Who's Online
We have 375 guests and 1 member online
  • Fleetaves
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday6651
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week6653
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month53725
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933292
Login



MAPENZI AU USANII....
Written by Mange   
Sunday, 28 March 2010 22:03

Dear Mange, ( naomba mail yangu usiitoe hadharani pls)
Naomba ushauri wako na pia kwa wasomaji nisaidieni nimechanganyikiwa
mimi naishi China ,nilikutana na jamaa mtanzania china alikuja kwa shangazi yake anae ishi China jamaa anasoma ( Marekani ) tulipendana sana na uhusiano wetu hivi sasa ni mwaka moja , na kwakuwa anasoma marekani huwa anakuja china kuniona mara mojamoja. na akiwa marekani huwa ananipigia simu kila siku, tunawasiliana vizuri tuu, mara ghafra akaanza kubadirika, tukawa tunagombana kila siku ikawa ni kero, sasa basi, jamaa alinificha kuwa ana demu mwingine mzambia ambae alikuwa demu wake wa zamani wakati wanasoma collage, na amekaa nae all most miaka 2. mimi niligundua kwa kupitia hizi site za kutafuta urafiki,( internet) jamaa yangu alikuwa huko na huyo demu pia wanawasiliana kwenye hio site , ni mapenzi matupu, na kutongozana humohumo na kukumbushana , kila kitu kiko open any body can see, na huwa wanaandikiana kila siku nilivyoona ilibidi nimuulize kulikoni, Alishtuka kwanza, hakutegemea kuwa naweza kujua, akanijibu alikuwa demu wake wa zamani, na alikuwa anampenda na hawakugombana kwahio sio mbaya kuwasiliana ila maneno yasiniumize kwani ananipenda mimi, ndio chaguo lake,, nahisi kama wanapigiana simu ila sijawahi kumkamata, mbaya zaidi ukoo wa huyo demu wake wa zamani jamaa anawafahamu wote na pia demu ana 100% kuwa jamaa anampenda( kwa kuangalia maongezi yao.)
Sasa wadau kila siku ananiambia ananipenda, mimi, sielewi kama ni kweli au laa, nikiongea na jamaa kuhusu huyo demu anajifanya hakumbuki na haelewi na hataki kuongelea, anasema kuwa mimi ndio demu wake, nisaidieni mawazo jamanii jamaa simwelewi hata sijui nimfanye nini?

Sarah

Comments
Add New Search
Anonymous   |2010-04-02 20:44:57
Shostito kusoma hujui hata picha pia huioni!!??!! Pole bi dada huyo bwana ni
FATAKI hakufai hata kidogo anakupotezea muda wako burrrrrrrrreeeeeeee!!!!
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook