Jamani mtoto wa kizungu huyo hemu mrudishe kwao jamani ,rangi yake ishaanza kupauka kwa jua letu lisilokuwa na vipimo, babake akiiona hii ataijiwa na mapolisi LOL
MANGEEE NAPENDA UNAVYOMUACHIA MTOTO AJICHANGANYE NA HALI HALISI YA KWAO,SI UZUNGUNI TU MAMA YAKE KAKULIA MBAGALA SASA SHIDA IKO WAPI......KENZOOOOOOO LOVE U HUN
Mange mange usinichekeshe mie loooooooooooo huyu mtoto jamani na ndoo ya maji wamarekani wakikuona unafanya hivi hii ni abuse dear,but you know what napenda unavyomuachia Kenzo azoee maisha ya bongo,mie mwanangu kama kenzo mix nilikuja naye bongo loooooo hakutaka kuondoka freedom sio huku ulaya tunawafungia kama kuku,enjoy baby Kenzo kabla ujaondoka bongo,and for you Mange well done kwakazi nzri unayofanya endelea na upendo huo achana na cl siumejionea,.
Hivi Mange jamani umefanyaje mpaka viatu vimekaa mguuni kwa Kenzo? Mie baby wangu ana miezi 22 lakini kandambili haikai kabisa, ukimvisha anatupa labda viatu vya kutumbukiza. Yaani nimecheka na hivyo viatu vilivyokaa mguuni kama mtu mzima na ndoo alivyoibeba jamani utafikiri anakwenda kisimani.
Kenzo wasikuzingue hao kwa kuwa wamekuona wewe Mzungu hebu waulize wakuonyeshe wanaume wengine wanaochota maji wako wapi? Wanaume wa Bongo hawachoti maji bombani wanasubiri wake zao au dada/mama zao wachote maji wao waoge, sasa viweje leo wakuchoteshe maji? Aku babu wakutue tupe kule hiyo ndoo yao! Waambie nitafanya kazi za ndani nikifika huko ambako wanaume wanafanya kazi za ndani bila wasi wasi hapa mnataka kuniita "Bushoke"!!
aw,wat an adventure...baby i really like this kind of life jamoniiii,,,i find it sweeet sijui hata kwanini,,baby minataka siku utuoneshe unapika ugali or mboga like mnanyonyoa kuku halafu mnapika kwenye kuni sijui umejifunga kanga yani other side of the world ntafurahi saaana...plz baby!!bby wallahi natamani ningekuwa bongoooo kababy Kenzo kako shooo cutie jamani kanaamani zake kenyewe yani wala hataki hata mambo ya dubai tena kesha sahau so sweet..
baby the more i get to know u the more i keep on fallin in love with u...trust me baby ur so cool and so real i swear to my living God..which is so nice..i just feel so comfotable with u..now!!aww...i can even dare taking u to my village huko morogoro ndani ndani same as me baby take me anywher u want sijui huko upareni kula makande yani i just dont care as long as i wil be with u bebe...baby let do this..aw,I loooooove u baby!
yani si mchezo, inaonekana baby kenzo yuko serious na anachotaka kukifanya, ndoo mkononi, step tena za haraka kuwahi foleni! it is so funny kwa kweli! asante kwa kutuongezea siku za kuishi Mange, kucheka ni afya!!!! comments za posts zilizotangulia zimebaniwa...i dont know where i went wrong!
heheheh Kenzo anaonekana anashughuli sana huyu mtoto nice one. Mange ushampeleka Kenzo Tandika kusalimia nduguze na acheze na watoto wa mtaani? just asking
nimecheka hadi basi mtoto kashakuwa mmatumbi haya mpeleke akapande na milima ya upareni kweli Mange ww kiboko ila malezi mazuri acha mzungu ajichanganye na wabongo NIMEIPENDA
yani Mange una fujoo.. ila ni kitu kizuri kumwachia mtoto azoee mazingira yote..manake kuna baadhi ya watoto kugusa tu mchanga wanaona kama wanachafuka.....tatizo la maji kuisha will take ages..kenzo steps on mchanga na kubeba ndoo ya maji..nimependa ktk picha hii..
jamani ka Kenzoki kamenoga na jindoo lake mkononi m sure baba yake kacheka nusu afe alivyoona hiyo picha........................ama kwa hakika nyumbani ni nyumbani
baby ya mange plz give us a break, kah yani u tiring my mind kishenzi, the gal is married for pityz sake, and sidhani kama amewahi kukupa indication yoyote kua anapenda wanawake zaidi ya ile kiss aliokupa zamani, ingekua majuu ungekuwa umerepotiwa kama stalker. mwanzoni tulikuelewa but too much of something is harmful kah, tafuta maresbo wenzako uwasumbue
humu kuna baby ya Mange kama watatu ninao wafahamu na wote wanajiita baby ya Mange sasa sijui unamuongelea yupi hasa.chill out comment tu hizi za kwenye blog usiwe na presha manake nahisi umeandika kwa kukereka mpaka jasho limekutoka pole mwaya.
Mange mwenyewe anaenjoy manake katulia kimyaaa anafanya kulike comment za baby yake pressure unapata wewe atiiii.... heheheh hutaki saga chupa unyweeeee!!baby ya Mange uko juu harooooo.
kweli huyu baby ya mange amezidi sasa. mie nina mimba changa nikisoma post zake huwa natapika right away. she is so nasty n disgusting. anamchafua mwenzie. mheshimu basi hata mme wake kama ujiheshimu we mwenyewe. na usitmie jina la mola wako kwenye upuuzi unaoandika