Who's Online
We have 598 guests and 1 member online
  • Bonita_SAB
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday4144
mod_vvisit_counterYesterday13887
mod_vvisit_counterThis week53486
mod_vvisit_counterLast week90100
mod_vvisit_counterThis month274451
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started5154018
Login



MANGE & DEVOTA ON JOYCE KIRIA'S WANAWAKE LIVE....
Written by Mange   
Thursday, 26 January 2012 21:32

Mange, Devota and the host Joyce Kiria ,this afternoon....

 

EATV Studios....

 

nikisikiliza jambo...

 

 

 

Beautiful devota....

 

Devota and i....

 

Mange,Devota and Joyce Kiria...

 

 

 

Joyce Kiria is super nice…I really enjoyed our chat this afternoon…

Tuliongea kuhusu kuwa wake za wazungu, the challenges etc…

Ofcourse niliongelea project yangu ya valentine’s day..

Kigugumizi kilinilet down kidogo, but I managed….lol...


U-turners msikose kuangalia kipindi maana Joyce aliwafungukia kidogo

kwa comments zenu za matusi....lol..nilijaribu kuwatetea ila walikuwa wawili so ilikuwa ngumu kidogo.


hahaha...it was funny

The episode will be aired Tuesday February 7th at 9pm on EATV….


DON'T MISS IT...


PS:I'm trying to get someone aniwekee the whole episode on youtube after it airs

ili na mlio mbali muone...

 

Comments
Add New Search
Anonymous   |2012-01-26 15:45:16
kwahiyo topic ilikuwa nini? HOW TO SURVIVE WITH A MUZUNGU au?
koku   |2012-01-26 17:29:07
eti mange naye mrefu naisubiri kwa hamu ,usiache kutuletea
hiyo clip hapa tusikie ulivyotutetea wake za wazungu.
 mange umependeza sana ila hiyo hair do soon itakulet down.
devota naye yupo juu.anaonekana mtulivuuu wake za wazungu
oyeee
Anonymous   |2012-01-26 15:45:21
I am trying to guess the discussion 'How to be mke ya mdhungu'
Anonymous   |2012-01-26 15:47:32
Watoto wa mjini kwa kupenda kupeana nafasi na kukuziana majina, kweli hamjambo,
kwa hiyo wewe Mange muda wote huu upo bongo ni partying na interviews? yaani
alimradi tu kwa namna yoyote ile uwe3 centre of attention?? heee naona umepania
kweli kuukuza ucelebrity wako hapa bongo.Kazana, polepole ndio mwendo.Hapa
unaweza lakini huko ulikotoka na huko unakokwenda, thubutuuuu, MTU KWAO.Kila la
kheri japo unakuza jina for all the wrong reasons.
Anonymous   |2012-01-26 16:33:17
Inahuu? Si uende na wewe ukakuze jina kwani kuna mtu kakubania?
Wivu.com

Unatamani hapo ungekuwa weweee?
Moi   |2012-01-27 03:55:07
Mfyuuuu...ha2hitaji kukuza majina 4 nothing na tukiona mtu anafanya hivyo
tusiseme?
Kwani uongo?
nyoooooo....hovyoooooo!

wivu au Ukweli unauma?


DESPERATE HOUSE WIFE   |2012-01-26 21:02:41
ACHA WIVU NDUGU, OMBEA MTU MEMA NA WEWE UTABARIKIWA. NASEMAGA TU KILA MARA..
Leyla   |2012-01-27 08:40:57
stop hating jamani yani mtu kuwa interviewed ndo anataka kuwa centre of
attention khaa wrong reasons zipi? Mange is a socialite whether u like it or
not habari ndo hiyo and at least she gives back to the community the only thing
she has made public ni hii project ya valentines but hujui kafanya mangapi
behind the curtains. sio bure hatuendelei mfurahie mwenzako ili nawewe mola
akupasulie njia loh!!! i bet wewe unge tamani saana kuhojiwa na joyce but ndo
hivyo u have nothing to show!!! stop hating wanawake khaaa . congrats mange keep
doing what u do best party have fun work hard !!!! love ya
Anonymous   |2012-01-26 15:48:58
Mmependeza ila nimependa Devota kavaa zaidi kama mke wa mtu, kiutu uzima. Mange
si utafute kazi kama upo bongo kwa muda, kukaa unazunguka zunguka kwa vitu
vingine vya maana, vingine vya ajabuajabu alimradi tu,unakuwa kama waziri asiye
na wizara maalumu.
Anonymous   |2012-01-26 21:36:43
nguo ya Devota na sifa ulizotoa nadhani akiwa amesimama, yes nakubaliana na wewe
ila akikaa mhh
Anonymous   |2012-01-26 15:50:18
unapenda ucelebity smh hata kwa Larry king havai hivi shughuli kweli
kweli.
SOfie   |2012-01-26 16:13:47
Jamani wabongo mbona mnatabia mbaya yani hata mtu akifanya jambo zuri
lazima mlitoe kasoro Dah! mimi sina ham na wa Tz kabisa.
DESPERATE HOUSE WIFE   |2012-01-26 21:05:26
KWELI SOFIE ATA MIMI NASHANGAA KWAKWELI SIJUI NI NINI ? KUNA MTU ALINIAMBIAGA
WANAWAKE WA KIBONGO PTUUUU HAWATAKIANI MEMA HATA SIKU MOJA NO MATTER WHAT
WATAKUSEMA TU..
Moi   |2012-01-27 03:57:28
Bora anayekutoa kasoro, itakusaidia kufanya ur things to perfection kuliko
anayekusifia ujinga and kwa unafki!...whea will that get you?
2cents   |2012-01-29 02:57:03
For some reasons hizo kasoro ni wanawake wa kibongo tu ndio mabingwa wa
kuziona.Hivi huwa hatuwezi kumwagalia mtu without ay kasoros coming in our
minds? Ni roho za kwa nini tu zinawasumbua!!!!
Anonymous   |2012-01-26 16:19:40
makubwa lol,jamani kweli watu mwapenda attention kweli ila ndo inayochangamsha
genge,mwaka huu wake za wazungu wote tuanzishe chama chetu lol tumekuwa wengi
sana sipati picha miaka ishirini ijayo itavyojaa point 5,sasa nawao sijui
wataoana wenyewe kwa wenyewe au watatafuta wazungu...
mko juu,sikuwahi kujua
kama devota ni kaandunje ahahha ila mmependeza nimependa Devota uko natural safi
sana achana na manywele ya nylon uko juu,Mange mkologo wa nini kama weupe anao
mwanao na mumeo lol labda Joyce naweza sema mwache ye ndo ang'ae ndani ya nyumba
mana wabongo mrembo ukiwa cheupe ila wazungu wanatupenda na rangi zetu
nyeusi.
Mange gauni lako Zuri sana ila huo ufupo nooo huko Bongo bana kuwa kama
mdada wa kibongo mke wa mtu sio unaachia mapaja yako nje nje ingekua kwa sherehe
sawa ila hiyo ni tv unafundisha nini watoto yani mmenipoa na mapozi yenu ya
kwenye makochi kama mko club vile muoneni mwenzenu Joyce alivyokaa anaonekana
ka...
Anonymous   |2012-01-26 17:09:07
true halafu hivi vipoint 5 vyenu huwa vinakosa pa kushika yaani hatambuliki
huku wala huko mnavidekesha saana inamletea tabia mbaya kama huamini waangalie
wote unaowafahamu kina mwisho,rich,abby na wengine unaowajua
Anonymous   |2012-01-26 17:11:30
mbona yule dada wa maisha na mafanilkio yasinta ngonyani hamumweki kwenye
mikampani yenu????naye si muke ya mudhungu na ana blog?
Anonymous   |2012-01-26 19:09:55
Yule mshamba, sio mutoto wa mjini. We unamuona yule anaweza mambo ya kina Mange?
Anonymous   |2012-01-26 16:23:17
Je kwa Africa Magic Swahili itaoneshwa siku gani na saa ngapi? ili sisi wa
tuliopo nchi za Africa tuone kupitia DSTV. Hebu fuatilia utujuze
Anonymous   |2012-01-26 16:24:58
Yani kwahiyo uliwaacha watuchambue sio? anyway ngoja kiwekwee tutajibu
mashambulizi kwa ustaarabu maana akili ya Judith inataka kufananishwa na sie
wengine.
baby ya Mange   |2012-01-26 17:52:01
JOYCE KIRIA ndo nani kwanza mpka akafunguke juu yetu??yeye kama nani
hasa...tunasubiria kwa youtube,,
DESPERATE HOUSE WIFE   |2012-01-26 21:07:48
LOL BABY YA MANGE.... MI MWENYEWE NASUBIRI, BRING IT ON.. NIVIZURI LAKINI KUTOA
MADONGE, TUWENI TU WASTAARABU SOMETIMES COMMENTS ZA WATU WENGINE ZINAUMIZA ATII
NI SAWA NA KUKATWA NA KISU, USIOMBE
Real 'huse wife'   |2012-01-27 05:20:58
alikuwaga HOUSE GIRL ZAMANI sasa ni mtangazaji wa Chnl 5..Umenipata baby ya Mange

U-Turners ole wake
tuangalie kipindi tukute ametuchamba atajuta tunamwaga data zake
zote humu...akili ya mtu mmoja (Judith) asitufananishe wote!! atuache
na U-turn yetu eboo!!
UMBEA.COM   |2012-01-27 08:10:36
UMESHASEMA ALIKUWA LOL HUONI HAYA HAYO MAISHA TU TUNAPITIA NA KWA SASA YUPO
JUU
Real 'house wife'   |2012-01-27 09:21:08
kwani aliyesema siyo maisha ni nani? Hata mie ninaye nyumbani na ninampenda na
kumuheshimu kufa coz ananilelea mtoto wangu..so we uliyetafsiri tofauti
utajibeba..kwani uongo hakupitia huko!!? ulitaka niseme alikuwa Pilot!!
UMBEA.COM   |2012-01-27 11:44:43
NDIO HATUHITAJI KUJUA ALIKUWA HOUSIGELI AU ALIKUWA PILOT HAVITUHUSU,
TUKIANZA KUONGELEA BACKGROUND HAPA HATA WEWE TUTAGUNDUA ULIKUWA CHANGU
MANZESE KWA MFUGA MBWA ! ACHA LONGOLONGO
baby ya Mange   |2012-01-27 17:13:33
hahahahaaaaaa jamani eti manzese kwa mfuga mbwa watu pipooo
mnatoa wapi maneno sie wengine watoto wa uzunguni mnatuharibu...bwana hahahahah
Real 'House wife'   |2012-01-28 09:11:56
na wewe ulikuwa changu wapi.? mie kwa mfuga mbwa sawa we uwanja wa fisi!!? au
buguruni kwa malapa..nyoko wewe!!
UMBEA.COM   |2012-01-28 16:26:13
TULIKUWA WOTE KWA MFUGA MBWA NDIO MAANA NAKWAMBIA ACHA KUONGELEA YA WENZIO
AU KWA KUWA SASA UMEHIFADHIWA NA HUYO ANAYEKUPA SHAHAWA ZAKE SILA SIKU
! SHUKURU MUNGU UNGEIUZA HIYO MPAKA ISINYAE
REAL HOUSEWIFE   |2012-01-31 04:28:53
Una mpya mlala nje wewe!! si afadhali yangu mie nimehifadhiwa wewe utaiuza mpaka
itoe ukoko kima we!!......mbea mkubwa kunya anye mwingine kutawaza utawaze
wewe!!
baby ya Mange   |2012-01-31 13:03:20
hahahhahahahh.....umenikunaaaaa nimechekaaaaaa kwa nguvu OMG eti kunya anye
mwingine kutawaza utawaze wewe duh!walai kuna watu wakikusuta utaomba ardhi
ipasuke heheheh mshindi ni Real house wife
Anonymous   |2012-01-27 19:45:35
wee hayo ni mambo ya longii tajiri wa arusha mrema mwenye hotel ya impala, naura
spring, ngurudoto alikuwa ni dobi kwa wahindi sasa hivi ni bilionea wee na
ameajiri wasomi kibao! ujanja si kuwahi mamaa ujanja kupata upo shostiii
Anonymous   |2012-01-26 16:26:28
Mange acha kuongeleaongelea khs kigugumizi chako...thats who u r...hautabadilika
so just jikubali hali yako na uendelee na maisha alah...kila siku kigugumizi
kimekulet down sasa unatakaje...kitoe basi kisiwepo
Anonymous   |2012-01-26 17:12:49
au apewe ububu lol
Anonymous   |2012-01-27 01:12:52
Acheni usenge...huo ububu wakupe wewe kwanza ng'ombe wa maziwa wewe....
Anonymous   |2012-01-26 17:18:06
makubwa tayari kawa supa nice kwa vile tu anauwezo wa kukupaisha jamani mange
uko so strategic we humsifiagi mtu kama hajakugusa nilishangaaga sana ulipoanza
kumfagilia sinta nikajua kuna kitu kumbe kweli ni vile tu yy ni cousin wa maliq
jamaaaani
Anonymous   |2012-01-27 01:15:15
hahahahaaaaa nimecheka mpk nimepaliwa baby tumekushtukia unalo
hilo
Anonymous   |2012-01-26 16:37:52
Watu wengine wanashangaza sana, eti Mange tafuta kazi, kwani kakwambia ana shida
ya kazi? Watu kwa kupenda kuwapangia wengine wanachokipenda wao, balaa! Mtu na
maisha yake kisha kutwa unafanya ninio utafikiri kaja kukuomba uji wa mwanae,
hebu punguzeni mambo ya kishamba hayo!!
Anonymous   |2012-01-26 16:40:53
Wanaoponda wote wanatamani wangekuwa wao, jamani kila mtu wakati wake wakati
wenu mkiitwa mtaitika mwende kupokea na nyie, otherwise kaeni kimya subirini
makaratasi yaitike! Sana sana mnaonyesha tu stress na frustration zenu.

Mange
anzisha kipindi cha TV kabisa huko Bongo
anon   |2012-01-26 16:42:07
Haaa watu sijui mnaongea nn! Hana anachofanya na shughuli zote hizi
alizowahabarisha ni nini jamani? Mbona kuponda mradi kuponda tu hainogi! Ilaaaa
mange these black short dresses give them a rest haaaa! I kno zinapendeza popote
pale but! Na huu u celeb look sasa inakuwa vp unakuwa kama uko vilevile kila
siku!
Anonymous   |2012-01-26 16:42:36
Mpendeza lakini Devotha amendeza zaidi
DESPERATE HOUSE WIFE   |2012-01-26 16:46:26
NYIE MSEMENI TU, PPLE NEED TO START SOMEWHERE, LEO KAANZA KWA HII SHOW NEXT TIME
YES ANAWEZA KUFIKA ATA HUKO KWA LARRY KING OOPS KUMBE HAYUPO TENA CNN SIKUHIZI
LOL... MAYBE SOMEONE ELSE WITH BIG NAME, WHO KNOWS... ACHENI KU HATE INSTEAD
LETS ALL WORK HARD, KUNA WATU HAWANAKAZI ZA MAANA LAKINI THEY ARE MAJOR
MILLIONAIRES.... IN DOLLARS... JUST FOR DOING WHAT WE CALL "STUPID
THINGS" CHUKULIA KAMA KINA SNOOKIE, THE SITUATION, ETC HAHAHHAHA JUST TO
NAME A FEW... MI BINAFSI NITAPENDA KUONA HIYO SHOW YENU IKITOKA, PLZ JITAHIDI
UWEKE YOTE YOU TUBE.
MLIPENDEZA WOTE.
Marichui   |2012-01-27 02:31:12
Point Desperate..
Anonymous   |2012-01-26 16:50:32
Devota anatamanishajeee,mzuri sana huyu dada..Inaonekana itakua bonge la
show!mange naona CL kama kawaaaa...mmetisha wote kwa ujumla
Anonymous   |2012-01-26 16:57:50
mange mwambie mzungu,mkae bongo...moyo wako upo bongo sijui kwa nini mnaenda
kubanana nchi za watu kwa nini...lol...pia bongo una uhakika wa kupata kazi
nzuri na masters yako,huko kwingine ukipata kazi utaboreka kwanza hawaongei
lugha sawa na wewe....na pili sina uhakika kama utapata kazi nchi nyingine,maana
priority ni wazawa kwanza nchi nyingine.,,,,sio kama kwetu utakuwa free na watu
kazini kisha utainjoy maisha think about it
baby ya Mange   |2012-01-26 20:15:05
yani katika woote walioongea leo, wewe ndo umeongea jambo la maana.
Anonymous   |2012-01-27 11:16:33
nani huyo kaongea?
Anonymous   |2012-01-27 17:14:23
mama yako hukumsikia?
Anonymous   |2012-01-27 12:31:15
Tatizo ukimwambia ya maana wanaojifanya wanampenda sana wanaizuga point!!
Narudia pia mie wazo langu kwake - Charity work inakupa heshima basi register
organisation usikusanye hela za watu bila mahesabu yanayoeleweka.

Devota
nawe usiingie kwenye band wagon ya mke wa mzu... bila sifa ingine wee uko juu
unashughuli zako Sweden zimetulia nenda bongo fanya ya maana rudi kwako kwa
mumeo Usitafute sifa chafu.
Anonymous   |2012-01-28 06:30:29
Jamani punguzeni presha nimeulizia mpaka nimejua hicho kipindi kitausiana na
nini?wala hakiusu wake za wathungu mange kaamua kusema hivyo kwa sababu zake
mwenyewe lakini nasikia kipindi kinasema kitu kingine tofautikabisa.Tusubiri
tukione na tusiongee sana! Ni hayo tu!
Anonymous   |2012-01-26 17:01:15
umerudia gauni.
Real 'huse wife'   |2012-01-27 05:25:22
KARUDIE NA WEWE LAKO
Anonymous  - re:   |2012-01-26 17:06:06
Anonymous wrote:
Mange acha kuongeleaongelea khs kigugumizi chako...thats who u
r...hautabadilika so just jikubali hali yako na uendelee na
maisha alah...kila siku kigugumizi kimekulet down
sasa unatakaje...kitoe basi kisiwepo


Hahaaaa!!! loooh!! Dada wewe mbona shingo imekushupaa kama umebanwa na
mfupa wa samaki? Kwani Mange kakosea nini aliposema kuhusu kigugumizi.
ebu ngoja ninyamaze mie, ubinadamu kazi.
Anonymous   |2012-01-27 06:15:03
Na wewe nawe acha kudandia treni kwa mbele...kama huelewi do this What
I said ni kwamba mange anatakiwa kujikubali na hali yake ya kigugmizi maana
ndivyo Mungu alivyomuumba kila akiongea in public atasema kigugumizi kimemlet
down sasa anatakaje maana ni kitu ambacho hakibadilishiki...tena na wewe ndio
uache kiherehere kama cha asubuhi NYANG'AU WE
Anonymous   |2012-01-27 12:24:12
Ubinadamu kazi gani???? kila akiongea public anaongelea kigugumizi...basi asiwe
anaenda huko kwenye ma interview maana hata akiboronga atasingizia
kigugumizi...ndio tayari anacho ajikubali asonge mbele..watu ndo
wajudge......kwa hiyo na kipofu akienda mahali alalamike macho yake yamemleta
down.....she is who she is...period...aache kelele......
Anonymous  - re:   |2012-01-26 17:08:50
Anonymous wrote:
Mmependeza ila nimependa Devota kavaa zaidi kama mke wa mtu, kiutu uzima.
Mange si utafute kazi kama upo bongo kwa muda, kukaa unazunguka
zunguka kwa vitu vingine vya maana, vingine vya ajabuajabu alimradi
tu,unakuwa kama waziri asiye na wizara maalumu.


Kazi ngumu kupata bongo, mfanyie mpango basi. Jamani mbona huyu Ma
Bhukenzo mna mwandama hivi??? pole Mange, walimwengu hatuna jema
Anonymous   |2012-01-26 17:16:14
Mbona watu wengine mnakua akili kichwani 0 sasa mnavyosema mange anapenda kua
star inahuuu?Kama katafutwa aende kwenye show asiende kwa sababu ya wajinga kama
nyie?ebu acheni ujinga wenu mtu hawi na jina kama hana jina tayari na mjue watu
wengi sana wanatamani kuonekana kwenye tv na mablog lakini ukiwa hujulikani
andika umeumia.So hao mnaowaona wanatafutwa wao na ndio maana mnawaonaga sehemu
mbalimbali!
Marichui   |2012-01-27 02:30:00
Nashangaa wanadhani unajipeleka tuuu mnifanyie Interview ! wao ndio wanakutafuta
wanajua Unamvuto kwa watazamaji
Anonymous   |2012-01-26 17:23:09
kiukweli nimependa ulivyovaa mange ila nahisi hilo vazi halikufanana na
tukio,kwa ushauri wangu,ila umelipuka mbaya mama,hiyo mada sitaki kuongelea ila
tutupie natuliopo huku kwa watu tulione yanayojiri home
Anonymous   |2012-01-26 17:24:44
mange sikuwezi
Anonymous   |2012-01-26 17:35:25
hivi mange una mda wa kukakaa na mtoto wako kweli? loh! umezid mwanamke.....kila
siku unashughulika. Badilika we mwanamke acha kupenda kujulikana mjin......we r
tired of u madam.
Anonymous   |2012-01-26 19:56:46
"we r tired of u," wakati kutwa mara 7 uko huku Uturn kama dozi ya
Sangoma. Hebu tujuze kinakuleta nini humu kwa mtu uliyechoka kumuona?

Siku
nyingine sema I'm tired of you, usijumlishe na wengine, manake utaumbuka wee
cheki comments ziko 3 au 50?
Anonymous   |2012-01-26 21:05:49
Mnafiquna mkubwa wewe, if you are tired humu unafata nini na wakati unajuwa
ukifungua blog kuna uwezekano wa kuona sura yake.

Watu kimewachomaaaaaaaaa
sana na bado mtalala mlango wazi lione kwanza roho mbayaa unakuja humu huku
unapumulia machine ya wivu inahuuu

Jini uliokosa kiti kila unapodandia
unatimuliwa umebaki kuwinda kwenye mablog na domo lako kama mabawa ya ndege.
Anonymous   |2012-01-27 04:22:56
sasa akisema atulie wewe utapata pa kucomment?
Anonymous   |2012-01-26 17:42:26
SHE IS SUPER jamani, km kaja kwa shughuli hizo si yeye sasa kinakuuma nini,
ishi maisha yako muache na yeye aishi vile anapenda, ebooo, mijitu mingine
ikoje...nyoooo.
Mmmependeza sana, kuacha mapaja nje ni asili yetu tangu
historia ya kuvaa magamba, ndio utamaduni wa mwafrika...eti hatuvai hivyo, nani
kakwambia, soma historia utajua..watu wasisifiwe km wamependeza...msonyooooo
nyooooo
Marichui   |2012-01-27 02:27:49
STRONG POINT!
Anonymous   |2012-01-26 17:43:41
TUTAANGALIA KIPINDI na tunaona mbali hiyo date...big up nyote...LC zet huna
nyingine Mke ya mudhungu?
Anonymous   |2012-01-26 17:46:03
i hope hajazungumzia comment za baby ya Mange...amefunguka?amefunguka
atuache kwa raha zetu kijiwe kisijekudorola bure kama mtu anaona comment
zinamkera asisome vinginevyo atajibeba...
Anonymous   |2012-01-26 18:22:06
Tobaa, moyo wangu! Bs cpat picha mtakavokua mmejshaua! Ndo lyf bs 2 mim cjapata
chance ya hvo ningejdai na kgugumiz changu ad watu wangeomba wawe nacho.kimbiza
mama
Anonymous   |2012-01-26 18:22:56
HIZO CL ZINAKOMAJEEE!
Anonymous   |2012-01-26 21:41:36
wee hujaona CL zilizokoma zilitolewaga kwenye mashughuli ehhe nenda kazitafute
si post ya siku nyingi
baby ya Mange   |2012-01-26 18:50:34
baby naskia ulikula kungu kabla ya show ,,,,...,,mtoto wa kipare unamambo
weye ndo nini kuregeza jicho namna hiyo,,,hiyo picha hapo kati hapo,,wallahi
nakutamani saana Mange wangu....nimelowaaaaaa!!!UKO JUUUUUU BABY WANGU
KINAFULANI ROHO ZINAWAUMAAAA...usibonyezeeeeeee baby hakunaga kama wewe bwana!
baby ya Mange   |2012-01-26 18:56:26
Joyce mwenyewe anaonekana bado saana heheh long pearl necklace r so
2000 napenda kutuma salamu kwa wake za wadhungu choka mbaya heheheh
mtajijuuuuu
Anonymous   |2012-01-26 20:27:38
NANI KASEMA LONG NECK PEARL ZIKO OUTDATED! SIKU HIZI FASHION KILA MTU NA YAKE
HAKUNA MAMBO YA KUIGA NA KUFANANA ANYMORE. MIE NIMEAMUA NAVAA CHUPI YA KITENGE
NA SIDIRIA YA GUNIA NA HIYO NDO FASHION YANGU. NYIE MNAOTAKA KUWA
MA-FASHIONISTA IGENI MFE!
Anonymous   |2012-01-27 11:20:40
kwi kwi kwikwikiwiiii nimecheka mpaka nimejamba lol! u turn kiboko.
Anonymous   |2012-01-27 18:23:33
hehehhe asa kilichokujambisha ni nini hapo we lazima ulikuwa umebanwa na mavi
kachambe huko heheh
nikita   |2012-01-28 17:22:07
me nimejamba kwa mbele kama yule dada wa ile mada
Anonymous   |2012-01-27 07:23:35
ha ha haaa nimependa salamu za wake za wazungu choka mbaya ha ha haaa
wanastruggle je ili na waon waonekane wanazo kumbe dandia dandia!
DESPERATE HOUSE WIFE   |2012-01-27 12:42:54
LMBAOOOOOOOOO LORD HAVE MERCY! BABY YA MANGE UMENISAIDIA KUANZA SIKU YANGU
VIZURI! ETI WAKE ZA WADHUNGU CHOKA MBAYA! HII KALI.
Anonymous   |2012-01-26 19:02:27
Hah. Nmechekaje et cl ztakoma.afu i lav poz lako mama watu waone red
sol,umenkumbusha in my wedding nljshauaga sn na cl ili mrad tu wambea wanione,bs
kila saa kunyanyua shela! Mtantukanaje?? Mtajiju! Ata tz naona zpo japo nyng ni
fake.
Anonymous   |2012-01-27 05:35:58
Zipo fake as Fake as you are !
Anonymous   |2012-01-27 11:05:49
kwenye wedding or sendoof??niliona picha zako ulizotuma kwenye ile blog kila saa
unainua gauni tuone Cl..but ulikomajeeee na urefu wa kiatu?/chezeeeeeya wenye
xperience zao zaCL kina mange
Anonymous   |2012-01-26 19:14:45
Devota anavaa hadi raha! Nakupendajeee...
Anonymous   |2012-01-26 19:19:22
Natamani tarehe 7 ifike nione hicho kipindi,najua kitakua kizuri kupita
maelezo!mmependeza wote kwa ujumla
Anonymous  - re:   |2012-01-26 19:24:47
Anonymous wrote:
hivi mange una mda wa kukakaa na mtoto wako kweli? loh! umezid
mwanamke.....kila siku unashughulika. Badilika we mwanamke acha kupenda
kujulikana mjin......we r tired of u madam.



SI UTOKE HUMU UMELAZIMISHWA KUINGIA HUMU!!!  
mamaaa ex enjinia   |2012-01-26 19:28:58
kama mdau alivosema tunasuburia icho kipindi tujibu mashambulizi..matusi yapi??
umu ni mashushu tuu kwenda mbele na kuelimishana, matusi ofcoz uwa ni machache
na tunajua wenyewe jinsi ya kurekebishana
Anonymous   |2012-01-26 19:30:14
Tangazo tangazo,kama wake za wathugu ndo mnashine like this? HATA MIMI NATAFUTA
WA KWANGU...YANI WATU WATAKE WASITAKE WAKE ZA WATHUNGU MNAFAIDI
JAMANI.NIMEFURAHI KUWAONA PAMOJA MY GIRLS
Anonymous   |2012-01-27 07:29:39
KUNA WAZUNGU NA WAZUNGU BIBI. ANGALIA USIJE VAMIA WAZUNGU WALIOCHOKA NA MA
ALCOHOLIST UKAJA JUTA NA ROHO YAKO. WENZIO WANAFAIDI MAISHA WEWE UTAISHIA
KUFAIDI NGUMI NA DHARAU..SIO KILA KING'AACHO DHAHABU..
Anonymous  - cha umbea     |2012-01-26 19:59:38
mwee sina usemi mie napitagaaa, CL zinakomaje!! kisigino
kitakukatikia siku ahahahahh
zay  - cha umbea     |2012-01-26 20:01:42
CL zinakomaje!! ngoja zikukatikie siku
Anonymous   |2012-01-26 22:08:42
WOW!!!!...OUT Of ALL THE ISSUES WOMEN ARE FACING IN TANZANIA THIS IS THE TOPIC
YOU AND YOUR FRIENDS FOUND TO BE IMPORTANT??? HOW STUPID AND YOU CALL YOURSELFS
ROLE MODELS...
Anonymous   |2012-01-27 00:03:33
mange hiyo picha ya kwanza na yanne umeonekana kama mgonjwa mpenzi...but
mmependeza
baby ya Mange   |2012-01-27 01:20:19
my baby dressed by AWESOME RUGS
Anonymous   |2012-01-30 14:15:03
HAHAH rugs
Anonymous   |2012-02-01 12:00:56
http://www.awesomerags.se/sv/2/info
mdau usa   |2012-01-27 01:41:19
Who wear short short, Mange wear short short
Anonymous   |2012-01-27 02:04:56
MANGE VIMIGUU HIVYO...MILONJO. siku nyingine uvae kiheshima bwana sio bday ya
Kiki hii ni Tv uwe kioo cha jamii
baby ya Mange   |2012-01-27 02:12:46
tobaaa hivi baby wangu anatembea huku anaburuza miguu au,,,, ni hizo CL
zikodelicate saana??mbona vimechunika upesi hivyo huko chini naanza kuwa na
mashaka na lile duka,,,,au basi unatakiwa ukivaa CL unyate,,, manake huo wekundu
huko chini ndo show yenyewe sasa ikianza kuchunika hivyo mapema namna hii baada
ya muda itakuwaje...ka mimi nisingekubali aisee ningevipaka rangi nyekundu tena
hehehe heheh si-original bwana, minilidhani viatu expensive
vinadumu...nishafuta ndoto ya CL kichwani kwangu,,,mambo yenyewe ndo haya!
Marichui   |2012-01-27 02:25:11
I can Imagine hapo woote mlikutana vichwa yaani hiyo tarehe saba nitawahi kutoka
kazini ,niwahi daladala , nioge mapema, ninye mapema , nirekebishe antena yangu
ya chadema nimuangalie Binti Kimambi ,halahala Tanesco maana Bongo huu Hmchelewi
halafu kawachukua woote Classic Woman....Mko juu
Anonymous   |2012-01-27 18:18:36
ukishaoga usisahau kufakamia ugali na maharage ili uweze kunya vizuri. Pia unywe
na maji ya moto kutokana na kutokuwa na umeme siku nzima. Kisha ukishamuona
binti Kimambi ukojoe ukale, huku ukiwaza kesho yake utaandika nini U-turn.
Anonymous   |2012-01-28 03:02:39
HALAFU NA WEWE UTAKUJA U-TURN FASTA KUANGALIA MARICHUI KAANDIKA NINI KUHUSU
MAHOJIANO UTAJIBEBAJE?????? MSHAMBA WEWE
Anonymous   |2012-01-28 06:15:22
UNAKAZI YA KUJIBU ZA WENZIO ANDIKA ZA KWAKO SHOSTI USITULETEE VIBIFU BIFU
Anonymous   |2012-01-27 03:22:45
MANGE KUSEMA UKWELI UMEONEKANA MZEE KIDOGO SIJUI NI KWA SABABU GANI ILA
UNAONEKANA MTU MZIMA SANA NA HICHO KIVAZI MAMA HAPANA SIKU NYINGINE VAA DECENT
KIDOGO HIVO VIVAZI VYA DISCO UTAVIVAA TU KILA VAZI NA SEHEMU YAKE.
DOREEN  - kiumbe aliyezaliwa na mwanamke!   |2012-01-27 03:23:43
Jamani! ni kweli kijiwe chetu kizuri, tunakosoana, tunachekeshana,
tunaelimishana lakini mhh...kuna wakati kabisa mtu unaona jinsi ilivyo ngum
binadamu ku appreciate! kila mtu ana maisha yake, anafanya nini, ili iweje kwa
wakati gani, ni yeye. na ndo mana anaitwa jina tofauti na wewe uliyekazania
kukosoa tena bila sababu za msingi! mwisho wa siku mwacheni mtu aishi maisha
yake. amekaa sana bongo, atafute sijui kazi, anakaa saa ngapi na wanaye yani
kukosoa kumekaa kichuki chuki na full wivu! hiyo show alispend mwezi??? kutoka
anatoka kila siku asubuhi kujirusha mwanzo mwisho thus hakutani na wanae wala
hakai na wanawe?? duh...KNOW IT ALL WA HAPA U TURN WANABOA BIG TIME SOMETIMES!
KHA!

btw, cant wait to watch the show!
mke wa mzungu   |2012-01-27 03:35:41
wake wawazungu,ngojeni kuwalea na DIMENTIA zao wakiinza kuzeeka,umeanza
mazoezi ya kuchambisha wazee au bado,naona bora uanze mapema .mi nimeshaanza
mwenzio
Anonymous   |2012-01-27 03:38:18
Mange......i believe in whotever you do ma....i know mumie,,go further...najua
publicity sometimes opens more opportunities....so wewe unaona Mange hajua
anachofanya wewe kaa tuu................people get to know people mostly through
the media.....kama unakataa ask Justine bieber Usher alimjuaje...dont take
things lightly people....whotever Mange,Mwanvita and Flavvy do there is a story
behind that,,walk like a lady but thing like an intelligent man......
Mange and
Devotion MUMETOKAPOA SANA .....
Anonymous   |2012-01-28 11:39:07
True, but i hope akienda huko kwenye media anaongea topics za maana not kuwa mke
wamzungu or kuzaa na mzungu, honest i am so so confused kwanini kuwa mke wa
mzungu au kuzaa na mzungu ni bigi deal TZ

Mange free advice, be
wise, opportunity doesn't strike twice so dont spend time talking about mke wa
mzungu bra bra, talk about developments topics such as how to help women and
children of developing countries, or anything else productive. And please don't
make your husband feel like you marry him simply because he is white. Be careful
young lady
matem   |2012-01-27 04:01:02
mmependeza wote,mahaters na wivu.com sagen chupa mnyweeeeeee.,mange nakupenda
you why????niulize ntakujibu.
bas jana tulikuwa ofisin tukawa tunakusema we
mange,wera wera weraaaaaaa,u turn juu juu juuuu zaidiiiiiiii
tatty   |2012-01-27 04:04:35
BIG UP Mange! watu bwana kwa mawivu ya kijinga mi hata sielewi. kila mtu ana
haki ya kuendesha maisha the way anavyopenda. So mange do what u feel its right
for you. kwanza yaani nakupongeza kwa kuweza kuzungumza kwenye TV na kigugumizi
chako (nakufahamu tulisoma wote AVU). mimi nina kigugumizi balaa na jinsi siku
zinavyoenda ndo kinaongezeka, kinaniangusha saaaaaana tu. So hongera sana
mrembo.
maliwaza   |2012-01-27 04:12:20
na huyo joyce kiria ajifunze jinsi yakukaa wakati anafanya intervw na watu.
kanyoosha miguu kama anasubiri ugali na mlenda. hawaoni akina tyra, oprah, hata
yule wanaigeria wavyopose? nimekasirikaje? mvuto wa kipindi unaanzia kwa
mtangaji mwenyewe. learn how to pose my dear. nawakilisha tu na mtazamo wangu
KwaTariq.com   |2012-01-27 04:13:14
daah mange nakufagilia mbaya kuna siku sinikakaona katoto ka kizungu wizara ya
mambo ya ndani kamefanana na kenzo si nikaanza kuita kenzo nashangaa kimya
kucheck nikaona yupo na mtu mwingine nikashushuka.nakufagilia sana na nina
mpango wa kuanzisha blog itakuwa copy and paste kwako watanichambaje????
KwaTariq.com   |2012-01-27 04:16:10
huyo anayesema huna muda wa kukaa na mtoto wako mwambie akakae naye yy kama
anaumia.umbea tuuu
Anonymous   |2012-01-27 04:39:52
mange hicho kivazi hakiendani na hiyo sehemu...umwoni devota mwenzako kavaa
vizuri na kiheshima zaidi?! alaf aliyewaambia we wanna know about wake wa
wazungu nani? kama mi siwafagilii hata kidogo hiyo mijitu myeupe...ongeleeni
vitu vya maana bwana, kama wamekosa vipindi waache hiyo show
Anonymous   |2012-01-27 04:52:17
"Mange......i believe in whotever you do ma....i know mumie,,go
further...najua
publicity sometimes opens more opportunities....so wewe
unaona Mange hajua
anachofanya wewe kaa tuu................people get
to know people mostly through
the media.....kama unakataa ask Justine
bieber Usher alimjuaje...dont take
things lightly people....whotever
Mange,Mwanvita and Flavvy do there is a story
behind that,,walk like a
lady but thing like an intelligent man..... "[/color]

[color=black]Naamini ulimaanisha think like an intelligent woman
Anonymous   |2012-02-01 04:03:11
Hapana mumie,what i wrote is correct...hope u knw the book of walk like a lady
but think like a man...i just added the intelligent bit,but in btwn thanks for
being concerned.....
c's mum   |2012-01-27 05:06:24
joyce kiria atukomeeeeeeeeeeee na matusi yetu! inamhuu hata tukichamba mpaka,
wengine tuna mastress kibao bila matusi akili inakuwa haiko sawa, aconcentrate
na kipindi chake, aachane na sisi ebo! akiendelea tuta
atukome kabisa.
Mimi   |2012-01-27 05:09:40
Joyce na mimi muke ya mpemba nipoooooo!njooo interview mimi alooooo
mangi  - Mangi   |2012-01-27 05:56:17
kweli kuna wachu wana macho km lensi ya darubini, mpaka mmeona kwenye soli ya
kiatu cha mangi kuwa imechubuka> some people bwanaaaaa!!!!!
Anonymous   |2012-01-27 06:32:47
Ulitetea nini sasa? ina maana we unaona sawa watu wanavyondika matusi humu au
wanavyotukana watu? shame on u
malkia   |2012-01-27 06:35:15
hongera sana mange na devota wote mmependeza sana tena sana .mange furahi waatu
wakikusema coz wanakupenda hawana lolote jingine zaidi ya wivu , wnataka kuwa
kama wewe lkn ndio hawawezi all the best ma dia love u.
'reen   |2012-01-27 06:51:44
We nae em usituchoshe kabsaaa huko ku think like intelligent man kupo wapi
wakati unatuandikia maneno yasiyoeleweka eti "Devotion MUMETOKAPOA
SANA". Msonyoooooo!!!

Mange huu u publicity wakulazimisha
ni noumerr!!
Anonymous   |2012-01-27 06:56:33
Mange ulipendeza ila tu hiyo nguo ni too much for a show ungevaa kama hao
wenzako ingekuwa poa zaidi...but you are really trying the only thing you need
to know now is to choose the right clothes for the occassion kwa mfano ile bday
ya kili yaani ulipendeza ila ndio hivyo ulilipuka zaidi hata ya bday girl she
was simple and everyone else was simple bcoz it was a simple dinner sasa ile
nguo ungeiweka for a bigger occasion. Ingekuwa vizuri ungemuomba Kiki awe your
personal dresser yaani akuchagulie nguo ya kuvaaa wapi we know she makes you
clothes sometimes but now she need to do more and help you choose clothes for
your occasions.
UMBEA.COM   |2012-01-27 08:22:07
UNAJUAJE KAMA ALIVYOTOKA HAPO ALIKUWA ANAENDA PARTY
Anonymous   |2012-01-27 19:09:23
si angebadilisha!
Anonymous   |2012-01-27 19:10:45
kwa hiyo umekubali kuwa hiyo nguo ni ya party na sio ya interview..asante
umejijibu mwenyewe
Valentine  - Valentine special for all   |2012-01-27 07:32:45
Jamani tuache wivu, lengo la kum interview Mange ni hiyo Valentine special ili
kuwapa hamasa wasio na access na internet waweze kuona umuhimu wa kuwapenda na
kuwajali wenye wakati mgumu katika maisha. Hata wakiwa na access ya internet, si
wote wanajua issue za blogs na blogging. Hiyo habari ya kuwa mke ya mzungu ni
kunogesha kipindi tu. Hata wewe ukipenda nani awe interviewed mtumie text Joyce
Kiria kupitia namba inayoonekana kwenye Tv screen ana respond na kuifanyia kazi.
Tumpe support Mange kwa hili la valentine siyo kukashifu. Wangapi mliwahi
kufikiri hivi zaidi ya kuwakumbuka wapenzi wetu tu? Valentine ni upendo kwa
wote. Mange usiache kuelezea uliyoyaona kama ya kutumia yatima kujitajirisha.
Tuko Pamoja.
Anonymous   |2012-01-27 07:48:37
mi hapa watu hata siwaelewi. Sioni kasoro yoyote katika nguo ya Mange.
imempendeza sana na imeendana na umbo lake. kwa kifupi anatamanisha. mlitaka
avae nguo za masista? Mange wakomeshe, vaa ile kitu moyo inapenda. wengi
wanatamani sana wawe na figure kama yako wavae hako kagauni lakini haiwezekani,
wamejijalia manyamanyama mwilini basi hasira zinaishia kwako..wote mmependeza na
soon mtawatoa watu roho kwa wivuuu..Devota wakilisha mamaaa unazidi kuwa juuuu
Anonymous   |2012-01-27 11:37:39
USICHEKE MAUMBILE WEWE MANYAMANYAMA ??
mie   |2012-01-27 07:55:29
wooooooooohoooo mtoto wa kimambi this is huge....hicho kigugumizi naomba
nisisikie unakizungumzia teeena...umesikia.marufuku!kikubali kuwa its u then u
will find a way of controlling it kama style...sweetheart ubunifu muhimu!!!in
everything.
i can imagine wewe u hade a lot to say sijui huyo msindikizaji wako
aliongea nini...any way tungoje kuiona.
ila in u short..U RUN IT.......! stay
blessed!
Anonymous   |2012-01-27 07:58:20
HALOO CHONDE CHONDE MSITUMALIZIE WADHUNGU WETU WA KUWATAWADHA. SASA KILA MTU
AKITAKA MZUNGU MNAZANI TUTAFANYA WAPI KAZI NYIE VIPI? KA VIPI TAFUTENI WAZUNGU
VIJANA. HAWA WAZEE MTUACHIE TUWASAFISHE, MNATAKA TUKALE WAPI SASA KHAAA. KWELI
WAAFRIKA NI MAZOAZOA. KA VIPI TUANZISHE BUSINESS, BADALA YA WAZEE KUPELEKWA
KATIKA MAJUMBA YA KULELEWA WAPOSTIWE TANZANIA KUOA INSTEAD. NAZANI WATAPATA
HUDUMA BORA ZAIDI HEHEHEHHE...
Anonymous   |2012-01-28 06:13:20
Wewe katiwe mbele huna jipya k...ma wee.
Anonymous  - Anony   |2012-01-27 07:58:49
mange we ni star..nnachokupendea urngi dada angu sio wengine mafanikio
kidogo vichwa vikubwa kama beseni..kuna siku nilikuona maeneo
ya muhimbili nikakuita japokuwa nilikuwa kwenye daladala ila
ulinipungia...ucku sikulala CHEZEA DADA MANGE WEWE UTALALA HOIIII
Anonymous   |2012-01-27 08:53:58
HEHEHEEEE MDAU KA NAKUONA NDANI YA DALADALA MENO BIASHARA..WALIKUKOMAJE ABIRIA
WENZIO
Anonymous   |2012-01-27 11:35:59
umeniacha hooi mdau kwa kutengeneza picha ?
Anonymous   |2012-01-27 15:01:16
haki ya Mungu duniani kuna mambo daaaah.
teacher   |2012-01-27 08:42:21
haya tunasubiri kwa kishindo na hamu tele thanks God hy siku pengne tayari
nitakua nimetinga in Jakayaland, umbea mtamu hehehee nimepitia all perevious
comments nikahisi let have a short glance on mange's photo nimeona kweli mange
hilo vazi halikulingana na event yenyewe,pia haikukuwakilisha kama mama au dada
wakitz, eehee nisijesutwa nimtazamo tu! we are waiting
Anonymous   |2012-01-27 11:35:08
WEWE JAJI AU ?? WE UNAVAAGA NINI WAKATI WA KUT..WA
matem   |2012-01-27 08:54:10
nasikia kucheka,kwanini hukulalala?makubwa yana nafuu
Anonymous   |2012-01-27 15:17:05
mwenzio usiku hakulala
alikuwa anamuota Mange na pengine kwenye ndoto yake alipiga nduru Mangeeeeeee
Mama yangu weee, mpaka machozi yamenitoka kwa
kucheka. Ubarikiwe sana binti Kimambi kwa kututoa stress ni therapy tosha, Mungu
awarehemu wazee wako wazaa chema!

Nay
Olli   |2012-01-27 09:04:19

Anonymous   |2012-01-27 09:42:42
Nice
VIVIAN MPONEJA MKE WA MSUKUMA   |2012-01-27 09:59:52
DADA NAKUFAGILIA MBAYA UMEPENDEZA SANA WENYE WIVU WAJINYONGE
WAWAHI NAFASI KWA MUNGU KAMA HAWAKUBALI MAISHA YKO WERA WERA WERA WERA WERA WERA
WERA WERA WERA MAMA MZUNGU JUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
UUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU UUUUUUUU! HTAKI KAFIE MBELE
HUKO. ALIYEPEWA KAPEWA JAMANI KAZANEI NANYIE MUNGU HANA FITINA ATAWAPA ONE DAY
YES UNADHANI HATA MANGE ALIDHANI ATAISHI MAISH AANAYOISHI SASAHIVI SO UVUMILIVU
NDO KITU CHA MUHIMU KATIKA MAISHA JAMANI UNAWEZA UKAPATA MZUNGU AKAWA CI MZUNGU
WAZIMU UKATAMANI UNGEBAKI NA MSUKUMA WAKO WAPO WABONGO WEMA JAMANI NA HAKUNA TU
ANAYEJUA KUHONGA KAMA MSUKUMA CHEZEA sasa MTASONYAJE ILA HABARI NDO
HIYO........................
Anonymous   |2012-01-27 11:33:49
UMEKUJA LINI WEWE ??
Anonymous   |2012-01-27 10:20:09
Mange ushatuharibu wenzio. haya mambo ya wazungu mmh..wiki mbili tatu zilizopita
nilienda kazini kuhudumia wazee wangu kama kawaida. nikaenda kumsaidia babu
mmoja wa kizungu ile nainama nimvishe suruali akanishika sehemu ya
siri..nilishangaa badala ya kukasirika nikaingiwa na mapenzi ya ajabu
sana..nikamvisha nikatoka. kesho yake nikaenda tena nikafungua vifungo vya juu
vya blauzi makusudi nikawa namfunga shati hee nae akukawia akabinya ziwa..mamaaa
nilihisi napagawa..basi sikuizi napenda kwenda kazini ata nikiwa off wakinipigia
simu niende nakurupukaje..nimejikuta nampenda jamani yule babu ana tabasamu zuri
sana nae ameshajifia kwangu. yani hapa nina mpango wa kumtorosha ila sijui
nianzie wapi..nitafukuzwa kazini mwenzenu au hata kufungwa coz of
u-turn...nisaidieni mwenzenu.
DOREEN!  - DAH!   |2012-01-27 11:53:22
YANI WE MDAU UMEPINDA KULIKO MAELEZO! YANI NIMECHEKA HADI MACHOZI YAMENITOKA.
asante mwaya mana ni taimu za kutoka vibaruani wengine. uso umechoka hatari...so
kwa kweli umenichangamsha best...full kicheko, tena peke yangu kama mwehu!!!!
mh! watu wanajua kuchekesha.
Anonymous   |2012-01-27 12:39:40
kwa hiyo umeshajipatia BABU WA KIZUNGU? ah mtoroshe ukalee bibie..wenzio
kina Mange wanalelewa
LiZZie   |2012-01-27 15:27:14
Sio Mzima wewe...ROFLMAO!!!
Anonymous   |2012-01-27 10:38:31
wake za wazungu
oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee e
Anonymous   |2012-01-27 12:25:59
Anonymous   |2012-01-27 11:12:59
Hv maana ya nano Live ni nini? Maana nashangaa kipindi cake anakiita Wanawake
Live then kinaonyeshwa days after
Anonymous   |2012-01-27 11:39:48
hivi mange una mda wa kukakaa na mtoto wako kweli? loh! umezid
mwanamke.....kila
siku unashughulika. Badilika we mwanamke acha kupenda
kujulikana mjin......we r
tired of u madam.

WEWE MDAU HIYO STATEMENT INAITWA WIVU DOT COM, SASA NA WAMAMA
WANAOENDA MAKAZINI NA KUACHA WATOTO NA DADA WA KAZI FULLTIME NA FOLENI LA BONGO
KURUDI SAA 2USIKU NAO UNAWASHAURI WAACHE KUFNYA KAZI WAKAE NA WATOTO?UNA UHAKIKA
GANI HAKAI HAMUONI MWANAE?MHHH WATU KM WEWE NDIO MNAMSADIA KUJULIKANA MJINI KAMA
UMEMCHOKA ACHA KUCLICK UMU KWANI MWENZIO NDIO UMAARUFU UNAONGEZEKA,WE UNABAKIA
HIVYO HIVYO NA UCHAKUBIMBI WAKO!!!JUA LINAKUWAKIA KITOSINI CHILLOUT
GAL!!
MINA   |2012-01-27 12:15:37
HABARI NDIO HYOOOOOOOO


MANGE HONGERA SANA MAMA
Anonymous   |2012-01-27 13:45:07
we mdau wa kwa wazee bila shaka unafanya pale CAREMA CARE AU ????
Anonymous   |2012-01-27 14:01:35
UPUUZI.COM... Wenzenu wana wazungu toka miaka ya 90's wako kimya they live
normal hawawaongelei waume zao in "mzungu" terms... nyie mliowaopoa juzi
juzi baada ya kupitia maafa ya maisha ndo malimbukeni utadhani mmeambiwa hao
wazung mmeshushiwa toka sayari ya nani... full ushamba... wewe na mzungu ni same
DNA capacity cha tofauti ni rangi tu... kweli kalagabaho utayaona mengi...
USHAMBAAAAAAAAAA...
Anonymous   |2012-01-27 23:37:54
kula twenty mdau!
mashauzi.com  - wanawake live   |2012-01-27 14:42:23
Can't wait for da show.. hiyo tuesday..

very nice dress.. + CL...pendeza
sana
Anonymous   |2012-01-27 15:24:13
Na bado!mpaka mfe kwa wivu.Tafuteni na nyie wababu wenu wa kiafrica na magonjwa
yao wanayowapatia...Ogopa ngoma ni Hatari...hahahahha
Anonymous   |2012-01-27 15:28:25
mzungu dili kila mtu anamtamani ndomana roho zenu zinawakereketa njoo Masaki
unione nilivyotulia ndani ya nyumba na hubby yangu ya kithungu...wewe
unaninii?ovyoooo
Wakosaji utawajua tu kwa presha
Anonymous   |2012-01-27 16:05:54
Re;UMEKUJA LINI WEWE ??

Huyo atakuwa kaja na mbio za mwenge...kwi :
Anonymous   |2012-01-27 21:12:02
hahahhaha eti kaja na mbio za mwenge jamni hivi baby unawazaga nini jamani
HILARIOUS
Anonymous  - re:   |2012-01-27 16:45:04
Anonymous wrote:
UPUUZI.COM... Wenzenu wana wazungu toka miaka ya 90's wako kimya they live
normal hawawaongelei waume zao in "mzungu" terms...
nyie mliowaopoa juzi juzi baada ya kupitia maafa ya maisha ndo
malimbukeni utadhani mmeambiwa hao wazung mmeshushiwa toka sayari ya
nani... full ushamba... wewe na mzungu ni same DNA capacity
cha tofauti ni rangi tu... kweli kalagabaho utayaona mengi...
USHAMBAAAAAAAAAA...

Dada wewe mwaka 90 mange alikuwa bado mtoto 10years
Anonymous   |2012-01-28 13:16:45
HAHAHHAAA HAO WAZUNGU WA 90:s mpaka leo hii watakuwa washakongoloka. manake hiyo
miaka ya 90 mtakuwa mliwachukua wakati wameshajichokea. leo hii i doubt kama
bado wana meno midomoni. nywele zitakuwa zishawapunyuka, mahipsi yashaachana na
viuno, makunyanzi ndo usiseme. wazungu wanazeeka haraka hilo lajulikana..na
mtakuwa mshawacheat sana na wanaume weusi...jibebeni na mfie mbele uko na
wazungu wenu wa 90s weraa
salatut     |2012-01-27 17:00:32
Nimechekajeee miye...mdau hapo juu you make my day  be
careful, hicho kizee nacho kinanyege mshindo, kitakuponza.. Miye
mwaya nilimgeya bosi wangu mzungu basi kanogewa anata tena
Anonymous   |2012-01-27 18:38:56
guys kwanza ushauri tu acheni kukurupuka tayari mmeshacoment as if mmeshatazama
kipindi ilitakiwa msubiri kipindi ndio muanze kukoment sio manen yanawatoka tu
bila mpango,then pia acheni kukremisha Wanawake Live ni just ya brand name tu
haimaanishi kisa umeona live ndo kirushwe hapo hapo ni ubunifu tu n in short for
what i herd Joyce katika moja ya show zake ni kuwa hakumaanisha kuwa ndo
kinaruka hewani now but ni kuwapa na kuonyesha uhai wa Wanawake, ukichukkulia
lugha za watu hivyo utapotea.sawa kila nguo ina location yake ila kama kweli
wewe ni mjuaji wa vipindi sidhani kama utajudge nguo walizovaa n what i like
about them hawakutaka ku pretend kuvaa madera ama mabaibui kisa tu wanahojiwa
kuhusu umama,nimependa wamekuwa wao kama wao,kuhusu joy kukaa usichukulie picha
kama ndo unaona video mtu akikaa anachoka kujui amekaa for how long si kwamba
atakuwa amenyoosha miguu mwanzo mwisho hope so kapiga na pozi jingine. then pia
Anonymous   |2012-01-27 21:54:00
wana u-turn wamedataaaa. hasa wewe unayefanya kazi kwenye carehome. kuwa makini
vile siku akili ikimruka kwa minyege anaweza toboa siri. we si unawajua wazungu
kwa kujidai wako honest! usijewekwa kwenye POVA list kwa ajili ya kibabu
kilichokata kamba. ila kama unajiamini kula nae sahani moja,waweza pata karatasi
na urithi juu. unless familia yake iwe imeshachakachua will.
mr bigfacerollie   |2012-01-28 04:34:19
mange vipi unahitaji bootleg botox nini naona sura imeshaanza
kupinda...tukusaidiaje
Anonymous   |2012-01-28 14:27:28
sure mdau
msemaKweli   |2012-01-28 04:39:10
MKE WA MZUNGU! MKE WA MZUNGU! what is so special ?
Mzungu sikama wanaume
wengine tu! ACHANI USHAMBA MNAWAENDEKEZA HAO WAZUNGU!
Anonymous   |2012-01-28 06:04:06
Sitaki kusikia kitu kinaitwa mwanaume wa kibongo mimi hiyo ni michosho yenu
tumewaachia nyie vijakazi endeleeni navyo hawana maana hata uwape kitu gani hao
watu,kazi muhimu kwao ni kulewa na kutia wanawake wa nje!sasa kipi bora?utakuta
mwanamke anamawazo mpaka uso haukai poda kwa stress za mwanaume hayo nayo ni
maisha au utumwa? : Wathungu oyeeeeeeeeeeeeeeeee
Anonymous   |2012-01-28 13:00:44
kwaiyo baada ya kutiwa akili na wanaume wa kibongo umeamua kuwa kijakazi wa
mzungu. bibi, wewe ndo mtumwa ila hujijui nani asowajua wazungu..pole zako
Judge Judy   |2012-01-28 13:51:24
Oyeeeeeeeeeeeeeeee
Anonymous   |2012-01-28 07:22:23
kwi kwi kwi uturnerz..!
Anonymous  - re:   |2012-01-28 08:10:16
maliwaza wrote:
na huyo joyce kiria ajifunze jinsi yakukaa wakati anafanya intervw na watu.
kanyoosha miguu kama anasubiri ugali na mlenda. hawaoni akina
tyra, oprah, hata yule wanaigeria wavyopose? nimekasirikaje? mvuto wa
kipindi unaanzia kwa mtangaji mwenyewe. learn how to pose my dear.
 nawakilisha tu na mtazamo wangu
nimechekaje! ujembe ufika mdau asante nitajirekebisha. i love u. JK
utajiju   |2012-01-28 11:06:51
hao wazungu mbona hawajui kitu kitandani na mboo zao ni ndogo sana
udaku   |2012-01-29 20:17:42
kama wataka mboo kubwa nenda kwa diamond, wasichana wise mind, hawafati mboo
kubwa . bali wanafuata kuthaminiwa na kuheshimiwa. wanaume wa kibongo
wanalijua hilo!!?? all the best na ubongo wa flava wenu.. mi nina aleji nao..
fyuuuuuuuuuuuuuuu
Twin ya Mange   |2012-01-28 11:58:31
Jamani kuna dada ana kiblog chake kafungua muda si mrefu naona kama vile anataka
ashindane na mke ya Mudhungu wa hapa,also anataka kununua bifu la Mange na RT
yule wa facebook,kaweka picha za RT watu wanamsema MKL kaachia comments na jina
juu teh teh sitaji blog yake maana mtamuongezea traffic post zake hazipo
kintelligent kihivyo,naye kaolewa na Mzungu kwi kwi kwi sisemi mengi najua
anaingia hapa, maana kila kitu ni anamodel MKL BLOG LOL,Yaani nahisi anatamani
kununua bifu na umaarufu,nimeona nitume koment kuchangamsha kigenge hapa maana
mna kiu ya UDAKU wana Uturn,Leo nimeamka kiudaku daku sipo
serious
Anonymous   |2012-01-28 17:51:06
Nishamjua huyo lakini ni choka mbayaa
usitake kumpandisha chati bure, yaani nikiingia humo huwa nacheka sana
anavyojishebedua masikini ya mungu. Tatizo hata akioga hatakati, kiatu akikivaa
ukiangalia miguu haijapata pedicure miaka 2. Yaani unaona kabisa anavyohangaika
na kujilazimisha, masikini watu wana kazi sana, mtu bora uishi unavyojiweza sio
mambo ya kucopy na kupaste. Hata mimi siitaji blogu yake msije mpandisha chati
bure!!
Anonymous   |2012-01-29 20:20:31
inaitwaje blog yake tujuzen bathii wajemeni!
Anonymous   |2012-01-28 12:07:49
kweli sina kazi....da uturn noma.kipindi hakijarushwa watu wanachonga kama
wametiwa betri kaaa,u-turn mwisho nimesoma comment zote 161 kama sio kukosa
maisha ni nini,nahitaji dr.da!
Anonymous   |2012-01-28 18:40:11
twin ya mange hata

mimi nimeona jana nikamnanga nikamwambia aache kuweka
majina ya watu kwa blog yake manaake tukianza kuwashambulia wanajifanya oohh
wana-uturn wana maneno akati walnaanzisha wenyewe. hana lolote hawezi kushindana
na mtu yeyote anunue kwanza camera nzuri na mavazi pia afanye modification ndio
kidogo tumfikirie. nilishau na toning ya sura manake sura imekomaa utafikiri ana
miaka 999 duuhhh nimepita tuu wana u-turn kuna yeyote mwenye data zake amwage
humu
Anonymous   |2012-01-29 13:34:46
Mdau lakini jamani, LOL! umenimaliza!
Miaka 999, LOL!, lakini u
turn!
That means she's old that moses from the old testment .
Anonymous   |2012-01-31 11:45:55
ww nawe mnafik tu.mwache muke ya muzunguuu wa jo'burg ale maisha kwa raha
zake!!nawe tafuta kibabu kikuhudumie
Anonymous   |2012-01-28 22:08:41
Anakaa nchi gani huyo mdada? tumfungie vibwebwe
Anonymous   |2012-01-29 04:17:57
sasa hivi yuko jo'burg na yeye ni mke ya mzungu natamani niweke jina lake kamili
lakin najua mama u-turn ataibana. niweke abreviations M.H
Anonymous   |2012-01-29 10:42:29
kile kibibi kimekomaa hadi mkorogo unadunda , kweli kuna wazungu vipofu hata
avaeje hapendeziana sura kama prime minister wa nchi moja hivi jina kapuni ha ha
haaa!
Anonymous   |2012-01-29 20:23:20
kwi kwi kwi kwiiii wee mdau ni mtambo kwa kwenda mbele.. huyo prime minister
nishamjua. lol.
Anonymous   |2012-01-29 12:12:42
blog inaitwaje ya huo mke ya musungu part 2
miss girl   |2012-01-29 12:44:14
ha ha ha ha ha yaan nilikuwa na stress za mitihani , baada ya kuingia u-turn
stress zote kwishaaa, nimechekaajeee! MANGE u rock baby, umependeza sana and
there is nothing they can do about it!
Anonymous   |2012-01-29 13:59:33
Hivi SA kuna Primark? maana nguo zake zote nazoziona ni design za Primark
Anonymous   |2012-01-29 17:29:16
Anashop Mr Price na PEP stores, wee nenda kaangalie website ya hayo maduka
utaona nguo zake humo. Hawezi kuafford kwenda Edgars.

Jamani nyie sio
kung'ang'ana kuolewa na wazungu na kujisifia one and only. Bora na mndengereko
wako sometimes nanunua Macy's, au M$S au kikibuma naenda kwenye charity shop za
maeneo ya high class napata nguo bomba kuliko kujishebedua huku unaishi low
life!
Anonymous   |2012-01-30 17:42:24
Kuna muke ya muthungu nyingine inakaa canada, nae vinguo vyake kama vya primark.
Anonymous  - re:   |2012-01-29 14:20:28
Anonymous wrote:
Hivi SA kuna Primark? maana nguo zake zote nazoziona ni design za Primark



  Umeniacha
hoi hata na mm nilikuwa najiuliza hivyo hivyo lol
mtu   |2012-01-29 15:28:28
Jamani Jinan la blog basi !tumjue tupo huku tutamfungia kibwebwe lol,hatutaki
kuaibishwa wake wa wazungu
Anonymous   |2012-01-29 19:23:59
Mh i wonder kwanini mange hajarudi kwa baba kenzo mpaka leo,fununu ni kwamba
kimenuka kwa mumewe,
Anonymous   |2012-02-02 08:59:02
this is pure beauty with no brains..ati topic kuwa mke wa mzungu...use your
position to help the society.... kwani wewe ndio mke wa kwanza wa mzungu? wengi
wetu we are married to wazungus too soooo pleeeeaaassseeee too crapy i wonder
what tv station airs such programs?
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook