Who's Online
We have 386 guests online
NIPO NJIA PANDA....
Written by Mange   
Friday, 03 February 2012 01:38

HI Mange, hope uko poa kabisa na umeuanza mwaka vyema.
Nna tatizo naomba msaada kwa wana u turn pls.
Mimi ni single mum nna mtoto wa kike miaka mitatu, nafanya kazi kijijini na NAHITAJI MWANANGU APATE ELIMU BORA.
Napanga kumpeleka mwanangu huyu shule ya bweni kwa umri alionao naumia roho ila kwa mazingira nnayoishi nimeonelea nimpeleke tuu, but b4 doing tht naomba pia nipate maoni ya wadau humu kama kuna experience tofauti au kuna vitu nahitaji kuangalia kabla ya kufanya maamuzi hayo.
Natamani sana nikae nae mtoto huyu, ila kuna changamoto kadhaa zinanikumba, kwanza, im single na babaake hana msaada kabisa na mtoto, pili, natoka home alfajiri sana na kurudi usiku, tatu, wasichana wa kazi hawatulii maana huku kuna midume kibao akifika tuu mara katoroshwa!!
Nmeshabadili wasichana wa kazi kama wanne ndani ya mwaka jana tuu!!! so inaniwia vigumu kuamua, je niendelee kumbadilishia wasichana au nimpeleke shule akiwa mdogo tuu hivi!!
Mnaweza nambia nimpeleke kwa ndugu, sawa. Lakini hali halisi ya familia na ndugu zangu ni ya ajabu naweza sema, hakuna mtu yuko tayari kulea mtoto wa mwenzie!! hata mm im not ok kumwacha kwa ndugu maana nahisi nikikuta yuko tofauti na matarajio undugu waweza kuisha!!!
Im confused jaman, naombeni tuu msinitukane na mnipe ushauri maana nipo njia panda.
ASANTENI.
Kuwasiliana na uturn tuma email kwenda This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it

Comments
Add New Search
Anonymous   |2012-02-02 20:22:36
Pole Dada muombe mwenyezi Mungu akupe ujasiri wa kuamua jema kwa manufaa yako na
mtoto pia. Ubarikiwe Dear.
JUDITH   |2012-02-03 04:31:08
HILI TATIZO LAKO LA MTOTO HUMU U TURN SI MAHALA PAKE!! NENDA FACE BOOK KUNA GRUP
KIBAO ZA KINA MAMA WATAKUSAIDIA MANA UMESEMA SIJUI HOUSE GIRL,MARA NDUGU, MARA
KIJIJINI,MARA HUTAKI KUMPEKA BORDING UNAONA HURUMA EEEEEE???SASA WHICH IS WHICH
UCHUNGU WA MWANAO UNAO MWENYEWE NA JIBU UNALO MWENYEWE!! INAONEKANA UNAMDDEKEZA
HUYO MTOTO!! KAA NAYE MWENYWE NENDA NAYE NA KAZINI!! MANA HUTAKI KUMWACHA NA MTU
AMEKUWA YAI??? HUKAI NA DADA WA KAZI VIZURI NDIO MANA WANATOROKA INAWEZEKANA
WANATOROKA KWA KUMDEKEZA SANA MWANAO HUTAKI ACHAPWE AKIWA ANALIA LIA
OVYO.....USHAURI WANGU MUWEKE KWENYE POCHI NENDA NAYE JOB
Anonymous   |2012-02-03 11:57:09
wee lazima una hasili ya kishetani utamjibuji mwenzio hivyo
Anonymous   |2012-02-02 20:22:53
Tafuta msichana ambaye ni ndugu yako akae na mtoto nyumbani, subiri mtoto
akue angalau miaka 6 hivi au 5 ndio umpeleke boarding. Kwa sasa malezi
ya mama ni muhimu sana kwake. Na kumfunza na mambo mengine
Anonymous   |2012-02-02 21:38:26
hana muda kashasema labda useme malezi ya dada ni muhimu maana mwenyewe
umeshauri atafute ndugu ndio aje ampe hayo malezi ambayo yeye hana muda wa kumpa
mwanaye...! hii mimi hata siielewi elewi,Kwanini lakini tunakimbilia kuzaa kabla
hatujajipanga?tunasahu if u fail to plan u plan to fail?ndio kilichokukuta
dadangu hukujipanga toka mwanzo hivyo ukawa umeshajitengenezea madhingira ya
kufeli,huna jinsi sasa hata tukupe maneno matamu kiasi gani hatuna uwezo wa
kukusaidia iliyobaki ni wewe kuchagua moja kati ya malezi ya mwanao na kazi kipi
bora zaidi,hili ni fundisho kwa nyie mlioko vyuoni huko,mapenzi na shule ni sawa
na mlenda na kahawa,aliimba mheshimiwa vick kamata
rose   |2012-02-03 04:44:29
wewe unaongea nini, au hujazaa. kwani unasoma ili ufanye nini, si uje ufanye
kazi uendeleze familia yako, na familia yako itatoka wapi bila kuzaa, au
unamaanisha ukishazaa uache kazi uanze kulea, utawalea hao watoto na nini, hebu
ondoa pumba zako kama huna la kuongea, hili ni tatizo la kila mama sasa hivi
kazi lazima ufanye na watoto ulee kwa hiyo dada kuw njia panda si ajabu sana
Anonymous   |2012-02-04 10:20:29
kwanini mnapenda zinaa inayopelekea kuzaa nje ya ndoa?jibu ni wazi hamna mipango
ndio maana mnafeli katika malezi ya wanenu,mna haraka gani ya kuzaa mapema kabla
ya kujipanga na kisha kuolewa?najua mtanichukia kwa kuwa wengi ni waathirika
lakini mi sijali,nasema tu,mjipange kwanza
Anonymous   |2012-02-02 20:46:33
kuna shule ya dini nimesahau jina ila ni iko bagamoyo kama una uwezo mpeleke ila
ningeshauri banana na hao mahaouse girl angalau akifika miaka saba hivi , pili
tafuta hata muda weekend wa kukaa na mtoto tatu tatufa mdada kutoka sehemu
tofauti uliyopo ila kwa boarding mdogo sana mie nimesoma boarding ya dini ila
akili yangu najua mwenyewe siko karibu na ndugu yoyote sababu nimetumia muda
mwingi away from them
Anonymous   |2012-02-03 02:36:25
Hiyo shule ya bagamoyo ya dini nitafutie jina my dia nikaichunguze na mimi
muathirika wa mahousegirl
Anonymous   |2012-02-03 17:14:48
iko chini ya marian girls nenda msimbazi centre pale kwenye kiduka cha marian
watakupa maelezo
DESPERATE HOUSE WIFE   |2012-02-02 20:54:39
HONEY POLE KWA TABU UNAZOZIPATA, LAKINI MIMI SIKWAMBII UFIKIRIE KIVINGINE,
USIMPELEKE MTOTO MDOGO NAMNA HIYO BWENINI, YANI NIKAMA BADO ANANYONYA MASKINI,
SHE NEEDS YOU NOW A LOT. NI MDOGO MNOOOO. WEWE TAFUTA TU HOUSE GIRLS
WAKUKUSAIDIA , LABDA UNAWEZA KUPATA ATAKAYE KAA. POLE SANA.
Anonymous   |2012-02-02 20:55:26
Dada kaa na mwanao, hakuna mapenzi hapa duniani kama ya mama kwa mtoto. sisi
mama yetu aliachwa mjane akiwa na 34 years old na watoto 6, kazi yenyewe alikua
anafanya alikua mwalimu wa primary. lakini aliapa kwamba hata kama tutakula
mihogo ya kuchemsha kila siku alisema hampeleki mtoto wake hata mmoja kwa ndugu
wala bording, na wakati huo mama yetu alikua hana hata hea ya kumlipa house
girl, alikua anatafuta wasichana ambao hawana pa kukaa akawa anawaleta nyumbani
ili wamsaidie kutulea, na baada ya mda akaanza biashara za kuuza nguo so alikua
akitoka asubuhi anarudi usiku na akirudi usiku anaanza kupika maandazi ya kuuza
sokoni so tulikua hatumuoni al the time lakini mama alikua anakaa under the same
roof na sisi watoto wake, tukiumwa alikuepo, tukicheka alikuepo, tukiwa wanyone
alikuepo na weekends tulikua tunaspend na mama and it was fun, now when i look
back hata nikimpa nini mama yangu siwezi kumlipa for what she did for us,...
baby ya Mange   |2012-02-02 21:21:44
NOOOO HOW DARE U HAVE EVEN THAT MIND ??UR BABY IS JUST 3 FOR
GODSAKE,,BOARDING SCHOOL LIFE IS WORSE NO MATTER HOW GOOD IS THE SCHOOL! THAT
SHUD BE UR LAST OPTION..SO UR WORK IS MORE IMPORTANT THAN UR BABY,,I UNDERSTAND
THAT UR A SINGLE MOM BUT THEN UR BABY SHOULD ALWAYS BE UR FIRST PRIORITY,,,THATS
WHY DEVELOPED COUNTRIES ARE GIVING BENNEFIT FOR SINGLE MAMAS SO THEY CAN BE ABLE
TO LOOK AFTER THEIR KIDS EVEN IF THEY ARE NOT WORKING...
Anonymous   |2012-02-02 22:30:05
jamani mimi sitampleka mwanangu wa kike boarding school yoyote,,labda wazazi
wangu wasingenipeleka boarding nisingejua utamu wakusagana....nakumbuka enzi
hizo mwenyewe mdogo kufika tu boarding nikapata mama wa shule kama wanne hivi
wote wakawa wananipenda balaaa tena mmoja alikuwa headgirl basi mie tena ndo
nadekezwa nafuliwa saa ya chakula nachukuliwa chakula wakati mwingine nalishwa
kabla ya prepo usiku nakwambia napelekwa school shop nanunuliwa soda na chrisp
yani kumbe bwana ndo naelekea kusagwa yani inshort ...2 be continue
Anonymous   |2012-02-02 22:35:02
...nilikuwa sijui mchacho ninini shule sasa ikawa tumependana kweli na mama
yangu wa shule huyo ambaye alikuwa dada mkuunikawa naenda kulala rooms zao usiku
nakwambia nakumbatiwa ananikiss minajua ndo mama nadeka tena mpk kidole nanyonya
nakwambia nashikwa wee usiku mzima mpk napitiwa siku ya siku akanishika huku kwa
bibi kweli nilisismka nanilihisi raha ya ajabu basi na mie nikajikuta nanogewa
na kiss nikazidi kumkiss dada yule akachukua mkono wangu akaweka chini kwake
kwamba nayeye nimshike basi minikawa namshika akanielekeza nimshike vipi huku na
yeye akinishika nilivyomshika alikuwa amelowa saana huku chini kwake nikaogopa
nikatoa mkono upesi,lakini aliningangania nakunilamba maskio kwamba nisitoe basi
minikaendelea kumshika tangu sikuile tulipendana sana na ndo ikawa kamchezo ketu
basi mpk kesho napendaa kusagana.story imeishia hapo napenda kutuma salamu kwa
wasagaji wote duniani hakuna kitu tamu kama kusagana.
Anonymous   |2012-02-02 23:02:32
Does Tanzania seem like a developed country to you? Shut your bowl of a mouth
and give some decent advice.
baby ya Mange   |2012-02-03 11:36:43
IDIOT ur the one shud shut ur mother fuckin mouth....with ur tinny IQ,,,i was
just tryn to make my point clear kwa kuongelea developed countries jinsi
wanavyowatreat single mamaz kwa kuwapa benefit...we akili yako imekwambia
naongelea tz??since when tz inatoa benefit?and tz is a developing country not
developed,,,woman i know what i was on about,, Go sit ur ass smwhere KMT!watu
wengine bwana uelewa mdogooo na bado unajitia kutukana watu...hovyooooo!!!
Anonymous   |2012-02-03 05:16:30
baby ya mange saa nyengine una point wewe,basi topic zote uweke point kama hii
sio kuweka pumba zako.
baby ya Mange   |2012-02-03 11:43:52
no one is perfect,,,take me as i am babyyyy....
koku   |2012-02-02 23:09:02
kama alivyosema mdau hapo juu,tujipange kabla ya kuamua kuwa na familia
. huyo mtoto fanya ufanyalo,kaa naye wewe mwenyewe. usitake
kumharibu mtoto kisaikologia . mwisho wa siku atakuja sema
nilitelekezwa na wazazi au nilikuwa mzigo ndio maana sikukaa na wazazi
wangu . kakosa mapenzi ya babake,nawe jaribu
kuonyesha unamjali kwa kuwa naye. au umepata kaserengeti boy 
hakamtaki mtoto?? think b4 u act. it will cost u later TAFUTA mdada
anayetaka kusoma ila hana uwezo, mtafutie evening classes,wakati
uko job yeye anakaa na mtoto, ukirudi na yeye anaenda shule
Anonymous   |2012-02-02 23:16:55
Inaonesha kuwa umefikiria sana na jinsi huna. Mwanao anaweza kubakwa kama akikaa
na hao mahouse girl nyumbani. Which I think is worse than her going to boarding
school.

Mimi nilienda boarding nina miaka minne. Ingawa ilinifundisha kuwa
independent, I'll never forget what I went through. Ningeshauri uamue mwenyewe
kati ya hizo mbili.
mdau usa   |2012-02-02 23:25:12
Big up baby ya Mange
Anonymous   |2012-02-03 00:07:38
FIND A DAY CARE OR FIND SOMEONE FROM YOUR FAMILY WHO CAN STAY WITH THE
CHILD...HOW CAN YOU DO THAT TO YOUR CHILD? FOR GOD SAKE SHE IS 3 YRS OLD.... DO
YOU HAVE ANY IDEA HOW HARD IT WILL BE FOR YOUR CHILD TO BE AWAY FROM YOU? YOUR
CHILD SHOULD BE YOUR PRIORITY... DAMN YOU WOMAN
Anonymous   |2012-02-03 09:41:48
Hata mie nilifikiria ampeleke day care lakini anasema yuko kijijini....
Huyo
mtoto ni mdogo saana kumpeleka boarding.... Ikishindikana kabisa mahouse girl
basi hapo ofisini kwako hakuna sehemu karibu unapoweza kumuacha kwa kuangaliziwa
nawe ukawa unamchungulia now and the?
tajibeba   |2012-02-03 02:08:18
Kwa nini usitafute kazi ambayo ni less demanding? Mtoto wako ni mdogo sana
kumpeleka boarding yani mtaloose connections na itakuuma sana akiwa mkubwa na
hayuko close na wewe.
Anonymous   |2012-02-03 02:32:03
jamani nafurahia hii topic ya huyu dada kwani hata mimi nina challenge hiyo, kwa
kweli tunasema tu kwamba eti kumpeleka mtoto boarding bado mdogo lakini
tukichambua sana utakuta mwanao unamuona weekend tu, coz unaamka saa kumi na
moja mtoto hajaamka na unarudi saa tatu mtoto kalala sasa hapo utasema umemlea
wewe hizo weekdays? house girl anauwezo mkubwa wa kufanya chochote kwa mwanao
hizo siku zote kwa kweli sio sisi tunalea ni mungu.

lakini nilikuwa nataka
nijue endapo huyo dada yupo karibu na boarding shool ambayo anataka kumpeleka
huyo mtoto coz hapo kwake kwa kweli inaonekana kuna michezo michafu sana
inayoendelea mchana wakati yeye hayupo ambayo ni hatari zaidi kwa malezi ya
mtomto, alternatively anaweza:-

1. Kuchunguza hiyo shule na malezi yake kwa
ujumla pia kujaribu kuwa rafiki na matroni na kumpa vizawadi hivi ili awe karibu
na mtoto pindi atakapompeleka hiyo ikiwa sawa ampeleka huko only on week days
lakini ijum...
Anonymous   |2012-02-03 02:34:54
Hii ni changamoto kwa kweli sio wewe uliyeko kijijini tu hata sisi wa mjini
jamani wasichana wamekuwa pasua vichwa kila siku wanaibua kasheshe yani nikiwa
ofcn roho yangu ju juu, na haina cha single wala married wote tunachanganyikiwa
na malezi
DOREEN  - boarding - @ 3 YRS OLD - NEGATIVE   |2012-02-03 03:04:02
USIFANYE HIVYO KABISA! umri wake mdogo sana. anagalau mpeleke huko wakati
tayari anajua hata kujieleza, nasema hivyo kwa sababu ya kisa hiki: (nashare tu
sio kwa kuwatisha watu ila kwa kuwatahadharisha, after all sio zote ziko hivyo,
it wont hurt to be extra careful) hizi mushrooming english media schools
boarding in that case, some of them kwa kweli uangalizi wa watoto hasa hawa
wadogo sio mzuri. kuna uhuru sana na kwa sababu ambazo sizifahamu walezi au
wasimamizi wao hawana uwezo wa kuwaadabisha watoto pale inapotokea utovu wa
nidhamu. hakuna discipline kabisa. kuna mtoto wa marehemu dada wa rafikiangu
alipelekwa boarding hapa dar akiwa na 3 years! kilichofanyika ni kwamba watoto
wakubwa kumzidi yeye walikuwa wanamwingilia kinyume na maumbile. hakuweza kusema
hadi maid wa aunt yake alipomgundua wakati anamwogesha aliporudi likizo.
walimpima na ikathibitika kweli amekuwa abused! jamani inahuzunisha mana hadi
leo ana 1...
DOREEN  - boarding - @3 YRS OLD - NEGATIVE   |2012-02-03 03:06:17
wanampatia huduma nzuri (ana attend clinic) anapata dawa za kutuliza makali ya
virus still akipata mwanya hutoroka, hutafuta hao mateja vichochoroni gizani
akisahamaliza kilichompeleka anarudi kwao ana relax..humsikii kutoka wala nini.
yani haya maisha. It is so sad kwa sababu anaishi maisha anayoishi kwanza kwa
kurithi tatizo toka kwa mzazi, pili, amepelekwa shule walezi wakiamini atasoma
apate elimu ili apate msingi wa maisha na ajikomboe, na walimu walijua kabisa
kwamba the kid is HIV + , uangalizi wa watoto sio ule thoroughly. can you
imagine? 3 years, he was too young to defend himself from older kids
mischief. angekuwa mkubwa possibility ya kutoa taarifa ingekuwa kubwa mana in
some cases wengine huogopa mana hutishiwa, lakini angeweza kupata
ujasiriakasema..sasa jamani huyu hata hajui kama hata anavyofanyiwa ni vibaya,
kuongea ndo hajui...inakuwaje? SO PARENTS, LET US BE CAREFUL WHEN CHOOSING WHICH
SCHOOL...
skonko   |2012-02-03 03:07:10
pole dia...boarding skul @that age is a BIG NO..tafuta an old
housemaid...ambae hana mume.yaani single old lady...wanapatikana wajane
example,,wapo tu vijijini..but make sure ni mkoa gani (forget about tanga), i
would suggest from bara. na mwisho pray hard mungu atakuonyesha njia sahihi..all
the best
c's mum!   |2012-02-03 03:32:10
am speechless! natafuta kigoda nikae nimechoka kusimama, ni mpitaji tu hata
hivyo!
Anonymous   |2012-02-03 03:43:51
Nakumbuka nlipelekwa boardng school since grade 2 mpaka namaliza A levels sijui
day schools zinafananaje! the primaryboardng school had kindgten n nursery
school kids,thy were so young wale watoto,i wud see them pass me n thy wud get
me thnkng 'thts a baby i just saw!' Walikuwa todlers mno n the school was in
kenya!imagin mzazi be it kenyn o tznian sendng thr todlers to boarding schools
at tht age. I thnk inahitaji ujasiri na uamuzi mkubwa kwa mzazi kumpeleka todler
boardng schl! Mvumilie kidogo kaongezeke mwaka/miaka hivi umpeleke boardng,thrs
is nothng bad wth boardng skuls she wil learn to be indepndnt,thotful n make
decesns at a very early age,thts my exprnce am givng u.miaka ile nlikuwa
najiona mdogo pia,ila mpaka leo i am grtful for the btful gift my parents have
given me,n tht is educatn,am nw seeing ts fruits.Nakutakia malezi mema bi dada
watever u decde,mara nyng huwa mzazi hakosei,av faith in God n do wat ur
ins...
Anonymous   |2012-02-03 03:50:40
Dada komaa na mtoto wako. Miaka mitatu kumpeleka boarding sio nzuri hata kdg.
Nina experince kdg Aunt yangu alisumbuliwa na wasichana akapeleka watoto wote
boarding, hawakumaliza mwaka aliwarudisha home. Walirudi na na ukurutu, ngozi
ukiiangalia mwee, tulishtuka. Mdogo alikuwa na miaka mitano alikuja amevaa
chupi sio yake. kwa hiyo inabidi ulitazame hili jambo kwa umakini na muombe
MUNGU akupe maamuzi sahihi.
DOREEN  - MDAU!   |2012-02-03 09:03:37
yani nimecheka sio kama nafurahia tatizo ila kwa kweli hiyo statement eti
alirudi kavaa chupi sio yake...duh! ye mdogo kavaa ya mkubwa nini? mana napata
picha flani mtoto kavaa chupi ina masikio hatari,...unabaki unashangaa chupi hii
vipi? ya nani? dah..kuna vioja duniani basi tu. nikkumbuka changamoto za utotoni
hadi leo hii nawakumbuka na kuwashukuru wazazi wangu mana jamani hadi tumefikia
hapa tulipo na maisha yetu tunajimudu tunajua jema baya, tuna pata hata nafasi
ya kupeana ushauri ili kuifanya dunia iwe mahali bora pa kuishi, kwa kweli
inatupasa kuwashukuru wao na KIKUBWA MUNGU..mana kukuza si kazi ndogo..tumwombe
atukuzie na wetu..changamoto ni nyingi sana! dah..mdau asante mana nimecheka
sana.
Nai Nai   |2012-02-03 04:04:27
Wasichana wa Kazi wanasumbua sana kwa hivi sasa. Nadhani hizi shule za Kata
zimewakomboa hivyo wamekuwa adimu sana. Mimi ni mfanyakazi wa benki moja kubwa
tu ya kigeni hapa mjini kwa hiyo muda wangu kwa familia pia ni kdg sana. Unasema
kwa mwaka unabadilisha wanne tu..?! Mie zaidi ya hapo na bado NAKOMAA nao hivyo
hivyo.

Miaka 3 kupeleka mtoto boding kwangu NO! Nikiambiwa niwakusanye
wasichana wangu wote naweza kuwajaza bus la scandnavia. Hivyo dada komaa hizo
ni chalenge za maisha tu. Sio kwamba ni sifa kubadilisha wasichana wa kazi ila
nataka tu nikupe picha ya hali halisi.NAMUOMBA MUNGU AKUPE MACHO YA ROHONI
UFANYE MAAMUZI YA HEKIMA.
Marichui   |2012-02-03 04:15:38
Umri huo ni kumnyima haki yake ya kimsingi kwa nini akaishi kama yatima ...fanya
ufanyalo mwanao ni mdogo mno kumpeleka mbali ...kijiji gani hicho upo walau
tupate picha ya mazingira Mpendwa ...
kuchi kuchi   |2012-02-03 04:27:51
we unaeanza kumjudge mwenzako sijui hakuplan umenibore... kwanza mshenzi
huna akili...inakuhusu nini?kakuomba hela ya pampers?au maziwa...utalaaniwa wewe
mdomo mreefu....

Mwaya mdau pole,first of all be proud of
urself,being a single mother si kilema ni braveness wangapi wanaogopa aibu na
kuziporomoa baadae wanatafta watoto hawawapati..big up.

Kuhusu
mwanao,komaa na hao hao mahousegirl,wala usijali kua baba yake sijui hasupport
angeweza kukaa na wewe na asijishughulishe vile vile..the tym u have with ur
baby utilize it to the fullest..ata ukirudi usiku mbebe sali nae,mtoto anafeel
upendo wako any tym ukiwa arround sio sawa na boarding.sawa mpenzi..
Pia
usikate tamaa tafuta ata ndugu wa mbali akae yeye na housegirl home just
watching over ur baby..itasaidia housegirl asijiachie sana,pole sana mpenzi ni
mapito tu...atakua bila shida na atakua mtoto mwenye mafanikio mpaka ushangae
..all the...
Anonymous   |2012-02-03 04:32:50
pole sana dada muombe mungu akupe ujasiri na mwongozo wa kumlea mwanao. binafsi
ningekushauri umlee angalao afike 7 years.huyo aliyecomment no 3 ameniboa sana
maisha hupangi wewe..unaweza ukajipanga na mabo yakabadilika acha kuropoka na
muombe mungu akupe maneno ya hekima
Anonymous   |2012-02-03 04:33:19
hivi nyie mnapomuuliza kua inamana kazi ni muhimu kuliko mwanae mnamaanisha
nini? kazi yake ni ya muhimu tena saaaana kwa mawazo yangu kila kitu kina
umuhimu wake, unadhani akiacha kazi akae nyumbani kumwangalia huyo mtoto
atamlisha mawe? acheni bwana kujifanya mnajua sana mapenzi na watoto kila jambo
lina uzito wake.na hata yeye anatamani kukaa na mwanae lakini halihalisi ndiyo
hiyo anayoielezea
ushauri wangu jitahidi kutafuta Housegirl mtulivu atakaye
kaa nina imani kua bado haijashindikana au hata banana na hao wanaokuja
nakuondoka hivyohivyo angalau mtoto afikishe miaka 6 au 7 na hata ikiwezekena
kaa naye mpaka amalize primary school ,malezi ya wazazi ni muhimu sana kwa
watoto hasa kama bado upo hai jitahidi hivyohivyo dia na Mungu akutie nguvu
melisa  - ms   |2012-02-03 05:04:56
pole sana mdada kuwa single parent sio mchezo muombe mungu wako akupe nguvu ukae
na mwanao japo afikishe miaka kama tano au sita ndo umpeleke
boarding........

mama siyabonga
Mimi   |2012-02-03 05:11:13
Mlee mwanao mwenyewe dada. Endelea kukaa na mahousegirl ila jitahidi uwe unakaa
na mahousegirl vizuri na usichukue wasichana wakubwa sana wanasumbua. Boarding
kwa umri wa mtoto huyo its a NO NO!!
Anonymous   |2012-02-03 05:21:03
mimi nilianza kwenda boarding school at a young age and i turned out pretty
ok,but miaka mitatu ni bado mdogo sana,wait atleast afike miaka minano.
Anonymous   |2012-02-03 05:30:38
boarding sikushauri kabisaa hasa mtoto akiwa mdogo, wale wadada wanaowalea
watoto ni wapuuzi sana mwanao ataogeshwa na maji baridi na bado hawajamfinya na
siku nyingine ataoga mwenyewe, niliumia sana mdo wangu wakati ana miaka mitano
alipelekwa boarding nilienda ghafla kumtembelea nikakuta kapo kwenye foleni ya
kuoga na maji baridi huku kanajifulia chupi, yaani niliumia mno nikaenda home
kuwapaka wazee mbona walimrudisha home fasta! jitafutie hata house girl mlokole
wa ukweli , nenda kwenye hayo makanisa ya kiroho utapata tu, ila jumapili
muachie aende church bila hivyo hatakaa.
paulne   |2012-02-03 05:32:58
mtoto ni mdogo sana usimpeleke borading my dear dont give up na hao wasichana we
tafuta tu akija akiondoka tafuta mwingine hivyo hivyo utakuta mtoto anakuwa ila
boarding wala usiwaze kabisa, huyo mtoto ni mdogo sana anahitaji malezi yako
sana wala sio huko boarding..... plus no matter uko bize kiasi gani tenga mda wa
sukaa na mtoto. wasichana wa kazi ndo walivyo hawajatulia kabisa mimi binafsi
nishabadilisha wasichana hadi wengine siwakumbuki majina ila my boy is growing
hivyo hivyo.............. pole sana kwa kuwa single mum mungu mkubwa atakusaidia
mwanao atakuwa then ndo ufikirie kumpeleka boarding ila sio
sasaivi.......

pole i can understand wat your going thru coz na mimi
nimepitia huko huko ila nilikomaa hadi mwanangu kakua now
Jitahidi   |2012-02-03 05:36:01
nimekuwa kwenye wakati kama huo, kwa miaka 3 nilibadili wasichana zaidi ya 20.
ila iko siku nikabahatisha, nina msichan wa kazi mwaka wa sita sasa, watoto
wamekua na msichana anakwenda shule. Usimpeleke mtoto boarding school kwa muri
huo. Endelea kubanana na wasichana. Akikaa miaezi mitatu, mtoto kasogeza umri
sio sawa na jana.

Na huyo anony anayesema eti uijipanga kufail achana
naye.Nobody anayepanga kushindwa kwa lolote and definitely as a mother, you
never planned to be a failure!
Anonymous   |2012-02-03 06:36:06
Usikae ukafikiria kumpeleka boarding mtoto mdogo kiasi hicho hata siku moja,
kama wadau walivyosema komaa na hao hao mahousegirl, akija akiondoka hewala
tafuta mwingine maana housegirl mi naliita janga la kinamama nowdayz. Mi
mwenyewe ni single mum nishabadili wasichana idadi siikumbuki ila mwanangu
anakuwa she is now in class 3 hata ukimwambia kapande school bus anaenda
mwenyewe, simpeleki boarding school ng'o
Anonymous   |2012-02-03 07:02:11
Boarding school kama upo busy mama ni nzuri lakini mtoto wako ni mdogo sana at
least afikishe miaka 5!akifikisha hapo mpeleke international school of moshi kwa
kweli ni nzuri,nasema hivyo kwakua naijua,ingia kwenye website yao utapata
infomation zote!
Anonymous   |2012-02-03 07:32:45
Pole sana dada, boarding school is a NO GO!. Mimi nina mtoto wa 3yrs and the way
i look at her can't imagine she's at boarding alone not knowing what is
happening, what she has eaten, if she showers or not, kavaa nguo safi au chafu,
who reads her a story, plays with her, do homework with her... its un
imaginnable for me. hivyo sikushauri kabisa kumpeleka boarding. banana na hao
wasichana utabahatika tu na mmoja mwenye kupenda kazi yake.

pia jaribu
kutafuta kazi which is less demanding. all the best and pray hard.
c's mum!   |2012-02-03 08:14:51
mi nna mume lakini ni kama nipo single tu! ni chuma ulete yule baba wallah, ila
nakomaa hivyohivyo na wanangu na huwa simpi nafasi ya kunienjoy hata kdg! women
tuna taabu, pole mwaya! sasa hizi nyapu zetu especialy mi n u tuziweke loc ya
kuconceive kuavoid mo problems! kuwa jasiri tupo wengi!
mona   |2012-02-03 08:23:57
Dada, mimi nilipelekwa boarding nikiwa na umri wa miaka 7, sitanii ila it was
the best experience ever. Shule ilikua mchanganyiko na ilikua an international
school. Wazazi niliwaona kila mwezi. Mama yangu alikua makini sana na ilimchukua
muda mrefu sana mpaka akaichagua hio shule. Nilipata msingi mzuri sana wa maisha
na nilivyokua narudi likizo wazazi wangu waliniweka karibu sana nao, pamoja na
ndugu zangu. Sasa hivi ni mtu mzima ila nawashukuru sana kwa maamuzi mazuri
waliyoyafanya wazazi wangu enzi zile.Angalizo langu ni kua kama unaamua
kumpeleka bording, basi usikurupuke, subiri awe atleast 7yrs, na kua nae karibu
sana wakati wa likizo,ili umchunguze. Good luck
Anonymous   |2012-02-03 09:07:03
bording big no. at 3 my kids even at14 iwont , iam very scared . ila pole ,
bora hose girl hata kama utabadilisha , haijaishi uko bisy , ukijali
lazimautapata muda kdg wa kuspend na mtoto wako kuliko akiwa boarding , Iam
against bording school for kids ambao hawaja matured enough to decide on their
own , anaweza akaja na tabia mpka ukadhani sio wa kwako , akiwa day akibadilika
unarekebisha sababu utaona
Angel   |2012-02-03 10:04:44
Mimi nakushauri umepleke huyo mtoto boarding school coz its ur only alternative.
Ila next time ukiamua kushika mimba na kuzaa, hakikisha baba mtoto sio "hit
and run" ili aweze kua part of ur childs life. Ukishazingatia hilo huta leta
maswali yako hapa as utashauriana na uliezaa nae. Nihayo tu!
Anonymous   |2012-02-03 10:49:12
pole dada kwahilo, mi nakushauri utafute housegal mama mtu mzima ila uangalie na
kabila ata kama anamtoto mchukue ukae nae na jaribu ku mtreat vizuri utakaanae
vizuri tu na atalea mwanao mie dada angu anafanya ivyo na mtoto amekua vizuri tu
wasukuma wanaroho nzuri jitaidi kutamfuta mtu mzima esp mwenye mtoto
mkubwamkubwa atakusaidia 4ril yani but boarding no pliz!
Anonymous   |2012-02-03 12:33:12
DON'T.
Anonymous   |2012-02-03 12:54:42
BOARDING? 3 YEARS OLD? U OUT OF UR MIND! UTALALA KWELI! BY THE TIME ANARUDI
LIKIZO KAKUSAHAU KAMA WEWE NI MAMAKE. HATA HUKO BOARDING ATAKUWA ANALELEWA NA
HOUSEGIRLS ANYWAY OR WATU AMBAO SI NDUGU, SO WHATS THE POINT. I WILL SUGGEST
UBADILISHE TU MA HOUSEGIRL....OTHEREWISE HE/SHE WILL BE PSYCHOLOGICAL AFFECTED.
Anonymous   |2012-02-03 13:19:36
duh mtoto mdogo sana kwenda boarding school.

ukimpeleka unauakika kwamba akiwa
likizo zote utakuwa unakaa nae?

kama utatafuta mtu tena wa kumwangalia basi
haina haja as atakuwa analelewa na watu miaka yote anayokua na baadae atakuwa
hakujui na hamtakuwa na relationship nzuri yaani hatakuwa na kumbukumbu ya wewe
kuwa mama uliempa raha utotoni na kucheza nae kumfunsidha masomo, lugha abc, 123
etc

Kama mdau alivyoshauri hapo juu tafuta mtu wa kukaa home kama ndugu hata wa
kumsomesha secondary au primary watakuwa wanakaa nae na msichana wa kazi.

Pia
kwa sasa unaspend nae time ukiwa hauko kazini yaani weekend?

na anafurahia?


pole ngumu hii mie mwanangu nisingempeleka boarding as nawaangalia navyoandika
wa kwangu duh bado wadogo nani watamwita mama wakiwa huko utoto wote utapotea na
kunyanyaswa na watu wengine kisa hajaelewa maisha.

mkalishe home, wazazi wako
wapo wapi esp bibi muombe aje ukiwa unatafuta ndugu mwema uishi nae
Anonymous   |2012-02-03 13:30:20
Nakuomba ujaribu kutafuta msaada wa malezi ili mtoto ukae nae, malezi ya
mama/baba kwa umri huo ni muhimu sana. Ni kama wasichana wengu huku Ulaya
wanazaa watoto wanawapeleka TZ wakalelewe na ndugu zao ili wenyewe waendelee
kula maisha mimi naona ni kuwa selfish na kutokufikiria kama wewe mzazi wako
angekupeleka kijijini ulelewe ungekuwaje sasa hivi.

God will always show u
the way.
mimi   |2012-02-03 14:59:16
[size=medium]Anonymous |2012-02-02 21:38:26
hana muda kashasema labda useme
malezi ya dada ni muhimu maana mwenyewe
umeshauri atafute ndugu ndio aje ampe
hayo malezi ambayo yeye hana muda wa kumpa
mwanaye...! hii mimi hata siielewi
elewi,Kwanini lakini tunakimbilia kuzaa kabla
hatujajipanga?tunasahu if u fail
to plan u plan to fail?ndio kilichokukuta
dadangu hukujipanga toka mwanzo hivyo
ukawa umeshajitengenezea madhingira ya
kufeli,huna jinsi sasa hata tukupe maneno
matamu kiasi gani hatuna uwezo wa
kukusaidia iliyobaki ni wewe kuchagua moja
kati ya malezi ya mwanao na kazi kipi
bora zaidi,hili ni fundisho kwa nyie
mlioko vyuoni huko,mapenzi na shule ni sawa
na mlenda na kahawa,aliimba
mheshimiwa vick kamata



We nae, kama chiz vile hajajipanga nn sasa
? kashakwambia anafanya kazi, kashasoma kamaliza! ulitaka hadi azeeke
ndo aanze kuzaa
we ndo kajipange , au subiri uzeeke ndo uanze
kuzaa!
Anonymous   |2012-02-03 18:47:02
HUKO KIJIJINI HUNA WAMAMA WATU WAZIMA WENYE UPENDO NA WATOTO WAO UNAOWAAMINI
UKATAWAOMBA WAKUSAIDIE ALAFU UKAWALIPA? SIO LAZIMA UPATE MTU WA KUKAA NA WEWE
NYUMBANI..KAMA KUNA MAMA MWENYE MTOTO ANAEKAA NYUMBANI OMBA AWE ANAKAA NA MWANAO
ASUBUHI UKIWA UNAENDA KAZINI UNAMUACHA MTOTO KWAKE UKIRUDI JIONI UNAMPITIA
UNARUDI NA MWANAO NYUMBANI...HAKIKISHA KUWA NI MTU MUAMINIFU NA WATOTO AU MTOTO
WAKE HAWANA MAMBO MACHAFU...MTOTO WAKO NI MDOGO, DUNIA HII INA MAMBO MENGI
MACHAFU MAGONJWA MENGI NDUGU YANGU DADA FIKIRIA MWANAO KWANI HAWEZI KUJITETEA
HUYO MALAIKA MDOGO HAJUI ZURI AU BAYA...ANGALIA MAISHA NA DUNIA INAVYOENDA USIJE
UKAJA UKAJUTA BAADAE...MUNGU ATAKUSAIDIA INSHAALLAH.
kifimbo cheza   |2012-02-03 20:55:26
anony |2012-02-02 21:38:26 na yule anaejidai kazi inaumuhimu gani zaidi ya
mtoto MIJITU MINGINE INABOA STIFF yaani.

Nani alikwambia hakupanga, kuna mtu
anataka kuzaaa tu akalea mtoto peke yake? hata changudoa inatokea tu bahati
mtoto kazaliwa, wachache sana wanaotaka maisha ya hivyo. Unajitoa fahamu hujui
SHIT HAPPENS, unaweza kuwa single kwa kuwa relationship haikuwork out or
anything shit happens!!!!

Na hili linaojidai eti aprioritise, akiacha kazi
atamosomesha na maBOTTOM au watakula police. Tufikirie sio tunasema out from our
A tu.

hii kidogo nje japo similar, nawale wanaokuaga ULAYA wanaleta watoto wao
bongo, naelewa tofauti wanaleta kwa family lakini hm inataka moyo!! Mi nikizaa
nitahangaika tu na wanangu na maisha pia.
jogoo kumekucha kokoroko   |2012-02-04 09:45:47
Mimi kwa kukushauri nakushauri uendelee kuomaba Mungu maana kweli ni ngumu kwa
uwezo wako mwenyewe mimi nadhani kutokana na experience ya kutoka kwenye familia
yangu sikushauri umpeleke mtoto wako shule ya boarding kwa age aliyokuwa nayo
mdogo wetu wa mwisho alikataa kwenda ya day ya primary na kuanza kutoroka
darasani kwa sababu zisizoeleweka baaba ya sisi kugundua tukaamua tumpeleke
boarding tena shule ya dini by then alikuwa na miaka kama saba hivi kweli
alihudhura darasa lakini alijifunza mambo mengine mengi ambayo alitakiwa kama
mtoto wa kike afundiishwe na mama yake alifundishwa na vijisichana vyenzake
yaani hakusaidiwa chochote na maisha yake mpaka leo hajawahi hata kupata diploma
ni mama wa nyumbani mwenye watoto watatu na hali mbaya ya maisha hata kama hali
itakuwa mbaya kiasi gani jitahidi ukae na mwanao na umfundishe kama mama yake
usitake kumpeleka boarding maana huko atafunzwa na walimwengu omba Mungu
atakuonye...
Anonymous   |2012-02-04 09:47:10
miaka 3? hii c balaa jamani? umpeleke mtt wa 3yrs boading... nilikuwa tu nasoma
koment ikabidi nirudi juu nione umri,
The Evil HR lady  - Minsy   |2012-02-04 12:52:58
Mimi nakushauri msubiri mpaka agile at least 7 years, it's Peoria akiwa mdogo
hivyo lakini usiku hulali unawaza tu mtoto anaendeleaje,

Nakushauri endelea
kukaa naye huku unatafuta kazi, vilevile kuna masister wa Moshi wanatrain
mahousegirls Hao wako expensive but you have no choice, wanakuwa na mkataba wa
Ajira unawalipa Kama lake na nusu kwa mwezi........

Mimi mwenzenu niliacha kazi
yangu nzuri yenye safari na marupurupu lukuki and took a lesser job maana Kila
mwezi ilikuwa nasafiri....

Wanangu sasa wamekua, amhadhulilah nimepata kazi
nzuri sana tena sana, but I had to make that decision at that time maana watoto
walikuwa hawana progress shuleni, so take a lesser job mjini do it for the baby.
Trisa   |2012-02-04 23:44:05
Mdada pole kwa yanayokusibu. Mimi ushauri wangu ni kuwa usifanye haraka ya
kumpeleka mtoto boarding school watakuharibia mtoto, hakuna muda mzuri wa
kumkunja mtoto kama umri huo alionao mwanao. (samaki mkunje bado mbichi....)
wakati huo ningekushauri ujitafakari na wewe mwenyewe kwa nini housegirls
wanaondoka kila wakati, maana saa nyingine wamama tunakuwaga na midomo na
minyanyaso kwa wasichana wa kazi mpaka inawafanya wakimbie, mimi ninamsichana
niliyepewa na rafiki yangu baada ya kuniambia hamuwezi kuwa ni mchafu na mvivu,
akatafuta mwingine, kwa kuwa nilikuwa desparate nina mtoto machanga na sina
msichana nikasema ngoja nimchukue anisukumie siku, cha ajabu nilimfundisha kazi
na usafi na akabadilika na ninaye msichana huyo sasa hivi mtoto wangu ana miaka
15 ilifika mahali rafiki yangu alikuwa ananionea wivu na kuniambia nimrudishie
msichana wake ila binti alikuwa hataki tena kurudi, amekuwa ni sehemu ya familia
siku ya ...
Anonymous   |2012-02-05 07:07:29
my dia fanya Juhudi upate kazi mjini ili umpeleke day care then unapotoka kazini
unampitia.. Pole sana, i can feel what u r going through since am a mom too...
Hizo comments za kina JUDITH zisikuumize kichwa, wenyewe wanafikiri uchawi ni
lazima upae na ungo.. msonyooooooooooooo!!
Anonymous   |2012-02-05 20:37:16
Mambo ya malezi ya mtoto ni kuomba Mungu tu hakuna cha boarding wala day care,
mtu akiamua kuabuse mtoto anaweza kufanya popote pale. Ndio maana wenzetu
wazungu mtu wa kufanya kazi yoyote inayohusu watoto au mwalimu au nanny lazima
afanyiwe police check na cheti kabisa unapewa.

Unaweza kusema mie mwanangu
nakaa nae mwenyewe watu unaoishi nao wakamuabuse, au kama kale kabinti
kalikobakwa na dereva wa kibajaji aliyetumwa ampeleke shule (nilisoma kwenye
blogu fulani. Au watoto wanaokuwa abused kwenye mabasi ya shule wakirudishwa.
Miaka ya 90 mtoto wa std 1 (5 yrs) alikuwa abused Mlimani primary na watoto
wenzie wa madarasa ya juu. Kwa hiyo hakuna formula ya ulezi, ajitahidi hivyo2
lakini hakuna mahali kuko salama!
Anonymous   |2012-02-06 10:22:50
mama mtoto peleka mtoto wako day care centre, kama zipo. Kama hazipo itabidi
ukubali kubadili wasichana hata wakifika mia moja who cares. Kwa maisha yalivyo
wanangu hawatakanyaga boarding schoo kabla ya kuanza kidato cha kwanza. Ninasema
hivyo kwa sababu ninajua ni kiasi gani wazazi wangu walinipa upendo na malezi
kwa 13 years those years ndipo nikaenda boarding. Niko na wanangu mkubwa grade
6, anayefuatiwa grade 4 na mdogo abisa grade 1 this year. Nimepambana na mabinti
wa kazi sema si sana but pia huyu mdogo niliamua kabisa akaaza baby class at 2.5
years na sasa running six ameingia la kwanza na akili kibao kwa kuwa ana 5 years
na miezi but very bright kwa kuwa alijifunza vitu shule mapema badala ya
kushinda home na wasichana,so he is even brighter than her sisters ambao walikaa
home had3 3 yrs walipoanza nursery. So my dear kama ipo baby care peleka but not
boarding school, utalia. Kule ni madawa ya kulenvya, kusagana, kulawi...
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Follow Mange on Twitter
Find U turn Blog on facebook