Who's Online
We have 381 guests online
AHSANTE SANA NORAH KWA MCHANGO WAKO.....
Written by Mange   
Thursday, 02 February 2012 21:54

Thank you so very much Norah, stay blessed mama....

 

 

 

Muke ya Muzungu looking guuuuuud......senkyuu mama....

KAMA UNGEPENDA KUTOA DONATION YAKO PLEASE NITUMIE KWA WESTERN UNION

MANGE KIMAMBI LOWREY - TANZANIA

OR MPESA: 0769 781315

Comments
Add New Search
tunu.....   |2012-02-02 18:30:21
asante Norah...be blessed.
Anonymous   |2012-02-03 00:10:06
Mange, mbona wanaopata headlines ni wake wa wadhungu tu
Anonymous   |2012-02-03 07:14:56
ndio wanaotoa.
Marichui   |2012-02-03 04:19:26
Ubarikiwe my Dear Mungu akuongezee hapo ulipotoa
Anonymous   |2012-02-03 04:32:28
MUKE WA MDHUNGU NAMBA 1 KWA HESHIMA
c's mum!   |2012-02-03 08:19:34
jamani wake wa waganda sisi je inakuaje? mbona waume zetu pia ni foreigners?
mange plz remember us tooooo.
oshin   |2012-02-04 06:44:53
toa mchango then u'll be remembered!!
details za kutuma mchango zipo hapo juu
Anonymous   |2012-02-03 10:41:05
Sasa ukiwa mke wa mzungu si iatusaidia nini
Anonymous   |2012-02-03 18:05:59
Utajibeba na utazidi kukomaa hivyo hivyo na roho yako mbaya, kwani amesema kua
mke wa mzungu inakusaidia kitu. Mtu kafanya kitu kizuri learn to appreciate sio
kila kitu unakosoa. Nyoooooooooo sura ngumu na michunusi na
imepanuka......tuondolee frastrutation zako hapa. Muache mtoto wa watu
Anonymous   |2012-02-05 07:16:39
mbona unahasira hivi?kwani kunacomment gani mbaya hapa imetolewa mbona kila mtu
anapata comment mbaya na nzuri akijitoa huku hata mange wetu tunamtukanaga wala
asemi kitu chochote,hii ndio dunia utapata wanaokupenda nawanao kuchukia please
chill down,ASANTE KWA KUTOA NORAH MY DEAR USIJALI YASEMWAYO AM SURE HATA WEWE
UNASEMA MTU AU UNACHUKI NA MTU,NO ONE IS PERFECT MOVE ON,.......
Anonymous   |2012-02-03 13:27:06
kati ya wake za wazungu ambao hawajichanganyi na wabongo huyo ni namba
1..........napenda anavyo keep herself to herself, hata siku moja humuoni na
wabongo huyu dada. keep it Norah. and asante ka mchango ubarikiwe ulipotoa
MUKE YA MUZUNGU MPOLE   |2012-02-03 23:24:24
tuko wengi tusiojitangaza wake za wazungu
Anonymous   |2012-02-03 15:04:34
Mh wake wa wabongo hawatoi donation nini? mbona ni wadhungu tu ndio wanawekwa na
picha juu? I am just curious to know.
Anonymous   |2012-02-04 01:39:05
Wake za wabongo majukumu mengi hasa upande wa wakwe!!!!!!!!!!!! Kila kukicha
vibomu
Anonymous   |2012-02-04 05:06:12
hamna lolote watu wanatoa sema tu huyo mange anadharau sana,au unapata 10%
ukiwa unawarusha hvyo.appreciate wote wanaotoa mchango sio kila siku
wazungu unaboa kwakweli
wa mtoni   |2012-02-04 15:11:01
big up Norah !! ujaziwe pale ulipotoa !!
Anonymous   |2012-02-06 04:45:52
Na mie nataka kujua toka michango ianze kila siku big up mke ya mudhungu ina
maana wabongo hata mmoja hawajatoa au ndio kusema wabongo wote waliotoa
wamekataa kuonekana kwenye blog,
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Follow Mange on Twitter
Find U turn Blog on facebook