Who's Online
We have 278 guests online
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday7051
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week7053
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month54125
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933692
Login



MDOGO WAKE BRAD PITT AWA GOODWILL AMBASSADOR TO TANZANIA
Written by Mange   
Wednesday, 21 April 2010 22:27




Great news,

President Jakaya Mrisho Kikwete kamchagua mdogo wake Brad pitt, Doug Pitt kuwa the first Goodwill ambassador to Tanzania…

Kwa kweli Tanzania inabidi tujitangaze nchi za nje, we have such a beautiful country.

Manake nimechoka kuulizwa Tanzania ipo wapi?inabidi useme ipo Karibu na Kenya, hapo ndo mtu anaelewa.

Kwa habari zaidi ingia humu

Comments
Add New Search
Anon   |2010-04-21 18:20:11
Mbona unachelewa hivi
JUDITH   |2010-04-22 04:50:25
HEEEEEEEEE HALO JAMANI TUHAKIKISHE KATUACHIA MBEGU HUYU MPAKA KAKA YAKE NA
SHEMEJI YAKE WAJE WA ACT NA KANUMBA
Anonymous   |2010-04-22 12:40:10
Uwiiii! judy mbavu zangu, kwi kwi kwi!!!!!!!!!!
emmy  - Judith   |2010-04-23 07:57:37
Yani kama kuna mtu ana nikuna kwa comments ndani ya U-turn ni Judith!! u have
funny comments. Please keep giving doses, I like u baby!
Anonymous   |2010-04-21 18:27:22
Mange I agree with u my dear, na mi nimechoka kila siku kujibu wazungu huku
where is TZ eti ipo karibu na Kenya maana ndio wanayoijua tu peke yake
EastAfrica, I try so hard kuwafundisha na kuwaelimisha lakini ni kweli Tanzania
haijulikani sana, it's about time, tuliopewa nafasi ya kuishi nje let's do what
we can kuitangaza nchi yetu nzuri!!!
Anonymous   |2010-04-21 18:27:40
kachelewa umeona kwenye blog gani ya kitanzania hii habari acha ushakunaku
Anonymous   |2010-04-21 18:50:37
kwa michuzi last week, usijibu tuu
JUDITH   |2010-04-22 04:52:29
KWAI ALIYE WAHI ANANINI NA ALIYECHELEWA ANANINI??KWANI NI MTU KACHELEWA NDEGE AU
SHENZI WEWE
Anonymous   |2010-04-21 18:42:42
e ehe wadada wapenda wazungu tujipange sawa sawa, mtarimbo huo unaingia bongo!
du
Anonymous   |2010-04-21 19:32:14
hahahaha mdau umenivunja mbavu ,'eti mtarimbo unaingia bongo' na unaingia
kweli kama nawaona madada bongo wanavyojiandaa kazi hipoooooooooooooooooooo
Anonymous   |2010-04-21 19:43:02
anataka kuwa kimada au ? mke wake huyo hapo full kumlinda lol
Anonymous   |2010-04-22 12:41:34
hata kimada poa,waoaji wenyewe wako wapi
Bijoux   |2010-04-21 19:08:44
Tanzania itajulikanaje na wakati hatuitangazi...Nenda london kila kota mabango
ya wa kenya wanaitangaza Inchi yao MAGICAL KENYA...kOTE CCN wanaonyesha tu
Kenya..Tanzania pesa za matangazo wanaweka mifukoni..Na mimi pia nimechoka
kujibu kuwa Tanzania iko karibu na Kenya...
Anonymous   |2010-04-21 19:13:26
Aliyesema ni mdogo wake Brad Pitt nani? Kwani jina likifanana ndio mdogo wake.
Acha kupotosha umma.
Anonymous   |2010-04-22 13:36:20
Ni mdogo wake Brad Pitt huyo we mjinga.. hujawahi kumuona huyo kwenye
documentaries na kaka yake au unajifanya mjuzi? Au we ndo mdogo wake Brad Pitt?
inabidi uanze kusoma intertainment news manake uko mjinga mjinga hujui kitu
mporipori we..
Anonymous   |2010-04-21 20:31:25
hata mie kila siku nasemaga TZ iko karibu na kenya mpk sasa huwa najiita mkenya
kuavoid further questions..
M   |2010-04-21 21:32:52
lol, same here, Kenya sounds better kwanza and easier if u saying ur tanzanian
they will be like what tanz wat???lol
JUDITH   |2010-04-22 04:53:45
TUKIPIGANA VITA WAKIJA KUTUUZIA SIRAHA NDIO WATATUJUA
Anonymous  - re:   |2010-04-21 21:43:50
Bijoux wrote:
Tanzania itajulikanaje na wakati hatuitangazi...Nenda london kila kota
mabango ya wa kenya wanaitangaza Inchi yao MAGICAL KENYA...kOTE CCN
wanaonyesha tu Kenya..Tanzania pesa za matangazo wanaweka mifukoni..Na mimi
pia nimechoka kujibu kuwa Tanzania iko karibu na Kenya...



bijoux unapata shida ya nini? mie huwa nwawamaliza kabisaaa natokea
south africa tena cape town basi wananiheshimu manake wenzetu
wako uuuup sio hilo linchi ufisadiiiiiii miundo mbinu mibovuuuuuuu
akha
Anonymous   |2010-04-22 04:05:17
omg...same here....kufupisha habari nasema mie msouth....loh nachooka kujibu
maswali fyoko eti tz? ipo wapi?.....arghhh :angry:
Anonymous  - re:   |2010-04-21 21:46:35
Anonymous wrote:
Aliyesema ni mdogo wake Brad Pitt nani? Kwani jina likifanana ndio mdogo
wake. Acha kupotosha umma.
bibiee acha ubishi weee tena ni mdogo wake brad pitt utomaso umekuzidi
ingia google kukata mzizi wa fitna sio kila kitu ubishi tuuuu ka shipa!
Anonymous   |2010-04-21 21:48:50
jamani hicho kitu kina mvuto wa kufa mtu yaelekea hiyo famila ya kina brad wana
mvutoooooooo kweli ningekipata hicho kifaa ningenenepa roho lol!
raneta   |2010-04-22 05:01:43
yani hii nchi sasa tumeichoka jaman kenya wanaitangaza nchi yao sana sisi tuna
vivutio vingi sana lakini cha ajabu viongozi ndio kwanza wanakula kuku jaman
tuitangaze nchi yetu,lakini hawa viongozi mbona tumewachoka kila siku kula
tuuuuuuuuu mara Richmond,mara Epa sijui nini yani mmezidi ufisadi tuu Tanzania
hakuna cha maana ndio maana vijana tunakimbia nchi mbovuuuuuuuuuu
Anonymous   |2010-04-22 07:10:01
halafu bado tunashobokea watoto wao" ooh mara intelligent women mara
powerfull business man in dar! intelligent my Ass! powerfull my foot! wakati
baba zao wameiba hela zetu wakawapeleka wtt wao shule nzuri na kuwaingiza kwenye
system! YAANI TANZANIA!
Anonymous   |2010-04-22 10:49:59
kweli kabisa tunawashobokea kupita kiasi ,sijawahi kuona mtoto wa wa mkubwa ana
panga mstari kuomba kazi ,wote wakimaliza shule eithet wamemaliza or
hawajamaliza either wamepass or wamefail watapewa kitengo sie wa masikini ambao
baba zetu walishajifia kupata kazi mpaka ushikwe shikwe matako,ndio upate kazi
kweli ,MWENYE NACHO............
Anonymous   |2010-04-23 06:18:28
yaani shost umeonge kweli kbs, mm ni huyo juu yako nilieanza kublame abt
kuwashobokea wtt wao! hapa natafuta kazi, hata wakunishika matako akitokea na
kunipa kazi simuoni! elimu yenyewe ni kadiploma tu. niende uni then hii extended
familia si itakufa na njaa. YAANI TANZANIA.........
Anonymous   |2010-04-22 13:39:40
Hahaahah.. SO SO TRUE. Wangesoma madongo kwinama primary na mabonde kuinuka
secondary then wakaenda Uni kwa shida na wakaishia walipo ningewaheshimu sana..
lakini wizi mtupu.. kwa PESA ZA SERIKALI..
Anonymous   |2010-04-22 10:19:50
kama mnaona aibu kusema mnatoka TANZANIA kwa kuwa haijulikani semeni mnatoka
where CHENGE comes from, the man with RADA issue, maana aliandikwa kwenye
magazeti yatolewayo bure ya hapa UK yaitwayo METRO, yanayopatikana kwenye
matreni na vituo vya Treni, esp . wale walioko hapa UK, ukimwambia tu hivyo
mzungu , the next QNS, atakwambia ok now i know TZ, pia atakwambia so are you
here for another deal as well? au atakwambia so you're a milionere as well,
mjibu tu ofcource yes, atakuheshimu straight away, wewe pamoja na nchi yako.
Anonymous   |2010-04-22 12:44:03
Hahaha! mdau umenifurahisha
Anonymous   |2010-04-22 13:40:33
Hahahahahaha. Kiboko.
Anonymous  - re:   |2010-04-22 16:35:13
raneta wrote:
yani hii nchi sasa tumeichoka jaman kenya wanaitangaza nchi yao sana sisi
tuna vivutio vingi sana lakini cha ajabu viongozi ndio kwanza wanakula
kuku jaman tuitangaze nchi yetu,lakini hawa viongozi mbona tumewachoka kila
siku kula tuuuuuuuuu mara Richmond,mara Epa sijui nini yani mmezidi
ufisadi tuu Tanzania hakuna cha maana ndio maana vijana tunakimbia nchi
mbovuuuuuuuuuu


I agree!, mchosho mtupu, niitangaze ya nini!
Anonymous  - re:   |2010-04-22 16:36:21
Anonymous wrote:
e ehe wadada wapenda wazungu tujipange sawa sawa,  mtarimbo huo unaingia
bongo! du


LOL!
Anonymous  - re:   |2010-04-22 17:00:36
Anonymous wrote:
halafu bado tunashobokea watoto wao" ooh mara intelligent women mara
powerfull business man in dar! intelligent my Ass! powerfull my foot!
wakati baba zao wameiba hela zetu wakawapeleka wtt wao shule nzuri na
kuwaingiza kwenye system! YAANI TANZANIA!


I know, this's very true, it's soo ridiculous, hakuna utu hata kidogo.
They're stealing trillions of money, make their life good and
comfortable, make themselves popular, then put their children back to
the sytem to strenghen the cirlcle. Un f....ing believable!
Anonymous   |2010-04-22 18:46:10
aibu sana kusema eti huwezi sema tanzania ni waoi?kama wewe huwezi tangaza nchi
yako why wait 4 others to do it 4 u????anza wewe.....tena start now....
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook