Who's Online
We have 305 guests online
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday6952
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week6954
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month54026
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933593
Login



MAGICAL TANZANIA OOOOPS MAGICAL KENYA....
Written by Mange   
Thursday, 22 April 2010 00:35



Dear Mange,

Katika kupitapita kwangu Underground @Tooting Broadway London nikaona hili tangazo..Almost kila underground london..Sasa kwan watanzania tunashindwa kuitangaza nchi yetu kama wafanyavo wenzetu wa Kenya?Je swali ni pesa za matangazo hatuna au?Je na kama pesa zipo kwa nini tusijitangaze kimataifa zaidi...!!Kila nikiulizwa where are you from?Am from Tanzania?Tanzania?Where is Tanzania?Mmmhhhh East africa near Kenya..Enheee ndio wanaelewa...Serekali itangazeni Nchi yetu ni kivutio kikubwa tu..

Hii picha imekosa tu Mlima Kilimanjaro ili wakamilishe Full adv..

Bijoux

Comments
Add New Search
Anonymous   |2010-04-21 20:05:55
Eboo!! Tujitangaze ili iweje?? mimi watu wengine mnanichefua. Tanzania huwezi
kutulinganisha na Kenya, tuna kila kitu, tuna madini hizo pesa za utaliii ni
peanut tu ukilinganisha na mafweza yetu ya madini. Ukisema sector yenyewe ya
utalii Tanzania ni kubwa kuliko kenya, hifadhi, mlima, ZnZ nk yaani huwezi
kutufananisha na hao!
M   |2010-04-21 21:26:45
to anyony wa kwanza..

so how come we're as well not know kama Kenyans ???
dont hate they r better than us heheee by the way am Tanzanian
Anonymous   |2010-04-21 23:28:12
Matapeli siku zote hufahamika mtaani kwani ww hujui hilo
Anonymous   |2010-04-21 21:38:17
mjitangaze ili mafisadi wazidi kuzikomba?? manake ni kuzidi kuwapa ulaji hayoa
majambazi yetu yanayojiita viongozi wizi tuuuuuuuu na mavitambi yao kama mifuko
ya rambo!
Anonymous   |2010-04-22 01:51:36
umeniacha hoi eti kaa mifuko ya rambo kali ya mwaka
Anonymous   |2010-04-22 07:16:41
hahahahaha kama mifuko ya rambo hiyo kali ,ni kweli jamani tukizidi kujitangaza
hiyo mifisadi ndio neema yao,bado hali ya watanzania wengi itaendela kuwa
duni,maji amna umeme ndio hivyo yani balaa tupu
Anonymous  - re:   |2010-04-22 08:42:35
[mtumishi,siju emukuwa hapa uk kwa muda gani ,lakini serikali ya tz nchi ya
balozi wasasa walifanikiwa kutangaza matangazo , kama hayo ,miaka kama miwili
iliyopita karibu underground zote ,pamoja na london bus. na london taxi.kwa hilo
naitetea serikali yetu.
Anonymous   |2010-04-22 10:31:03
Huyo ndo mara ya kwanza kutembelea UK hajui hayo yote..
Hata mi nakumbuka 2008
and some of 2009 ilikluwa ukiwa underground au ukiziona London buses basi
zimejaa karibu tanzania na taxi pia.. lakini speed ya matangazo imepungua
Anonymous   |2010-04-22 10:40:30
umesema miaka miwili iliyopita,kumbe imeshapita then what?bado nchi haijulikani
ukisema Tanzania mbele za watu kila mtu anakuangalia kama umetokea kwenye dunia
nyingine kwakweli inasikitisha ,kila siku huyo Mr Rais anasafili tu mara kwenye
Gala oh soon tutamsikia ameenda kwenye vipaimara vya watoto wa Obama ,kwanini
hiyo pesa isitumike kwenye vitu muhimu nchini?mahospital n.k haagh inaboa sana
Anonymous   |2010-04-22 13:04:04
Hawa watu wa Norway wanayajua wapi haya ndugu yangu.ok labda hamkusikia lakini
hamkuona kwenye mitandao yale matangazo yetu na am telling you yalikuwa bomba
kushinda hilo mwananchi.Swali wewe unafanya nini huko uliko kutangaza vivutio
vya Tanzania. :(
Anonymous   |2010-04-22 08:46:12
Nilshajisemea mwenyewe kuwa nchi ilishauzwa hiyo kwa mafisadi & the like, hakuna
kitu hapo. Tutapiga kelele lakini wapi........
DadaMkubwa   |2010-04-22 12:36:04
Jamani TZ sijui tunaelekea wapi
Hapa ofcn kwetu tunategemea kupata wageni ma
borb of trust toka USA Mijitu yenye mahela yao wanakuja na wake zao so
tukajaribu kuingia kwene website ya serikali ili kupata mambo ya tourist BUT ile
kuklik kwanza nadhani kwa mara ya mwisho wame-update 2years ago then ika tu ling
kwene private website iliyoko UK
Jamani kama kuna mtu wa wizara ya utalii
afanye kitu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Anonymous   |2010-04-22 13:39:42
haterrrz..am tanzanian and i think Kenya is better than us,economically,social
life na pia utalii......dont hate on them just coz they know how to get there
stuff together,na wamassai wapo kenya pia,wengi sana kwanza ,and the have mt
kenya and its peaks.....and a great tourism industry.......remove the log in our
eyes before we pick on the peck in theirs.......sio watapelu,they're no
different from us...they are just smarter..
mmi daima mtanzania
Anonymous  - re:     |2010-04-22 14:27:19
Anonymous wrote:
mjitangaze ili mafisadi wazidi kuzikomba?? manake ni kuzidi kuwapa ulaji
hayoa majambazi yetu yanayojiita viongozi wizi tuuuuuuuu na
mavitambi yao kama mifuko ya rambo!


acha ukapuku wewee.... umbea umejaliwa mengine yoooote ziro.nchi
ikijitangaza ni vizuri hata huo utaliii pato
litaongezeka,investors watavutiwa kuja nasi tutapata ajira na
watalipa kodi n.k!
itanichukua muda kumuelewesha pimbi kama wewe lkn
elewa tu bibi wewe, nchi ni muhimu ijitangaze ijulikane kuna faida ya hilo
jambo, sio unaongea tu chochote sbb umepewa domo refu ka chupa ya jiki
ulitumie bure.
Anonymous  - re:   |2010-04-22 16:49:06
Anonymous wrote:
mjitangaze ili mafisadi wazidi kuzikomba?? manake ni kuzidi kuwapa ulaji
hayoa majambazi yetu yanayojiita viongozi wizi tuuuuuuuu na
mavitambi yao kama mifuko ya rambo!


LOL!, LOL!.... hahahaaaaaa!,

Say it the way it is ndugu.... mifuko
ya rambo!, lol!,
Don't I just love Tanzania...I mean Tanzanians!
Anonymous  - re: re:   |2010-04-23 14:21:56
Anonymous wrote:
Anonymous wrote:
mjitangaze ili mafisadi wazidi kuzikomba?? manake ni kuzidi kuwapa ulaji
hayoa majambazi yetu yanayojiita viongozi wizi tuuuuuuuu na
mavitambi yao kama mifuko ya rambo!


acha ukapuku wewee.... umbea umejaliwa mengine yoooote ziro.nchi
ikijitangaza ni vizuri hata huo utaliii pato litaongezeka,investors
watavutiwa kuja nasi tutapata ajira na watalipa kodi n.k!
itanichukua
muda kumuelewesha pimbi kama wewe lkn elewa tu bibi wewe, nchi ni muhimu
ijitangaze ijulikane kuna faida ya hilo jambo, sio unaongea tu
chochote sbb umepewa domo refu ka chupa ya jiki ulitumie bure.
we mende mweusi domo ka unapuliza moto naona kimekutachi saaana
babako ni mmoja wao nini? kwani nani hajui nchi inakombwa au ni hiyo
akili yako iliyoganda mavi ndo kujidai unajua saana uchumi hao
investors hawana jipya wezi kama hao viongozi wenu then un...
Anonymous  - re: re:   |2010-04-23 14:34:41
Anonymous wrote:
Anonymous wrote:
mjitangaze ili mafisadi wazidi kuzikomba?? manake ni kuzidi kuwapa ulaji
hayoa majambazi yetu yanayojiita viongozi wizi tuuuuuuuu na
mavitambi yao kama mifuko ya rambo!


acha ukapuku wewee.... umbea umejaliwa mengine yoooote ziro.nchi
ikijitangaza ni vizuri hata huo utaliii pato litaongezeka,investors
watavutiwa kuja nasi tutapata ajira na watalipa  
we fala jike umesahau ishu ya richmond eeh? hao investors wameleta nini
hasa cha maana ? umeme wa mgao maji mgao barabara duni hospitali
no madawa miundo mbinu mibovuuuuuuuu ka ubongo lala wako katangaze
maisha yako ulivyochoka upate msaada manake una dhiki
hadi mku......
itanichukua muda kumuelewesha pimbi kama wewe lkn elewa
tu bibi wewe, nchi ni muhimu ijitangaze ijulikane kuna faida ya hilo jambo,
sio unaongea tu chochote sbb umepewa domo refu ka&...
Bijoux   |2010-04-25 08:47:46
We mdau juu umesema matangazo yalikuwa 2yrs ago sasa matokeo yako wapi?Nchi bado
iko vile vile haijulikani...!!Alafu kwa taarifa yako 50% ya bajeti ya Tanzania
kila mwaka ni msaada kutoka Norway....Sasa unataka kusema nini?Tanzania
wameshazoea misaada hadi pesa za matangazo wanagoja kibakuli kijae...LOL
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook