Who's Online
We have 371 guests online
MASKINI CHRISTINA....POLE MAMA...
Written by Mange   
Tuesday, 31 January 2012 00:20

 

 

 

 

Ndo haya mambo yao ya kutokuvaa chupi…maana angekuwa kavaa chupi angestirika japo kwa 30 more mins…

 

 

Comments
Add New Search
Anonymous   |2012-01-30 18:30:54
hiyo ni spray tan mange sio kwamba yupo mwezini get it straight...
Anonymous   |2012-01-30 18:39:42
we fala its been confirmed on E by a tanning professional that its not tanning
liquid ni period. so U GET IT STRAIGHT BITCH
DESPERATE HOUSE WIFE   |2012-01-30 18:52:20
HONEY SPRAY TAN HAIYEYUKI HIVI, WATU WANASPRAY WANAENDA KWENYE 100 DEGREE
WEATHER AU BEACH, YESUUU JAMANI I FEEL FOR HER, KWANI INAMAANA ALISIMAMA HAPO
MUDA GANI? SI ANGEONDOKA TU PIA? MAYBE NI KITU KINGINE? LORD HAVE MERCY
Anonymous   |2012-01-31 05:57:14
Hiyo ni fake tan alizidisha kupaka, na alikuwa anaimba kwa uchungu katika msiba
wa Etta James akawa nervous, akasweat ndo ikachirizika.
koku   |2012-01-30 18:37:27
ndio kusema CL zilitupwa baadaye
baby ya Mange   |2012-01-30 18:50:22
baby unamaanisha kutokuvaa machupi makubwa au kutokuvaa chupi kabisa?
Anonymous   |2012-01-30 18:52:05
http://www.aceshowbiz.com/news/view/00047372.html


http://divaartist.com/divablog/2012/01/29/blood-
runs-down-christina-aguilera-leg-at-etta-james-fun eral-photos/

Hakuvaa chupi
lakini nguo yake ya heshima.
baby ya Mange   |2012-01-30 18:56:18
You wanna know how to make me smile
Take control, own me just for the
night
And if I share my secret
You're gonna have to keep it...
Moooooves like jagger baby!! I reckon she is bi-sexual what secret
was she tryna say here with the other gay...Maroon 5 i
mean,,,wasagaji mpo juuu
Anonymous   |2012-01-30 18:58:24
hasa alikuwa hasikii ikitiririka miguuni??? mnh
baby ya mange   |2012-01-30 19:07:09
hapa ndo nakosaga raha kabisa kwenye kusagana. imagine unafanya shuguli yako
alafu midamu hiyo mdomoni. ila kamani beby yangu mange ntameza tu jamani, i love
mange to death, and miss her jamani, mange nakupendaje baby come home
Anonymous   |2012-01-30 20:22:56
baby is that what u want...heheheee umefurahisha saaana,,,i
looooooooooooooooooove u baby,,, watasonyaje???
baby ya Mange   |2012-02-02 15:21:50
BANDUGU TO BE HONEST SIO MIMI NIMEANDIKA HII COMMENT,,PLZ PEOPLE IF U WISH TO
USE BABY YA MANGE AS UR SCREEN NAME TAFADHALI USIITUMIE VIBAYA...I DO RESPECT
MANGE.
Anonymous   |2012-01-30 19:07:59
Swali langu ni dogo sana. je ina maana hakufeeel kama yuko wet...au mi damu
yangu ina matatizo ikianza kutoka tuu huwa naskia kama sasa yeye mpaka
inamchuruzika miguuni.........
koku   |2012-01-30 19:35:40
wanasema hivi: unlikely--but cold it have just been a cut she got
after maybe bumping into something while walking on to the stage?
Who knows....and who cares
Catherine   |2012-01-30 19:54:50
Hamna cha spray paint. Huo ni MKOJO na damu. Someni People magazine: IT IS URINE
PLUS MENSTRUAL BLOOD.
Anonymous   |2012-01-30 20:19:53
So long as its the usual thing from the moon and not something from the mars
people will understand and feel sorry for her, lakini inaonekana kama
amemiscarry vile.
rose   |2012-01-30 20:51:34
its true inaweza kuwa mimba imeharibika ghafla au kaweka tampas imejaa bila
kujuwa maana sisi wanawake mambo yana badilika any mwezii huu inakuja kidogo
mwezi mingine kama bomba tena kama kaweka loop ndo kasheshe.
Anonymous   |2012-01-30 20:39:23
This picture was photoshoped. I saw the original video and it doesnt have the
streaks
Anonymous   |2012-01-31 04:05:09
jamani pole sana ina maana yeye hajui hata tarehe mbaya akajisitiri
Anonymous   |2012-01-31 04:06:39
Du!! nimesisimka ile mbaya, najiuliza alikuwa asikii inavyotoka! dah je
lingedondoka bonge na je kwani hajui siku zake zinakuja kuanzia lini.Pole zake
kwakweli
kwatariq.com aka shoga wa mang   |2012-01-31 04:07:01
maskini daah!pole yake napita tu humu
mdau usa   |2012-01-31 04:15:40
Hiyo ni spray tan haikukauka vizuri msifikirie vengine bure
mdau usa   |2012-01-31 04:28:41
Mange vipi mbona umeutoa mjengo wa shosti kakutoa baruti nini
MRS ABDALLA   |2012-01-31 04:37:10
aah jamain mbona ukiangalia clip yenyewe hiyo damu haionekani
fake tan   |2012-01-31 05:56:21
"Fake tan ran down the 31-year-old Dirrty singer's leg as she sang her
idol's best-known hit, At Last.

Hundreds lined up in LA to remember the
four-time Grammy winner, who died last week aged 73 after battling leukaemia and
dementia. "
ney   |2012-01-31 06:35:33
anonymous number2 did u have 2use the words u've just used??Some people are
unbeleavable!!!mweeeee
Anonymous   |2012-01-31 06:38:43
i feel sorry for her
Anonymous   |2012-01-31 06:53:56
Ina mana hakusikia chochote? kama ndivyo hivyo lazima atakuwa na either fibroids
or adenomyosis. Period ya kawaida haiwezi kuja gafla.
Anonymous   |2012-01-31 07:38:08
C'S mum   |2012-01-31 07:56:27
haya cjui njia ndio hii?????? nilikuwa napita tu, nikakutana na periods! lolz,
ni mpitaji tu!
angy   |2012-01-31 08:03:54
seriously guys sumtimes periods cum very strongly n chupi wont help, so i
dnt thnk kwamba hakuvaa chupi it can happen 2 any1....
Anonymous   |2012-01-31 08:11:12
This picture was photoshoped. I saw the original video and it doesnt have
the
streaks.

nakubaliana na wewe kabisa. kwasababu ukiangalia hiyo michirizi
miwili katika mguu wa kulia ni hiyo hiyo, hata haijabadilika wala kuendelea
kushuka wala kuongezeka mingine.
nipicha tatu tofauti na nikatika muda tofauti
basi hiyo michirizi miwili katika mguu mmoja ingeendelea kushuka chini. ni
wameunganisha
washindwe walegee, kama hawana vya kutuambia wanyamaze kuliko
kutunga
Anonymous   |2012-01-31 08:17:21
poor thing.......hata mie hua nina periods irregular sana na inaanzaga gafla
tena kwa fujo.inaweza kua ndio kilichomtokea tina hapo.sio kitu cha kumcheka
wala kumshangaa mtu wanawake wote tunalielewa hili.sidhani kuna mdada yoyote
ambae hajawahi pata period gafla akachafuka even if sio kama ya christina but
period kuanza in a place ambayo hauna pedi....its unfortunate for her yeye ni
public figure na yamemkuta mbele ya watu but sio kitu cha ajabu kabisaaa,na
kuvaa chupi hakusaidii kama mtu una period heavy kama yangu hata chupi mbili
ingetililika hivyo hvyo....mpaka nivae pedi.so pole sana xtina
Tajibeba   |2012-01-31 08:23:00
Its not something to laugh about yai i can really feel it whether ni mkojo tan
what what sijui periods the fact it is on public ni mbaya sana bora masista wetu
huwa wanatuambia tutembee na kanga because anything may unexpectedly happen as
long as your a woman. ndio maana wengi on pub stages wana vaa tampoo for
emergencies kama hizi uwii pole sana i can feel the embarassment
Anonymous   |2012-01-31 08:53:18
SONYENI..LAKINI NAOMBA MNISAIDIE..WHAT IS FAKE TAN...WHAT IS THE USE....TUKANENI
LAKINI MNIJIBU PLEASE
Anonymous   |2012-01-31 17:28:06
google dear but umeniacha hoi si kosa lako. wabongo msije kuiga na kuweka
fake tan mkafikiri ni fashion imeingia maana hamkawii kuiga.
Malimo   |2012-01-31 08:54:17
Mange unasemaje kwenye hili? Wakati mwingine tunapenda kusikia pia comments zako
sio kutupa mambo tu afu unapiga kimya.
DOCTOR   |2012-01-31 09:31:24
TATIZO HAPO NIKWAMBA ANATUMIA COIL CONTRACEPTION,ALL WOMEN WHO USE THAT MEANS
OF CONTRACEPTION BLEED A LOT ,I MEAN TO THE EXCESS ON THEIR PERIODS,COILS ARE
NOT GOOD,I USED TO WAKE UP ON MY BED FULL OF BLOOOD ALTHOUGH,I HAD TAM PACKS
AND PAD WEARED OVER NIGHT,SHE NEED TO REMOVE THE COIL AND GET OTHER MEANS OF
CONTRACEPTION OTHERWISE,SHE WILL KEEP BLEEDING ON PUBLIC,,,,i can feel her
painxxxx
Anonymous   |2012-01-31 09:34:46
Whatever at least she has sexy legs unlike vigulu rainbow vyako mange... usikute
na wewe chupi huvai so stop judging...
Tajibeba   |2012-01-31 10:14:12
whats up Mange mbona umebania comments zangu... anyways i saw mwammy crib uwii
ni ya kufa mtu this girl she is something else ni nouma hands down sijui up
hata sijielewi nachoandika kudadadeki ni nouma ingekuwa yangu ningeomba likizo
ya mwezi kwanza nalala naamka sitoki ndani ya nyumba hadi inizoee maana milango
inaweza goma kunifungulia uwiii. bora umeitoa mange ni mateso ile nyumba too
much unbearable pains. huyu dada uwiii nimechanganyikiwa uwiii acheni tu Mange
ajipendekeze uwiii hata ningekuwa mimi uwiii Mange has all rights kujipendekeza
uwii ni pana utukufu pale uwii. mange naomba usibanie hii comment bania nyingine
not this one mkojo umenibana ila umegoma kutoka kabisa na ni mwingi nishajibeba
tayari
Anonymous   |2012-01-31 10:18:08
Mwanamke Mmoja akiumbuka woote Tumeumbuka kumbukeni jamani aibu hii yetu sote
Manka   |2012-01-31 11:01:43
Pole sana Christina, you are among my favourite artists. Hope this is not for
the media attention.

Wewe anany hapo juu unavyosema Mange ana miguu kama sijui
rainbow, NI YA KWAKE NA MUNGU NDIO ALIYEMPA. As human beings we got
different shapes but as long as you can breath we should learn to be thankful
and appreciate what God has given us. Hajaazima miguu ya mtu ni ya kwake,
msheewww. Watu wengine bwana sijui mna matatizo gani
Anonymous   |2012-01-31 11:50:45
mange vipi umetoa harka bangaloo la mwamvita? yani huyo dada nimemzimia sigara
looo!! anastahili pongezi hasa akiwa kama mwanamke na bado kijana mdogo safi
sana
Anonymous   |2012-01-31 12:57:48
squirting at work..
Anonymous   |2012-01-31 16:54:21
http://www.huffingtonpost.com/2012/01/30/christina
-aguileras-mysterious-drip_n_1242294.html
Anonymous   |2012-01-31 18:03:00
I salute her! hakuacha kuimba hata baada ya kuhisi mchirizi. Hicho ni kitu
kidogo sana kuliko shughuli aliyokuwa nayo ya kumuenzi mwenzie.

Kama sio
ugonjwa ni period tu, basi its trivial. Tumuheshimu mwanamke mwenzetu jamani.
new version   |2012-01-31 18:43:59
msisimko...pole zake!!! Mie huwa nkiwa anxious au nkisimama sana penye joto
jasho laweza kunitiririka kutoka huku mapajani hadi kisiginoni kwaiyo labda ni
jasho na iyo tani loh salaleee
Anonymous   |2012-02-05 15:27:30
Hii aibu ya mwaka Daa so SAD
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Follow Mange on Twitter
Find U turn Blog on facebook