Who's Online
We have 385 guests online
TYRA BANKS NI MSOMIII....EDUCATION IS SEXY PEOPLE.....
Written by Mange   
Thursday, 01 March 2012 01:25

 

IT DOESNT MATTER UNAJIONA UMEFIKA WAPI KWENYE MAISHA YAKO,

KAMA HUNA ELIMU HAUJAKAMILIKA......

TYRA BANKS NA MAHELA YAKE YOTE, NA USUPA STAA WAKE WOTE

WILL SOON GRADUATE FROM HARVARD.....

Ngoja niwaambieni my secret dream,

nataka nikasome havard jamani, hata kama

ni kiji certificate cha kupika pasta, si itahesabika kama na mie nna kaelimu ka harvard? yani nataka tu kale ka feeling ka kukaa kwenye darasa la Harvard nifundishwe na a harvard professor, even a 6 month course will do

...eti mnasemaje???

alafu im very serious, its my little secret dream....lol..

 

Comments
Add New Search
Anonymous   |2012-02-29 19:37:25
Ameshagraduate tayari.
Anonymous   |2012-03-01 08:08:21
wanawake live kama namuona vile alivyochukia na hiyo "Education is Sexy"
post, ndo hivyo uwezo wa kufikiri wa aliyeenda shule na ambaye hajaenda siku
zote huwa ni tofauti, ambao hawajasoma wako very defensive kuonyesha life is
treating them well but deep inside they lack self confidence.

Shule ni mpango
mzima jamani, soon mi natoka na kitu changu kwa ajili ya wanawake , just stay
tuned people
madem wa bongo  - na hirizi ya mjapani   |2012-02-29 19:40:54
Nikiwa nimekaa siti ya nyuma ambapo siti ya mbele walikaa mabinti wawili-nikiri
kuwa walikuwa warembo-nikawasikia wakiongea mambo yako ya kike kike. Pengine kwa
kunogewa na maongezi ya mapenzi-inaonekana muda mfupi kabla ya kupanda gari
walitongozwa na wanaume-mmoja akaropoka 'kwanza wanaume wenyewe gari hawana,
shida gani watu baada ya kutoka kupeana raha tuanze karaa ya kugombania
daladala'? Mwingine akadakia, kweli shosti mtu umejichokea kwa dozi zake halafu
anazidi kukukaraisha kukupandisha midaladala'.
Mmoja kageuka nyuma
kuniangalia, akakumbana na bonge la tabasamu langu. Nikawaambia ujumbe
umefika......wakacheeeeeeeeka! Nikaamua kuunga stori na kuwambia........'Jamani
hata sie wapanda daladala tunahitaji raha ya mapenzi', yule muongeaji sana
akanijibu eti labda hadi mwanaume awe amemuingia haswa moyoni mwake, vinginevyo
kama ni issue ya kupeana raha tu, hapotezi muda kwa wanaume wachovu wa
kupandishana daladala.
N...
Anonymous   |2012-02-29 19:48:58
Why not? You can even do your PhD there if you want, just slowy start looking
for scholarship for your Phd, anza kwa kudevelop research problem yako.
Usipoteze muda kwenye mambo yasio na maana, kama kuchat kwenye BBM kutwa nzima.
Use that time to peruze various links zenye kutoa scholarship. Then after you
have your 4 or 5 page kinda of proposal, anza kutuma application zako.

Tena
wala usijishushe eti you do kacertificate ka cookery? Be confident and work hard
towards achieving your dream. Mimi ni living example, I applied for a very
prestigious scholarship just once na nikaipata. Jiamini mwanamke you can do it!!
MUKE YA MZUNGU   |2012-03-01 01:31:40
nakupa tano mdau kama umecheki movie ya wanigeria black bery baby na return of
black berry zote 1&2 yani ndo ujembe uliompa huo,nilicheki hizo movie jamani
wadada wanavyopagawa na blackberry yani ni vituko ila inaelimisha sana
ngosha   |2012-03-02 08:19:21
ndo hivyo... ulikuwa hujui no money no honey!!! utasonyaje!!!!
Bi Chachandu   |2012-02-29 19:53:45
I am not trying to hate.. but come on.. she is getting a certificate.. Not an
advanced degree. It is a COURSE!!! Four weeks and it cost $33,000.....


Kama nilivyosema it's ONLY a certificate She more than likely did an online
weekend course. Plus somebody more than likely did the course work! It anit that
deep folks! Trust!
Mange iga ufweee...$33000 kwa wiki nne mmh...labda ukaibe
Benki lol
Anonymous   |2012-02-29 21:59:22
Not true, she actually was in campus and had all group studies and stuff!
mamy naah   |2012-03-01 06:55:18
kwani amekwambia hana mume huyo wa kumlipia? labda kama hamuudumii
msipende
kushusha watu jamani aagh!!
chchuchuu   |2012-02-29 19:54:17
GOLDEN CHANCE HAIJI MARA MBILI...MREMBO KM UNANAFASI.....WHY NOT GO GO GO
GO HAPO CHINI UTACHAMBAJWE NA WASIYO JIELEWA
mdau usa   |2012-02-29 20:00:12
Education has no llimit mimi niliporudi college hao classmates wangu karibia
wote walikuwa more way older than me wamerudi shule kuapgrade elimu yao si
unajua tena mambo ya IT, so education is sexyyyyyyyyyyyy.
Anonymous   |2012-02-29 20:02:28
Yeah right! Why don't you apply for a course called how to dress well in public!
for sure watakupa place especially if you can send some of your pictures with
the application lol
koku   |2012-02-29 20:08:22
hilo ni swali la kizushi na haliitaji jibu  we nenda kwanza huko
ilipo hiyo harvest  sijui harvard then utuulize. then ur dream
will come true.kwa sasa ngumu kuamini kwani naona bongo imekupenda
zaidi ya harvard
Anonymous   |2012-02-29 20:10:31
Dada Mange, umekosea. She has graduated already. I think it was a week or two
she tweeted about her graduation.
Anonymous   |2012-02-29 20:16:50
boobs za taira na mange zinafanana kwani nyie ni ndugu??
Anonymous   |2012-03-01 04:05:43
Tyra's boobs are real while Mange's ara fake
Anonymous   |2012-02-29 20:25:00
Go Girl! Only you can make it happen....it's also you who can stop it from
happening.Everything is possible ukiwa na nia.There's a lot of short courses at
Harvard.Yaani hapa kwenye shule tu nd'o huwa unanifurahisha.Good luck and I hope
you will achieve this dream .Make it happen.
Anonymous   |2012-02-29 20:33:11
Keep dreaming Mange.. Sky is the limit..
baby ya Mange   |2012-02-29 20:40:01
aww...i like her earings!
nonino   |2012-02-29 20:59:16
koku upo
Anonymous   |2012-02-29 20:59:28
pesa yako tu!harvard ni akili zako au pesa zako kwishnei!
Anonymous   |2012-02-29 21:10:48
Ivy league indeed....
Tajibeba   |2012-03-01 08:14:17
what does that mean I vy league
Mshamba   |2012-03-02 03:37:34
Original Ivy league ilikuwa ni University nane ( tu ambazo ni Harvard, Yale,
Princenton, Columbia, Cornell, U-Penn, Brown and Dartmouth. Zilivyoanzishwa
wakati huo ilikuwa ni kwa ajili ya sports excellence (sports facilities and the
quality of sports from the students enrolled na ndio maana watu wengi wakawa
wanapata full sports scholarship hata kama darasani walikuwa hawaelewi kitu hasa
hasa Wamarekani weusi). Lakini baadae ilibadilishwa naikawa haitegemei tu
sports lakini ikawa ni kwa ajili ya kila kitu, sports, academic excellence and
other extra curriculum activities. Ndio zikaja kuongezeka nyingine USA kama
Stanford, MIT, Georgetown, Duke, Tuft etc, etc.
mie   |2012-02-29 23:43:07
we can do once we put our minds into it
Anonymous   |2012-03-01 01:39:31
TRUST ME, MANGE HUNA KICHWA CHA HAVARD, UNLESS USOMEE HIVO VI CERTIFICATE NOT
FULL DEGREE. NARUDIA KICHWA HICHO HUNAA DADA YANGU,USIDANGANYIKE NA VIKOMENT ZA
HUMU NDANI!!! ILA JARIBU COZ INAONYESHA MUDA UNAO WA "KUJARIBU" kupata
ndo mhh.
mgeni   |2012-03-01 03:29:13
Mange every thing is possible under the sun

go go go go go go
Anonymous   |2012-03-01 03:46:21
Tyra Banks never "graduated" from Harvard. She got a certificate that
she basically paid for program ya 3 yrs yeye kafanya 1yrs for $33,000 na alikuwa
class 3 time per week. yea Harvard ni hela yako tu
Anonymous   |2012-03-01 11:56:39
You have to have the brains too.Nenda na pesa yako mbili kama hujasoma pale for
years wakikulia pesa tu.
Marichui   |2012-03-01 04:09:56
IT DOESNT MATTER UNAJIONA UMEFIKA WAPI KWENYE MAISHA YAKO,

KAMA HUNA
ELIMU HAUJAKAMILIKA......


WORD VERY WELL NOTED ...MADAM..
Anonymous   |2012-03-01 21:26:08
KAMA UNAMUNGU NA UTU WAKUISHI NA WATU,UNAWEZA KUWA NA ELIMU KAMA HUNA BUSARA NA
UBINADAMU WEWE HUJAKAMILIKA,JAMANI MPREACH YOTE HAYA .
c's mum!   |2012-03-01 04:11:17
joyce kiria ataumwaje leo? ana allergy na shule! shule ni a MUST! Go bby gal
tena aim higher, sio tu ca-certificate, u get adegree kabisa!
Ahmed   |2012-03-01 05:11:49
Binadamu tuna wajibu wa kujielimisha. Kuna elimu aina nyingi: (1) Elimu ya
kidini/kiroho, (2) Elimu ya dunia [shule, vyuo vikuu, n.k.] (3) Elimu ya ustadi,
k.m. uashi, ufundi bomba, useremala, ufundi umeme, umekanika, n.k. (4) Elimu ya
jumla ya mazingira (nature/general knowledge). Elimu zote zilizotajwa hapa juu
ni muhimu kwa binadamu. Mange, ni vizuri kusikia kuwa una
"ambition"/hamu ya siku moja kwenda katika chuo hicho cha Ivy League.
Hicho chuo ni moja ya vyuo vikuu 40 duniani ambavyo ni "centres of
excellence" kama vile Yale na Princeton (USA), Sorbonne (France), Hedelberg
(Germany), Upsalla (Sweden), Cambridge na Oxford (UK) na vinginevyo. Kama
wanavyosema wahenga "Penye nia pana njia". Kwa watu vijana kama wewe,
the sky is the limit. InshaAllah Mwenyezi Mungu akuwezeshe kutekeleza hiyo nia
yako nzuri. Amin.
Anonymous   |2012-03-01 05:31:12
Wewe uliyekuwa unapinga yule mtoto yatima mwenye kichanga kusoma course ya
kumfanya aishie kempisky jikoni, leo unafikiria hata course ya kupika pasta!
kasome course ya kukufanya uwe makamu wa kikwete huko havard! hivi ni nini haswa
kinakuvutia kusoma huko havard , it looks like you just to certify that you
were ALSO there, which is nonesense to me ! ukiamua kusoma, soma
kweli, sio course ya six weeks, you are better than that and there is no
competition, its your life!!!
Uyanjo  - Mh   |2012-03-01 05:32:22
Mungu akujalie dada mange
happy   |2012-03-01 05:55:11
Sidhani Harvard wanachukua vilaza kama wewe. Hata uwe na billions pale
wanaangalia akili sio hizo masters zako za kudownload za Dubai
Anonymous   |2012-03-01 11:59:25
Watch Her!!You wanna stop her?
Anonymous   |2012-03-01 06:24:24
GO ON GAL SKY IS THE LIMIT........kila kitu kinawezekana only if u work hard on
it


EDUCATION IS SEXY
Anonymous   |2012-03-01 06:48:58
One thing at a time Mange.

Mambo kibao kichwani. Hebu tulia ujue utakapoishi
utafute kazi kwanza utunze familia yako. Hiyo Masters itumie kwanza sio
kulundika macertificate tu.
Anonymous   |2012-03-01 08:46:41
Hilo nalo neno mpendwa mange maana elimu haina mwisho, nakukubali sana mamy,
ila kwa yule bbe "jk" aliyeona elimu haina umuhimu, akalale mbele
mshamba wa rombo huyo. Matako ya bibi yake, Mungu unisamehe najua tuko kwaresma
Anonymous   |2012-03-01 09:52:51
Koma wewe kutukana watu dada. Huyo mange anayejidai na elimu yake yuko wapi
kimaisha mpaka hivi sasa sijaona kitu! Ndo kwanza anatembea na vyeti vyake
mkononi jk yeye anakazi yake na katulia na mume wake nyumbani sio mamge mzungu
wake kaja kumpack hapa bongo yeye NA mwanae!
Anonymous   |2012-03-01 09:00:00
GOOD FOR TYRA NA MAMNGE SIO KAMA WAJINGA WA LONDON..WAO WANAJISIFIA KUJUA OYSTER
NA KULIPA RENT KUBWA..,KWELI EDUCATION IS SEXY
Anonymous   |2012-03-01 09:23:30
Wanawake liveeeeeee, x2 super woman hahhahaaaaa kumbe darasa la saba mange
temana nae huyo alikuboa sana mdomoooooooo kumbe hajasoma
Anonymous  - re:   |2012-03-01 10:24:38
Anonymous wrote:
Hilo nalo neno mpendwa mange maana elimu haina mwisho, nakukubali sana
mamy, ila kwa yule bbe  "jk" aliyeona elimu haina
umuhimu, akalale mbele mshamba wa rombo huyo. Matako ya bibi yake,
Mungu unisamehe najua tuko kwaresma



yaani ww kiboko unatukana alafu unaomba msamaha duu
M   |2012-03-01 11:00:14
Mange hii post ya zamani...ameshagraduate tayari witha DIPLOMA...
Anonymous   |2012-03-01 11:30:10
Jamani tupate elimu na kisha tuitumie vizuri, when we get an opportunity make
sure you use to the maximum tujaribu kubadilika pia mentally after kuelimika,
kuna wengine especially walioko nje wana elimu but kupata kazi sheshe, mtu ana
attitude ovyo hata waajili wanakuepa, some jobs needs the right
attitude/personality sio unakuta mtu ana bachelors but still analonga kidhungu
cha "the bell is crying"
Anonymous   |2012-03-01 18:41:16
the bell is crying! ooh ngoja wenyewe waone
watasema kama yule "mzungu resist" kuwa hiyo ni slang!!! Ooh my my my,
cobblers!!
Msema kweli   |2012-03-01 14:40:49
Hiii ni kwa wasomi wote popote mlipo!

Look like msomi, Sound like msomi, Act
like msomi, Behave like msomi, appear like msomi, communicate like msomi..
maybe is about time to put all ur usomi z into practice!!?? I am sick n tired
hiring Education is sexy! when ur country is drowning into the see!! utadhan
haina wasomi!! isiwe wimbo wa Taifa tuu bali iwe Jenga Taifa pia. Education is
nothing if u don't use it.
Safari bado ndefu   |2012-03-01 18:50:45
Wasomi wa tz ni majigambo tu lakini in reality ni wachache sana wanajituma,
majority wanataka kuishi kimadeal kama Baker Haines wa Isidingo suala la kufanya
kazi kwa kujituma kama wenzetu wa Asia kwetu halipo. We waste a lot of time
kazini for non issues!! Na tunapenda kupumzikaa yaani tu kama Pinokyo livu
january mpaka Disemba, muulize mtu kiukweli kabisa akwambie amefanya kazi masaa
mangapi kwa siku, wiki utachoka! Half of the time spent kusoma magazeti,
mitandao, tea break (supu, chapati, vitumbua samaki za kukaang), lunch break
(ugali na samaki /maharage mchana wa jua kali kazi itafanyika kweli), bado hapo
simu, na wageni wanaokwenda ofisini badala ya nyumbani au wauza vitu vya mkononi
kuanzia nguo mpaka vipodozi!!Kazi tunayojua kulalamika Watz ni kuwa rais hafanyi
kazi basi politiki kwa wingi kila kona!!

We still have a long way to go too
much soga in TZ, waje waone wazungu wanavyotembea na vikombe vya kahawa na
donu...
Msema kweli   |2012-03-01 19:55:42
Asante mdau! Maana ki ukweli I m sick na wimbo wa Taifa Education is sexy!!
when that education is doing nothing to save the country!! infact inatumika for
majigambo dhidi ya watu ambao hawakuwa na opportunity ya kuipata hiyo elimu
kutokana na sababu mbali mbali.
Note: Don't use power to abuse the people who
put u in that position.
and don't use Education that u have to mock others who
didn't have an opportunity to be educated..
Anonymous   |2012-03-01 21:39:15
SEMA WEWE MIMI NINA MASTER DEGREE NA KAZI,LAKINI SIWEZI KUMUWEKA CHINI ASIYE NA
ELIMU,I KNOW EDUCATION IS SEXY,LAKINI KUNA WATU HAWAJABARIKIWA NA AKILI ZA
DARASANI KWAKWELI MIMI SIWACHEKI WALA SI JUDGE., JAMANI NYIE WASOMI WENZANGU
ELIMU NI YAKO SIO YAKUTAMBIA.
GOD BLESS YOU ALL,NAOMBA NIWAKUMBUSHE HUU NI MWEZI
WA KWARESMA.
Msema kweli   |2012-03-01 19:05:18
I meant to write ''Sea'' jamani mkono umeteleza... maana wataalam wa Lugha
kabla hamjanishambulia.. maana hamchelewiii. lol
Rio Sawaya   |2012-03-01 17:24:17
That makes the two of as sister. They are branded the name Harvardians. A
trademark guaranteed and backed up by Harvard university.Certified Quality
Guaranteed. Kupanga ni kuchagua.With time will get there.
Anonymous   |2012-03-01 17:31:51
Mange kwani sio deportee ...au harvard wana branch Dubai?
Anonymous   |2012-03-01 20:16:13
Hahaha Nilisahau Mange Us hawezi kwenda masikini
Anonymous   |2012-03-02 02:50:14
USIRINGIE OPPORTUNITY ULIYOPATA UKAMPONDA AMBAYE HAKUPATA HIYO OPPORTUNITY:
MAANA UNGEKUWA UPANDE WAKE UNGENYAMAZA, ALL IN ALL EDUCATION IS SEXY BUT WEWE
ULIYEIPATA JIULIZE UMEFANYA NINI NA HIYO ELIMU YAKO? AU NDO UMEIWEKA KICHWANI TU
, EDUCATION IS ABOUT ACTION INTO HE REAL WORLD.
Catherine   |2012-03-02 05:34:49
Wacheni wivu na matusi wakati wa quaresmo. Quaresmo ni kama vile mwezi wa
Ramadhani. Kwa hivyo hata nyinyi msio na dini fanyeni heshima na siyo
kum-promote shetani aliyelaaniwa milele.
Anonymous   |2012-03-02 07:16:47
BWANA TUSIJIDANGANYEALIYESOMA KASOMA NI UVIVU TU AMBAO
WATZ WOTE TUNAO O USISEME WEWE ULIYESOMA UMEFANYA NN TUKIBADILIKA WOTE ELIMU
ITASAIDIA TAIFA TATIZO UVIVU UNAANZIA HOME CHARITY BEGINS AT HOME TUPENDE
KUCHACHARIKA
Anonymous   |2012-03-05 18:07:21
HOW MANY DEGREES TYRA BANKS HAVE TO MAKE YOU SAY SHE IS
EDUCATED??...SHE WENT TO SCHOOL FOR 9 WEEKS AND RECEIVED A CERTIFICATION...NOT A
COLLEGE DIPLOMA NOT A DEGREE....AND IF YOU WONDER YES, I HAVE BOTH DIPLOMA AND A
DEGREE...SO DON'T TRY TO BE LITTLE ANYONE WHO DON'T HAVE EDUCATION....LIMBUKENI.
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Follow Mange on Twitter
Find U turn Blog on facebook