|
RICKY MARTIN AJITOA HADHARANI KUWE YEYE NI GAY..... |
|
Written by Mange
|
|
Tuesday, 30 March 2010 22:46 |
|

Jamani mna mkumbuka Yule jamaa wa kilatino alieimba ile nyimbo living la vida loca? Ricky Martin? I remember ile nyimbo ili pendwa ile mbaya, kila kona ilikuwa Living La vida loca…
Basi wale mademu wote uliokuwa unawaona kwenye video za Ricky Martin anawashika shika, ile yote ilikuwa danganya toto.lol
Jamaa kajitangaza hadharani juzi kwenye internet kwamba yeye ni homosexual,meaning he is gay anawahusudu zaidi wanaume wenzie kwenye mapenzi na sio mademu.
Ukweli ni kwamba mimi binafsi im not surprised kabisaaaaaa, Ricky always acted gay, he was too pretty,lol, everything about him was just very feminine.
Mdau je na wewe hukujua huyu jamaa ni chakula ya watu???(just kidding don’t mean to offend the gays)
kwa habari zaidi ingia humu
">
kwa mliokuwa mmemsahau kila kideo hicho..
|