25May

BONGOLICIOUS BY MANGE KIMAMBI @ LADY IN RED....

OMG, I HADNT SEEN THIS VIDEO....

Thanks mdau kwa kunitumia hii link...

You can see Nancy Sumari and i on the runway dakika ya 5.30....

And you can see Nancy by herself dakika ya 1.09..

OMG, i was soo nervous, you can see i was shaking...lol..

Yani mie ujanja wangu ni humu humu kwenye blog, nikiwa mbele za watu huwa natetemekajeeee......heheheheh

OMG Salma (MC) Ulifagiliaje Bongolicious , bado sijasahau

 

Thanks babe...

25May

MEMORIAL WEEKEND FUN......

 

Bongolicious African Print dress.

Available for sale tomorrow.

Dress will come in

US sIZE 4,6,8,10,10,12,14

WWW.MYBONGOLICIOUS.COM

Bongolicious African Print dress.

Available for sale tomorrow.

Dress will come in

US sIZE 4,6,8,10,10,12,14

WWW.MYBONGOLICIOUS.COM

 

 

 

I look sick right???? lol...

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Daddy is home... yeeeeiiiii

 

Picking my meat... The Argentinians know their meet meein....

 

 

 

Dinner for 2....

So i ate till i couldnt eat anymore....

 

23May

TOA $25 UPATE $100.....HEHEHEHHE

Ukweli ni kwamba im not a gambler, yani gambling just aint my thing so

this is completely new to me..

Last week nilienda Petrol station kuweka mafuta kwa mara ya kwanza nkaingia ndani

coz for some reason my card wasnt working kwenye pump, nkakuta some guys ananunua hii scratch card,nkasema ngoja nijaribu huku

nawaza $25 yangu ikiliwa ntaliajeeeeee. Nkanunua ,ku scratch nkapata dola 100...

uwiii mpare sikugeuka hata nyuma nkaaga fasta nkaondoka kidogo nisahau hata kuweka mafuta.hahahahhaha

i have never won anything in my life, acha nifurahi...

Leo tena nikaenda the same petrol station nkanunua the same exact scratch card for 25 dollars

nkapata tena dola 100...

Uwiii sikugeuka nyumba maaana nliogopa wasije kuniita wakaniambia wamekosea wakaninyang'anya dola 100 yao....hahahahhahha


Hivi is it possible hizi scratch cards zooote zimejaa dola 100????

how cool is it kutoa dola 25 unapewa dola 100???? hahahahahah

Waiting for the dude to give me my dollar mia....lol...

nacheleaje kimoyo moyo, jamani pesa ya bure tamujeeeeeee

 

Uwii kitu na box ,i almost sprinted to my car....

hahhahhahahahhaa......

have you guys played this game, mlipata dollar 100?

mie nataka tu guarantee kuwa kila niki scratch napata dollar 100 inanitosha sana

hayo mamilioni ndo ndoto za abunuwasi.....

23May

THROWBACK THURSDAY......... EDUCATION IS SEXY......

One of the 14 photos that Gulf news published about the graduation ceremony at my uni had my face all over it......

#Graduatebehaviour #educationissexy.....

 

Exchanging numbers, yet we never kept in touch.... what a shame!!!

 

The graduate...... I love this Classy, elegant pencil dress so much yet

sijaivaa tena toka niivae on my graduation....... inabidi niitafutie mtoko sasa....lol.

 

I was too skinny then....lol... Those cheekbones!!!lol...

 

 

 

 

 

 

On stage getting my degree....aaaawwww....

 

 

 

Official Graduation Photos....

 

 

 

 

 

Ladies, hakuna kitu kwa mwanamke kama elimu. Education sets you free.....

Education giveS you options and choices in life.

Mie i have always wanted to be a business woman because i was raised by a very successful businessman

kufanya kazi kwa mtu haijawahi kunikaa akilini....

So wengi wamekuwa wakiniuliza why did you bother kufanya masters degree wakati hata huitumii unafanya biashara zako?

well , i wanted to have a backup plan just incase the business thing doesnt work out.

I mean hata kama bongolicious haito work out im not going to be cooking burgers at McDonalds, thats' for sure...lolest...

Ntapata tu kazi kwenye kiofisi cha mtu....lol...

Na kama ningekuwa bongo ndo kabisaaaaa ningekuwa kameneja kwenye bank or something like that....lol....

So nawaambiaga watu soma kwanza then ndo uanze kujaribu mambo ya biashara and all that crap you want to try out.

Na kwa wale wanaodhani siitumia MBA yangu yani ndo hamjui kabisaaaa, kusema ukweli if it wasnt for the business knowledge i acquired

from my MBA bongolicious ingekuwa ishakufa by now but because of all the business knowlege i have ndo maana

biashara yangu has been making money from day 1. Most businesses start making money after 2 yrs and some die before 2yrs.

Bongolcious has been a money maker from day 1. some said how come nna MBA alafu nauza nguo kama watz wengine ambao hawajasoma

incase you havent noticed i have totally differentiated myself, i have created a niche for myself especially huku US. I studied the business

na nikaona zile nguo za kizungu huku US ntachemsha the competition is soooo stiff, nika badila strategy yangu nka base my business on African Prints huku marekani

and nguo za kizungu kwa Bongo. Na hata bongo i differentiated myself vile vile, i  create a hype for my arrival in Bongo and Arusha and i sell all my stuff in 2 weeks

wakati wauza nguo bongo it takes them months to sell stuff that take me just 2 weeks to sell.

Yes im in the same business but im doing it sooooo much better....

hehehhehe, chezea kujisifia mweneyewe


Anyways, all wouldnt be possible kama Mwenyezi Mungu asingepokea sala zangu....


So for me this is what i choose to do with my education. Ila kwenye biashara kuna kushindwa na kushinda na siku

nikishindwa sina wasiwasi sababu najua I AM AN EDUCATED WOMAN,, Ntapata kazi siku yoyote ile.....


EDUCATION IS SEXY LADIES.....

23May

LEBRON KILLED IT TONIGHT.......

OMG, LeBron is da shiiiiiiiiit........

FINE BOY, NO PIMPLE....... LOL

So I put the kids in bed early i jumped into bed myself and started watching the NBA Playoffs

Miami Heat VS Indiana Pacers.....

Yani nimeng'ata kucha, nimejigonga sababu ya midadi, mpaka nikaamka kuwasha taa, nikazima tena, full midadi,

thats how nerve wrecking the game was.,,,,

Yani at the very end i though my beloved Miami Heat had lost the game then 2 seconds before the ref blows the whistle  Le Bron just shocked the word

and won the game for the heat, yes 2 seconds before the game ends.......

EIISH, hivi huyu jamaa labda ana Mganga wake au anasafaria nyota za wenzie? au labda Free Manson??? HEHEHHEHEHEHEHEHHE

kIBONGO BONGO HIYO,,, Bongo uki succeed kidogo tu basi watu lazma hayo matatu....hehehehhehe

 

23May

BONGOLICIOUS KILLING IT ON EBAY & ETSY........

OMG,Bongolicious is really taking off on ETSY............

99% of my ETSY clients are none Tanzanians.

Duh, God is good people....

CLICK HERE TO FIND US ON ETSY

 

 

I just got this feedback from one of my clients like 5 mins ago.

Small startups like Bongolicious survive on good feedback from clients...

Never underestimate the power of word of mouth.....

 

So Bongolicious has been on Ebay for more than 1 month without anyone buying anything

but the last 2 weeks have been different, people have started buying  on EBAY.....

Im still under alot of quantity restrictions because im a new seller, which means siruusiwi kuweka vitu vingi vya kuuza

mpaka niki proove im not a tapeli then  i can sell lots of items at once.  The new seller restriction suck big time....lol....

OMG, im sooooooooooo happy....

CLICK HERE TO FIND US ON EBAY