Who's Online
We have 383 guests online
MWAMVITA MAKAMBA AHIMIZA WANAWAKE....
Written by Mange   
Thursday, 01 March 2012 23:15

Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba,akiongea na wakina mama wa Kijiji cha Mererani Wilaya ya Simanjiro Mkoani  Manyara, mara alipofika kijijini hapo kutoa mikopo ya kifedha kwa vikundi mbalimbali vya kinamama,ambapo urudishwa kwa njia ya m-pesa bila riba,Mikopo hiyo huendeshwa na Mfuko wa kampuni hiyo MWEI kupitia Vodacom Foundation,zaidi ya kinamama 108 walifaidika na Mkopo huo wa kiasi cha Shilingi Milioni tisa na laki saba,(9,700,000)

 

My girl  Mwamvita,akimshuhudia Glory Muro, wa Kijiji cha Mererani Wilaya ya Simanjiro Mkoani  Manyara,akisaini nyaraka za kupewa mkopo wa kifedha  inayolenga kuwakomboa wakinamama hapa nchini, Huduma hiyo

 

Mwamvita akiwa na kina mama waliofaidika na mradi wa Mwei..

aaawww, im super proud of u my girl...hugs..

 

wanawake tunawezaa....

Comments
Add New Search
Anonymous   |2012-03-01 17:35:57
Wai, Hizi tumeziona long time kwa Michuzi, Shamim. Ulikua wapi???
marichui   |2012-03-01 18:01:32
hongera Mwamvita kazi nzuri
Anonymous   |2012-03-01 18:33:17
A woman of substance, touching so many lives, giving hope to those who have lost
hopes. That the way to go milady!!

Kwa wale vizabizabina mtakaosema si ni kazi
yake, wangapi wameajiriwa na hawafanyi kazi zao ipasavyo? Utamkuta mtu ofisini
kwake na vitumbua vyake vimefungwa kwenye gazeti saa 4 asubuhi anakunywa chai
huku wananchi wanangoja kuhudumiwa. Au wengine mpaka washikishwe noti. Au
ingekuwa mwingine angechagua the easiet way ya kuendesha hiyo foundation ambayo
ni kukaa ofisini na kuandika cheki kisha wahusika wanazifuata ofisini kwake.


Big up Mwammy I salute you!!
Msema kweli   |2012-03-02 14:50:54
Huyu ndo mwanamke I m talking about!! she looks, she sounds, she behaves, she
communicates, she acts, like Msomi.. huyu ndo msomi wa vitendo.. si msomi
makaratasi na majigambo..

Tukiwa na watu kama hawa kila mkoa mmoja mmoja..
tutakuwa mbali sana.. Lov u mwammy always. msinishambulie mseme mimi
nimefanyaje cha maana.. mi si msomi.. nimeishia form 4. But God gave me common
sense na wiseness.
Anonymous   |2012-03-02 17:49:40
Nilijua tu wavivu na vizabizabina wale wa 'si ni kazi yake' watakuweka madole
mekundu. Hakuna mtu asiyejua kuwa ni kazi yake, lakini kwenye hiyo kazi yako
unatakiwa uonyeshe how creative and innovative you are, sio kushinda kazini
unakula vitumbua mpaka mafile na uso wako wote unanona mafuta ya vitumbua na
samaki wa kukaanga! Au chipsi masala na mishikaki!

Fanyeni na nyie kazi kwa
tija kwenye sehemu zenu tutawasifia sio kuhate huku hamna kitu cha maana
mfanyacho bora siku imeingia. Ni bora nikae home nifanye mambo yangu ya maana
kuliko kufanya kazi ilimradi siku ipite!
baby ya Mange   |2012-03-01 22:40:44
baby ur gal yupo juu bana,,,anarekodiwa hadi na ITV....lol huyu dada apewe tu
Ubunge uchaguzi unaofuata hata kupitia viti maalum she is a hard worker.... i
like her, mara leo yuko dubai na moyo foundation,mara Dar na fistula,mara
kilimanjaro na marathon,mara arusha sijui na nini,mara mererani,,hata hafaidi
palace lake kila siku yuko njiani....mwanaharakati wa ukweee...big up
sister!HUUUG.
Anonymous   |2012-03-02 00:19:37
Huyu ndo msomi na anachapa kazi sawasawa, she goes extra mile to do what she's
supposed to, unafanya kazi kwa akili sio mradi kutimiza wajibu tu.
Kama
ilivosemwa, it's so sad but some people wanaenda kazi, as soon as they get
there, chai, maandazi, chapati, vitumbua, saa nne soup, saa saba chips kuku
halafu anaanza kusinzia kazini and then they dont even move around kisha saa
kumi nyumbani. What should we expect from the nation where, when people go to
work they use 40% of the time to eat, 40% to doze off kwa sababu ya shibe and
the rest 20% ndo kazi.
Anonymous   |2012-03-02 00:31:26
This's how you put your education to work!, mwammy you go gaaaaal!

Sio kuwa na
'masta' digirii halafu unaishia kusema ZE BELL IS CRYING GOO OPEN ZE DOO
Anonymous   |2012-03-02 00:32:42
Sera za vodacom ni kudumisha corporste social responsibility, kweni azitoa
kwenye mfuko wake.

Mbona mwapenda kupiza watu kupita kiasi
c's mum!   |2012-03-02 04:59:04
amethubutu, ameweza na anasonga. mbele!
Tajibeba   |2012-03-02 06:05:00
Good Job Mwammy
Anonymous   |2012-03-02 15:04:11
Please give us a break.
muddy washington   |2012-03-02 15:55:01
huyu dogo nyota yake inang'aa sana aisee,asije akakosea step kuruhusu watu
wamdanye aingie kwenye politics,mchezo utaisha mapema sana kama AC...Siasa za
huko nyumbani sio rafiki sana kwa vijana tena wa kike ndio hali ni mbaya
zaidi...!
edith  - ilove   |2012-03-06 06:45:18
nakupenda sana dada mange
edith   |2012-03-06 06:46:51
NAKUPENDA SANA DADA MANGE
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Follow Mange on Twitter
Find U turn Blog on facebook