|
MODEL WA KIBONGO ACHENGUA EUROPE...... |
|
Written by Mange
|
|
Thursday, 01 April 2010 00:36 |
|

Vivien akichengua wazungu kwenye fashion show

Vivien, wa tatu toka kulia akiwa kwenye picha ya pamoja na ma-model wenzie
Guys, mnamkumbuka Vivien Yule dada mrembo aliekuwaga anatuandikia zile article za beauty, fashion and style alafu akaacha kwasababu ya kusafiri kwingi?
Well, she is doing very well huko spain kama model wakitanzania. Hivi ni vipande vya gazeti moja huko Europe.
Uko juu mama , keeping doing Tanzania Proud..
|