Who's Online
We have 605 guests and 2 members online
  • Lise07
  • Bonita_SAB
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday4122
mod_vvisit_counterYesterday13887
mod_vvisit_counterThis week53464
mod_vvisit_counterLast week90100
mod_vvisit_counterThis month274429
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started5153996
Login



NIPENI USHAURI.....
Written by Mange   
Thursday, 26 January 2012 20:28

Dear Mange,

Nina swali ambalo linahusu maisha ya kawaida , mi nina umri wa miaka 28, namshukuru Mungu nimesoma kiasi siwezi kusema nimesoma saaana , nina degree moja tu, na diploma mbili, Mange sio kwamba nataka kujishaua au vipi, nataka nikupe msing wa swali langu,

Ninafanya Kazi at least najikimu katika maisha na naweza kusaidia wazazi wangu kidogo na ndugu japokuwa sio sana.

Mange nimekuwa nikipata mawazo sana hivi karibuni, Tangu nikiwa mdogo nimekuwa nikimuomba Mungu niishampata mwenzangu nndo tupange Mipango ya watoto na kuwa na familia kubwa vyovyote vile tutakavyotaka,

Lakini kitendo cha mimi kuwa sijaolewa hadi sasa, naonekana kama nimechelewa sana na uwezekano wa kkuja kuolewa tena ni mdogo sana,

Nimekuwa nikipata maswali si kutoka kwa wazazi tu hata watu wa nje , kama sijaolewa kwa nini sina mtoto mpaka umri huu?

Mange hayo maswali yamekuwa yakinitatiza kiasi kwamba naona kama maamuzi yangu labda si sahihi,

Sasa swali langu ni hili je umri sahihi  wa mwanamke kuolewa ni upi?
na kama mpaka umri huu sijajua nitaolewa na nani ni kosa

ni matumaini wana u-turn mtachnagia na si kutukana
Email yangu kapuni please

 

Comments
Add New Search
Viola   |2012-01-26 14:42:20
kwa mtazamo wangu, umri sahihi wa kuolewa ni kuanzia miaka 18. Lakini pia sio
lazima sana kuolewa kama hujapata mwenza anayekufaa. kuna wasichana wengine
hawapendi kuolewa, wanapata mtoto bila kuolewa. so wewe km ni mmoja wapo waweza
kupata mtoto ukamlea. Pia mungu akijalia unaweza ukapata mwenza wako hata kama
una miaka arobaini, mi naamini kama mtu anakupenda hatajali umri wako.
Anonymous   |2012-01-26 14:56:56
Pole sana coz inaonekana wazee wamekutaiti na mpaka sasa huna partner.sasa hata
wadau wakikutajia umri wa mwanamke kuolewa haikusaidii.ni maisha yako.ila
usireject sana wanaume kwa kisa elimu.na mapenzi nayo hayachakachuliki.kuwa
careful mana una dalili za kuwa desperate!
Maarufu Mungu   |2012-01-26 14:58:43
Mie nina 28 lakini hata mchumba sina, sio wewe peke yako haya ni mambo ya
kawaida !!Omba tu Mungu atakupa kwa wakati wake, kumbuka Mungu hawahishi wala
hacheleweshi
Anonymous   |2012-01-26 17:39:13
ni kweli ndugu zangu msivunjike moyo Mungu huwahisha kwa sababu na huchelewesha
kwa sababu, mimi nimeolewa na umri wa miaka 34 na bikira na sasa nina watoto 2
wa 1-kike na mmoja kiume balance! na nimeolewa na nimezaa na mtu wa my dream
ambaye sifa zake hawawezi kumfikia vi boy f uchwara vilivyokuwa vinanisarandia
kila nikifkiria km ningeteleza na kuzaa na mmoja wao ningepotea vibaya mmno.
hivyo nakuomba muwe na subira kidogo na mungu siku zote hamtupi mja wake atawapa
wenu Inshallah. inabidi ufikirie pia mtoto wa kuzaa peke yako majukumu utayaweza
akiumwa peke yako akiwa na matatizo akihitaji msaada peke yako unahitaji mwenza
wa kukusaidia ulezi kwa njia moja au nyengine vile vile km utakuja kuolewa na
mume mwengine sio wanaume wote wako tayari kulea mtoto wa mwanaume mwenzie!
Anonymous   |2012-01-26 20:41:03
Kweli kabisa mdogo wangu mimi ni mzuri balaa sio kwamba najisifia lakini ndio
ukweli lakini kila siku nilikuwa nasema lini nitaolewa na kuvaa shela nimechoka
kusifiwa kila siku na pia nilikuwa nahisi labda wanaume wananiogopa lakini
nilipofikisha miaka 28 alikuja mwanamme moja ofcini kwangu akaniambia wewendie
mwanamke ninayetaka kuoa simji wala nini na amenioa mpaka sasa tuna miaka 9 ya
ndoa.
baby ya Mange   |2012-01-26 15:18:15
ungeuliza tu swali straight kuwa umri sahihi wa mwanamke kuolewa ni upi?, kuliko
kujielezea ooh sijui ninakazi nimesoma kiasi sijasoma sana?sio kama
najishaua...nina degree moja tu na sio diploma...too much blah blah kuolewa ni
kama bahati wala hivyo ulivyojielezea sio sababu kabisa ya kufanya mtu uolewe au
usiolewe so ungefupisha tu dhumuni la post yako,, watu kibao wameolewa wakiwa na
umri zaidi yako na wengine umri chini yako kifupi mininavyoona kuolewa hakuna
umri sahihi cha msingi ni mapenzi ya dhati,hujachelewa subiri siku yako itafika
utampata mwenzi wako ataekuowa na utakaye zaa nae kama ulivyokuwa ukijiombea
toka mtoto,, mwenyezi Mungu kamuandikia kila mtu na mwenzi wake so relax.
Anonymous   |2012-01-26 21:24:30
Ndio kasoma mwache aseme wewe ukimbie shule 2008 ukaona kuzaa deal that's u
wache wenye elim zao waringe lol mwone ata aibu una eti nenda straight forward
kimekuuma eeh .. lea huyo mtoto wako mpeleke shule aje kukukomboa ...kazi kupiga
majungu tuu
baby ya Mange   |2012-01-27 11:16:05
hehhe look who is talking about majungu hehe  sijakataa kwamba
asiringie elimu yake hata mwenye elimu ya std4 yuko huru kuringia
elimu yake tatizo haikuwa na haja n what are u tryn to say???u better
be wise woman atleast mimi nimejaliwa mtoto elimu ntaipata muda
wowote kwahiyo kama unadhani unaniumiza kwa kuongelea kupata mtoto
umechemsha saaana im a proud mummy and so thankful kwa mwanangu what
a blessing???.... coz i know how it feels kwa watu wanaowish kupata
mtoto na hawapati...shule hata uzeeni nitasoma elimu ni kama bahari haina
mwisho so sijafika mwisho mama mie bado mdogo miaka yangu inaruhusu
natumia akili kujibu situmii chuki wala nini mdau...unajingine??
Anonymous   |2012-01-27 17:57:48
Wish ungekua unatumia akili ya kujibu comment darasani... Sina chuki ila acha
wenye diploma zao waringe ... sio swala la kufupisha habari kama ndefu usisome
kwani umeomba
:........ hugs to u Bt usiingilie wenye elim zao hujui ugum wake
wewe...
Anonymous   |2012-01-27 11:25:28
haihusu kuongelea personal life za mtu hasira zako kajinyonge na kamasi
utajibeba mbona na wewe ulizalishwa ukakimbiwa sibora huyu kazalishwa na
bwanaake yupo??tena ushukuru Mungu ata ulipata huyo mwanasesere akakuowa
angekujua nani wewe utajibebaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Anonymous   |2012-01-27 02:42:40
tatizo ni kwamba, yeye yuko tayari kusubiri inavyoonekana.. lkn familia zetu za
kiafrica si unajua tena, maswali mengi unaoewa lini, pressure za wazazi ..hakuna
kitu uncomfotable kama kuulizwa hayo maswali mara kwa mara na wazazi. Inastress
sana sometimes inakufanya hata ujihisi mambo mabaya, lkn wazee wetu na ndugu
wangeacha hayo maswali, mtu asingekuja na haya maswali unless uwe desperate sana
na ndoa.
MTU WA MUNGU   |2012-01-27 03:18:42
KWAKO BABY YA MANGE SIJAONA KIBAYA AMBACHO HUYU BINTI AMEKIANDIKA KUHUSU ELIMU
AMEFANYA VEMA ILI WACHANGIAJE WAJUE TATIZO LIKO WAPI ? SAA INGINE ELIMU INAWEZA
IKAMFANYA MTU ASHINDWE KUOLEWA KWA SABABU WATU WANAMUOGOPA,SASA WEWE BILA HATA
HURUMA NA JINSI ULIVYOMSWAHILI UNAANZA KUMPONDA HUYO BINTI NA INAWEZEKANA WEWE
NI VILE VISICHANA VISIVYOPENDA KUSIKILIZA KWA MAKINI KABLA YA MTU KUMALIZA
KUONGEA DADA NGOJA NIKWAMBIE KITU USIPENDE KUONGEA ONGEA SANA BILA KUSIKILIZA
EBU ANGALIA AKO KA DESCENT LADY KAMEANDIKA NINI KIBAYA WEWE NI MJINGA HATA
BIBLIA INASEMA MWANAMKE MPUMBAVU HUBOMOA NYUMBA YAKE MWENYEWE YAA NI USIWE
UNAKURUPUKA BILA KUFIKIRI UMENIUDHI SANA NJOO ZANZIBAR NIKUPE KITCHEN PARTY
UNAONEKANA HUMA ADABU NA UJAFUNDWA SIO LAZIMA KILA UNACHOKIONA UCHANGIE VINGINE
SIO LAZIMA HUNA ADABU KABISA.SIO LAZIMA UCHANGIE NDIO NYIE WAVUNJA MOYO NA
INAWEZEKANA UNA KAELEMENT KAUCHAWI NA MAPEPO ,NJOO UFANYIWE MAOMBI HUKU
ZANZIBAR.
baby ya Mange   |2012-01-27 11:02:16
huwezi kuona kwasababu na wewe ni mpumbavu vilevile maneno mengi mwenye mapepo
sijui element za uchawi ni mama yako aliyekuzaa,baba yako aliyekulea,ndugu zako
babu yako na bibi yako yani ukooo wenu woteee mpeleke kwenye maombi mama yako
mimi ni mswahili 100 ya 100 tena kutoka morogoro sina hata chembe ya uzungu
nakushangaaa,,,, ongea point usiongee pumba za kujirudia rudia nyoooo.
Anonymous   |2012-01-27 11:28:39
UNAONGEA PUMBA TU NA WEWE SASA MAMBO YA BIBLIA OOH SIJUI MWANAMKE HUJENGA NYUMBA
YANA HUSIANA NINI NA MAMBO UNAYOMWAMBIA BABY YA MANGE,AU UNATAKA TU UONEKANE
UNAJUA BIBLIA NA WEWE HUNA JIPYA JUST SHUUUT UP.KANYEEEEE HUKO
Anonymous   |2012-01-29 08:24:36
MPUMBAVU WEWE HUNA HATA ELIMU UNGEKUWA NA ELIMU USINGEONGEA MAMBO YA MAMA YANGU
BABA YANGU AU NDUGU ZANGU WE CHIZI KABISA MSWAHILI
HUYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO ELIMU YENYEWE ZERO HATA ILO LA NNE
HUJAFIKA ACHA WENYE ELIMU ZETU TUJISHEBEDUE NA TURINGE MAMAMA AHAHAHA HIZO
DIPLOMA MBILI NA DEGREE AMESOMA SANA TENA SANA NA INAONEKANA SIO MSWAHILI, SAFI
SANA MSOMI CHUKUA YALE YA MAANA AMBAYO WADAU WAMEKUSHAURI HAO VISONGOMBINGO
WENGINE ACHANA NAO SHULE NDOGO HAO,ELIMU YA SHULE HAWANA WALA ELIMU YA DARASANI
HAWANA HATA YA DUNIA WAMEKOSA,DOGO WE ENDELEA KUSOMA MBONA WENGINE TUNA MASTER
NA TUMEANZA PHD NA TUMEOLEWA ELIMU SIO TATIZO TATIZO JE NI MUME WA NAMNA GANI
UNAYEMTAKA USICHAGUE SANA MSHIRIKISHE MUNGU PIA.SIKU NJEMA
Anonymous   |2012-01-29 08:26:27
UNGEKUWA SIO MSWAHILI USINGEONGEA MAMBO YA KANYEEEEE WEWE UNAONEKANA NI YULE
MVUTA BANGI WA KIKE ACHA BANGI MAMA WEWE NI MWANAMKE HIZO STORI ZA KANYEEE NI ZA
WAVUTA BANGI HAYA MAMAMAM WA MANZESE UNATISHA MAMA,MI SIKUWEZI WEWE WE MSWAHILI
NTAKUWEZA WAPI?
Anonymous   |2012-01-30 13:19:23
UR very right! angesema tu umri gani wa kuolewa mwanamke lakini sio kuanza sema
ooo sijui nasaidia wazazi...ohhh sijui nina Masterz...Mbona hajasema KUMA yake
ni Size gani..Ana Mavuzi malaini au kipilipili....Je ana maziwa Flati au
yamesimama!!maana hizo ndo zinaendana na swali lake na sio mambo ya elemu au
kusaidia wazazi! mimi nahisi ndio maana hapati bwana..Atakuwa anajishauwa
sana..sasa wanaume wakisha piga hicho kipochi manyoya ndo hawarudi tena sababu
ya majigambo ya hizo degree! JIPANGE MAMA.
Anonymous   |2012-01-26 15:20:31
yaani uko na 28 unalalamika? je siye wa 38 tusemeje? uzuri siko bongo, so hizo
pressure za ndugu sizipati. kuolewa ni bahati najua ya kwangu iko njiani, kwa
hiyo na yako yaja...kwi kwi kwi!
msema kweli   |2012-01-26 15:34:43
Hakuna umri sahihi wa mwanamke kuolewa wala kuzaa. Siku hizi maisha yamebadilika
sana sio kama zamani. Chukua uamuzi ulio sahihi na utakaokupa furaha maishani.
Usikimbilie kuolewa na mwanamme ambaye hautafurahia ndoa ila kuridhisha wazazi
na watu wanaokuzunguka. Utajuta mdogo wangu. Kama umeandikiwa ndoa utaipata
kwani hujui Mungu anakuepushia nini ndio maana hujaolewa hadi sasa. You are
still young. Andaa maisha yako kwanza familia baadae.
pamelii   |2012-01-26 15:39:30
pole sana mdogo wangu,unajua suala la kuolewa limebebwa saana na mitazamo
tofauti ya jamii inayotuzunguka yaani ni social constraction ndio inatusumbua
sisi waafrika lakini uhalisia ni tofauti kabisa. Mimi nakushauri fuata hisia za
moyo wako na usipindishe malengo yako uliyojiwekea kwa sababu ya kuifurahisha
jamii,utatufurahisha wangapi??? hebu fikiria vzr,relax enjoy your life,atakuja
mchumba utafurahi.
Anonymous   |2012-01-26 15:41:32
Don't let others spell life for you, kama plan to have kids once let it be, the
trouble ya kuwa single mother is not a joke

Wenzio tuko mid thirties not
married no kids and life goes on
Anonymous   |2012-01-26 15:50:08
kama umekua ukiwa na tabia ya kuchagua wanaume utsjuta kama wengi as wakifika
miaka ya juu wanalia as hawatongozwi tena kama zamani

je umeshakuwa na boyfi?
au hata sasa hawakutafuti? u unaringa na masomo yako unataka vijana waliosoma
kama wewe? au tajiri?

ungejieleza zaidi twajua umesoma ila mwanamke ukipendwa
hata kama hujasoma utaolewa tu.
MTU WA MUNGU   |2012-01-27 03:28:07
HUO NI UJINGA HUYU MTU AMEJIELEZA NA ANATAKA KUSAIDIWA WASWAHILI MKOJO HAPO
ELIMU INAHUSIANA NA NINI?
DOGO   |2012-01-26 15:54:28
MBONA UNAJIHAMI SHOGA KM USITUKANWE????HII BLOG
BWANAAAAAAA SI WOTE WANAOINGIA HUMU WAZIMA ILA
MWISHO WA SIKU JIBU LA SWALI LAKO LAZIMA ULIPATE HATA KM UTAPONDWA SO JIANDAE
KWA LOLOTE KWANI EMAIL YAKO SI IMEFICHWA?????? WE KULA GANZI
TU SUBIRI MAJIBU HALOOOOO U-TURN BWANA
MTU WA MUNGU   |2012-01-27 03:28:43
safi hii ni nzuri
Anonymous   |2012-01-26 15:55:33
what happened o Eucation is sexy wajameniiiiiiii
mbavu zangu mie. Degree Moja na diploma mbili usexy wote huo ujapata
mtu wa kuzaa nae Au kukuoa SMH
Anonymous   |2012-01-27 11:18:53
hahahha hata kama unamasters kama hunabahati hunaaaa haloooo
Anonymous   |2012-01-26 16:02:35
Ndg maisha ni yako si ya ndugu wala marafiki zako...usikubali watu wakakupa
pressure mwisho wa siku ukajikuta unafanya maamuzi ambayo utakuja kuyajutia..na
yakikuharibikia hutaona hata mmoja kuja kukusaidia sanasana wataishia kukuambia
ndio maisha yalivyo.
Afterall yo 28 n sayin umri umeenda...mmh dear yo still
very young...fanya mambo yako taratibu na kwa nafasi...i got married when I was
27 it was 2010 na wala sijaregret coz naamini I found the right partner na
lolote litakalokuwa wala sitolaumu mtu coz hakuna aliyenipressurize. Take yo tym
mamie....bado uko una muda wa kutosha kama umeandikiwa kuolewa utaolewa tu hata
kama utakuwa na miaka 40....All the best. TUNTU
Anonymous   |2012-01-26 17:49:16
Aaah TUNTU...mbona leo hujasema "ni mimi Tuntu"...huwa inanifurahishaga
sana hiyo...lol

Pia, umeongea la maana sana,nimekupenda zaidi
KUOLEWA   |2012-01-26 16:03:35


  KWELI
KUSOMA SN SIO MWISHO WA UJINGA. ALOKWAMBIA KUOLEWA KUNA UMRI NANI AU
UMESIKIA WAPI LABDA??? UMRI UKIENDA UTAULIZWA KILA KITU,MASWALI COMMON
UTAOA LINI,?UTAZAA LINI,?UNA JENGA LINI,?UNA KIWANJA,?

KUKUUMIZA ZAIDI WANAMALIZIA WENZIO WOOOOOOOTE WENYE UMRI WAKO SASA
HIVI WAMEOLEWA,WANA WATOTO,WAMEJENGA SIJUI UNA MPANGO GANI YANI WATOTO WA
SIKU IZI BWANA UNATAKA NIFE NDO UZAE???UOLEWE???
  INAUMA SN
ILA JIBU NI MOJA TUUUUUU
UUU

TIME WILL TELL
Anonymous   |2012-01-26 16:05:13
Mange,

I know you mean well ila mwaya usije ukafungwa kwa kuchangisha watu
kiholela? I mean what formal organisation/institution is the reciepient of this
money. issues of accountability and use to the target group zaweza kukutia
utatani.

Weka mahesabu sawa.

Chujmvi imeliwa sana nami ndio maana nakushauri
kila saa!
PUMBAVU   |2012-01-26 16:05:34



YOYOTE ATAEKUULIZA HASA KM MWANAMKE
MWAMBIE NIGEE MUMEO NIZAE NAE
Anonymous   |2012-01-26 18:33:56
Na awambie Education is sexy
AKUU   |2012-01-26 16:13:24
miaka 28 unapata presha ya maswali km hayo????? nikwazababu marafiki zako wengi
wameolewa na kuzaa au ndugu na yani familia kwa ujumla unataka uifuraishe???
binafsi mpk sasa sijaolewa na nina miaka 34. DIZAINI TAYARI UNA PRESHA SASA
JIHAZARI UTALIKWAA JIBWANA HILO LENYE SURA MBILI UKISHANINGIA NDANI SASA
Anonymous   |2012-01-26 18:01:18
am going to be 37 this year, hayo maswali nayapata sana but not from my family
members ila from watu baki especially wa kazini, honestly, yananiboa sana
lakini hayawezi nifanya nikakimbilia kuolewa au kuzaa just bcoz
wananiuliza...........
unajua its all in ur mind pia, kama limekukaa sana
kichwani litakusumbua na utakuwa desperate, ila kama unaendelea na maisha yako
kama kawaida, then utaona kawaida tu, after all, sio lazima kuolewa.....dont u
have family members meaning dada au kama na wana watoto? hao watoto wao mbona
wanakutosha sana tu? unless u aint close to ur sisters/brothers then u will see
the gap/difference ya kutokuolewa au ya kuwa na watoto
Anonymous   |2012-01-26 18:05:45
halafu mimi nasemaga kama mtu kweli anakujali hatakuuliza uliza maswali kama
hayo maana anajua fika kuwa yatakuumiza...hao ndo wanawafanya wenzao wawe
desperate, shenz zao kabisa, i hate it. mimi nimeolewa na nina mtoto ila siwezi
kumuuliza mwenzangu "wewe lini?"...inanihusu nini kwani?
Anonymous   |2012-01-26 16:49:47
Utaolewa ukiwa na miaka 37 na utazaa mtoto wako wa kwanza ukiwa na miaka 38 wa
pili ukiwa na miaka 40. Na mumeo atakuwa na miaka 42 wakati anakuoa lakini
mtajuana kupitia humu humu Uturn, keep on kuchunguriaring humu utampata mume
kwani 2 years from now Mange ataanzisha dating section kutokana na uhitaji wa
wana uturn watakaokuwa wanakutana kwenye chat room.

Mwisho wa kutabiri. Kwa
maelezo zaidi endelea kuvisit Uturn.
Anonymous   |2012-01-26 17:13:21
Binti/mdada ondoa hofu na mashaka juu ya maisha yako ya kupata mwenza.

Elimu
uliyopata ikusaidie namna ya kuishi kwa furaha na amani.
Usidanganyike kuwa
ukiolewa utakuwa umejibu maswali ya watu wako wanaokuzubguka na kuuliza maswali
sasa.maisha ni yako wewe.Utaolewa lakini utakuta kila siku unaishia kwenye
mashitaka ya kuumizana na mumeo.

Miaka 28 si ya kujikatyia tamaa kabisa kuwa
umechelewa.Mungu amekupa uzima na afya na elimu umepata hayo ndio mambo muhimu
zaidi.

Kama umejaaliwa hayo basi la mume linakuja usikurupuke kudaka mwanaume
utaumia sana. kazana na maisha na Mume wa uhakika atakuja, na wala sikushauri
kabisa kujichukulia mimba ili uzae mtoto, na ujue ukifanya hivyo utakuwa
umejifungia mlango wa kuolewa.

Narudia tena kukuambia kuwa usirubuniwe na
maswali ya watu juu ya maisha yako ambayo una maamuzi binafsi ukachukua jukumu
la kuzaa mtoto bila ndoa.Mungu yupo nawe, muombe sana anakuandalia mtu
wako,endelea kuv...
Anonymous   |2012-01-26 17:17:59
Mimi ni mwanaume,

Tafadhali wewe dada unayeomba ushauri weka contacts zako hapa
nikuandikie ili tuwasiliane kwani na mimi nataka mwanamke wa kuoa kama kweli uko
serious na suala lako,mimi niko tayari kuanza kufahamiana na wewe inawezekana
Tukaivana na tukaoana mapema kabisa.

Nasubiri contacts zako na nitafurahi
kuanza mawasiliano nawe kwa kufahamiana zaidi.Mungu akuwezeshe kupata utatuzi wa
suala lako, kama siyo mimi lakini yeyote utakayebahatika naye.
Manka   |2012-01-26 17:33:27
ahsante baby ya mange,marufu mungu na anony after baby ya mange.............kwa
kweli wewe dada nina marafiki wawili mmoja ni 37 na mwingine ni 35 hawajaolewa
sasa wewe wa 28 utasema nini, mimmi mwenyewe nnimeolewa hivi karibuni and am 3,
rafiki yangu mwingine aliolewa na 37,,,,,,,,,,nachotaka kusem akuolewa ni bahati
na sio kila mwanamke ataolewa, usiwe desperate go on with your life omba Mungu
na siku moja atatokea mtu ambaye Mungu amekuandalia. usumize kichwa wewe
jichanganye and have an open mind. cheeeeeeeeeeeeeers
Anonymous   |2012-01-26 17:34:14
usijali usiishi kwa pressure za watu mama,ishi maisha yako na amin kwamba
kilicho chako kitakuwa tu hata ukiwa na 40..nashukuru sipo bongo kuishi kwa
pressure ya kuolewa siipati,maana ukirudi kitaa mashosti wote wameolewa,home
wakutolea mimacho mbona huolewi weeeeeeeeeeeee lazima utumbukiekuwa kwa mange
kuomba ushauri so polee mama
Manka   |2012-01-26 17:34:55
halafu ndoa sio za kukimbilia, enjoy your life as you are single................
Anonymous   |2012-01-26 18:37:37
Akha babu ndoa ni ya kukimbilia haswa zinaa mbaya! Wanaojitia sio ya kukimbilia
ni kwajili bado wanasaka mume. Nani asietaka kuolewa dunia hii iliokuwa na uhaba
wa wanaume?
Anonymous   |2012-01-26 17:47:42
My dear dont allow your desperation to determine your fate.Ujiitumbukize tu kwa
mtu ila mradi nawe umeolewa .Hata siku moja, sie sawa tuliolewa chini ya miaka
25 good for biological clock na kuzaa chini ya 35 yrs is considared ideal, but
Mungu ndie mpangaji regardless of the medical issues na uzazi. lakini japo
sijuti natamani ningepata mda hata wakujifahamu mie nani ,nataka nini msimamo
wangu ni upi , just to find my voice and place in life and complete myself then
akija mtu awe tu anacomplement na ikiwa shida ebo usijekufa ndani ati bure nawe
umeolewa .Yashapitwa nawakati,
haya ngojea nikampikie mme wangu utumwa huuuuu!
Lol
girl you are not missing anything !!!!!!!

usimweleze mme
wangu!!!!!!!!!!!!!!!!! Lol
Anonymous   |2012-01-26 17:49:33
My dear dont allow your desperation to determine your fate.Ujiitumbukize tu kwa
mtu ila mradi nawe umeolewa .Hata siku moja, sie sawa tuliolewa chini ya miaka
25 good for biological clock na kuzaa chini ya 35 yrs is considared ideal, but
Mungu ndie mpangaji regardless of the medical issues na uzazi. lakini japo
sijuti natamani ningepata mda hata wakujifahamu mie nani ,nataka nini msimamo
wangu ni upi , just to find my voice and place in life and complete myself then
akija mtu awe tu anacomplement na ikiwa shida ebo usijekufa ndani ati bure nawe
umeolewa .Yashapitwa nawakati,
haya ngojea nikampikie mme wangu utumwa huuuuu!
Lol
girl you are not missing anything !!!!!!!

usimweleze mme
wangu!!!!!!!!!!!!!!!!! Lol
Anonymous   |2012-01-26 20:01:11
Thumbs up if ur a fellow 84er and still single! Lols
Mama kuolewa si fashion, na
hakung'ang'anizwi, if it happens it happens! Unajitafutia depression my sistoo!
Take it easy, concentrate on making ur life as good and stable as it can be ndo
when a brother comes along anaona hapa kweli nimepata jiko!
Napita tu...
Anonymous   |2012-01-26 20:10:58
Ur only as old as u feel! Nipeni tano basi wadau ; )
Anonymous   |2012-01-26 22:22:40
I THINK YOU SHOULD WAIT UNTIL YOU HAVE SOMEONE WHO YOU TRULY LOVE AND LOVES YOU
BACK....DO NOT GET MARRIED JUST BECAUSE YOUR FAMILY MEMBERS THINKS YOUR OLD
...REMEMBER YOU WILL BE THE ONE LIVING WITH THE MEN NOT THEM...
Anonymous   |2012-01-27 02:08:34
WEWE MBONA BADO SANA.hata 30 hujafika unaanza kuwaza. cha muhimu muombe
Mungu akupe mume bora na sio kupaparikia kisa uolewemuda
unakwenda...mbona utaikimbia ndoa
Mimi   |2012-01-27 02:36:54
YN mimi kwakweli hayo maswali yanaumiza sana!mwengine atakwambia unasubiri shoka
ndio uzae?kama wewe umejaaliwa shukuru Mungu ila kumbuka hayo maswali
yanawaumiza wenzenu coz kila mtu anapend kuwa na familia
KwaTariq.com   |2012-01-27 03:32:58
wala ucjar mamii me nimeolewa nikiwa na 34yrs na oficn kwetu nilikuwa narushwa
vijembe na wanawake wenzangu kisa wao wameolewa me bado hadi pete za ndoa
nilikuwa naringishiwa lkn me nikabakia na msimamo wangu mpaka mwaka jana ndo
nikafunga ndoa.chakushangaza wale waiokimbilia kuolewa na waliokuwa wananirusha
vijembe ndoa zao zishavunjika.so mamii ww vumilia muda wako ukifika utaolewa
hata ukiwa na 40yrs
Anonymous   |2012-01-27 03:44:34
AM 34 this year na sijaolewa, personally sina pressure nina kazi yangu nzuri na
maisha yangu mazuri, Ila sasa vizabizabina haweshi kuniuliza lini naolewa, tena
basi wengine hasbiyah llah wananiambia japo zaa tu, au olewa na mtu yeyote
ujipatie mtoto-mweh ukishindana na tembo utakatika msamba (something like that)
.Rafiki zangu wengi wameshaolewa wameshaachwa wengine wako chuo cha tatu (huh)
am al saying is I still believe in LOVE, I want to fall inlove, and I want to
experience it all……(kutongozwa natongozwa ila hamna chemistry) nataka mtu
tunaweza kuwa na connection (you get me)

Sasa, msinishushue wana
u-turn….maana nyie…hamchelewi!
Marichui   |2012-01-27 05:16:22
Mi nakupa Big Up yaani umeandika kama Unachukua kwangu am 34 &
same situation like you
Anonymous   |2012-01-27 04:20:55
NAOMBA USHAURI KWA WADAU.

Nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa blog yako
hii, nataraji nitapata msaada au ushauri.

Mie ni mwanamke, tatizo langu
napenda sanaaa kupita kiasi kutafuna mchele, yaani nimeathirika, ninakuwa na
hamu nao kweli, nikipiga mswaki, nikila chakula nikishiba, kabla ya kulala
lazima nitafune mchele yaani nina shikwa na kiu hasa. Naomba wanablog
wanisaidie ili niepukane na hali hii nimejitahidi niache lakini nimeshindwa hata
sijui madhara yake nini manake yatakuwa makubwa sana kwangu, kwani hata
nikitoka nyumbani naweka kwenye mkoba wangu hata safarini ninao. Cha
kusikitisha watu ninaofanya nao kazi na hata nyumbani ninapoishi wamejiunga na
tabia yangu hii ya kutafuna mchele.
Anonymous   |2012-01-27 08:28:09
Tatizo la kutafuna mchele sio wewe peke yako dear. mie nilikuwa natafuna mchele
mpaka mume wangu akawa akikuta nimeuroweka sehemu anaumwaga. hiyo inatokana na
kukosa madini fulani mwilini hasa ya chuma (iron). sasa wewe kula vyakula vyenye
madini ya chuma kwa wingi. mulize daktari fulani atakwambia ni vyakula gani.
tatizo la kutafuna mchele ni:
1. kuharibu meno..yani meno yanakatikakatika
ukifika utuuzimani waweza jikuta huna jino ata moja.
2.mchele unaleta minyoo
hata uuoshe vipi
3. kila unapokula unazidi kuondoa madini ya chuma yaliyopo
mwilini na kujikuta unakuwa mchovu mara kwa mara..mie niliacha miezi michache tu
ilopita, bado natamani lakini napoteza mawazo..All the best.
Anonymous   |2012-01-27 04:36:16
usikate tamaa mpendwa wangu, me nilikuwa kwenye situation kama yako, lakini
nilipofikia miaka 29 nikapata mchumba tena si bora mchumba nimepata the man of
my dream, tukadate mwaka mmoja nilipofikisha miaka 30 tukafunga ndoa. Ila
naelewa sana jinsi kipindi hicho cha mpito hasa ukishafikisha umri huo pressure
unayopata kwa jamii jamani usipokuwa na moyo unaweza kujikuta umeparamia yoyote
au umefanya maamuzi ambayo hukuyapanga na mwisho ni kujutia, yahitaji uvumilivu
sana, wako yuko njiani tena karibu kuliko unavyozani
Anonymous   |2012-01-27 05:10:16
mim nina ndugu yangu anamiaka miaka 37 anakazi nzuri hajaolewa na hana mtoto,
zaman alikuwa anataniaga nimebaki sijaolewa mate zang wote wameolewa majiran
wote wameolewa au wanawatoto, wazazi wakiaskia hivyo hata ile kumuuliza utaolewa
lin hawaulizi tena maana anaongea kiutani
Anonymous   |2012-01-27 05:16:34
mim nimzuri sio najisifia nilipata usumbufu sn kwenye teen ages, nikaona bora
nizae kuondoa usumbufu, huwezi amin mpk nikiwa namimba ya 9month nilikuwa
natongozwa sijui vile mimba yanguu ilikuwa haionekani... nikazaa niliwa na 20yrs
nikaendelea na degree yangu, sikuwa naharaka yakuolewa thu nimetongozwa na
wanaume zaidi ya 39 nawote walikuwa wanataka kunioa ila sikuona muoaji, nilisali
mungu akanipa mume nimpendae, anaempenda mwanangu nimeolewa na miaka28 mwaka
jana, hivyo usiwenaharaka sababu yakufurahisha wazazi.
Anonymous   |2012-01-27 06:26:56
Hey mdogo wangu mimi dada yako (japokuwa hatufahaniani) nina miaka 40
na bado sijaolewa wala sina mtoto na wala sijawa'desparate', hivyo muamini Mungu
ndiye mpangaji wa kila jambo maana nikiwa 'University' wakati huo nikiwa na
miaka 23 nilipanga kuzaa watoto 2 kabla ya miaka 30 lakini yaliyotokea ktk
relationship nilizokuwa nazo u can't believe maana nikiwa na miaka 28 nilikuwa
na bf ambaye nilijua ndie atakuwa my husband 2 be unajua alinifanya nn?
alitembea na rafiki yangu ambaye tayari alikuwa na mchumba wake ilibidi niachane
naye na rafiki sikugombana nae kwa aibu zake alikata mguu wake kwetu baadaye
niliambiwa waliachana na bwana alishakufa na HIV (200. Hivyo kuanzia wakati
huo sijipi pressure nasubiri majaaliwa. Nakutakia kila la kheri, Mwenyeezi Mungu
atakupa wako, inshaallah.
MATEM   |2012-01-27 06:27:46
MTOTO KAPENDELEWA HUYU,HAJASHUSHULIWA,hAYA UMEELEWA MTOTO MZURI EEEH,HAYA
PUNGUZA PRESSURE,...heeehheee baby ya mange kachambwajeee,pole shost,wapi judith
nakumisijeee. :g ossip:
Anonymous   |2012-01-27 06:28:20
ni kweli mdada watu wa pembeni wasikufanye ufanye mamamuzi usiyoyapenda , kuna
watu wanapenda kuwa single mama ivyo, wao haina shida kuzaa lkn kama wewe
unaamini kwenye familia ya wawli usichoke kusubiri aliye wako tena yule unaona
mtawezana , hawa waosha vinywa achana nao , maana hawatakuwepo saa umefanya
mistake ,enjoy your single life with your girlfriends , parting , talking
,instead of siting lonelywondering when will you get married , enjoy mydear your
too young to worry
Anonymous   |2012-01-27 08:35:38
mmmm unamdanganya mwenzio miaka 28 too young to worry? but ina depend yuko kona
gani ya dunia kama ulaya bado bado kidooogo ila kwa bongo hiyo ni tia tia maji
Anonymous   |2012-01-27 07:16:48
sijui hata kwa nini watu huwa wanauliza wanawake unaolewa lini as if wewe tu
unaweza kuamua. Mara nyingi hata kama uko kwenye relationship huwezi tu
kutangaza tu unaolewa hadi mwanaume atakapotaka yeye. The only thing a woman can
do is wait mpaka pale utakapoombwa so its not up to a woman. Secondly
kinakoniudhi hao hao wazazi utakuta walikukataza kuwa na bf wakasema soma pata
kazi sawa usome upate kazi sikatai lakini wasitegemee kwamba magically itatokea
kama ungeanaza kudate mapema tangu hiyo 18 years obviously mpaka sasa labda
ungekuwa umeolewa. sasa umri wanaotaka wao uolewe ufike eti utaolewa it doesnt
work that way these things are complicated. Tena most of the time they are
selfish wanataka tu waonekane nao mtoto wao kaolewa nao wana wajukuu kwa vile
marafiki zao tayari.au wanataka tu kucheza harusi
Anonymous   |2012-01-27 07:47:39
kila mtu mungu amewekewa muda wake wa kuolewa na mwenza wake. cha msingi ni
kufunga kwa maombi na kumtolea mungu sadaka atakujib fasta tu.nachoamini mume
mwema hatafutwi anakuja mwenyewe mpk unashangaa.
Anonymous   |2012-01-27 08:11:49
Mwayego tulizana..maisha ni Mungu anapanga...binadamu chockochoko haziishi
maswali hayaishi as if wao wako perfect..UOLEWE USIOLEWE MASWALI YAPO TU LEARN
TO LIVE PLEASING URSELF...as its imposible kufurahisha watu.




napita
tu...............
Anonymous   |2012-01-27 08:47:46
HEE WE VIP?
MIMI NIMEOLEWA NIKIWA NA UMRI WA AKA 39!
migume gume   |2012-01-27 09:10:02
hahaha inaelekea wanawake wengi humu hamjaolewa na mnazeeka sasa
dada ukiolewa mzee utakosa mengi, fanya uolewe wote ambao hamjaolewa ni
MIGUBELII YA MJINI HAIWEZI FUGIKA IKATULIA, HESHIMA YA MWANAMKE KUOLEWA BIBI

VIA: MTANICHAMBJE ILA MASSAGE SENT AND DELIVERED
Anonymous   |2012-01-27 12:45:46
sema wewe ndizi mie muhogo ni mzizi....na hii isoolewa wakati umri umepita ndio
ile mimbea. kutwa kupita katika majumba ya watu kuzua ya kuzua. kupigiana simu
kuongelea ndoa za wenzao wakati wao wanakimbiza wanaume na wanaume wanazidi
kuwakimbia tena mbio ndefu sana. mikunguru isofugika..mdau hakuchambi mtu yoyote
hapa. Hapa unafagiliwa tu..umetoa point yenye PHD..akikuchamba mtu nibipu
nitapitsha
Anonymous   |2012-01-27 12:52:44
HEHHEHEHEEE HIYO MIGUBELII YA MJINI ISOFUGIKA IKATULIA..MACHO JUU JUU KA
PANZI..BILA KUBADILISHA TABIA HATA HAYO MANDUMBA YENU HAYAPANDI NG'OOO.
Anonymous   |2012-01-27 10:43:12
Eti nina miaka 34 na sina mtoto; eti unategemea watoto wa ndugu zako.
Sikunyanyapai mdau uloandika hivyo ila nina ku alert kuwa mtoto
si nguo kuwa utaomba mtu. Ngoja uwe kibibi uone hao watoto wa nduguzo
kama watakupeleka chooni ukiugua
Anonymous   |2012-01-27 11:50:39
ACHA KUTISHA WATU WANGAPI WANAZAA WATOTO HATA KUMI NA HAPATI MSAADA HATA
KWA MMOJA, WANGAPI WANAZAA WATOTO WAVUTA BANGI WATUPU, WANGAPI WANAZAA
WATOTO NA WANAKUJA KUWAUWA , WANGAPI WANAZAA WATOTO NA WANAKUJA KUFA
WOOOTE KABLA HATA HUJAZEEKA ??

WANGAPI WANATUNZWA NA KUTHAMINIWA NA
WATOTO WASIOWAZAA?? HIYO NI MIPANGO YA MUNGU SI UJANJA KUOLEWA NA SI
BAHATI MBAYA KUTOOLEWA NA KUZAA
Anonymous   |2012-01-27 11:24:42
dear hata usijipe mzigo wa mawazo, me mwenyewe nina 26 juzi kati tu nimeachana
na mchumba wangu alikuwa first bf wangu, alinicheat so me nasubiri
tutakaependana kiukweli ndo tuowane sio kukurupuka kuolewa tu,, naendelea na
masomo yangu wac wac sina
Genius   |2012-01-27 12:29:22
Wadau labda niwaambie kitu kimoja ni kwamba, sisi wanaume naweza kusema
kwamba tunapenda sana na saa zingine huwa tunakuwa na nia ya kuwa na mke,
I mean unaweza kuwa umekaa na mtu kwa na mmefahamiana kwa mda kidogo
na ikafikia kwamba mmeplan baada ya mda fulani tuoane lakini
tatizo nyinyi wanawake mnakuwaga na problem mkishagundua mnapendwa
sana na familia inamjuwa mwanaume mnabadilika, attitude zinaanza kuwa za
ajabu ajabu, mimi nasema ukweli sifichi kabisa, nilimpenda mwanamke
mmoja na nilimpenda nilikuwa nina nia naye kuwa nae kwenye maisha
yangu,ila kajiona mzuri na anafatwa na wanaume wengine then dharau
nyingi sana heshima hamna, nimepata mwingine kabisa mzuri kumzidi nampenda
ananipenda na ananijali na kunisikiliza anaonyesha upendo wa dhati na
uzuri wake ameweka pembeni kabisa, tunapenda sana wawanawake wanaoonyesha
wanajali ma...
Anonymous   |2012-01-27 12:31:43
Aretha Franklin anapanga kuolewa na ana miaka 67...subiri ukifika 60 utapata
vibabu kibao tulivyochoka kuvichuna..
Anonymous   |2012-01-27 12:43:59
There is no guarantee kwamba ukazaa basi uzeeni we wewe utasadika wangapi
wanaishi wenywe watoto wameenda kutafuta maisha hata nauli ya kuja salimia shida
ndi hela ya matunzo. Wengine wafa waacha wazazi wewe as a person you are
responsible for your future life panga retirement yako save na invest ela yako
walau uweze kulipa mtu wa kukuangalia usitegemee kabisa eti watoto nikizaa basi
uzeeni guarantee
not these days unless unazaa ishirini na mnashi hapo hapo kama
kijiji cha ujamaa.
Anonymous   |2012-01-27 12:51:18
KWA HUYO ANEYETAFUNA MCHELE JARIBU FATILI A KUNA DISORDER AMBAYO UNAPATA KUTOKA
NA DEFECIENCY MWILINI ESP. IRON WENGINE WANATAMANI UDONGO AU CHAKI YA KUANDIKIA
UBAONI NA MANY OTHER THINGS. JARIBU KUONGEZA IRON IN YOUR DIET NA PIA VITAMIN C
ILI KUSAIDIA ABSORPTION OF IRON KWA LIKE A MONTH AND SEE. AU CHECK WITH UR DOC.
Anonymous   |2012-01-27 13:29:25
The most important thing I can say just be happy in your life and always believe
that when the right person comes, you are getting married.
Nimeona wengi
wakikurupuka na kuishia kujilaumu au miserable life kwa sababu tu ya umri au
presha za wazazi na jamii. Its your life, be happy, embrace it and let them know
you are working on it and pray.
Kama unataka mtoto kabla ya ndo na iwe ni uamuzi
wako na si presha za mume, boyefiend au jamii.
I am in the same age, a man, not
married but looking. Nimeanza kuone kuwa i will try get a kid before getting
married but with someone that i see ana potential ya kuwa my wife, not just any
girl.

So, to summarize, usiache mtu akupangie maisha, iwe mzazi jamii au
mpenzi, be wise about your decision hata kama ni ushauri au mipango na mpenzi
wako ili usije ukajilaumu baadae.
Live outside the box, and enjoy life, after
all, life is too short.
Anonymous   |2012-01-27 18:02:53
life is too short point nashangaa watu kujihami na maisha ya uzeeni ...ufike
uzeeni uringe ? Madaktari wanagoma, maji hakuna, ukimwi umezagaa uanze tu kufika
uzeeni

enjoy life mtoto
cheupe   |2012-01-28 07:09:43
We kaka wa 28 bado mdogo so unaweza endelea kutafuta the right person for u. Ila
unavyotaka kuwahi kuzaa, umefirkiria maisha ya huyo mtoto au baadae utakuja
kuoana na mzazi mwenzie? mama ni mlezi mzuri wa mtoto so kwa wewe mwanaume
usikimbilie kuzaa kama hutataka kuoana na mzazi mwenzio.

Dada wa mada,
kuolewa ni majaliwa kutoka kwa MUNGU. Ukipata mtu ambaye unaona utaweza ishi
naye katika maisha ya ndoa ndo ufanye uamuzi wa kuolewa else endelea kujenga
maisha yako kwanza na sikushauri kukimbilia kuzaa kabla ya ndoa as malezi pia
yanahitaji ushirikiano.
MUTOTO WA MJINI   |2012-01-28 05:50:31
Wala usijali mwaya kama ipo ipo tuuu!!
Anonymous   |2012-01-28 08:12:45
mi nashangaa sana
waswahili kuuliza utaolewa lini hivi hao wazazi wako wanafikiri kila mwanamKe
lazima aolewe ehhh huyo baba yako kama kang'ang'ana si akuoe yy wanakuvunja moyo
bure kuolewa s ishu mi niliolewa nikaona mwanaume mshenzi nikamuacha wa kla
sikusubiri aniache yeye maana kila siku maumivu mara arudi asubuhi mara alale
huko huko kazi hataki nifanye,kusoma hataki nisome nikaona hii nini nitazeeka
bure nashukuru alinipa madume mawili nakaa nayo na usingle wangu nafanya kazi na
kuishi nitakavyo
Anonymous   |2012-01-28 11:53:52
HIYO BABY YA MANGE UTUMBO MTUPU YAAANI IMEANGALIA TU COMMENT NIMEONA KUWA HUYO
MWANAMKE NI MJINGA KULIKO WANAWAKE WOTE DUNIANI YAANI WE BABY YA MANGE MPUUUZI
MNO PLS KUBALI WEWE NI MPUMBAVU SAAAANA?
Anonymous   |2012-01-29 00:12:35
Dada utapata tu mume na watoto,mimi mwenyewe,nitapata tu,Nyanzala mama wa
Nantes!
Anonymous   |2012-01-29 15:06:23
|2012-01-26 17:39:13 umenigusa sana sana na umenena kweli tupu,ubarikiwe bidada
Tatiana   |2012-01-30 07:53:19
Dear,
Usiwe na mashaka, 'mke au mume mwema hutoka kwa Mungu' nimeolewa na
miaka 33 na sasa nina baby m1na naenjoy maisha.
Just mwombe Mungu na
urelax
Mama D
Anonymous   |2012-02-01 05:40:59
tuliza dada.......... my cousin got married when she was 38. wait for the right
person
Gobore Rijali  - Mange naomba kitumbua!     |2012-02-01 10:17:40

Ninaomba nishushe suruali yangu nifungue zipu halafu nikuvue chupi yako
mange ukiwa uchi nikukandamize na BORO langu tamu!


Sema unataka US$ ngapi
kwa biashara hii?, najua unajiuza kimtindo, nipe akaunti namba yako na jina la
benki.

Says,


Gobore Rijali
Anonymous   |2012-02-05 07:33:16
mmh wanawake wa kibongo bado tuna kasumba fulani hivi, mtu akikuzidi kidogo
badala ya kujaribu kufind out amewezaje kufika hapo, wewe unamchukia, wakenya au
wanageria wanasupportiana vibaya, ila wabongo utachambuliwa wee, mmh jamani
maisha yanabadilika uswahili haujengi unabomoa tu, kwanini watu hamfocus kwenye
tatizo, instead busy kwenye elimu, thats shows, honey am 35 and not in any hurry
to get married, life is way too short kuishi na mwanaume only bcoz he wears
trousers, noooo, na siwezi kumleta mtoto dunia kama sitaweza kumwangalia, so GOD
help us to live in a reality, instead of who said what, who thinks what, its ur
life ay end of of the day,
Anonymous   |2012-02-07 00:08:54
hellow wana U-TURN mimi ni msichana mwenye umri wa 24 ninaboyfriend wangu
tulikutana tangu 2007 tunapendana sana na kwa sasa mimi natafuta kazi ila
mwenzangu anabiashara zake ila tatizo ni kwamba kila nikimwambia mwenzangu
unampango gani na mimi wa kimaisha ananiambia ananipenda sana lakini swala la
kuoa ni mpaka 2018 at the same time anataka tuishi pamoja bila kuoana na wala
hataki kuchukua hatua zozote zile kama kutambulishana kwa wazazi n.k namimi
nikiangalia kiukweli 2018 ni mbali sana natamani kuwa na familia as soon as
possible apart from kuwa na familia pia naogopa nikimsubiri muda wote huo then
aje kuniache even tho siombei hayo yatokee lakini maisha yanabadilika najiuliza
itakuwaje? Swali langu ni kwamba je ni muache au nimsubirie mapaka wakati huo
kwani ninampenda sana...Please nisaidie nifanyaje maana niko njia panda.
Thankx all.
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook