Who's Online
We have 390 guests online
OMG, I MISS YOU DUBAI HOUSEWIVES....
Written by Mange   
Thursday, 23 February 2012 01:21

Mira,Rishma,Mihane,Saimah,Limi @ Limi's baby shower on valentine's day...

OMG, HOW I MISS YOU LADIES...

SEE U NEXT MONTH LADIES....WE GONN' PARTYYYY....

 

My beautiful Limi,yeah a Dubai princess on the way...

 

Saimah and Limi...

 

Saimah made this cake for Limi...cute cute cute...

 

MY GIRLS....I LOVE U LADIES...

Mira,Saimah,Limi,Mihane,Rishma and Monica....

 

she got lots of gifts...

 

 

 

they played lots of games...

Comments
Add New Search
baby ya Mange   |2012-02-22 19:38:55
baby jamani iko wapi ile post umelala na kenzoki yani nimesema tu ngooja niingie
washroom mara moja narudi sioni post plz baby put it back
pamelii   |2012-02-23 16:14:30
dubai housewives lol
koku   |2012-02-22 19:44:24
usisahau kuchukua na RB ukienda dubai mange  kwani yale
mashangingi ya dubai yasije kukuvizia na kukuanzisha
 
Anonymous   |2012-02-23 03:32:42
lol!, koku umenichekesha, whts RB anyways?
Anonymous   |2012-02-22 19:48:14
Hii ndio baby shower,sio baby shower za wabongo wanawake mpaka anywe pombe ndio
anaona party.Alafu wasichana wa siku hizi wamekuwa ma alcoholic,yaani demu
anaweza ukamualika hata for lunch,dinner lazima agizie na pombe.Girls pombe sio
dawa ya stress,jaribuni kuji keep busy na mambo mengine like sports,reading
nakadhalika.Nilikuja home xmas iliyopita mbona nilipigwa na butwa,yaani womans
wanakata mzinga wa Jack Daniel kama Vidume.Duuuh kasheshe.
Mdau USA   |2012-02-22 23:52:06
Word
Tajibeba   |2012-02-23 05:35:23
Polee wee kama hunywi pombe sie wengine JD famous grooze is our life
zinapunguza stress fasta thou temporarly hizo sports and other activities zina
suppliment when we want to loose weight. si bora tunakunywa pombe than kubwia
macocain majority ya wanaoishi ughaibuni wana bwia unga kupunguza stress. ndio
maana kuna rehabs kibao Just worry if your paying dont worry if they pay for
their pombes.
Anonymous   |2012-02-23 10:09:15
...Pombe pia zimepeleka watu rehab... watch out...
Tajibeba   |2012-02-23 11:03:54
ina tegemea unakunywa kiasi gani kama unakunywa kukomoa and you make it a habit
utaenda rehab
Anonymous   |2012-02-23 10:12:34
Pombe nakunywa but sio kila siku au kila nikialikwa lunch au dinner..Unga ndio
usiseme Bongo ndio umepamba moto basi tu Rebahs hamna..Alafu acha
ushamba,mazoezi sio lazima kupungua pia yanakukeep fit na yana incease some sort
of hapiness.
Tajibeba   |2012-02-23 11:06:55
precisely every one has different reasons za kufanya mazoezi as for me nafanya
kupunguza mwili so kama kimekuuma kale pilipili na coke
Anonymous   |2012-02-23 05:38:17
hapo wenzio wanajiona wako juu uspime!
Anonymous   |2012-02-23 10:05:24
Umengundua... wadada wanakunywa... kama ndio maendeleo... it is too much... kuna
mambo mengi ya kufanya... soma... after all ulevi mwingi is unhealthy....
Anonymous   |2012-02-23 14:27:59
si mambo ya kuiga mdau kwani huwajui wabongo. wakiona kina george clooney
wanakunywa pombe mchana katika movies basi wanajua ndo maisha yenyewe kumbe wale
sometymes wanakunywa saft tu..basi wakiagiza hiyo sijui moet ndo utawakoma
watabinjua midomo, sijui kukunja nne na kujifanya ndo kina angelina jolie wa tz.
upuuzi mtupu. ulevi sio dili. next time agizeni matunda na maji badala ya
mipombe khaaa..
womans   |2012-02-23 01:13:49
uwiiii mbavu zangu "yani womans wanakata mzinga" ....lol jamani kizungu
wito !! next time andika kiswahili kitupu ndugu yangu
Anonymous   |2012-02-23 05:41:43
inahuu kwani kumsahisha mwenzio mpaka ucheke kinafiki ovyoo wazungu wenyewe
wenye lugha wanabofoa sembuse sie wabantu grow up!
Anonymous   |2012-02-23 14:30:41
OVYOOOOOOO
Sally   |2012-02-23 01:16:54
was sooo simple !! I like it !!
jamani hivi kwanini bongo watu wanapenda
sana kuiga eti siku hizi kuna bridal showers, baby shower, khah sipendi mimi !!
wa TZ too much kuiga vingine hata hamjui maana yake !!
KwaTariq.com   |2012-02-23 03:04:48
jamani mange mbona husemi unataka zawadi gani cku ya graduation yako?hivi unajua
umejitahidi sana mpaka kumaliza shule.elimu kwanza,mwanamke bila elimu
haiwezekani!!!!
Anonymous   |2012-02-23 05:44:32
mie nitampa mac book air kwa roho nyeupee!
mange kama utaipenda hii zawadi sema
ndio iii ninune mapemaa! niko serious.
Anonymous   |2012-02-23 05:47:31
meseji yangu hapo juu nilikwa namaanisha ninunue mapema na sio ninune, kwikwi
ya vidole hii!
c's mum!   |2012-02-23 04:14:23
dawa za mizizi zimedunda, wanaona watoe stress za kuachwa na mabwana zao kwa
hiyo mijack daniels, na mikonyagi! baada ya hapo njaa balaa, wanakulaje michips
rojo na kujazia mivitambi! yaani full kuharibika kwa kujiachia! its horrible kwa
kweli!
Anonymous   |2012-02-23 06:05:02
Kweli mdau,yaani wao ni pombe na mivyakula tu basi..ukiwaona mitumbo
ninginingi...Girls its about time to change..achaneni na hayo ma Jack Daniel
kila siku..Alafu utakuta msichana ana mabwana kama 10 na duka moja yaani hilo
duka halina faida lipo lipo tu aonekana anafanya biashara..Alafu eti maendeleo
...Mmhhhh mfano kuna Dada ananduka miaka kama mitano hapa kati duka likawa
halina nguo wala nini..Akachuna mume wa mtu ghafla bin Vuuu duka likafufuka..I
hope mtajua namzungumzia nani
Anonymous   |2012-02-23 08:36:42
Give us more hints bana
Anonymous   |2012-02-23 10:46:36
mange kuwa makini maana ukienda dubai na uliwatukana wale wanawake wasije
wakakupig amy friend
MINA   |2012-02-23 10:50:17
JAMANI WAMEKUMISS PIA LOL KUSIHI NA WATU VIZURI RAHA SANA LOL
Anonymous   |2012-02-23 11:02:32
hivi mtu akinywa pombe yake inakukera nini umenunua wewe? jibwa kubwa wee.
mfyyyyyyuuuuuuuu. tena mkome kabisa mi hata kreti namaliza napunguza stress bibi
kesho nikiamka nakunywa tena nasogeza matatizo mbele sasa eti oo unakunywa hela
yako???
Anonymous   |2012-02-23 14:39:54
mnawasema wa bongo tu, nyie je wa ulaya/usa. watu unakutana nao mashavu
yamewashuka ka bulldogs kisa pombe. tena nyie ndo msiseme kabisa. mnapunguza
mistress yenu na pombe za bei rahisi tena mnanywea ndani..mkiona mmezidi ulevi
mnakimbilia bongo mkizani ndo mtapata nafuu matokeo yake mnazidi kuwa walevi..na
hiyo mikorogo mkichanganya na ulevi mamaaa vinyago vya mpapule hivi
hapa..hahahahhaaa
Anonymous   |2012-02-23 16:51:55
Nani kasema pombe bei rahisi ulaya? Kwanza ulaya ukinywa pombe
sana kama una familia unanyanganywa watoto coz huwezi ku take cate watoto na
wewe mlevi..Weekend ndio watu wanakunywa..Nyie hapo Carolite ukimix na jua kali
na mapombe kila siku baaasi.Sura zinafanana na chupa ya Jacki Daniel..Punguzeni
Ulevi
Tajibeba   |2012-02-24 09:56:01
carolite na Jua a aisee ni ngumu kudivorce na my Jack
Daniel he has been my true and honest and loyal boyfriend thus far
semeni mkimaliza kakojoeni mkalale na baridi yenu ya ulaya huku pombe ni cheap
than ulaya and uko ulaya they did it purposly sababu hizo drepressions mlizonazo
mngemaliza chupa 10 za JD's bongo we cant drink much because the whether is
restrictive u so acheni wivu na JD zetu only 35thau unajitundika na bottle yako
ya JD cant wait to start my friday affair with my Jack Daniel he is so
waiting for me.
Anonymous   |2012-02-24 14:09:48
mange hebu nisaidie mwenzio nile diet gani nataka kuloose maana mh nisijeachika
nilikuwa mrembo no 8 sasa nimejifungua nipo mara mbili yake,yani nakasirika
najichukia,mimi mambo haya ya maunene siyawezi yananipa stress
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Follow Mange on Twitter
Find U turn Blog on facebook