Who's Online
We have 341 guests online
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday6855
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week6857
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month53929
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933496
Login



MISS TANZANIA AFUTIWA MASHTAKA....
Written by Mange   
Thursday, 22 April 2010 15:16




MAHAKAMA ya Wilaya Kinondoni, imemfutia mashitaka Mrembo wa Tanzania, Miriam Gerald, baada ya mlalamikaji kuiambia mahakama kuwa hana mpango wa kuendelea na kesi aliyofungua.

Miriam pamoja na rafiki yake wa kiume, Kennedy Victor wamefutiwa mashitaka yaliyokuwa yanawakabili ya kumshambulia Shaaban Moshi kwa vitu vyenye ncha kali wakati shitaka la pili, ni kufanya uharibifu wa mali yenye thamani ya Sh720,000.

Hakimu waliyekuwa akisikiliza kesi hiyo, Kwey Lusemwa aliwaambia washtakiwa kuwa wako huru baada ya mlalamikaji kuonyesha kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo.

Awali, Mwendesha Mashtaka Mrakibu wa Polisi, David Mafwimbo alisema mahakamani hapo kuwa mlalamikaji ametoa taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi na akaagiza iondolewe.

Mrembo huyo alitwaa taji hilo, Oktoba 2, 2009 kwenye Ukumbi wa Mlimani City lakini alifanya vibaya kwenye mashindano ya dunia yaliyofanyika Afrika Kusini mwishoni mwa mwaka jana.

Akizungumza jana, Mratibu wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga alisema: "Niliwaambia Watanzania tuiachie mahakama ifanya kazi yake na leo hii ukweli umeonekana.

"Mimi siamini kama hili lilikuwa na ukweli ndani yake, ni mambo ya kupandikiza lakini tuyaache imeshaamriwa hivyo...," alisema Lundenga.

"Watu wanahukumu Miss Tanzania, lakini sivyo, sisi tunakaa na warembo muda mfupi sana, akitwaa taji, tunamtumia pale tunapomuhitaji na baada ya hapo anaendelea na maisha yake hatuwezi kumbana muda wote, sasa ni akili za wao wenyewe wajitambue nafasi yao.

Lundenga ambaye alirejea kuwataka radhi mashabiki wa urembo, aliwataka warembo kujitambua nafasi yao badala ya kufanya mambo yasiyokuwa na maana na kuharibu taswira nzima ya mashindano ya urembo

Source : http://www.mwananchi.co.tz/michezo/18-michezo-mingine/927-miss-tanzania-afutiwa-mashitaka

Comments
Add New Search
Anonymous   |2010-04-22 10:31:25
huyu kama angekuwa huku majuu na umiss keshatolewa, kweli bongo tambarare! no
school .
sally   |2010-04-22 10:41:20
mhh am sure hao washitakiwa walimuhonga pembeni jamaa ili asimamishe zoezi zima
la kesi,du ila ndo hivyo maji yalishamwagika kwa huyo miss na uongoz wote wa u
miss umewekewa dosari..
Anonymous   |2010-04-22 10:57:37
bibi tuliza nyonga uache ushankupe vinginevyo utachezeshwa yoriyori hadi ujiju
JUDITH   |2010-04-23 05:14:18
AMEFUTIWA KESI AU AMELIPA HELA ZA WATU KESI IMEFUTWA!! MTOTO MDOGO UNAJIWEKA
MIKOSI YA SEGEREA NA HUYO SERENGETI BOY WAKO
Anonymous   |2010-04-23 07:25:50
Judith wangu umeongea usipotee tena
Anonymous   |2010-04-22 13:46:57
firstt???? oh well hu really cares??im first lmfao!

Chikalita konkolita
Anonymous   |2010-04-22 21:04:02
Ndio matatizo ya kuchezea wazee wa mujini Pole Mungu atakusaidia
boliboli   |2010-04-23 04:49:45
hivi wewe juzi tuu U miss umeshaanza makeke nini hasa tulia mtoto acha
kujishongondoa mjini watakuburuzaaaaaaa mpaka uchakae umeonyesha nidhamu mbovu
sana kwa sisi wa TZ, yani wewe ulaya wanakuvuaaaaaaa mara moja U-miss wako
jirekebishe hata ukienda kwenye mashindano mengine huwezi pita wewe
kamweeeeeeeeee
Anonymous   |2010-04-23 05:56:35
Yaani huyo mnamshangaa nyie wa huko! sie wa huku mwz wala! maana hata
aliposhinda tulishangaa! kwanza HANA SHULE! PILI NI MUUZA K MAARUFU SANA HUKU,
TATU ALISHINDA MSS MWZ AKIWA ANAISHI NA MWANAUME KAMA MKE NA MUME. yaani wauza
samaki wote wamepita hapo! thats why yule dada ambae alikuwa anawatafuta na
kuwapeleka mpaka kwa waganga plus kuwauza na kuwahongea ngono ili washinde
amejitoa kuandaa maana ni aibu kwake sana.
Anonymous   |2010-04-23 11:41:49
Umbea umetowa wapi?
Joq   |2010-04-23 06:04:10
wew unajiona mzuri sana huna uzuri tulia mtoto wa kike, umeshaanza makesi mapema
hii duh pole shost ila jiheshimu
Anonymous   |2010-04-23 08:22:27
Kesi yako tumeisoma kule Harusi yangu!
Anonymous   |2010-04-23 13:59:42
ngoja niende kule nikasikilize vilio vya wanandoa hasa waleee wanaojidai
wakaliiii wakati unga umezidi maji
Anonymous   |2010-04-23 16:39:17
Usitukane mamba...
Anonymous   |2010-04-23 17:01:29
nishavuka mto niko ng'ambo
Anonymous   |2010-04-25 04:58:06
lol.. Mbavu zangu mie!
Anonymous   |2010-04-26 09:52:38
miriam pole saana kwa kufiwa na baba yako mzazi Mungu awatie nguvu katika
kipindi hiki kigumu cha maombolezo
NitaEWING  - reply     |2011-08-28 07:29:25
I will recommend not to hold back until you earn enough amount of cash to order
all you need! You can take the loan or just secured loan and feel free
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook