Who's Online
We have 281 guests online
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday7028
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week7030
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month54102
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933669
Login



DO WE REALLY HAVE TO SAY TANZANIA IS CLOSE TO KENYA???
Written by Mange   
Monday, 26 April 2010 00:45

Mange ill be more than happy if post this and the reason why i came out with topic is because of your last couple posts about Tanzania not being well know abroad. First, this is not true we are known abroad. Ngoja nikamue kiswahili ili wadau wengi waninyake.

Sio kweli kuwa Tanzania haijulikani nje, Tanzania inajulikana nje na mara nyingi ukiwauliza ama ukiulizwa na watu wanalioenda shule watajua unaongelea nchi gani. Ni kweli ukimuliza mtu ambaye never bother to learn about the world surrounding them hawezi kujua Tanzania iko wapi na watu kama hao tunawaita ma idiot na hawawezi kutuumiza vichwa..mfano mzuri ni Sarah palin mgombea mwenza wa urais marekani ambaye alikuwa hata hajui kama africa ni bara na siku zote alikuwa anajua Africa ni nchi moja.

Sasa nikija kwenye mada kuu ya post hii ni kuwa Hivi kuna haja kweli ya sisi waTanzania kusema im from Tanzania and Tanzania is close to Kenya? Mtazamo wangu ni kuwa watu wengi wana Obama fever kwamba kwa vile baba yake Obama anatoka Kenya basi wataeleweka wakisema Tanzania is close to Kenya. Why most of us Tanzanians abroad cant express ourselves well? Instead of taking our time and use the opportunity to tell people abroad that Tanzania is in East Africa and refer to great attractions within it such as Kilimanjaro mountain most people will jump to a shortcut and say Tanzania is close Kenya. This is totally Wrong.

The act of telling people that Tanzania is close to Kenya does not help at all to make Tanzania known abroad. Instead, it makes Kenya even more popular without you guys noticing. For instance if you asked a stranger where she/he was from and their response was im from United states and united states in close to Canada...Would you be satisfied with that answer?

Lastly, Sometime we mispronounce The name of our beautiful country. There is a way we pronounced the name of our country back when we were in primary school (the Tanzanian way) Thats not how they pronounce it and if you pronounce that way they might not understand what you talking about. The bottom line here is Tanzanians abroads need to learn how to express themselves well especially when it comes to expressing about Tanzania. Take ur time and tell what do we have in Tanzania and not the way y'all been saying Tanzania is close to Kenya.

Mdau wa USA.

Comments
Add New Search
Anonymous   |2010-04-25 20:51:41
Wewe mdau,wazungu wengi kwa taarifa yako wanajua mlima Kilimanjaro uko
kenya...!!Nchi yetu ishauzwa.
Anonymous   |2010-04-25 23:57:59
we mdau wa USA huo mlima kilimanjaro wenyewe barafu ishayeyuka imebaki kiduchuu
sijui tutatajidai na nini kila kitu kilimanjaro kilimanjaro ndo kigezo? huo
mlima umeshaingiza mamilioni ya shilingi we unajua yalipoenda? nishapanda huo
mlima sehemu za kulala na kupumzika ziko duni huwezi amini unapanda mlima
maarufu nchi ingejitangaza yenyewe lakini mifisadi imefanya nchi ididimie
isijulikane kimataifa watajiju ndo mana watu wanakimbilia majuu kwani majuu kuna
nini zaidi ya maendeleo yao?
Anonymous   |2010-04-26 10:12:14
Regardless...barafu ipo haipo!Ni bora utumie mlima kumuelewesha mtu Tanzania
ilipo kuliko kusema jirani na Kenya.
Anonymous   |2010-04-26 00:04:22
tanzania sio beautiful ng'oo acha uzushi rudi basi ukaishi huko mbona
umeng'ang'ana na huko USA? tanzania ni pachafuu ufisadii dhulma hata mbuga za
wanyama wanyama wameingia mitini kwa ajili ya ufisadi na mlima umeyeyka barafu
kabisaa fimbo za Mungu hizoo limebaki jina tuu nchi masikinii tangu enzi ya
mkoloni hadi leo ati tanzania is beautiful wappi? visehemu vya kuhesabu tena za
watu binafsi tuu!
flora   |2010-04-26 01:00:18
Thats true naungana kabisa na mtowa mada mimi ni mtanzania ninaeishi
Atlanta,Georgia ukweli sijawahi kuulizwa na mtu yoyote Tanzania iko wapi ila
wakiniuliza nikiwajibu natoka Tanzania basi wenyewe watajibu ni Africa then
namalizia ndio East Africa na si kweli kama msemavyo labda mzungu wa kuchora
ndio anajuwa mlima kilimanjaro uko kenya.tusidanganyane wenzetu ni watu mahodari
sana kwa kusoma ramani na wanaangalia kwenye ramani wanajuwa mlima kilimanjaro
uko Tanzania,na leo hii nimetoka Mephis,Tennesse nikaingia kwenye mall wakati
naongea na muuzaji nikajitambulisha kama natoka Tanzania akafurahi na akanijibu
Tanzania ndio mna Tanzanite na Gold,wat a furaha hata mzungu ambae hajafika
africa lakini anajuwa historia ya Tanzania labda mnashindwa kujielezea vizuri
ndio maana mnaamuwa kutowa majibu ya mkato eti Tanzania imepakana na kenya ni
heri hata utaje Zanzibar mana wazungu wengi wanaijuwa Zanzibar island asante.
Anonymous   |2010-04-26 06:25:56
WE MDAU WA US ULIETOA MADA HUSIJIDANGANYE ,KWA KIFUPI TANZANIA BADO HAIJULIKANI
MIE NIMESHAKUTANA NA WATU WENGI SANA TENA WAMETEMBEA NA BADO HAWAJUI TANZANIA
ILIPO,
any   |2010-04-26 07:50:10
jamani sasa kama mshajua kua huaijulikani si muitangaze kuliko kuiponda pennda
chako kwanza ndo upende cha mwenzio . mimi pia wana niuliza iko wapi ila hakuna
siku nitakuja kusema iko close to kenya thats bullshit
Anonymous   |2010-04-26 08:00:32
taira kweli kiswahili chenyewe kinakushinda ss sijui unakutana na wao wa2 wa
wapi wasiojua Tanzania. Eti HUSIDANGANYE , mbagara in da haus. Watu wanajua sana
Tanzania iko wapi na wanajua hadi lugha ya taifa ni kiswahili, labda kama
ukikutana na arrogants like west Africans ndio ujidai hawajui unaongelea nini.
Anonymous   |2010-04-26 10:17:00
Frola two wrong does not make right. ukweli ni kuwa kuna watu wanajua tanzania
na kuna ambao hawajui kabisa na ni wasomi mimi nilishakutana na kaka ambae ni
phd holder aliniuliza where r u from nikamwambia Tz akanimbia where is Tz?
sijawahi kusikia Tz before. mimi mwenyewe nilishikwa butwaa inakuwaje msomi kama
huyu hajawahi kuisikia TZ. even if ukisema unajua mlima kilimanjaro wanasema
ndio uko Africa lkn hawajui uko nchi gani, so unakuwa hujasaidia kuwambia Tz iko
wapi.
Anonymous   |2010-04-26 13:40:58
jamani eeh sio kila mtu anajua nchi zote humu duniani hata sisi kuna nchi ambazo
hatuzifahamu kadhalika na wazungu waarabu wahindi hivyohivyo mie mwenyewe
niliijua cosovo baadaya vita nchi kama kazakhstan wabongo wengi hawaijui
ukiwauliza watakuambia iko arabuni so tusilaumiane buure kuna wazungu wanajua tz
ilipo na wengine hawajui full stop!
Anonymous   |2010-04-26 16:18:05
wewe mimi siwezi kutaja nchi zote duniani lakini ukinitajia nchii lazima
nitakuwa nimeisikia...siwezi kukwambia sijawahi kuisikia kabisa. kwa maana hivyo
basi pamoja na kuwa nchi zipo nyingi nilishawahi kuzisikia zote....maishani
kwangu nimeuliza watu wengi sana na sijawahi kuwapa jina la where is that
country.
Anonymous   |2010-04-26 14:41:55
hivi mnachobishana jamani kitu gani?
kwani lazima watu wote wajue
Tanzania?
kwani sisi tunajua nchi zote Duniani?
kwani wakijua watatusaidia
nini?
kazi iliyopo ni kupambana na Mafisadi wanaoiuza nchi swala la TZ
kujulikana sio issue sio lazima watu wote waijue
wanaoijua inatosha na wengine
wataendelea kuijua taratibu
na kama ukikutana na mtu haijui unamwelezeatu ilipo
simple like that, na sio lazima uielezee kwakupitia mgongo wa Kenya kwani
huwezi kuelezea nchi yako inapatikana wapi mpaka utaje Kenya?
Ulimbukeni tu na
Uvivu unawasumbua unataka short cat then unaamua kutaja Kenya
kiroboto   |2010-04-27 14:03:08
nyie samaki kweli

mimi nimewahi kuulizwa natokea wapi nikasema Tanzania wacha
mzungu ashtuke ooh kwenye ile nchi ambayo watu wake wanaua Albino??? nikamwambia
yes, though nilijisikia vibaya kwamba nchi yangu inajulikana kwa sifa mbaya.
mimi  - hahahha   |2010-07-01 06:34:53
Kwi Kwi Kwiiiiiiiiii wenzio samaki we kiroboto duh! Hii kali!!!!!!!!!!!!!
Anonymous   |2010-04-30 18:34:33
you know,whe you hate on someone ,wanazidi-kubarijiwa zaidi ,so stop hating on
kenya and get a grip of yourselves. i am kenyan but married to a Tanzanian whom
i love sooo much,and his family is the ultimate best,i have adopted them as my
own and Tanzania as my country. But what frustrates me most is that,we always
look for faults in other people other than in our selves,if the government did
their job ,then probably people would know more bout Tanzania,however ,Tanzania
is still growing/developing and its doing so very rapidly,so give it
time...people will know of us and eventually the tourism industry will bloom so
big,you will not believe it. na asikudanganye mtu,there are some people who have
no idea where Kenya is,and beliee its a shanty town in Africa........Patience
can fly you a long way,but will get there eventually...
i tend to write alot,so
dont mind this,....lol
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook