|
Written by Mange
|
|
Thursday, 01 April 2010 00:18 |
|
Mimi ni msichana wenye miaka 27. Kwenye maisha yangu nimekuwa na mahusiano na wananaume watano wa kitanzania. Ukweli ni kwamba tabia zao ni mbaya sana kwa mfano, wananume wa kitanzania hawajui kuthamini mwanamke, wanadhani kuwa na mwanamke zaidi na mmoja ni haki yao.
Kwa kweli nimemua kuwa serious kutafuta mwanaume wa kizungu kwa sababu nimeona walioolewa na wazungu wana amani sana na ndoa zao. Tatizo likakuja kwamba sehemu zote za starehe wanazokwenda wazungu kwa hapa dare s salaam zimejaa machangudo (Malaya) mpaka naingiwa na wasiwasi kwamba mzungu atakae kutana na mimi sehemu kama hiyo anaweza kudhani na mimi ni wale wale.
Je, mnaweza kunishauri ni sehemu gani za maana Dar es salaam na weza kwenda ili nikutane na mzungu mwenye heshima zake, bila kujikuta nipo katikati ya machangudoa?
Kuwasiliana na uturn tuma email kwenda
This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it
|