Pumu imepata mkohoaji, jamani kuna wengine tumeolewa na wazungu lakini mwenzetu Mange maboblish yako siyawezi kabisaaaa nakuvulia kofia, hizo pozi pozi mwanangu za kufa mtu, keep up matanuzi unayaweza.
HAYA SASA YUPO KWA MUMEWE MNAMKOSOA NGUO JAMANI EEEEEEEEEH MH!! WAKAANGA SUMU MMEZIDI SASA!!! NAJUA MNAUMIA SANA WAPAMBE LAKINI MNAISOMA KIMYA KIMYA, MTOTO YUPO NA MUME WAKE SASA SI MLIKUWA MNAULIZA MBONA HAENDI KWA MUME WAKE,MMESHAJIBIWA,MAJIBU YA MASWALI YENU HAYO HAPO, NYOOOOO SURA ZIMEWACHUKA KAMA NGUO ILIYOJIKUNJA
Mange yani sijawahi comment humu ndani hata siku moja, but leo imenibidi, yani Mange trust me I love you so much!!!!!!!!, yani wewe unajibu vitu kwa vitendo sio maneno :kiss:
nakutakia maisha mema, yenye furaha sana na amani nyingi mno :kiss: :kiss: :kiss:
So happy for you honey, enjoy your hubby, unplug the phone, Blackberry off, laptop put away, no friends for few days, and just be spoiled.......well... spoil him as well
Love you sweetie
walau tutauana me nadhani ,tuwe tunapewa chance yakutuma zetu oldies ,naogopa wewe ukipata kazi utatuwekea zako tuuuu .Mwache Mange amenage ila tupewe chance ya kutuma zetu azipigi kwa blog.Afu wewe nahisi you are between 30 and 35.Sababu hizo oldies za miaka yetu warembooo.wacha tuuu nami najibu mapigo hapa( http://www.youtube.com/watch?v=fZ4KCbSnKok&feature =fvst) .Hatar Hatar.Enjoy your weekend.
Kweli wewe mange ni role model wa wasichana wengi wa tanzania maana baada ya wewe kuolewa na mzungu kila mtu anataka mzungu, naona unaonekana umepata mume mzuri ila kuna wasichana wengine yatakuja kuwatokea puani...kuna wengine wanafikiri mzungu ni mzungu tu...akina dada tuulizeni sisi tunaopishana na wazungu miitaani kila siku kuna wengine hawafai
Wanafikiri wote watapata watu wa maana na wengine wanawapeleka puta wazungu na kupanga harusi za haraka haraka subiri utajikuta kanisani mwenyewe siku hiyo. Hao wenzenu wanataka mambo taratibu mjuane vizuri kwanza. Ohooooooooo haya. Hamjawahi sikia mambo nni fifty fity eenh?
Dada tafadhali sio wote, hata kama ni hivyo basi Mange naye kaiga, mimi nimeolewa na mzungu wangu sasa miaka kumi na moja, sasa je nilimuiga Mange?? ndio wapo wanaoiga lakini sio wote ndugu yangu, mimi nilipoelewa na mume wangu 1999 ilikuwa kama vile big deal kuolewa na mzungu, lakini siku hizi mbona ni kitu cha kawaida tu...and dont get me wrong simchukii Mange but she is not a role model kwa kila msichana wa kitanzania aliyeolewa na mzungu.....tupo tulio tangulia ila tunapenda maisha yetu yawe Private
aaaaah Mange thats sooo sweeety..u have such a cute hubby ever hunni :kiss:
hatimae nimeshusha pumzi sasa manake nilijua ndoa kwishnei....haloooo more picture plz...am soo waiting.
its me the only beautifully & sweetest gal surviving in north London :kiss: :kiss: :kiss: :kiss: :kiss: :kiss: :kiss: :kiss: :kiss:
Mdogo wangu kula bata,
muhudumie shemeji huyoo kwani sasaivi wa motooo naye kaja na ukame si wa kitoto
kiukweli umependezaa!!!!!!!!!
Na shemeji macho yamemtoka anatamani akugalagaze faster,yaani kitendo bila kuchelewa
Haya sasa mliozoea kuchonga kazi kwenu semeni na hilo.Roho zitawatoka na midomo kukauka msipo angalia.
Mange nakuaminia, kweli wewe ni kichwa hujali mamaa!Furahia maisha yako mpenzi
Nakutakia kila Raheri katika Mapunziko yako.
Take care and Enjoy ur life.Mmmmwaaaa!Nakuadmire sana 2
nimeangalia picha yako na mumeo mara mbili mbili Mange nimekukubali mama wanaokukataa wana lao moyoni kweli we na mumeo nimependa sana mlivyovyaa dah! mmependeza sssssssssssaaaaaaaaaaaaaana sijui niseme nini
Dear Mange
Mie ni mpnz mkubwa wa hii blog ila cjawahi kutoa maoni ila kwa kweli leo uzlendo umenishinda sio siri binti umependeza. Ww na mumeo jinsi mlivyovaa mmependeza sana.
Furahia muda wako mamii
Hahaha... Watt mmedata eti asije kubebesha nyingine on top ys hiyo. Vyote sawa tu. Kula raha mamii manake wamekunanga sana mara ooooh yupo wapi, mara oooooh mume wa show, inahuuuuuuuuuuu? Have the best of all weekends.
Dat da lovelly couple smthin in Lowrey namaanisha mmmechi colour wewe yako ina yelow and greenish and da same to your bedmate,soulmate ama kweli mko 4 really maana najau it happen....Kula bata mamiii looh mpe utamu wake wa moootoooo ....Mdada Classics wa mjini kuwa mom looh!!!!
Wabongo bwana!!! mmemponda dada wa watu sasa yamewashuka. mnajidai kumsifisia saa hizi. eti uko juu, kula raha. wanafiki wakubwa nyie. maisha ya mmoja kukaa mbali na mwenziwe yapo sana kwa sasa hivi hasa katika utafutaji huu wa maisha. lkn kama hamna kazi za kufanya mnagandana kama ntaa mtakomaaaaaaaaa.
samahani nje ya mada,wanawake wenzangu nawapa idea maybe wengine mnalitambua hilo. Ukitaka v jj yako iwe ya mnato,chumvi za madonge tia kwenye kopo na maji ya uvugu vugu. ikiyeyuka nawia vizuri usisahau kujitia kidole unasafisha mpaka ndani kabisa. vidonge kama 3 vinatosha,kumbuka chumvi iwe ya madonge sio ya unga. Baada ya wiki wakati wa majambos utaona mabadiliko. tujitahidi jamani tupunguze nyumba ndogo,tusiwalaumu wanawake wanaotongozwa na wanaume wa watu maybe mahabat hatuyakolezi.
Mazoezi yakubana K yanaleta mnato jamani acheni masihara,kila kitu mnajua nyie tu.wadanganye hao hao .Watu wa pwani wanaelewa kazi ya shabu .wakuja utawajua tu eti wanaita michumvi.eheeyaaaaa :cheer:
1.UMEPENDEZA SANA...ur VERY SEXY
2.LANCE IS SO HOT FOR A WHITE DUDE DAH AISEE IM NOT A RACIST BUT WHITE DUDES NO THANK YOU BUT I CAN DO LANCE ANYTIME HAHAHA JOKING GIRL
3.KALE MUHOGO VIZURI SASA TUMEKURUHUSU BIRINGITA MAMI KWELI KAKUMISS
4.NDIO KAJA KIMOJA KUKUCHUKUA AU?MY WISH UKAZALIE ALIPO MUMEO MUENJOY WOTE PAMOJA THE EXPERIENCE
5.LOVE YOU SO MUCH ITS UR FAN FROM ARUSHA.
ndio wabongo hao juzi tu walikuwa wanaponda oh mara mko mbali mara fyoko leo wote mnasifia hahahaha niliwaambia couple ya mange na lance usiige utakufaaa!!! ona sasa sio wale wanazoa tu wazungu ili mradi mzungu
he he heee wazungu wenyewe wachovuuuuuuuuu wapiga boksi bongo bora basi boksi lenyewe lingekuwa la ukweli chokest tuuu nasubiria kigari kingine he he heee
hivi kwani lazima useme if its ur first tym to comment in this blog....aloooooo hata mi its my first tym to comment in this blog...ITIFAKI IMEZINGATIWA...heeeya!
from NORTH LONDON!
jamani nimeanza kukupenda Mange na ndio maana ukaitwa Mange, sasa haters wengine bwana hawajui hata maanaa ya blog!!! kaaaazi kweli kweli, blog yake, mume wake, picha yake na wewe weka picha yako na mumeo mfanye mashauzi au huna? ni wazi kuwa huna blog wala mume anaesafiri ndio maana hatukuoni mavi yako.
nashanga huku anafata nini wakati ana blogu maiti imenyambaaaaa !!
Lol Hayanihusu lakini nimeyaona kwani cha ajabu nini hapo? kawaida sana tukisema wote tufungue blog tujitandaze na waume zetu itakuwa kazi maana hakuna mtu ambae mumewe hasafiri bila kurudi, Ushamba tu na kujiproud nothing else LOl
someone said some people have a need to over share? don't forget ni blog yake and she can post whatever she want, go create urs!! nobody ask you to visit blog ya Mange.
Mange umependeza sana na mume wako!
keep on posting what ever u want and don't let these lunatics get u ;-)!
jamani nimeanza kukupenda Mange na ndio maana ukaitwa Mange, sasa haters wengine bwana hawajui hata maanaa ya blog!!! kaaaazi kweli kweli, blog yake, mume wake, picha yake na wewe weka picha yako na mumeo mfanye mashauzi au huna? ni wazi kuwa huna blog wala mume anaesafiri ndio maana hatukuoni mavi yako.
I don't get it. Eti kisa Mange kaolewa na mzungu ndio imekuwa fashion. Please give us a break! some have been married b4 her, some have being dating mzungus be4 her, some have 0.5 kids b4 herand some will get married to them not bcoz of her. sioni big deal hapo!
Europe ntapata wapi shabu shoga.*Please help.naanza kumaindiwa eti nacheat.Mnato unaisha siku anfikir somebody is doing me.Pleeeeeeesa nipe jibu .Desparately needing it.Thanks
jaribu kwenda maduka ya chakula wahindi wachina au waarabu ila sijui inaitwaje kwa kiinglish na sijui kama inapatikana ulipo mnake yenyewe ni mahusi kwa kusafishia maji kama unamjua mtu mwagize kariakoo akutumie
Asante mpendwa wangu,Nahakikisha naipata kwenye hayo maduka uliyoniambia,ntaisaka mpaka kieleweke ..... :) nia na ari ninayo.Otherwise hao waosha vinywaaa we wapotezeee tu.
Europe ntapata wapi shabu shoga.*Please help.naanza kumaindiwa eti nacheat.Mnato unaisha siku anfikir somebody is doing me.Pleeeeeeesa nipe jibu .Desparately needing it.Thanks
jaribu kwenda maduka ya chakula wahindi wachina au waarabu ila sijui inaitwaje kwa kiinglish na sijui kama inapatikana ulipo mnake yenyewe ni mahusi kwa kusafishia maji kama unamjua mtu mwagize kariakoo akutumie
Ushauri mwingine ni kama nguvu za giza, yaani kuna vitu kama unavifanya wewe kwa manufaa yako sawa ila sio kudanganya umma. Huwezi tu kuchuka mijichumvi na maji ya uvuguvugu na kuanza kunawa sijui na midude gani. Hata douching pia wanakataza maana ina upset balance ya kawaida inayotakiwa kuwepo huko kunako. Sasa vitu vingine mnajitafutia shida tu ambazo mnaweza mkawa hamuoni madhara yake mkajua it's not a biggie kumbe ni tatizo.
wewe dada unaulizia shabu, pole sana, sio nzuri ukizitumia kwa sana!! mimi nakuambia ukweli yamenikuta.
maana huko chini utatoka maji kushinda mafuriko ya KILOSA!!!
tumia farm fresh sabuni yake na washing liquid ni nzuri sana!
na zaidi ukifanya ile kitu na Mr, UWE UNABANA MIGUU KIDOGO SIO KUJITANUA KAMA UNACHEZA REDE!! NAJUA UTAMU UKINOGA HUNA JINSI ILA JIKAZE MWAYA!!!
Europe ntapata wapi shabu shoga.*Please help.naanza kumaindiwa eti
nacheat.Mnato unaisha siku anfikir somebody is doing me.Pleeeeeeesa
nipe jibu .Desparately needing it.Thanks
KUBALI MABADILIKO MWANAKWETU HUWEZI KUMRIDHISHA MWANAUME DUNIA HII SANASANA MTAISHIA KUPATA MATATIZO BUREEE KAMA HAKUNA MNATO NDIO NINI?? WANAWAKE MJIAMINI ACHENI NATURAL IFANYE KAZI YAKE
Ha ha ha ha nadhani hao walosema awali walikuwa right kwamba raha ya mimba ulee na mwenzio..kwahiyo kama kaja si hoja ndo wanalea kwa pamoja au kama ndo amekuja kumchukua waende abudhabi hiyo pia ni kivyao na maisha yao muhimu..wadau wanasema kile wanachokiona.....kwahiyo kikitekelezwa au kikitoea sidhani kama kamshushua mtu au kamfunga mtu mdomo bali inapaswa afanye hivyo....KWAHIYO WALE WALOKUWA WANAONGEA MUMEWE HAYUPO NA ANAPASWA AWEPO NDO HERO WAPEWE HONGERA NA NAAMINI WANAAMANI NA FURAHA KWA VILE HILO LIMETOKEA...KWA WALE WALOKUWA WAKIPINGA KWAMBA ATUMIE YA PLASTIC SIJUI KITUGANI SIJUI PHONE SEX N.K. WALE NDO WAMESHUSHUKA....
Europe ntapata wapi shabu shoga.*Please help.naanza kumaindiwa eti nacheat.Mnato unaisha siku anfikir somebody is doing me.Pleeeeeeesa nipe jibu .Desparately needing it.Thanks
jaribu kwenda maduka ya chakula wahindi wachina au waarabu ila sijui inaitwaje kwa kiinglish na sijui kama inapatikana ulipo mnake yenyewe ni mahusi kwa kusafishia maji kama unamjua mtu mwagize kariakoo akutumie
hayakuhusu chukua time kuleee asha ngedere wee!!
Ushauri mwingine ni kama nguvu za giza, yaani kuna vitu kama unavifanya wewe kwa manufaa yako sawa ila sio kudanganya umma. Huwezi tu kuchuka mijichumvi na maji ya uvuguvugu na kuanza kunawa sijui na midude gani. Hata douching pia wanakataza maana ina upset balance ya kawaida inayotakiwa kuwepo huko kunako. Sasa vitu vingine mnajitafutia shida tu ambazo mnaweza mkawa hamuoni...
mange mbona umenibania comment yangu ?kwani mimi nimeandika nini cha ajabu au kuelimisha watu ni vibaya sasa wewe unataka watu wapate hizo cancer ndo utafurahi?pls put my comment baby gal.Nimeandika hivyo kuelimisha huyo dada mwenye kutaka kutumia hayo maji chumvi so i'm begin u in jesus name do that a soon as possible,i know u'u not that busy as u said ur.Thanks
Much love Baby Gal
duh namna hii si depression tupu. mume ameenda kikazi maneno ooooh ameachwa mume amerudi kuja kumtia mtoto masikio na macho oooooh amerudi pia wameshapata jingine je atamchukua akazalie huko? mmmmh im so delicate to cope with all this. that is y i stopped blogging
mange mbona umenibania comment yangu ?kwani mimi nimeandika nini cha ajabu au kuelimisha watu ni vibaya sasa wewe unataka watu wapate hizo cancer ndo utafurahi?pls put my comment baby gal.Nimeandika hivyo kuelimisha huyo dada mwenye kutaka kutumia hayo maji chumvi so i'm begin u in jesus name do that a soon as possible,i know u'u not that busy as u said ur.Thanks
Much love Baby Gal
Baby gal, umenimaliza...lol!...mpaka kuitia jina la Yesu, that was seriou but funny, asante lakini mwaya, seems like you really wanted to get your message across to your peeps, good for you!
I remember thare was a topic here before from Dr. love where she suggested, with facts that, it's not a good idea for us women to 'add' anything down there but to let nature do the job. It's scientifically proven too so I totally agree with you.
scientifically proven what .*punguzeni ufundi kujua toka mlivyojua kutumia google in searching.mnaenda leta copy and paste zenu u-turn.Nani ambaye hajui hayo huyo DR Love mwenyewe kafia wapi .Kachoka copy and paste maana mpya hana.Haya mambo kila mtu anayajua labda wewe bi dada umeambiwa na DR Love.Ei
Wabongo bwana!!! mmemponda dada wa watu sasa yamewashuka. mnajidai kumsifisia saa hizi. eti uko juu, kula raha. wanafiki wakubwa nyie. maisha ya mmoja kukaa mbali na mwenziwe yapo sana kwa sasa hivi hasa katika utafutaji huu wa maisha. lkn kama hamna kazi za kufanya mnagandana kama ntaa mtakomaaaaaaaaa.
mzungu mwenyewe anaondoka jumapili. mapenzi ya siku nne ha ha ha
hahahahaha nilikuja kuchungulia kidogo hapa mana nami nipo bze week, end hii alaa
sasa nyie mwenzenu kaenda kuenjoy kawaachia topic hapa mnapigizana kelele na nyie nendeni kuenjoy na ma sweetie zenu kama huna kaenjoy mwenyewe alaa
mnafanya nini hapa blog imefungwa mpaka jumapili jioni
tehetehetehete
naona kuna kimtu kinajaribu kutafuta beef na mange ili kiblog watu wakipitie,hivyohivyo wadau tujifanye kama hatujui nini kinaendelea hko ili comment zibakie 0au nyingi sana nne mbili za kwake mwenyewe
hahahahaha nilikuja kuchungulia kidogo hapa mana nami nipo bze week, end hii alaa
sasa nyie mwenzenu kaenda kuenjoy kawaachia topic hapa mnapigizana kelele na nyie nendeni kuenjoy na ma sweetie zenu kama huna kaenjoy mwenyewe alaa
mnafanya nini hapa blog imefungwa mpaka jumapili jioni
tehetehetehete
sasa wewe kilichokuleta ni nini unauliza majibu badala ya swali. go bac to skul
MH....HAYO NDO TUNAITA MAPENZI YA haba na haba hujaza KIBABA....mie siyawezi mwenzenu, i would rather niwe na mbongo wangu hapo hapo hata kama tunapigizana makelele kila kukicha, ila i know nikitaka kitu ndani ya kitu napata on the spot siyo hadi niisubiri miezi 6 si nitakufa kwa ukame kha! some of us can't wait too long, hapa nilipo sijapata for 2 weeks nasikia kuchanganyikiwa, ila anarudi kesho, phew!...i feel relief already.
MH....HAYO NDO TUNAITA MAPENZI YA haba na haba hujaza KIBABA....mie siyawezi mwenzenu, i would rather niwe na mbongo wangu hapo hapo hata kama tunapigizana makelele kila kukicha, ila i know nikitaka kitu ndani ya kitu napata on the spot siyo hadi niisubiri miezi 6 si nitakufa kwa ukame kha! some of us can't wait too long, hapa nilipo sijapata for 2 weeks nasikia kuchanganyikiwa, ila anarudi kesho, phew!...i feel relief already.
so bibie hongera kwa kuwa mvumilivu
SASA WEWNANI ALIKWAMBIA MAPENZI YA NA LIPA BILLS???...YANI MKAE MNATIZAMANA TU HATA KAMA MNAKULA MAWE??..KILA MTU ANA DREAMS ZAKE ZAMAISHA AMBAZO WANAITAJI KUZITIMIZA, "NOTHING COMES ON THE GOLDEN PLATTER" ACHA WATU WAFANYE VITU WANAVYO VIPENDA AS LONG AS WAO WAWILI WAMEKUBALIANA SIE WENGINE TUWE WATIZAMAJI TU :woohoo: NATUJIFUNZE KUWE LOVE COMES IN A&n...
jamani eeh kila mtu ana kitu anakitafuta kwenye ndoa/relationship. mie niko radhi nilale njaa lakini nipate my muhogo....is that a sin? i used to date someone with lots of money, lakini mudogo nilikuwa napimiwa kwenye kibakuli, now huyu mume wangu ninaye for 5 years, na anaishi paycheck to paycheck, ila i feel like i am in heaven...yoriyori, yoriyori....
Mange!!!!either you love her or hate her go go go gal haters kuleni chumvi mashavu yanenepe,mimi nasubiri kwa hamu hapa kupata vitu vipya bloguni my w/end has been boring for not seeing sumthing new, I bet uyo mtoto kaongezewa masikio na pua mpk basi hehehehe,osha na maji ya uvuguvugu hiyo uweze kukaa vizuri mbele ya laptop.
sum pipo pretend to hate Mange but kutwa wapo humu so wat u doing on here??nakereka watu wanaokuponda then next mins wako humu u entertain us pure n simple keep showing those comments thats wat make this blog work hao wanaojifanya watakatifu waendelee coz pipo aint gonna be interested na boring shite!!eg blog inayoanzia na N i never visit it until they got to be aired through here dont giv em free airtime sumtime lolol,by the way Mange is not out there 2make everyone happy on that note sumtm I dont like sum posts but i gotta live with it!!