|
SUMU KWAKO DAWA KWA MWENZIO.... |
|
Written by Mange
|
|
Thursday, 22 April 2010 01:48 |
|
Guys, naona wengine mnatuma comments kwamba hii sio blog ya watu kuweka matatizo yao binafsi na matatizo yao ya mapenzi.
Well, one of the ideas behing uturn is to share our life experiences and be there for one another.Naamini hao wanaotuma story zao ni kwamba wanataka kujua watu wengine wanasemaje na labda wanahitaji ushauri wa watu wasiowajua ama wasioweza kuwajudge.
Kama wewe huzipendi hizo topics za personal life stories feel free not to read them……..hujalazimishwa kuzisoma au kuwapa ushauri,waache wanaoona hizo topic zinawa-interest wasome.
Humu ndani kila mtu ana chake anachokipenda na asichokipenda, so stop being selfish….

|