20June

DRESS SHIPPED AND DELIVERED IN ZANZIBAR.....

Hey guys,

if you ever wanna buy anything from Bongolicious na uko bongo dont think twice na kuogopa mzigo hautofika..

Just last week i sent a package to a girl in Zanzibar kupitia posta ,yes ile posta ya kawaida na kaupata mzigo zanzibar....

I get tracking numbers for all my mizigos.....


Yani im sooo excited kaupata maana nilikuwa sijawahi kutuma kitu Zanzibar..... Aaaawwww

20June

NAOMBA USHAURI......

 

Hi Mange!
Mimi ni binti naishi Dar es Salaam.. Naombeni ushauri wenu wana U turn.
Mimi nina boyfriend na tunakama miezi mitatu toka tuanze mahusiano yetu.. Boyfriend wangu ni mtu mwenye umaarufu kidogo hapa bongo kwasababu ya kazi anayoifanya inamkutanisha na wasanii na watu wengi. Kipindi ananifuata alinieleza kuwa alikuwa na girlfriend wanaishi wote kwake lakini wameshindwana tabia na kuachana. Siku niliyokwenda kwa yule kaka kwa mara ya kwanza nilikuta kunanguo na viatu vya kike nilipomuuliza akaniambia ni vitu vya yule girlfriend wake walioachana.. Akaniambia yule binti amesusa kuchukua hizo nguo na viatu kwasababu alinunuliwa na boyfriend wangu..
Kwa kipindi chote cha miezi mitatu tumeweza kukaa vizuri tu. Ki ukweli ananipa mapenzi ya dhati..Mimi ninakaa kwangu na yeye anakaa kwake so kila ijumaa mimi huamia kwake tunaspend wote weekend na juma3 asubuhi naamka kuelekea kazini na kuonana ni mpaka ijumaa tena.. Ki ukweli muda wote ninaokuwa nae sijawahi kuona wala kuhisi jambo lolote baya.
Ijumaa iliyopita nilipoteza pochi ikiwa na simu zangu zote na document za benki na vitu vingine vingi. Kwakuwa sikuwa na namna ya kuweza kutoa pesa, mpenzi wangu akanipa mwenyewe simu yake1 nitumie mpaka nitakapo kuwa sawa.. Tatizo limeanzia hapo wapenzi. Nilipofika kwangu jumatatu nimekuta mambo mengi kwenye simu ya boyfriend wangu hadi nashindwa kuamini..Mpenzi alisahau kulog out e-mail yake, akaunti yake ya facebook, twitter na hata kufuta sms za kawaida kwenye simu..
Nimekuta meseji za wasichana wengi kwenye simu wakiwasiliana na boyfriend wangu kwenye facebook, twitter,kwenye e-mail na hata kwa sms za kawaida wakimtaka kimapenzi...  Ki ukweli wengi amekuwa hawajibu na wengine amekuwa akiwaeleza ukweli kuwa ana girlfriend. Kilichoniumiza ni kukuta dada aliyeniambia wameachana bado wanaendelea kuchart vizuri na  huyo  dada analalamika kwanini siku hizi anampotezea na anataka kurudi hapo nyumbani na boyfriend wangu anakuwa anamkatalia. Pia kuna mdada mwingine nae wamekuwa wanawasiliana na kupanga wakutane weekdays..
Roho inaniuma sana kwasababu nilikuwa nimempenda sana na bado roho yangu inampenda sana. Mpaka sasa sijamueleza lolote na nafikiria ijumaa hii nikikutana nae sijui kama nitaweza kuvumilia hasira zangu.
Naombeni mnishauri mdogo wenu nifanye nini..
Please Mange naomba usiweke e-mail address yangu hadharani.
Kuwasiliana na sisi tuma email kwenda This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it

 

20June

THROWBACK THURSDAY........

The very first car my then boyfriend now hubby ever bought for me.....

I loved loved loved my jaguar......

I gave it to one of the most important people in my life as a gift........

That waist line though.........lol

18June

ANGALIA VIDEO YA MTANZANIA ALIESHIKWA NA SEMBE EGYPT.....

Hard to tell if she is guilty or not.....

Im not a professional ila i think kalilazimishwa kubeba ili apelekwe kumuona cousin wake huko jela

Jamani kako soooo sweet.......

Hivi bado kuna wabeba unga  wanabeba kwenye masanduku ??? I thought wanameza......

18June

TATIZO LA MAJI UKENI....NISHAURINI

Wapendwa naomba mnisaidie nina tatizo la kuwa na maji maji ukeni especially wakat wa sex yani yananikera sana...nishaurini nifanyeje niondokane na hili tatizo maana nakosa raha inanifanya hadi K ina jamba wakati wa sex nakosa raha i feel like humiliation kwakweli.

Kuwasiliana nasi tuma email kwenda 
 This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it