Wow, lovely pic, u guys seems to be having a great time. Zamani Kempenski is great had my honeymoon there, vipi hilo bafu mmeweza kutosha na kitumbo chako. the bath is so huge.by the way acha kulalia hilo tumbo mammi.
yeuwiiiiiiiiiiiiii mwanamke uko juu kama mawingu. mko peke yenu hotelini vipi mlichukua kempinskiy nzima?kwi kwi kwi.mahater leo hawalali nakwambia WATAJIBEAAAAAAAAA.mume wako ni mzuri kama pipi huyo mtoto wenu atakuwa kama kina suri cruise.yani sikujui ila nazidi kutamani kukujua we demu
We una dhiki sana Badu 500 usd unaona kwako ni million 100 za kibongo. Sijaona cha ajabu cha kumkosoa mwenzio. Unafikiri kila mtu anayefanya kitu ana mcheche wa kujianika kuonyesha watu? Nyamafu.
Diamond ya ukweli hiyo mange au feki?kama ya ukweli ntakuvizia kona nikupige bonge la mtama ukizinduka kidole kitupu tena sikuvui nakukata kidole na panga.
kula raha mama waudhi walimwengu zamani kempisk pako kama visiwa flani hukooo malibu acha tuu wana buffet kama ya white house kudadadeki wenye nazo hata kama huna dudunduliza then nenda hapo japo one night utaamini nachosema mamaaa umefauduuu hizo ndo raha za dunia
mdau aliyekubuhu kwa maraha
mange i real ove ur life style ila mtoto wako casandra yupo wapi? na uwa unaspend nae time au pls i love kids i wish to have even 100 ila uwezo tu...anyway usimsahau sana cassandra wako jamani?
Awwwwwwww....am absolutely delighted to see two people deep inlove and everything is well. MANGE I TRUST YOU USINIANGUSHE, HII NDOA UTADUMU NAYO MILELE , NA MUNGU AWASAIDIE SANA. I HAVE NOTHING BUT MAD LOVE FOR YOU KIPENZI CHANGU. ..THEY CAN HATE, THEY CAN CRY, THEY CAN LAUGH, THEY CAN GOSSIP BUT AT THE END OF THE DAY ITS ALL COME DOWN TO BE NO "IDIOTS BUSINESS" ITS BETWEEN YOU AND LANCE AND GOD. GOD BLESS U MAMII.....
mdau-Barafu
[color=red]we hapo juu unapesa za kukaa zamani kempinski wewe?.hiyo hoteli ni 500 dollars
per night eti ulikaa honeymoon huko.utawahi.tuma picha tuone .
wewe vipi acha ushamba alete picha za nini sio watu wote wanapenda kujionyesha some need some personal space
kwani what is 500USD per Night? kama kwako ni big deal kwa wengine sio acha ushamba na ushankupe lol
Hongera kwa weekend poa, enjoy, life is too short. Ila usijisahau, maana raha zikizidi wanadamu tunajisahau, kumbuka ya kesho, sote ni binadamu na wewe ni mama, so fikiria sana ya kesho kutwa ILA WEWE NAKUAMINIA, businesswoman wa ukweli usiache ng'oooo hata ukolee penzi na maraha kiasi gani usiache kitega uchumi kilicho CHAKO sio CHENU, nasisitiza kilicho CHAKO kiendeleze mpaka kesho kutwa ok?.Nakumbuka mdada mmoja huku ninakoishi, aliolewaga na mzungu, basi miaka 3 ya mwanzo ni mashauzi.com, picha kibao facebook na Hi5, basi ndoa ilipokolea na maisha yakazidi kuwa true sio dreamlife, mambo yakawa machachu.Mahangaiko ya kuikimbiza Euro na kadhalika, yakawa mazito sasa cos alizowea maraha akajisahau hata namna ya kuzitafuta.Basi alipoona mambo yameharibika kabisa, kwa aibu kakimbia, kajifanya kutafuta kazi nje ya hii nchi kumbe kukimbia aibu maana alijishaua too much akasahau kuwa duniani kuna mungu na kuna leo na kesho.Hal...
MANGE UNAWEZA KUWA DADAA NGU WA IYARI PLEAS.I SEND YOU MY NUMBER AND EMAIL USIIPOST HUKU,NAKUPENDA SANA WITH YOUR LIFESTYLE
selyina@yahoo.com
have a nice eveining
Wewe dada unashangaa kukaa hotel ya $500 per night, ama kweli umechoka, watu tumelala MANDARIN ORIENTAL £1100 per night wewe unaona $500 big deal, kuna watu tunakula life ila tu hatujitangazi...
Say it just the way it is...this's what am talkin' bout y'all!
We nawe sijui una matatizo gani? unalazimishia udada toka dada wa watu kwani huna ndugu? au kakwambia ndugu zake na rafiki zake hawamtoshi? watu wengine bwana.. utoto mwingi..
ONYOOOOOOOO!!!!!!!!! yaani ww ni lazima wa uswaz. eti dada wa hiari? badala ujitahidi na ww uwe na maisha mazuri unamtaka mange udada. sasa unadhani atakuambukiza? jinga sana wewe!
Sweetie kwani huna madada?? kama huna madada basi mimi nitakuwa dada yako wa hiari ,if you wish...I will e-mail you, ila siishi Tanzania huwa tu nakuja huko mara kwa mara....and I can be a role model for you if that's what you need in your life..........and belive me I have a better life kuliko hata ya Mange. ila I am very private with my life,I will spoil you honey..........
nice photos and good times too enjoy mama maisha mafupi haya. but did you have to tell us that you are in the first class kwenye that hotel?
second I thought that book mac was apple, Sonny kumbe hiyo hapo nehi nehi. any way good dys
Hivi kwa nini kujifanya mafundi kujua? inahuuuuu.Usiniambie hujawahi kusikia Sehemu kibao za maraha zinatoa first class treatment kwa wateja wake.Thats was she was talking about (just from my knowledge of marketing).Secondly sioni shida saaaana kama akitueleza as well.Kwani ni uongo.Mbona kama una roho ya kwanini mpenzi.Ubaya huo !!!!! :(
We ukiiona sony utaijua? toka lini Sony wakatengeneza Mac book.. mtoto wa Manzese computer umeijua juzi tayari unafikiri unajua kila kitu.. and so what if she felt the need to justify which class she was in? Sababu hujaelimika hujui tangazo na marketing ni vitu gani..
Wewe dada unashangaa kukaa hotel ya $500 per night, ama kweli umechoka, watu tumelala MANDARIN ORIENTAL £1100 per night wewe unaona $500 big deal, kuna watu tunakula life ila tu hatujitangazi...
mmh binadamu! mtu anaenjoy na mumewe ooh cassandra! nani kakuambia hamuoni mwanae? mbona vimaneno? palivyokaa hapo kuna kwenda na mtoto kweli? hebu muwe na staha kidogo, msipanue midomo yenu tu kuongea, yakwenu yamewashinda. Haviwahusu
Hata na mie nimeshangaa, mtu labda hiyo ilikuwa mini-honeymoon sijui zao huwa wanabeba watoto wao? Maisha hamuna mmekalia ushankupe..
Sie wa uzunguzi weekend breaks ni kitu cha kawaida once in a while na watoto huwa tunawaacha kwa babu na bibi zao.. nyie mmekalia kujiekesha na matoto yenu ndo maana ndoa zenu hazina romance maana humpi vitu vinavyoeleweka in the end anenda tafuta dogo dogo.. every relationship needs it's time without children.. cha ajabu?
No ajabu at all mkora!, I concur with you 100%, it doesn't matter how long you've been married for but, you need SOME TIME ALONE, once in a while, just TWO of you to rejuvenate.
Halooooo hujanielewa dada? Mini honeymoon cause it was only a weekend. Ingekuwa ile ya wiki mbili ndo major honeymoon. Na tutajuaje mipango ya watu? Ya Akhbar mwachie Akhbar ya Roma tuwaachie Waroma manake siku wakatokezea na hiyo honeymoon major wengine watalia kwa kijicho na watu bado watatafuta cha kukosoa.
omg u guys r havin a balll..mi nataka mzungu handsome anaejipenda kama wako sio wale koko kitambi na mvi aku aku aku nataka kaka yake lance mie au mdogo wake kama anaye naomba nihook up basi tena nafanana na wewe so im sure taanipenda hahaha winkiiiiii
:D :D :D soo sweety Mange.....am gunna show this to my landlord how people do realy enjoy back home coz he always think am from poor country....full of animal bcoz of this documentaries shit na nitamwambia wewe ni dada yangu...shiiit soo niice. :whistle: :whistle: watch me namsubiria leo!
We Mbuzi it's her personal blog kaweka hapo for her own sAtisfaction kwani we inakuuma nni? Kama unaona dongs sana basi usiingie ukajotia kijiba cha roho. Watu mnajifanya wajuzi sana kumbe hata Yale makompyuta ya mwaka 1999 hamnayo halafu unajifanya ooh sio lazima uonyeshe kila kitu. It's her blog, ulitaka akuwekee picha ya tako la bibi yako?
Wewe Kama aliweza au alshindwa kutuma inakuhuuuuuuuu? Wewe hatahuyo wa kukupa zawadi ages afteryour brthday Huna, hata wa kukupa BIg G chewing gum huna.
Babu wee honeymoon ziko any time anyday kwa walooana wenye ma boyfriend wakienda hotel au trip wana enda fanya zinaaa tu.
mimi mwenyewe kutwa honeymoon na hubby wangu,nahisi kwa mange ndo kwanza zinaanza na zinakuja tele.
we mbea ulieuliza mange anafanya nini mbali na kublog ingia humu uone http://www.u-turn.co.tz/index.php/kwanza/190-malki a
mange ni mtafutaji sio mjinga, nywele zake zimejaa mikoani huko zinauzwa chipu kweli hata maskini ananunua demu anaakili ile mbaya hakuleta nywele za matajiri kaleta nywele za masikini ambao ni wengi wa watanzania.
keep it up mange
i support u!kuna watu huwa tunauliza kwa uzuri bt hayo majibuu ndo mana watz maskiniii hatuendelei unauliza a unajibiwa z....tunachojua ni chuki tu midomo michafuuuu hovyo kabisa
Oooh my God!! Hivi jamani nilikuwa sijawajua watanzania ni watu wa majungu kulikoni kabila yoyote niliyowahi kukutana nao ama kuishi nao!!!!!! Hivi kumbe ndo walivyo hivyo? they can kill u and burry you alive if u dont watch your back!!!aiiiuuuu kumbe ni wambeya, wanafki tena hawana heshima kabisaaaa...this is just so sad, as I am reading all the comments my mouth is dropping and my eyes r tearing!! wabongo nimewashanga na kuwaogopa sana!!! astakafurullahi!! its a big shame!
mdau-Barafu!
Oooh my God!! Hivi jamani nilikuwa sijawajua watanzania ni watu wa majungu kulikoni kabila yoyote niliyowahi kukutana nao ama kuishi nao!!!!!! Hivi kumbe ndo walivyo hivyo? they can kill u and burry you alive if u dont watch your back!!!aiiiuuuu kumbe ni wambeya, wanafki tena hawana heshima kabisaaaa...this is just so sad, as I am reading all the comments my mouth is dropping and my eyes r tearing!! wabongo nimewashanga na kuwaogopa sana!!! astakafurullahi!! its a big shame!
mdau-Barafu!
utamuuuuuuuuu bin kunoga! hujui u-turn iko juu kwa sababu gani??sababu ya umbea,unafiki.majungu kibaoooooo,au unataka kusema sio watu wanayoyaandika haya???ni vibwengo/misukule eeeeh???by the way hii u-turn inaakisi maisha yetu halisi....MSIZUGE SIE WATANZANIA NI WATU WENYE WIVU/WAMBEA NA WENYE ROHO ZA KWA NINI!..KILA TUKIAANGALIA HAPA U-TUR...
wewe mkora kama mwenzio mjinga, basi wewe hayawani! kwani ukiambiwa Mange alipanda baskeli kwenda znz???, au ndio ulikua bakhresa ukakokodisha zile boti??? pashkuna mkubwa wewe!!
ni kweli wasichana wa kibongo wana wivu wambea kama wale wa kinaigeria yaani hatufai kabisaa unafiki na majungu ndo za kwetu dawa ni kutokuwa na rafiki tuu wanaume nao ni wambea sana lakini afadhali yao huwa hawamaindi kama mademu ukiwa na hela kosa usipokuwa nazo unaambiwa umefulia kaaazi kweli kweli sina rafiki na sihitaji nina amani kweli kweli staki presha unapigwa mafumbo wakati mko meza moja tena mnakula yani malaya wengine mbwa sana nimekata miguu sina rafiki woote wanafiki umbea tuuuuu na miwivu ya kijinga
Hongera kwa weekend poa, enjoy, life is too short. Ila usijisahau, maana raha zikizidi wanadamu tunajisahau, kumbuka ya kesho, sote ni binadamu na wewe ni mama, so fikiria sana ya kesho kutwa ILA WEWE NAKUAMINIA, businesswoman wa ukweli usiache ng'oooo hata ukolee penzi na maraha kiasi gani usiache kitega uchumi kilicho CHAKO sio CHENU, nasisitiza kilicho CHAKO kiendeleze mpaka kesho kutwa ok?.Nakumbuka mdada mmoja huku ninakoishi, aliolewaga na mzungu, basi miaka 3 ya mwanzo ni mashauzi.com, picha kibao facebook na Hi5, basi ndoa ilipokolea na maisha yakazidi kuwa true sio dreamlife, mambo yakawa machachu.Mahangaiko ya kuikimbiza Euro na kadhalika, yakawa mazito sasa cos alizowea maraha akajisahau hata namna ya kuzitafuta.Basi alipoona mambo yameharibika kabisa, kwa aibu kakimbia, kajifanya kutafuta kazi nje ya hii nchi kumbe k...
Zamani Kempiski is beautiful, way more beautiful than the one in Dar. It's my family ritual to spend our New Year there ever since it was built. Kitu kinachonikera is we never see watanzania whenever we go, ni wazungu tuu na foreigners, ofcourse watanzania ndio wafanyakazi but not the viisitors! So they really treat us very good since ndo tunakuwaga the only Tanzanian Family if not one in very few. Tujitahidi kwenda kutembelea mahoteli ya nyumbani kwetu jamani! There is a lot of goodness to enjoy! Glad do see you enjoyed yourself girl!
P.S I didn't know MAC BOOK PRO's came in that style and color, I thought only MAC BOOKs did, I will have to check that out!
Kweli my dear duniani ni tajiri na masikini.ukiangali kwa makini ni kama kuful kutumia pesa hivi per night na wakati kuna masikini lakini ndo dunia.hata wale wanaotapa wamelala hotel za pound 1000.00 nayo ni kufulu.Micheal jackson yuko wapi leo??????si kaacha NEVERLAND???? Lakini hakusahau masikini atapata amari zake.sasa nyie wenzangu na mie mnaojitapa kama mnasahau masikini au charity mtakiona mtakapo enda futi 6.
Kama unazo ndugu, zutumie. Kama huna muombe mungu atakupatia siku moja. Kuna wenye Nazi pia but they choose to live it simple. Na kuna sue wenye Nazi ambao moto yeti ni " one only lives once, enjoy your life to the fullest" kwa hiyo sijaona shida ya mtu mwingine kusoend ikusumbue wewe usiyehusika.
Sasa mumeo Mange yupo wapi? Yaani kaja kukaa siku 3 na wewe umekubali, hiyo danganya toto maana amekupa hiyo outing basi mwenyewe umefurahi kumbe changa la macho. inabidi muwe pamoja bana.
KWA HIYO WAZUNGU WANAOENDA ZANZIBAR NAO NI WATUMWA? PEOPLE PREFER TO GO VACATIONS PLACES THEY NEVER BEEN.....THAT WAS MY POINT AND U DON'T NEED A DAMN PhD TO FIGURE THAT OUT ....
yaani mange upo juu napenda life staili yako namna hiyo kula raha my dear sio watu wengine wanashindwa kula raha eti sina hela unasubiri zijae gunia ndio ule raha
USIWEKE MAMBO YAKO YA BINAFSI SANA HADHARANI, HASA YA MAFANIKIO. TUNAIJUA DUNIA, INA KUPANDA NA KUSHUKA, TAKA USITAKE. KUNA WAKATI UTAPANDA NA WAKATI UTASHUKA. WATAKUPA MISIFA LAKINI MOYONI WANAKUOMBEA MABAYA. SIKU ZAMU YAKO YA KUSHUKA IKIFIKA WATAFURAHI KWA CHAMPAGNE NA WEWE UTAKOSA MAHALI PA KUFICHA USO WAKO. HAO NDIO BINADAMU NA HUWEZI WABADILISHA. NENDA NA DUNIA TARATIBU. HASA UJAUZITO UNAHITAJI LOW PROFILE SANA. NAKUPA USHAURI HUU KUTOKANA NA UZOEFU WA KIMAISHA NDANI NA NJE YA TZ. UBARIKIWE
Ama kweli Dunia ina mambo Wahenga walisema Mwanangu kuwa uyaone na ndiyo haya!Mbona maneno ya chuki yanawatoka ndugu zangu?Mnaonyesha ni jinsi gani Mange anavyowapelekapeleka maana Roho zinawaruka mpaka mnatia Aibu dada zangu wenye vijiba vya rohoni mnatoa maneno mpaka,Ndiyo bahati yake hiyo Mungu aliyompatia,muacheni ale Raha kwa raha zake Poleni nyinyi kunguru msio fungika mtabakia kurukaruka na kupiga makelele, huruma mie niacheni nicheke kwa raha zangu maana ninavyovina hapa ni vichekesho.
Mange kwa raha zako mama enjoy ur life tena wapelekepeleke wajinga wasiojua kuvumilia na kutoa chuki zao kwako,UPO JUU SHOST tena kwa raha zako.
Poleni wenye vijiba vya roho tena wenye wivu wajinyonge.Lete vitu Mange mimi nakufagilia sana 2 wewe ni jasiri.
Haya Sasa mnaojifanya mnajua kuchonga uwanja ni wenu msiokuwa na haya.Mange endelea kuwarusha na hubby wako mama.
Take care Mange!Wazuri ni wachache na wabaya jua ni we...
HIVI NI KWELI UMEOLEWA MKE WA PILI?
NA JAMAA YAKO ANA MKE WAKE WA KWANZA AMBAYE AMEFUNGA NAE NDOA TAKATIFU ?
NIKISEMA NDOA TAKATIFU NINAMAANA KANISANI AU MSIKITINI NA SIO CIVIL
POLE WE DADA MAANA HIZI CIVIL SIO KIHIVYO
NDOA MSIKITINI BWANA AU KANISANI
UNALOOOOO BIBI MUME MNAONANA KIMACHALE MACHALE .
SINCE YOU NOT THE ONLY BOTTLE IN DESERT HAHAHAHA
USIIBANIE KAMA WE MWANAMKE KWELI HAHAHAHA
Mke wa pili ni wewe,uliyempa wewe ndoa takatifu ifafanue maana vyeti vyote vinatoka serikalini,Kuonana na mme kila siku sio tatizo lako kila mtu anamipango yake,Wakae pamoja ili waje kula kwako kama huna la kucomment katafute maisha ufurahie kama wengine
judith upo wapi mama cha mdomo mchafu kama nini umezidi judith na mdomo khaaaaaaa leo hujachangia maana umeishiwa maneno huna jipya judith kama jina lako
ACHA KUJITISHA NYINYI VYUMBA VYA KEMPINSKI VYOTE NI SAWA, TOFAUTI NI VIEW TU.
ZAMANI SUITES NA VILLAS NDIZO TAFAUTI KIDOOOOGO. HATA WEWE UNAWEZA KUKAA KEMPINSKI TENA HASA KIPINDI HIKI CHA LOW SEASON BEI ZIMESHUKA KINOMA, DOLA 200 TU UNALALA KWA RAHA ZAKO.
mi labda sijaelewa hivi mafanikio yapi hayo aliyoyaweka hadharani yakumlogea mange?naomba kueleweshwa mwenzenu wakizamani na pia maisha jamani ndo haya haya vingekua havinogi wengine wasingekua wanaiga steps alizopita mange kwenye harusi yake we kama ni mfuatiliaji mzuri wa kurelax kazini kwa kusoma vijimambo vya wake za wazungu utakuwa ushanifahamu ninachozungumzia mange hongera kwa kutuburudisha
na kweli watu wameigaa leo wanatamba kwa kipi haswa?? ati ndoa ya kanisani haihuuuu kaolewa camila na prince na diana aliyeolewa kanisani akamwagwa weweee msiseme tuu kama mnakunywa mataptap haya mambo yapo wengine wanaolewa za mkeka zinadumuu sembuse kanisani ebu nenda kapige chabo kulee arusi yangu.com uangalie vile vilio kule zile ni ndoa za serikalini?? haijalishi ng'oo mambo iko hukuu umaskini utawatoa rohoo mtauza hadi mitumba ya china mwaka huu ili muonekane mnazo wapppppiiii umelala dorooooooooooooooooooooooooooooooo
Jamani kwa kweli kijiwe hiki sikujua kama ninanoga hivi na hivi ninavyopenda mambo haya!!! mbona ntanenepa? Hebu niiweke hii page as my home page lol. Aksanteni wadau :woohoo:
HIVI NI KWELI UMEOLEWA MKE WA PILI?
NA JAMAA YAKO ANA MKE WAKE WA KWANZA AMBAYE AMEFUNGA NAE NDOA TAKATIFU ?
NIKISEMA NDOA TAKATIFU NINAMAANA KANISANI AU MSIKITINI NA SIO CIVIL
POLE WE DADA MAANA HIZI CIVIL SIO KIHIVYO
NDOA MSIKITINI BWANA AU KANISANI
UNALOOOOO BIBI MUME MNAONANA KIMACHALE MACHALE .
wewe utakuwa ni mfuasi wa devil tuu haijalishi ndoa ni ndoa tuu za kanisani za msikiti za mkeka zote ndoa na zote zina talaka unashangaza watu wanaoana leo mume anaenda afganistani miaka peleka ushankupe wako hukoo kwenye dhiki zenu!
SINCE YOU NOT THE ONLY BOTTLE IN DESERT HAHAHAHA
USIIBANIE KAMA WE MWANAMKE KWELI HAHAHAHA
nyie watu ni balaaa.muacheni mwenzenu bwana,life is a choice,ye ameamua kuishi maisha yake hivi..kinawakera niini?si mfungue blogs zenu tuwaone?huyo ndo kimora,kim karadashian ama kendra wa bongo..TUADMIT WOTE TUNAMKUBALI NDO MAANA HATULALI TWATOLEA MACHO BLOG YAKE NA KUCOMMENT WEATHER VIZURI AMA VIBAYA..FAIDA YAKE YEYE NI WAFUASI WANAONGEZEKA..LONG LIVE MANGE KIMAMBI A.K.A MAMA K..WATAUSAGA MTAMA WAUBWIE WENYEWE..NDO MARA YA KWANZA NACOMMENT HUMU LEO.NIMECHEKA SANA.
Mwenye pesa aende akakae BARAZA BEACH RESORT tena VILLA ROOM then aje tumpe pongezi zake. KEMPINSKI IS NOTHING TO OTHER RESORTS IN ZANZIBAR. Tena imeshuka bei kinomaaaaaaaa