweka $ 20 utakuja kuniambia, atafika mbali sana