Who's Online
We have 384 guests online
ADELINE AMZALISHA MTU....
Written by Mange   
Wednesday, 01 February 2012 23:27

Mtoto aliengia duniani kwa msaada wa Adeline a.k.a Mama Sallyrose...

 

Haya ndo maelezo ya Adeline akielezea kinagaubaga chote

 

Adeline....

Comments
Add New Search
Anonymous   |2012-02-01 17:36:52
hongera dear manake na mgomo huu wa madaktari lolote lingetokea huko hospital
karibu duniani mtoto na hongera kwa hao wazazi
Anonymous   |2012-02-01 17:59:28
Sipendi kuona vichanga wa less than 3 days, wanatisha wananuka uchi.

I avoid to
kiss mpaka atleast they month or so
Anonymous   |2012-02-01 18:07:34
MPUUZI MKUBWA WEWE, KWANI KAMA HUNA LA KUCOMMENT LAZIMA UANDIKE KITU HAPA? KAMA
WANANUKA UCHI HATA WEWE ULINUKA UCHI LAKINI MAMAKO
ALIKUSHIKA,MSONYOOOOOOOOOOOOOO,WENGINE WANAWATAFUTA WAWAPATE WEWE UNAANDIKA
UPUUZI HAPA.
DESPERATE HOUSE WIFE   |2012-02-02 12:21:53
MWACHENI TU AONGEE! UNAJUA NDUGU KWA KINTWA TUNA BARIKI NA PIA KUAANI? MUOMBE
MUNGU. YAELEKEA BADO HUNAN WAKWAKO, MIMI NILIKUA NSOGOPA KUWASHIKA NIKIDHANI
NITAWANYOFOA KIUNGO VILE NI WALAINI! LAKINI SIKU NILIMUONA WAKWANGU NILI DEMAND
NIMSHIKE KABLA HATA HAJASAFISHWA! UKISHAMUONA MWANAO DEAR HUTAONA ICHO KINYAA??
NA KAMA WEWE NI MWANAUME! WANAUME WENZAKO WANAANGUAGA VILIO...... THAT IS THE
BEST DAY OF EVERY PARENT'S DAY. MI NAKUOMBEA UPATE WAKO NA USAMEHEWE KWA MANENO
YAKO.

HONGERA ADE! MIMI SIDHANI NINGEWEZA! NINGEPANIK BALAA
Anonymous   |2012-02-01 18:12:32
Hongera Adelina, sio wengi ambao wako na roho ya uvumilivu au sijui niite roho
ngumu??? yaani kama mimi ningezimia kwa wasiwasi, nina uoga wa ajabu.Naamini
mungu ndio aliyempa Ade ujasiri katika hiyo dakika.
Mungu na aendelee kukutumia
Ade,
Anonymous   |2012-02-01 18:14:30
MUACHENI MUNGU AITWE MUNGU, WACHENI MUNGU ATUONYESHE MAMBO KUPITIA KWA HUYU
MDADA, TULIMSEMA MABAYA MNOOOO, SASA MWENYEZI MUNGU ANATUONYESHA KUWA ANAMPENDA
NA AMEMCHAGUA,NA ATAFANYA MAKUBWA YA AJABU HATA ZAIDI YA HILI.
MIMI NI ASSISTANT
NURSE ILA I AM SORRY TO SAY INGETOKEA SITUATION KAMA HIYO (NJE YA HOSPITALI)
NINGECHANGANYIKIWA.
Anonymous   |2012-02-01 18:19:30
Oooh jamani Adelina mungu anataka kukuambia nini? jana umelia sana kwenye msiba
wa mtoto wa miaka 6, umesikitika sana, jana hiyohiyo ukaenda kumzalisha
mtu.Nafikiri mungu anataka kukuambia usikate tamaa kwenye maisha, tunapopotelewa
na wapendwa wetu sio mwisho, ni kujikaza na kusonga mbele, yote tumuachie
mungu.
Jambo kama hilo haliwatokei wengi.UBARIKIWE,mana nasikia huyo
uliyemzalisha ni jirani tu anakaa nyumba ya bati.HIYO NDIO DINI ILIYOSAFI
MAMA.INGEKUWA MWINGINE WALA ASINGEGONGEWA HODI KWA MARINGO YAKE AU ANGEGONGEWA
ANGECHUNGULIA DIRISHANI AKIMUONA MASIKINI ASINGERESPOND.
Anonymous   |2012-02-01 18:21:37
ADEEEEEEE UMETISHA....ndio haya mambo tunataka, sio ubishoo tu halafu mengine
hamuwezi.Chezeya mutoto ya mzee Mushi.Mwanamke kujiamini na UJASIRI.
Iblisss  - hee he he he he   |2012-02-02 01:46:16
We kikojozi unaedai vichanga vinanuka uchi we ulitokea kwenye mku**u?
hebu kanyoe mavu** yako kwanza, tibu majipu, tibu fangazi zako then unaweza
kuongea watu wazima.
judith   |2012-02-02 04:10:33
MALAYA MBWA WEWE UNAZANI WE ULIZALIWA MTU MZIMA ALIYEKUAMBIA WANANUKA NANI??AU
NI HOU UCHI WAKO UNAVYONUKA UNAJUA ATAKAYETOKA HUMO ATANUKA FALA WEWE!! AU
ULITOKE MKNDN???CHUKIA HILO LISIMI LAKO LEFU KAMA KAMBA YA KUANIKIA NGUO
Anonymous   |2012-02-02 13:14:15
acha uzushi??kwani we ulizaliwa ukatokea kwenye kuma???
tunu....   |2012-02-01 18:19:59
mnh hizi sifa mnazotafuta....ngoja tuone mtafikia wapi....
Anonymous   |2012-02-01 19:53:25
WE TUNU MAVI ACHA ROHO MBAYA, MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI, ADELINE
AMEFANYA KITENDO CHA KIJASIRI SANA, WALA SIO KUSEMA WANATAFUTA SIFA.
UNASEMA
TUONE WATAFIKIWA WAPI, HAYA WEWE ENDELEA NA ULE UJINGA WA ALIYE JUU MNGOJE
CHINI, UTANGOJEA HAPO HADI UZEEKE MWENZIO ANAZIDI TU KUPANDA JUU.
judith   |2012-02-02 04:13:05
SIFA GANI WE TUNU???AU HUJUI UNAONGEA NINI???KAKOJOE OSHA UCHI VIZURI SUBIRI
BWANA AJE AULIME KAMA SHAMBA LA MIWA
Real 'housewife'   |2012-02-02 10:25:26
Uuuuuuwi Judy Kiboko...una kamusi nini..nimchekaje
RN   |2012-02-01 18:36:26
Wow Adeline, congrats for having such a strong will and doing what you had to
do! Such a remarkable story...jamani, I hope the parents will name him
"Adolf" LOL, something close to "Adeline" hahahaha, this was an
awesome story!! I hope there is more media publicity about this act of heroism!
Lulu   |2012-02-03 04:08:37
Dear i hope they will name his adelini, kwenye ukristo, mwanamke anaitwa adelina
mwanaume adelini. Hayo mengine wanachakachuka tu!! Napita tu
vivian mushi   |2012-02-01 19:06:02
dUh hongera sana ade
[b][/b
Anonymous   |2012-02-02 10:28:08
Duh hongera mno tena sana..maana mwanamke akiwa kwenye hiyo situation ni
balaa...mie binafsi sitaki hata kuisikia i prefer kujifungua kwa operation..sasa
wewe sijui uliwezaje kum-handle mama mwenye hali hiyo..Hongera kwakeli..na
Mwenyezi Mungu akuzidishie kwakweli ni wachache wenye Moyo kama wako..!!
vivian mushi   |2012-02-01 19:06:57
Hongera sana ade mungu akuzidishie
vivian mushi   |2012-02-01 19:08:05
Ongera
baby ya Mange   |2012-02-01 19:48:20
baby kwani Ade hajui kiswahili??... the english she use is too complicated
for normal convo...i thought i was reading report work or something...
Lise07   |2012-02-01 20:37:51
Jamani lugha ngumu hii! Where i come from an 18+ male is called a (young)man,
leo hii kaitwa boy, makubwa haya! Napita tu...
anony  - lugha   |2012-02-02 02:58:51
that is typical "kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani! miss english
dictionary, did u get the message? to me looks like u did, that is why u even
commented...but why could someone be so naive to point some weakness forgetting
abt heroic act on set?in some cases to dis someone is an awkward thing! English
is not our mother tongue, if you are very good in English why didnt you comment
in english fully? dont u think as third language to many, (to me it is 4th
language) we are likely to make mistakes since the language is foreign.

BTW,
HONGERA ADELINE. WE HAVE LEARNT SOMETHING. YAKIKUFIKA, WOGA UNAKUTOKA, YANI
MUNGU NI WA AJABU NA NDO MANA ULIPATA UJASIRI.
Anonymous   |2012-02-01 21:09:19
Thats amazing..Wow! U did something that anyone wud be scared to do it out of
hospital..
The new baby is cute n healthy..God bless him..Ade if u gonna have a
boy they will be true friends with the new one,coz it like u n ur lil angel did
this job..
Anonymous   |2012-02-01 23:21:22
HIVI WE ULIYEANDIKA COMMENT YA MTOTO KUNUKA UCHI UNA AKILI TIMAMU KWELI?
Real 'housewifes'   |2012-02-02 10:32:11
MIE NADHANI ALITOROKA MILEMBE HOSP. HUYO..MWEHU KABISAAA CHIZI UNAMPENDELEA!!
Mdau USA   |2012-02-02 00:24:49
Kama mtoto angekuwa wa kike basi alistahili kuitwa Adeline.
mwashasha  - Mwaweweseka na lugha?   |2012-02-02 02:22:37
Mbona mwazuzuka na kuweweseka bure na lugha? Kipi cha ajabu? Mbona hao
mnaowababaikia hawajui lugha yetu ya Kiswahili na hamuwacheki? (We sail in the
same boat guys!) Mishipa ya shingo imewasimamaaaaaaaaa khaaaaaaaaaaa
Take it
easy..........
mimi wa bibi   |2012-02-02 02:25:02
jamani ade sikujui hunijui but u amaizing mm jamani ningezimia kwanza
yaani mtu akishikwa na uchungu ile kumpeleka tu hospital huwa naogopa na siendi
peke yangu lazima nitafute escot na kama kuna rafiki au ndugu yangu anakaribia
kujifungua mm ndo huwa nakosa usingizi kwa uoga Ade u r a HERO koz kusema kweli
ss watoto wa mjini mambo kama haya huwa hatuyawezi kabisa lakini huu ujasiri ni
Mungu kakukirimia be blessed more n more na umtukuze Mungu ili aendelee kukuweka
juu mamito
Tajibeba   |2012-02-02 03:28:37
Hongera Ade yani i was imagining if i was faced with a similar situation
ningereact vipi uwii maybe ningekimbia maybe ningelia maybe ningeduwaa
uwii maybe Mungu angenipa nguvu ningemdeliver thou i dnt know how. so in short
it takes a courageously person to do that and it was also by the will of God
Adeline was able to do that so for me i give all praises to GOD for giving
Adeline such courage and strength to help a fellow woman deliver
c's mum!   |2012-02-02 03:35:14
huyo aliyesema watoto wachanga wananuka uchi, akafirane huko! anadhani ye
alivyotokea mkunduni ndio wote tulitokea huko! nyoooooooooooooooooooo msonyo uwe
na adabu mwana kuwashwa wewe mchambia upupu! pumbavu zako, umeniharibia cku!
ungekuwa karibu yangu ningeku kwanza nani
alikwambia uchi huwa unanuka, au we una utoko mwenye nyapu ka banio la ugali.
umenikera sana!
Shamsa, DC   |2012-02-02 03:35:23
Anayesema vichanga vinanuka uchi labda yeye alipozaliwa mama yake alikuwa
ananuka uchi na ninahisi mpaka leo bado ananuka uchi, mjinga mkubwa. Hongera Ade
na hali yako lakini hukukaa nyuma. Mfano wa kuigwa wa kibinaadamu
MSHAMBA   |2012-02-02 03:36:16
Jamani kwa nini nikiweka madole mekundu inakubali lakini nikitaka kuweka
madole ya kijani inakataa !! Please do something bana aaarrggh
Tajibeba   |2012-02-02 03:53:44
Baby ya Mange thats all you could see ni kingereza cha work report kwenye post
ya Adeline? watu mnavituko. haya bwana wenye vingereza vyao rekebishaneni. i
dont see a problem ya mtu kwa na language preferences akiamua kuandika getto
language sijui report language au atumie any other form for that matter kwa
lugha yeyote kichina, kighana, kichagga, kingereza, kiswahili whether broken,
complicated or not thats someones choice hujaelewa tafuta interpreter.
baby ya Mange   |2012-02-02 10:37:50
nilimalizia sana hadi nikauliza kama alishawahi kuwa midwife na nikampa hongera
zake ila nashangaa comment imekatwa baby wangu anawivuuuuu saaaaana
anafikiri minaweza kumpenda ADE
Marichui   |2012-02-02 04:08:07
Hongera Ade kwa Ujasiri ..Yalinikuta kama hayo kwa namna nyingine Mdogo wangu
alishikwa na uchungu halafu mdogo yaani nilikuwa nalia na kutetemeka mimi mpaka
namfikisha Hospitali nalia Wauguzi wananishangaa niliogopa mno sikuwa na Ujasili
wowote kabisa ..Du wewe umezalisha Big up Mama
Anonymous   |2012-02-02 04:24:36
There are some people here their mind is so full of fu*****
shit,who do you
think you are to say babies smells and so full of other stupid shit,That's God
creation you are talking about,what are you going to do with your own
baby????
And you ! another "IDIOT" what different does It
make,"boy"or "man" the point is you understood the whole story
and don't try be grammar checker,coz English is not our Language ,we just
learned it and we like using it,people tuache chuki binasfi kama mtu kafanya
kitu cha msingi haina haja ya kucomment ujinga,pia fikiri kabla ya kutenda,
MAMITO   |2012-02-02 04:39:38
Waoh congrats ma dea, really amazing ahh, god bless you
kenge anetumia carolight hana   |2012-02-02 04:47:00
JAMNI HUYO ANAENDIKA MTOTO ANANUKA UCHI ANA AKILI TIMAMU? MANGE HUKUSISIMKA
ULIVYOIONA HIYO COMMENT? HUYU MTU ANAFIRWA KWA SIKU MARA SABA YE KATOKEA WAPI
LABDA? ANAMTUKANA MAMA AKE HAPO HAJUI...ULAANIWE NA KAMA NI MWANAMKE HUJAZAA
MUNGU AKULAANI USIZAE SI UNATUKANA WANAWAKE....KAMA NI MWANAUME UPATE MAJIPU
KWENYE ZOMBO ISISMAME HADI UFE..NA UWE SHOGA UMKONYEZE HADI BABA AKO...SHWAAAIN
WE ULIESEMA MTOTO ANANUKA UCHI WE UKE WAKO WANUKIA GUCCI RASH?samahanini kwa
maneno makali nimepata hasira na huyo mtu....japo si mjui..
NANA   |2012-02-02 04:49:53
Ade hongera sana my dia u did it well mungu akupe maisha marefu ili uuone na
ukuaji wa huyo mtoto....

na ww ulosema watoto wananuka uchi una laana ya
mama'ko ebu nenda kampigie magoti umuombe msamaha unakoelekea utakuja kuzalia
mtoto wako mdomoni....
Anonymous   |2012-02-02 04:59:57
Huyo shetani anayesema watoto sijui wananuka nini wakizaliwa, yeye alitokea
wapi?ashindwe kabisa pepo hilo, siku nyingine Mange comments za kisjetani kama
hizo usituwekee kaniudhi sana ukizingatia miye mama wa watoto wawili. Pambafu
zake
Anonymous   |2012-02-02 05:10:05
We unayesema mtoto mchanga ananuka kuma huna akili mshenzi kabisa we ulitokea
mdomoni??????????? hivi kuna ulazima wa ku comment??????? na usipoangalia kwa
maneno haya mungu anaweza kukunyima mtoto ukahangaika mpaka ufe. mjinga sana
mxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Anonymous   |2012-02-02 05:17:19
WHERE WAS THAT????
Anonymous   |2012-02-02 09:42:02
lazma itakuwa kwa majirani zake KIJICHI
baby ya Mange   |2012-02-02 14:52:55
toba!!hahahahahaaaaaa OMG jamani nimecheka kumbe kingereza
chooote anatokea kijichi bwahahahah ze boy ze,,, baby ukibania
nakung'ata!haahahah river kijichi mmetisharrrrr
Anonymous   |2012-02-02 13:57:40
Naona haku-check in kwenye FB.. Ni Kijichi huko yaani Mtoni pande za wilaya ya
Temeke!

Uko juu
Anonymous   |2012-02-02 19:01:13
heheheh,,,,baby sidhani kama kijichi itatokea kwenye network
Anonymous   |2012-02-02 05:37:08
hongera sana Adeline, ni jambo la hekima sana ulilofanya na mungu akuongezee
ujasiri zaidi
Anonymous   |2012-02-02 05:41:54
So she cut the code THEN an elderly woman aka-tie/akafunga? and the kid is still
alive? mmh, hii ni miujiza, nendeni mkaweke kwenge records za Guiness
ADELINE MUSHI   |2012-02-02 06:17:38
WOW MANGE TXS FOR ACKNOWLEDGING WHAT I DID BUT NAPENDA PIA KUSEMA KUA SIO MIMI
NIMEFANYA NI KAZI YA MUNGU MAANA NILIKUJA KUJITAMBUA BAADAE SANA KITU
KILICHOTOKEA, NAOMBA NIWAPE STORY ILIVOKUA.

MIMI NILIKUA NIMETOKA MSIBANI KAMA
MLIVOONA KWENYE FACEBOOK YANGU,NA HUO MSIBA ULINIGUSA SANA SANA NILIKUA SINA
NGUVU NA NILIKUA NATAKA TU NIMUWAHI MWANANGU NYUMBANI.

NILIPOKARIBIA NYUMBANI
NIKAPISHANA NA KIJANA MMOJA ANALIJUA GARI LANGU AKANIITA "DADA LINA NAOMBA
UNISAIDIE", BASI NIKASIMAMA MAANA HICHO KILIO HAKIKUA CHA KAWAIDA. AKAJA
AKASEMA MKEWE MJAMZITO ANAUMWA UCHUNGU, NIKAMUULIZA UNAENDA WAPI, AKASEMA
NILIKUA NAENDA BARABARANI NIKAITE BAJAJ, NILISKIA MWILI UNANISISIMKA MAANA
UCHUNGU ALAFU UPELEKWE NA BAJAJ? JAMANI HAPANA!! NIKARUDI HOME NIKAMWELEZA MUME
WANGU AMBAE ALISHAURI TUWAITIE TAXI TUWAPE NA PESA, NIKAONA NI SAWA MAANA
NILIVOKUA NIMECHOKA. BASI NIKAITA TAXI NIKAMWAMBIA AJE KWANGU, MIE NIKAENDA NA
HUYO KAKA MPAK...
Anonymous   |2012-02-02 09:22:08
ehe mbona story imeishaia kati kati jamen adeline
Anonymous   |2012-02-02 09:44:54
mmh, strory inachange taratiiibu
baby ya Mange   |2012-02-02 10:46:04
he! mama yani mtu amekusimamisha barabarani kuwa mkewe anaumwa uchungu
ukaona ufike kwanza kwako umuage mumeo halafu ndo uende kumuona huyo mama
alieshikwa uchungu??we simzazi unajua uchungu unashika vipi?hhhm makubwa kwanini
usingeenda kumuona kwanza au usinge mkimbiza hospitali kwa gari yako...na
kumpigia mumeo simu u have jus put smthing else on my mind nways its so risky
kwakweli kumzalisha mtu nyumbani minaona hapo wakumshukuru ni Mungu.
ADELINE MUSHI   |2012-02-03 09:27:41
ACTUALLY NILIENDA HOME ILI MUME WANGU NAE AJE NA SIE HUKO MWANANYAMALA MAANA MTU
MWENYE UCHUNGU NIENDESHE MWENYEWE MPAKA MWANANYAMALA SIKUJUA KAMA TUNGEFIKA,
NILIKUA SIENDI KUOMBA RUHUSA MAANA MUME WANGU LAZIMA ANGEELEWA TU ILE HALI ALAFU
PIA HATA MIMI NILICHANGANYIKIWA SO NILITAKA ADVISE TOKA KWAKE PIA
Anonymous   |2012-02-03 20:14:42
haya tuma salamu mama kwa watu watatu uwapendao chagua na kibao
cha kusindikizia
Anon-banio   |2012-02-02 06:34:39
Yeee uuwwwwiiiiii mbavu zangu mie kwamba nyapu ka banio la ugali!!!! hii ndo
uturn mamae hutaki unaacha.
Hongera Ade umefanya tendo la kijasili sana.
Anonymous   |2012-02-02 07:47:31
nilivyosoma title nilielewa vingine kabisaaaaa....hongera Ade Mungu akuzidishie.
Ila sidhani mngeweka picha ya mtoto kwenye blog jamani too young
Anonymous   |2012-02-02 15:21:00
nanukuu baadhi ya maneno yako kwenye facebook:-
1.) nyumba ya mabati
2.)
ukaenda nyumbani kwanza kumwambia mume mkaona bora muwalipie taxi manake ulikuwa
umechoka

*ila yote tisa lakini kumi ulijirudi ukaingia ndani na kufanya ukunga.
Anonymous   |2012-02-02 07:50:27
We nyambafu aliyekuambia uchi unanuka ni nani? Uchi wako wewe ndo unanuka na
unatakiwa ukaonane na daktari wa magonjwa ya zinaa. Tangu nimezaliwa sijanuka
uchi, sana sana wakati wa MP ni ile damu tu na kwa kuwa najisafi hata huwezi
kusikia hata mimi binafsi sisikii. Na nikimaliza tu najisafi na wala hakuna
harufu mbaya, naa wala sijawahi kutumia ndimu wala eti sabuni maalum za kuosha
lulu yangu. Sasa wewe badala ya kufurahia ujasiri wa Adeline kuokoa maisha ya
huyu mama na mtoto kwa kipindi hiki kigumu cha mgomo wewe unaleta mambo ya
ukware. Huna akili wewe, ubongo wako kama wa konokono, nenda milembe ukaishi kwa
vichaa. Keep up mama S-Rose. Mungu akujalie utakapojifungua awe ni kudume tena
usisikie uchungu kabisa, no complications mama. You made my day gal.
kibibi  - hongera   |2012-02-02 07:58:02
duh, hongera kwa ade na wazazi wapya

huyo alosema watoto wananuka
uchi.............mungu amsamehe bure....hajawai kukutana na uchi msafi ndo maana
anajua kuma zote zanuka...........mamake mwenyewe inaelekea alikua ananuka ndo
maana harufu haijamtoka akilini..........mamake
Anonymous  - re:   |2012-02-02 08:01:27
Mdau USA wrote:
Kama mtoto angekuwa wa kike basi alistahili kuitwa Adeline.


Wamwite Ken, jina la mume wa Adeline
Anonymous  - re: re:   |2012-02-02 08:46:12
Anonymous wrote:
Mdau USA wrote:
Kama mtoto angekuwa wa kike basi alistahili kuitwa Adeline.


Wamwite Ken, jina la mume wa Adeline


Adel ndio masculin name ya Adeline
Anonymous   |2012-02-02 08:20:59
mmhmhmmmmm hii hapana jaman km mmemzalilisha huyo mtoto ndio ni kitendo cha
kishujaa bt hyo pic ya kababe hapana
annoni   |2012-02-02 08:58:34
Nina watoto wa kike sijawai sikia harufu anayosema mdau wakiwa wadogo! Mwenzetu
huwa anapeleka pua kunusa? Seriously!
zay  - wa b,,,     |2012-02-02 09:35:55
dada adeline ebu tumalizieg basi maana umeishia nusu
Tajibeba   |2012-02-02 09:48:28
Adeline naomba umalizie story space ya u turn haijatosha kuchukua maelezo yako
yote nahamu ya kujua mwisho wake.... Hongera na kwa Mumeo Ken pia kumbe ni wote
milishauriana your such a blesed family watu walisema sana watajicarrije ni
Mungu huyo anawatumia aisee God is great twendeni mbele turudi nyuma our god is
so so so very great.
Anonymous   |2012-02-02 10:33:34
please Mange re-post hiyo story ya Ade kwaniimekatika na tunatamani kujua
mwisho, yaani ni kama nasoma kitabu kizuri vile.
Anonymous   |2012-02-02 11:16:46
Huyo mpuuzi kama hakutokei kwenye K************* basi aliingilia wapi kwa mama
yake. Hongera Adeline
rachel  - congrats   |2012-02-02 11:26:42
hongera saaaana,,,ua a wman  
Genius   |2012-02-02 13:24:51
Mange kama wewe hukati comment mwambie Administrator wako afanye editing kwenye
hii software atoe limit aiweke iwe open hata mtu akitaka kujaza page kuliko
kuweka limit.....Ndio maana comment zinakuja nusu!
koku   |2012-02-02 13:57:21
mnakazana wamwite ken sijui adel upuuzi mtupu mnadhani
hao wazazi wa huyo mtoto wanaisoma u-turn au huko facebook!!! au
adelina ameombwa awachagulie jina???
Anonymous   |2012-02-02 16:05:31
Ade wewe ni jasiri, period !!! Mungu awabariki wote !!
Anonymous   |2012-02-02 22:14:37
Kwa wale wote ambao mnacheka Kijichi kwa taarifa yenu kuna nyumba ziko karibu na
bahari, kumejitenga vizuri na watu wamejenga mabangalow. Viwanja vimepimwa na
kuna hata nyumba za Bank huko. Kama hamjui sehemu nyamazeni kimya, inawezekana
huyo kijana anakaa nyumba ya mabati akilinda kiwanja cha mtu mwenyewe bado
hajajenga. Na kama sehemu nyingine ziko nyumba bado za wenyeji ambao walijenga
mapema kabla watu hawajajua kuwa Kijichi ni kuzuri. Tatizo mkishafika Ubungo au
Relwe Stesheni mnaishia kwa jamaa zenu hata mji hamuujui.
Anonymous   |2012-02-03 04:14:34
Next time Adeline usikurupuke, ulikumbuka kuvaa gloves au ndo imani tu hali
mbaya aisee. Lakini hongera kwa kazi uliyofanya. Usisahau kumfanyia na shopping
kidogo.
ADELINE MUSHI   |2012-02-03 09:22:44
ASANTE KWA ANGALIZO MDAU, KULIKUA HAMNA GLOVES ILA NILIKUMBUKA KUFUNGA MIFUKO YA
PLASTIC MIKONONI MWANGU
carren cyprian  - Journalist   |2012-02-03 11:27:29
Hongereni kwa kumzalisha mama huyu, hila jamanii mngetumia ustaarabu,
mngemuogesha kwanza huyu mtoto ndio mumpige picha, hivyo mnamdhalilisha sana,
hapa anaonekana wazi kuwa mtoto bado mchafu, msifanye hivyo plsssss.......na
huyo anayesema mtoto wa cku tatu ananuka uchi akome akome kama alivyokoma
kumchungulia mama yake na baba yake wakilala. Tena narudia akome, kama yeye
alinuka sio wote wanaonuka harufu ya kitu kama hicho....koma... Carren
Anonymous   |2012-02-03 19:09:11
we nawe hunatofauti na huyo aliyesema anaogopa watoto aliyekwambia mtoto akitoka
kuzaliwa anaogeshwa nani??mtoto huwa anafutwa futwa tu then watu wanaendelea
Anonymous  - re: Quote   |2012-02-03 22:04:09
Angalizo;Kwa anayetaka kumalizia kusoma story ya Adeline click "quote" :
kwaTariq.com   |2012-02-04 13:35:51
huyo anayesema mtoto akiwa mchanga ananuka uchi yy katoka kwenye mtulinga aka
mshededi wa baba yake mzazi.nyambavuuuuuuuuuuuuuuuuu zake
wa mtoni  - re:   |2012-02-04 15:36:58
I see Ade nimesoma stori yako yote,kwa kweli inabidi kumshukuru Mungu saaaana
maana ingetokea tatizo u would have been in for it!! I wish nijue mtoto na mama
wanaendeleaje !! duh !!
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Follow Mange on Twitter
Find U turn Blog on facebook