washamba utawajua tu BLUSH imefanyaje sasa??pendeza mwaya muke ya cheupe nimependa ulivyovaaa hiyo sijui skirted dress,na curl hair,blush i mean make up yote imekufanya uonekana kama kablack barbie..
BORAAA....!!!
bania Mange comments sizizokuwa na maana , comments nyingine hasa za huyu the so called ""baby ya Mange""" ni kero tu....kha...!
sifaa????
hivi we baby ya mange ni lazima uandike comment kila post???
ok, sometimes u have points, but in most cases unachemsha jamani...una boa tu...
pliz jaribu ku comment where neccesary.
we know u r famous in u-turn kutokana na points zako za ajabu ajabu hizo, punguza kuandikia pumba.. hv we ni lesbian?
naona una payuka tu dear,hawa mademu sidhani kama walipanda bus au walitembea unafikiria ni wewe unaenda kituoni unasubiri bus saa nzima na baridi..usinichekeshe...open toe or boots wewe unawashwa na nini hawa ni frm the hotel straight in the car upo hapo mwali?mmendezaje warembooooooooo,nahuyu kakatwa kichwa vipi??
Embu leten umbea wa Eva lazma anakitu anaogopa ndio maana umefunika sura yake, binafs nachukia watu wasiojian kwani kama hana skendal kwanini aogepe kuonekana