Who's Online
We have 369 guests online
NINA SHIDA....
Written by Mange   
Monday, 30 January 2012 23:45

Shikamooni..wana  U turn wote..mimi ni msichana  nwa nachuo cha dodoma..shida yangu kubwa iliyonifanya niandike hapa ni kwamba nimekua na weusi wa ajabu na kama ukoko hivi mbaya zaidi nikimaliza hedhi ndio sifai sijui niite kona za mapaja karibu na vikojoleo ka pembeni...ni mekua nikijisikia vibaya na huo weusi plus ukavu ukoko..ukizingatia mimi ni mweupe then maeneo ya   kona za mapeja ni mweusi wa ajabu thou nina unene bt ni wa kawaida sana..so ile hali inatoka na mchubuko wa mapaja sawa bt nikija tupia na pedi kwa zile kona nakua sifai naogopa kupanua kitu mchana kutokana na kulivyo thou sitoi harufu bt muonekano tu me wanchosha je hii shida n yangu tu? au kuna wengine? je kuna mafuta gani naweza paka kwenye msuguano wa mapaja angalau pawe hata maji ya kunde...hua nawaza siku nkijifungua manurse si watatapia? manake nasexg usiku tu mchana naogopa nkipanua kitu hakielewki japokua ni kitamu my bby anasifia pako tight lakini muonekano wa kona za mapaja kuelekea takoni sijaridhishwa nao.
mange plz dada angu usitoe email yangu. Nahitaji msaada wenu dada zangu.
kuwasiliana na uturn tuma email kwenda This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it

Comments
Add New Search
pacha wa koku   |2012-01-30 17:53:00
 
 
  pole dada hiyo nomaaaaaaa paka vaseline ufunike huo
ukoko unaousema kabla ya mtombo ili uwe unapanua hata mchana
   
 
Code:
Code:
DESPERATE HOUSE WIFE   |2012-01-30 19:55:45
SASA WEWE JAMANI MBONA UNAMCHEKA HIVO HAHAHAHAHHAAH UMENIFANYA NA MIMI
NICHEKE;;

ANYWAYS, POLE MWAYA ILA MI NAKWAMBIA TU WEUSI KATIKATI YA MAPAJA KWA
SISI BLACK WOMEN NI KAWAIDA, NI WACHACHE SANA UTAKUTA WANARANGI MOJA KUANZIA
USONI HADI MATAKONI, ILA IKIZIDI TENA NOMA.. MI NAONA UNACHUBUKA NA PEDI NA
UKICHUBUKA UNABAKI NA ALAMA BY THE TIME UNAPONA UNAANZA UPYA. TAFUTA PEDI
NYEMBAMBA KABISA AMBAZO HAZITAKUUMIZA AU KAMA VIPI JIFUNZE KUVAA TAMPON. VAA
SKIN TIGHT KUPUNGUZA MSUGUANO WA MAPAJA MAYBE ITASAIDIA. JIPAKE MAFUTA YA
KUTOSHA KUNA MDAU KAKUSHAURI VASELINE AU BABY OIL, JUST MAKE SURE NGOZI
HAIJAKAUKA SANA. ILA KAMA VIPI MUONE DOCTOR WA NGOZI USIJE KUTA NI MENGINE SISI
HATUYAJUI
Anonymous   |2012-01-31 05:05:34
Hivi mbona zamani watu walikuwa wako poa tu bila skin tight? Yaani nowadays
unakuta mtu kavaa suruali na bado anavaa skim tight, akikaa pindo la skin tight
linaonekana...yaani sio siri sipendi skin tight jamaniiiiiiiii...halafu wenyewe
wanaziita TIGHT...aaagh

Well, ulichomshauri hapo ni sawa, hayo ni makovu ya
michubuko so kuisha sio rahisi maana yanatokea kila mwezi... try tampons
DESPERATE HOUSE WIFE   |2012-01-31 15:24:27
DEAR ATA MIMI PIA SIPENDI SKIN TIGHT, SIVAAGI KABISA, IM A TYPE OF A LADY BORA
NIVAI KI THONG CHANGU BASI HUYOO. UNLESS OTHERWISE KUNANGUO ITAKAYO NICHORESHA
NITABANA TUMBO, ILA INAELEKEA HUYU MWENZETU ANACHUBUKA KUTOKANA NA MSUGUANO WA
MAPAJA, SASA AKIVAA HIVO ITAMSAIDIA I GUESS.
judith   |2012-01-31 11:18:53
WEWE MTU MZIMA UNACHEKA NINI AU NDIO NYEGE UKOKO UNAUJUA WEWE??HUNA HATA HAYA
KUMCHEKA MWANAMKE MWENZIO!!DADA ZIMA ZIWA HILOOOOOOOOOOOOO ETI UNAJICHEKESHA
UNATAFUTA BWANA!! AU HUJAONA HUO UCHI WAKO ULIVYOFANANA NA KOKOTO
KWELI NYANI HAONI KUNDULE
Anonymous   |2012-01-30 17:55:49
mbona kawaida mamii,ila paka cream kidogokidogo, usiogope sana hata mie niko
hivo na nimeshazoae sasa.
Hakunaga   |2012-01-30 17:56:00
Inawezekana sehemu za mapaja zinagusana wakati wa kutembea kutokana na unene,
pia husababisha michubuko, na binadamu tunangozi tofauti ktk uponaji baada ya
jereha wengine linapotea kabisa na wengine ngozi yao baada ya jeraha inakuwa
imekakamaa (ngumu)

cha kukusaidia kamuone daktari wa ngozi akushauri, na pia
jitahidi kufanya mazoezi kiasi na diet inatakiwa, maana unaweza ukawa unapaka
hizo dawa kila siku na baada ya muda unachubuka tena kwa... PUNGUZA MWILI, NENDA
KWA DAKTARI WA NGOZI...POLE MPENDWA..
baby ya Mange   |2012-01-30 18:15:51
jamani!!! usiniambia bado kuna wasichana wanatumia maped makubwa i mean sio za
kudumbukiza hahahha ....pole saana mwaya,,, paka zako
karolight namafuta ya kimbo kabla hujalala usiku heheheh
koku   |2012-01-30 18:17:22
kwanza jifunze *how to summarize* the topic, we msomi bwanaaaa!!
labda jaribu kuvaa yale machupi kama bukta,mi na mpenzi wangu
huwa tunayaita granny's pants ili kupunguza huo msuguano wa mapaja
pia tumia vaseline au baby oil . usilale na chupi upate japo fresh
air ila kuwa makini kama kuna wale sisimizi ndani kwako wasije
wakafaidi huo utamu na wao  pia uwe unajitaidi kuchange pad
kabla halijawa chapachapa,na ikiwezekana jaribu kutumia tampon kama ni
msafi haswaa
prety  - si wote wenye uwezo wakununua hayo mabukta, not al   |2012-02-02 16:22:06
Anonymous   |2012-01-30 18:30:25
duh!kuna wasichana mnabahati...yani baby wako anaku-do kukiwa giza tu na
mnaenjoy wenyewe wallai siku akija kukuona huko chini kwako atajiskia vibaya
saana anaweza akakuacha,,,kama tena anakukulaga eeww!!pole
saana...mininavyopenda kwenye mwanga manake hamu haiji mpk nikuone tena kama ndo
unakiuno vimatako,maziwa yani we hufai kabisa kusagana manake miraha yangu tuwe
kama tulivyozaliwa wote tulane weee tena style ya 69 tutiane vidole wee
tulambane kila kona...
baby ya Mange   |2012-01-30 18:35:08
unabahati sana dada yani misiwezi kuDo namtu kabla sijakuona huko chini
,,hukawiii kupata fungus za mdomo aisee.....hii mambo ya baby i like to eat
u,,,hahahah
Anonymous   |2012-01-30 20:13:33
sasa nyie waseeee mliweka madole mekundu mnamaanisha nini labda?
judith   |2012-01-31 11:12:02
WE NAWE MADOLE MADOLE YANAHUSU NINI??TOA COMMENT TAFUTA BWANA AKUBANDUE
Anonymous   |2012-01-31 05:09:01
Fungus za chini haziambukizi mdomoni, kumbe wewe sio msomi huh?
Lise07   |2012-01-30 18:50:51
mmh...naona leo topic ya kiutu uzima...napita tu...
judith   |2012-01-31 11:12:52
OK PITA ANGALIA KUSHOTO NA KULIA VUKA BARABARA
angelina jolie  - pole   |2012-01-30 19:14:41
mh pole ni mchuguano wa mapaja jaribu kila siku kuvaa tight na kupaka vaseline
au clear za kopo na kukausha mara kwa mara jasho lako....ila nimeshangaa kusex
na baby wako usiku tu mh atakulabwa akulambi atakimbia siku moja.
Anonymous   |2012-01-30 19:17:37
hii topic awapelekee jamii Forum humu sidhani kama kuna watu wanatumia bado
maped makubwa hehehe
Anonymous   |2012-01-30 20:29:13

na kweli huko ndiko inafaa huko au asubirie wakija kucopy vitu huku
wanaweza wakamjibu
Real housewife   |2012-01-31 04:07:54
JAMANI MTU KAOMBA USHAURI KWANINI KAMA UNAHISI HUWEZI KUMSAIDIA USIKAE KIMYA
KULIKO KUMNANGA HIVYO..LEO KWAKE KESHO WAWEZA UKAWA WEWE!!
judith   |2012-01-31 11:14:37
NYIE NDIO PELEKENI HIZO UCHI ZETU JAMII UJINGA NYOO
Anonymous   |2012-01-31 05:49:24
Mloweka madole mekundu mnavaa pedi za kitambaa zile za mwaka 47 za Jays, pamba
kubwa nje limezungushiwa nyuzi2

Haya copy na hii mkapaste
huko JF kama mlivyocopy "the crib". Udaku tu hata assignment zenu za
shule mlikuwa mkifanya hivyo2.
judith   |2012-01-31 11:13:56
KWANI KUWA NA WEUSI NI MIPEDI KILA MTU ANATUMIA KINACHO MFAA WENGINE K ZAO NDEFU
UNAZANI NI HICHO KIJI K CHAKO NYAMAZA WEWE,K FUPI KAMA PIPI KIFUA
Anonymous   |2012-01-31 18:02:07
Mwali wangu Judith usinitafute nikakupa vipande vyake kisha upotee tena wiki
nzima? Au ni wewe uliyecopya na kupaste "The Crib" ya Lady Mwamy na
kuipeleka JF ikachambuliwe.

Ni mimi somo yako wa Uswazi, naona umerudi na gia
mpya! Ngoja nikuvutie usingizi kwanza maana leo nimepata kidogo shii! Siku
nikilivuta huwa sitaki maneno napenda kurelax tu kwa hiyo bahati ningekuwakia
kushinda safari ile. Tena this time nafikiri na mdomo wako ningeupikisha mswaki
wa chuma kabisa!!
judith   |2012-02-01 03:42:02
HIZO BANGI ZAKO UNAZOVUTA THN UNA KULA UGALI NA MAHARAGE NDIO ZINITISHE MIMI WE
FALA NINI??MIMI HUKU UNANIONA NILIKUWA BIZE NA MANGE NAANDAA EVEN FALA WEWE AU
HUJUI KAMA MI NI ASSISTANCE WA U TURN!! PEKE YAKO NDIO HUJUI HUMU NDANI!! ETI
ULALE KWANZA ULALE AU UNA LALWA???? HAYA NAKUSUBIRI ULIAMSHE HILO LIJIUCHI LENYE
KILA 7
Anonymous   |2012-02-01 14:39:20
Ohoo kichamcho ushajipa cheo kuwa wewe ni assistant wa Uturn, ohoo ndio maana
hamnazo, mimi nilifikiri ungesema kuwa wewe ni assistance wa Mange kumbe wewe ni
assistant wa Uturn haya sema web address yako tukimaliza kusoma vituko Uturn
tuje tusome na vya assistant.

Mshamba sana wewe na shule imekupiga chenga ndio
maana umekalia matusi wakati hata hayo matusi yenyewe huyajui. Uturn ni blog
sasa itakuwaje na assistant binadamu? Au na wewe blog? Ngoja nirudi zangu kulala
maana shii inaendelea na leo nikiamka nile ugali wangu na black beans, ungekuwa
una akili ungejua kuwa beans ni bora kuliko nyama hasa nyama nyekundu!!

Bado
sijaona hata matusi ya kunifanya mimi nikutukane, na sikutukani ng'oo maana
nitakufundisha vocabulary mpya wakati mtu mwenyewe you have limited vocabulary!!
Shii!!
Kwatariq.com aka shoga ya mang   |2012-01-31 04:15:57
maskini pole sana lkn hiyo ya kufanya sex usiku na mpz wako kali kweli me
wakwangu anapenda mchana ili akuone vizuri
Anonymous   |2012-01-31 04:17:17
ME MWENZENU HIZO TAMPON SIJUI ILINISHINDA KABISA YAANI I FEEL SOOO UNCONFORTABLE
Anonymous   |2012-02-01 07:37:00
basi itakuwa ulikuwa unatumia ob, inabidi utumie zile za bullet yani inakuwa na
kitu cha kupush haki ya nani hufeel chochote maana inakuwa imeenda sehemu
husika, ila ob sababu haina cha kusokomeza unaingiza mwenyewe mara ikae upande
humo ndani mara iwe kavuu mwanzoni, wee nunua zile za boksi la blue regular full
burdani ila ndo zinajaa mapemaa ndo mambo ya christina aguilera yanaibuka
ghafla!
mdau usa   |2012-01-31 04:22:55
Yaani hii story nimecheka mpaka basi pole mwaya pia peleka hii topic
harusi yangu unaweza kupata msaada
Anonymous   |2012-02-01 07:32:14
harusi yangu zamani bwana, siku hizi wamechoka wanajibu hoja ya mtu kiupendeleo
tu hawana sera!
c's mum!   |2012-01-31 04:56:22
for sure hata mie napita tu! jamani u turn kuna vituko balaa!
DR ALIYEGOMA   |2012-01-31 04:59:50
kIUFUPI WEWE UNASUMBULIWA NA FUNGUS,HUO NI UGONGWA MABAO UPO SANA NA HASA KAMA
ULIKUWA MNENE AU ULIKUWA UNAISHI SEHEMU ZA JOTO NA ULIKUWA HAUJISAFISHI
VIZURI...KUUNDOA HUO UNAO UUITA UKOKO INAWEZEKANA KABISA ILA KUUNDOA HUO WEUSI
MARA NYINGI INAKUWA KAZI ILA INATEGEMEANA TATIZO NI KUBWA KWA KIASI
GANI...JITAHIDI KUWA UNAOGEA/KUOSHA SEHEMU HIYO KWA SABUNI ZISIZO NA CHEMICAL NA
KUHAKIKISHA UNAKUWA MKAVU MUDA MWINGI...POLE SANA NAJUA JINSI GANI UNAYOPATA
SHIDA.KAMA UNA PESA UNAWEZA KWENDA KWA COSMETICS DERMATOLOGIST.
KITUMBUREE   |2012-01-31 05:01:15
Pole shost,
unakua mweusi mapajani kwasababu mapaja yako yanasuguana unapoembea.
suluhisho hapo usipake mafuta yoyote , yatakusababishia jasho na
unaweza toka vipele ktk hayo maeneo. kua unava skintight ili mapaja yasisuguane,
uvae sana suruali kuliko skirt. na ukivaa skirt vaa na skin tight. hii
imenifanya mapaja yangu kuwa meupe peeeeeeee
mistress ya obama   |2012-02-01 07:43:50
skin tight zinaleta fungus vibaya mno hamjui tuu... hilo eneo inabidi lipate
hewa ya kutosha jamani na hilo joto la dar mnavifanyia vitumbua vyenu sauna
mnanukaje? ndo mana nilkata mguu kwenda kwa wale wasusi pale mwenge manake
unakalishwa chini unasukwa yeboyebo hizo harufu mhh ndo mana watoto wanaishia
kulia nyie mnadhani wanadeka kumbe kuna vinavyowaletea tafrani!
Catherine   |2012-01-31 05:47:36
Kwanza, pole dada yetu. Pili, nakushauri ukija Dar uwaone gynaecologists wazoefu
ili wakusaidie. Mimi si mtaalamu wa mambo hayo, lakini nahisi tu unaweza kuwa na
hormone imbalance fulani. Kuna hospitali ambayo inaitwa TMJ (baada ya Shoppers'
Plaza) ambayo wana diagnostics centre ya kisasa. Nenda hapo waku-checki damu
yako halafu upate ushauri wa madaktari bingwa wa kina mama. Tatu, jaribu
kujifunza namna ya ku-relax na kupunguza stress. Lakini la muhimu kuliko yote
muombe Mwenyezi Mungu Muumba akuponyeshe.
BI CHAU.   |2012-01-31 05:56:15
USIPATE TABU BIBIE NA KUJIPA STRESS,TUMIA CARO LIGHT KUTWA MARA 3 TATIZO
LITAISHA.IKISHINDIKANA TUMIA JIKI.
Anonymous   |2012-01-31 06:22:49
POLE MPENZI POLE SANA MY DEAR,CHA KUFANYA WEWE TAFUTA SABUNI YA DETTOL SOAP UWE
UNAOGEA ASUBUHI NA JIONI THEN TAFUTA CREAM MOJA INAITWA GENTRISONE PAKA KWA MUDA
WA SIKU SABA ASUBUHI NA JIONI,AU KAMA HUNA HUWEZO WA KUNUNUA GENTRISONE TAFUTA
HATA WHITEFIELD APPLY 2TIMES PER DAY NA KAMA UNA UWEZO KIDOGO TAFUTA CREAM MOJA
INAITWA GYNAZOLE CREAM NAYO APPLY 2TIMES PER DAY,USIOGOPE KABISA NDUGU,POLE.
Anonymous   |2012-01-31 06:29:04
pole sana mdada kanunue alovera jelly ukishaoga na kujisafisha vizuri make sure
unakjikausha kabisa ndipo upake itakusaidia... kila la kheri.[/size]
Anonymous   |2012-01-31 10:58:13
ni kweli kabisa dada tafuta alovera jelly kama unajua products za forever living
hyo itakusaidia sana baada ya week moja tu utaanza kuona matokeo.Pole
Anonymous   |2012-01-31 07:21:52
Mange vip? mbona umetoa haraka kasiri la Mwamvita? rudisha picha tupate
changamoto
Anonymous   |2012-01-31 09:04:08
Mange Kasri la Mwamvita ni balaa du kweli mdada yupo juu ile mbaya, natamani
kuwa kama yeye jamani, unaweza kuanzisha darasa la jinsi ya kusave hela na
kujenga nyumba japo ya vyumba viwili ila finishing ikawa nzuri. Unaweza waalika
watu kama akina Mwamvita wakatueleza ni jinsi gani mwanamama/dada kwa mshahara
ama business yake anaweza kuitumia hela yake kidogo kidogo kufanya mambo ya
maendeleo kama hayo. Nimetumiwa email chanzo chake ni U turn inayoonyesha mjengo
wa Mwammy na tukio zima la kisomo na wewe ukiwa ndani nimefurahi sana.
Anonymous   |2012-02-01 20:08:39
Kuna mabenki wana mortgage bongo, au waweza kukopa pesa, ulizia kwenye bank yako
kuhusu mkopo wa nyumba. Tena mabenki mengine wanakulipia nyumba unayotaka
kununua kisha wewe unawalipa lakini inategemea na bei na kiasi ulichonacho
benki. Kwa kuchanga changa tu itakuchukua muda kujenga, wenzio tunajenga kwa
mikopo ya bank!! Talk to your bank manager!!
judith   |2012-01-31 11:16:17
CHANGAMOTO GANI UNAYOTAKA WAKATI HUNA HATA BUKU BENK HEBU FANYA KAZI BINTI
Anonymous   |2012-02-01 15:54:32
JUDITHI sidhani kama unawajua watu wote maisha yao. FUNGA DOMO LAKO PERIOD.
usiwe unafurahisha genge na mineno yako michafu kama huna la kuongea. Jitokeze
nikupeleke benki ukaone salio langu. Kuku mwitu we.
Nikita  - Kuku mgeni   |2012-01-31 08:32:01
Huo ukoko may be fungus nenda kamuone Dr pia uwe unapaka mafuta malaini like
olive oil/vaseline nk.skintight may help kupunguza msuguano.
Kwahiyo mwenzetu
wasex gizani?maana hata usiku watu huwasha taa au zenye mwanga hafifu, mie
mwenzio hubby wangu hunishave huku chini na husema kwa muonekano kuma ni mbaya
ila tamu isije ikawa ndo muonekano wa kuma yako. Pia kama huwa unashave vibaya
au kutumia shaving cream ngozi hukakamaa na kuwa nyeusi angalia vifaa utumiavyo
kushave viwe bora
Tajibeba   |2012-01-31 08:39:56
Pole i think solution ni kufanya mazoezi ili hiyo sehemu ya mapaja isikwaruzane
sababu hata ukitumia cream sijui mafuta ya kufanya pawe peupe sidhani kama
patapona kama pataendelea kukwaruzana. about skin tights hata mimi sizipendi
sababu sehemu ya mlango kati napenda ipate hewa sasa kwa joto letu hile tena
dodoma mchana ni joto sana si huko kati kutafurunda im just saying.halafu
usimzoeshe baby wako kutombana usiku tu he has to accept you the way you are as
long as wewe ni msafi i dont think kunaproblem.
marichui   |2012-01-31 08:42:10
Mange mbona wabana Message Zangu ?? nimetukana
judith   |2012-01-31 11:16:58
HIYO MSG YAKO AMEWEKA KWENYE FRIJI LAKE HUMU U TURN HAIFAI
faith  - Faith   |2012-01-31 09:19:39
Ni kweli Mange hebu rudisha ile kasiri la shost wako maana tunahitaji
kuhoji maswali , utatunyima uhuru
Anonymous   |2012-01-31 09:29:39
People need to grow up. mtu anaomba ushauri mnacheka? motherfuckers
Anonymous   |2012-01-31 12:25:24
Hiyo ni fungus dada, nenda duka lolote la dawa wakuuzie dawa za kupata za fungus
utakuwa mzima.
Anonymous   |2012-01-31 13:20:28
duh hivo vitu mnavyomshauri atumie balaa. sijui atumie kipi aache kipi, jiki,
detto, skintight, asipake mafuta, apake, mwisho wake atajikuta anatumia vyote
akaishia kutoka majipu ..
Anonymous   |2012-01-31 15:14:58
my dear ni bora uonane na doctor akushauri,hii mara tumia hiki kile unaweza zua
balaa juu ya balaa.au kama utaamua kutumia chochote hakikisha havina chemical
yeyote visije vikakuletea kansa,pole my love
Halikuhusu   |2012-01-31 15:59:58
Hivi nyie mnao jiona mnauzuri na mnajisikia kuwa nyie hayo mapaja yenuu yana
uzuri nyie ndio mnanuka mwezenu kaomba ushauri na kajieleza kwa undani ili
wanawake wezie mumsaidie sasa nyie mnao cheka kinacho wachekesha ni
nini???????? msio kuwa na haya mnajiona nyie ndio wazuri kumbukeni kila mtu
ataulamaba udongo sio mzuri sio mbaya so there is no need to celebrate some one
problem wanawake visugua utu nyie, msie kuwa na haya mnashangilia matatizo ya
wezenu loo vinyamkera nyie mkome kama mlivyo likoma .........
Anonymous   |2012-01-31 16:11:18
uwe unabadilisha pedi sio unakaa na pedi asbuhi mpaka jioni ukiulizwa oooh mimi
si bleed sana inahusu?kama sio uchafu
mistress ya obama   |2012-02-01 07:53:22
na kweli mdau damu ya hedhi huwa inaunguza sana, sasa kama unasubiri lijae liwe
chepechepe ni balaa jumlisha na always ile nylon inaunguza mno ndo mana unakuwa
na weusi, nunua zile nyembamba na uwe unabadili kila baada ya masaa matatu au
nne usisubiri hadi ijae iende matakoni na kabla hujabadilisha jisafishe na maji
jifute vizuri ndio uvae mpya tatizo litaisha hasa huo ukavu, hiyo ni damu tu
itakuwa imekuunguza.
Blackii   |2012-01-31 16:21:33
Nadhani itakuwa sahihi ukaenda kumuona Dr, Itakuwa maajabu kama utategemeea
kufuata ushauri wakutumia dawa za aina zozte moja kwa moja. Hata Dr mwenyewe
lazima achunguze ndo atoe prescription. Remember"mficha uchi
azai"javascript:JOSC_emoticon("")
Anonymous  - re:   |2012-02-01 03:05:20
Anonymous wrote:
Fungus za chini haziambukizi mdomoni, kumbe wewe sio msomi huh?

usitudanganye mama.hatii mdomo mtu hukooo.
Anonymous   |2012-02-01 11:05:10
hahahahahhaha yani mdau u have made my day jamani nimecheeeka saaaaana halafu
nikakumbuka mbaaaali heheheh heheheh i looove u turn!
mwenye shida   |2012-02-01 04:26:36
NATAKA MAPAJA YAWE MEUPEE NSHAPUNGUA MAPAJA HAYAGUSANI...NITUMIE NINI?
Anonymous   |2012-02-01 18:15:37
Nenda India kwenye matibabu hapa kwa sasa madoctor wamegoma
mwenye shida   |2012-02-01 04:46:45
KUHUSU PEDI DADA ZANGU MIMI NDANI YA SAA NABADILISHA NNE NINA KINYAA SANA THOU
SIBLEED SANA BT NAPENDA PEDI ISLOWE SANA....ME NAHITAJI NIPUNGUZE WEUSI WA
MAPAJANI HUKO SEHEMU ZA ASILI NAZIACHA NA WEUSI WAKE NAJUA WAAFRIKA WENGI WANAO
SO SITAKI MADHARA ME MAPAJA TU JAMA.....
Anonymous   |2012-02-01 14:43:13
acha uwongo hakuna mtu anayebadilisha pedi 4
ndani ya saa 1. Kwani kwa maana hiyo wewe utakuwa unatumia pedi 4 x 16 kwa siku
ukitoa yale masaa 8 ya kulala. I doubt hata hiyo story yako kuna vitu hujasema
ukweli. Kuwa muwazi usaidiwe pengine umepata eczima au just dry skin na humu
huwezi kupewa majibu ya kutosheleza, nenda hospitali kamuonyeshe Dr maradhi
yako.
Anonymous   |2012-02-01 15:59:34
my dia, mimi nilikuwa na tatizo kama lako ikatokea nikanunua cream moja inaitwa
FEMINELLE SOOTHING INTIMATE CREAM ya Oriflame yaani nikaona maajabu weusi wote
ukaondoka. Kama upo bongo tafuta wanaouza products za Oriflame nasikia wako
Jengo la red cross makutano ya bibi titi na Morogoro road ulizia hiyo cream
itakusaidia. Mimi nilinunua kwa agent wao tunafanya nae kazi ofc moja kama
ukishindwa kuipata nijuze hapa tuone namna ya kuonana.
Anonymous   |2012-02-01 09:36:17
Jaribu kua hunakaa na ped mda mfupi zen uabadilisha sio hiyo hiyo asubuhi mpaka
jioni my dia pole but hasikudanganye mtu tatizo hilo tatizo wengi linawatokea
wanao kaa naped mda mrefu.
Anonymous   |2012-02-02 17:04:25
Pole sana my dear! hizo zitakuwa ni fungus, paka gentrisone usiku, vaa chupi za
cotton, halafu kuna pads fulani nimesahau jina ni za cotton, nyembamba sana
lakini zina absorb kama pampers na unakuwa mkavu... kama huwezi tumia tampoons.
tampoons are safe, hata kama hazina kiingizio, nunua na feminine gel, hata ky
wakati wa kuinsert kwa vagina. unaweza niandikia email nikupe maelekezo juu ya
hizo pads gemints@gmail.com.
Usijali utapona na utakuwa sawa tu, mapenzi ya
usiku mpenzi wangu hayanogi, raha upanue mchana kweupee! kuna mdau kasema huyo
jamaa siku akiona kulivyo atasepa, ni kweli!
maureen   |2012-02-03 04:10:37
tatizo ulilkua nalo mama kwa experience yangu dada yangu alilkua nalo alikua
mweusi kuliko kifani yaani kumbe alikua na FIBROID kwa muda na yeye alikua ajui
aka gain alot of pounds sasa nenda kamuone oby gyn ASAP mama am serious abt it,
am nurse here nime sha observe several patients who come here with that problem
and turn out to b that,more info google FIBROID and u will see the symptoms
.....its very common disease to blacks women than white here in USA most blacks
face that .........
Anonymous   |2012-02-07 19:40:31
pole sana dada yangu hizo si fungus mpenzi mimi ninatatizo kama lako but nw nipo
poa kabisa kwanza kabisa achana na ma pads ya always uwe unavaa tampons
then pakaa sonaderm inazaidia sana sana na uwe unavaa chupi za cotton mpezi coz
joto ndio linakuunguza so jenga mazoea ya kuvaa chupi za cotton n usiku jaribu
kulala bila chupi inasaidia pia hewa kuingia vizuri.
NB; Punguza weight yako
mpezi itakusaidia sana
Anonymous   |2012-02-16 13:22:58
c the doct ye ndo last say wako
Anonymous   |2012-02-17 11:48:07

Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Follow Mange on Twitter
Find U turn Blog on facebook