Who's Online
We have 349 guests online
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday6777
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week6779
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month53851
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933418
Login



TRAFFIC LIGHT PARTY FEKI....
Written by Mange   
Monday, 29 March 2010 00:05

Flier ya Traffic light FEKI

Hivi kweli unasubiri mtanzania mwenzio aanzishe kitu then wewe unataka tu kutengeneza pesa kwa kutumia idea zao?

Huyo ni uizi wa kiaina na vile vile unaweza kuwa sued,

Haya sasa kuna ma-dj fake wa huko Malaysia, dj sniper,dj slim etc wameamua kufanya TRAFFIC LIGHT PARTY huko Malaysia.

Kama mnavyojua Traffic light party, ilianzishwa na Mr.Gonga na Martin Jump Around. It was a great success in Bongo, Nimesikia huko London ndo kabisaa and I hear very soon inaenda Marekani.

Sasa huyo Dj Sniper ambae kwenye facebook page yake anajiita SNIPER MANTANA katoa hiyo Flier kama unavyoiona hapo juu, eti kaiweka facebook kawatag watu kibao wanaoishi Malaysia. Mie nimeiona last night kwenye facebook page ya mdogo wangu wa kiume ambae anasoma Malaysia so I was like kweli Traffic light party imekuwa international sasa imefika Malaysia.

Bahati nzuri au mbaya leo nimekutana na mmoja wa owners wa Traffic light party ,nikamwambia nimeona mnaenda kurusha another party in Malaysia msikose kunitumia picha for uturn and he was shocked , yani kama haelewi naongelea nini, baada ya kuingia facebook akaona, duh kumbe wajanja wameshaiba idea wanaitanganza traffic light party kama yao vile.

Guys, shame on you, shame on you mara 10 kama mmependa hiyo party ya traffic light waombeni wenye party mfanye, ofcourse u gonna have to give them something, ila sio fresh kumfanyizia mtanzania mwenzio..

Anyways, watanzania mliopo Malaysia msiende kwenye hiyo party just to teach them a lesson cos hao waandaji ni wajinga tu wasio na akili ya kufikiria kitu wenyewe na hawana hata ustaarabu wa kuomba rights ya kufanya hicho kitu, and im sure the party wont be the same cos its being done by CHEATS….

Nimeblock venue and date kwenye flier kwa makusudi cos sikuwa na haja ya kuwafanyia marketing kwa party ya wizi….

WATANZANIA TUPENDANE….

Flier ya Traffic light ya ukweli


Jamani watanzania mbona hatuna ustaarabu???

Comments
Add New Search
Anonymous   |2010-04-01 18:02:47
TRAFFIC LIGHT PARTIES HAVE ALWAYS BEEN THERE TOKA ZAMANI SWEETHEART!!I
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook