Who's Online
We have 389 guests and 1 member online
  • Fleetaves
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday6704
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week6706
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month53778
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933345
Login



KERO: DISORGANISED MEN........
Written by Mange   
Thursday, 05 November 2009 23:58



jamani, sijui kama ni mimi tu, but nimenotice something about men that really pisses me off. yaani wanaume ambao ni disorganised especially kama he's your husband ama just a boyfriend unakaa nae pamoja.

utakuta you try your best to clean and organise the room, lakini he can never see that hata siku moja basi na yeye try to keep the room inorder, instead he can never return the things the way he found, anatupa tupa tu vitu anavojua yeye.

the worst part akiamka asubuhi, maybe you have gone to work umemwacha yeye asleep, he doest even try kidogo to arrange the bed, anaacha hivo hivo plus vitu vingine alivotumia like towel, lotion whatever not in their usual place. for those who have men who are organise kwakweli am so happy for you. Am not saying this because of laziness, HELL NO!!! men also should be organised not just thinking WOMEN should do it.

plz men show some sense of organization

Fatima – Australia

Comments
Add New Search
Anonymous   |2009-11-05 18:30:06
they cant even put the damn toilet seat down.
Anonymous   |2009-11-05 18:46:22
kazi kupiga kelele mwanamke hapiki hivi ukiweka raba zako uvunguni mwenyewe
utakufa?
Anonymous   |2009-11-05 20:22:01
janaume langu linakera mno,na nitaliacha kwasababu ya uchafu
fatima   |2009-11-06 03:30:23
OMG!What a coincidence!
I am Fatima and I am in Australa,Brisbane though.I
dunno whr abts in Australia this Fatima lives....When i read the artcle and saw
Fatima-Australia I was like 'What?'.Thats the 1st thing that came outta my
mouth.
Anyways,I am too
anon   |2009-11-06 11:28:56
Hey fatima of brisbane. I happen to be in brisbane too, been here for almost ten
years but haven't met that many tanzanian, we shud link up!
ustaadh  - NA     |2009-11-06 04:49:48
If you love your man you will look past that, if you notice things like that
then its time you find another man girl! I think your man (if you have one) will
not appreciate you blabbering on blogs about this.....but he will take you as
you are and underst
anon   |2009-11-07 10:22:47
damn you it has nothing to do with love..most men are disorganised..sasa wataka
wasiambiwe kurudishia towel waliotumia wenyewe sehemu inapotakiwa?ofcource vitu
kama hivi mtu utanotice na haviusiani na kumpenda mtu au la..wewe nadhani topic
hujaielewa..daa
mamu   |2009-11-06 05:23:13
OMG, gal u just remind me of my ex!
Anonymous   |2009-11-06 05:57:29
Poleni sana, hawa wanaume wachafu mnawatoa wapi? Uchafu sio gender, organisation
sio gender. Kila kilichoandikwa hapo juu mimi nimepata headache hizo hizo kwa
wanawake.
Viatu uvunguni - Tafuta kabati
Toilet seat - Kama kapandisha,
shusha and vice versa
Anonymous   |2009-11-06 09:41:56
wanaume wengine hata hawaflash mi wangu kila siku nakuta kinyesi mpaka niflash
yani lina tabia za kijinga. Nikisafiri hata mwezi nakuta mivyombo inaniangalia.
Anonymous   |2009-11-07 10:38:25
duh hio kali
THA don   |2009-11-06 17:41:00
mwanaume ana mambo mengi kichwani hata kama mwanamke nae anaingiza kipato
basi ujue dume linafikiria kukiongezea kwa njia yoyote ile.sasa muda gani
ntakumbuka kuweka lotion?wakati napaka lotion kichwa hakiko hapo kinawaza
maswala mengine.mkipewa hi
Anonymous  - re:   |2009-11-06 21:24:35
Anonymous wrote:
wanaume wengine hata hawaflash mi wangu kila siku nakuta kinyesi mpaka
niflash yani lina tabia za kijinga. Nikisafiri hata mwezi nakuta
mivyombo inaniangalia.


Haaa haaa...This is a good one!!!Pole mwali....You have made my day.
Anonymous   |2009-11-06 21:50:06
Fatima...many of us are sailing in the same boat as you....me sidhani kama ni
suala la uanaume ama uanauke...ile wengi wa tabia hizi unakuta ni
wanaume...haaa...me niliweka maswali wazi early in the courtship days.Kajua
wazi what comes with me...Kaa nae
fatima   |2009-11-11 15:27:17
hello once again Fatima.I gto ur email address from Mange and I sen you an email
so that we link up as u suggested earlier on.I am not sure if you got it coz u
haven't replied..but yeah,get back to me asap since I;l be leaving on 23rd of
Nov for overseas.
Glory   |2009-11-16 03:59:07
:angry: yaani hii topic imenigusa sana jamani,mimi mume wangu yaani exactly na
mnavyosema,akishaoga taulo utakuta kitandani,viatu vimetupwa tupwa,kavurugua
nguo kitandani,bafuni maji kamwaga mwaga,hatandiki kitanda yaani kero tui!!
i
used kumuandalia hat
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook