Wapenzi you make it hard for me to blog freely these days.......
Post ya Bishes nahisi commnets zingefika elfu moja leo.....lol...
Yani mlipokuwa nyie mie sipo kabisaaaaaaa, i don't know how or why ile post yangu ilienda mbali vile.
Mbona watu kibao wanawekaga repost? Mie nikiweka inakuwa balaaaaaaa.....lol..
Guys i don't have a problem with anyone, thats for sure...
Life's too short to spend it being angry and mad....
Also kufatilia maisha ya mtu/watu ndo mbaya zaidi unaweza kufa na presha....lol...
So please don't fatilia maisha ya watu and conclude this will upset Mange or not.......
Mie sipo huko kabisa yani,,,
Yani mngejua ile post ya bishes nilikuwa namaanisha nini mngeshangaa sana. Wala haikuwa about whoever you thought it was.Sina issue nao maskini ya Mungu,,,,,,
When people are friends it's a good thing not a bad thing jamani. When people are happy be happy for them or else unajitia minuksi bureeeeee....lol...
Life goes on, Y'all need to move on too...........
PS: NIPO KWENYE PIRIKA PIRIKA ZA KUHAMA SO MKIONA SIONEKANI HUMU MJUE IM JUST SOOOOO BUSY.....
NEW CITY, NEW STATE, NEW LIFE...... AAAAAAWWWWWWWW...........