Who's Online
We have 285 guests online
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday7039
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week7041
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month54113
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933680
Login



MIDUME YAVALISHANA PETE YA UCHUMBA MBELE YA COUNCIL....MMMMMMMHHHH....
Written by Mange   
Thursday, 05 November 2009 02:10

">


Mmmmh….JANA Midume ilivalishana pete ya uchumba la kupiga busu mbele ya City Council huko Washington DC Marekani.

Midume hiyo ilikuwa imefika kuiomba Council lipitishe Ndoa za Jinsia Moja, Hapo hapo Jemba akasimama na Kumuomba mwanaume mwenzie wafunge Ndoa.

Ukweli ni kwamba, I have nothing against Gay people…but mpaka waweze kufunga Ndoa this is going way too far…

MWISHO WA DUNIA UMEFIKA

Comments
Add New Search
anony-USA   |2009-11-04 20:39:44
Ukikaa Marekani muda mrefu unazoea, sababu gays are just nice peoiple as
everybody na Mungu ndio kawaumba hivyo.

Hii ndio tofauti ya watu wanaokaa nje
(they dont see that as a problem) and nyie muishio nyumbani. Dunia ipo more than
3 billion years na sio
Anonymous     |2009-11-04 21:05:16
mdau wa US hata kama ungekuwa unaishi South pole swala la magay ni issue na kila
mtu anatofautiana kimawazo kuhusu hao watu,na strip club is just a normal thing
kila mtanzania anajua swinging club ndio balaa
victoria   |2009-11-04 23:11:25
There is nothing with being gay. I dont care kama ndivyo walivyoumbwa au kama
ni personal preference. I can honestly care less if someone is gay or straight.
I just think people should be allowed to live their lives whoever they
please...Only GOD can j
anony   |2009-11-04 22:53:55
hapana bwana mimi pia naishi marekani , siwachukii magay kabisaaa tena wengine
tunakutana kazini they are really nice people, lakini bado mimi ni mkristo na
sikubaliani na ndoa kati ya dume na dume ukiuliza eti ndo haki zao waliumbwa
hivyo. mbona miaka i
fatima   |2009-11-05 02:59:02
I don't find it surprising either....
My boss is gay and hez married.I have
been working with him for over a year now.He is just like any other human
being.What abt Elton John,si alifunga ndoa muda mrefu tu?I think society has to
accept these people.
Anonymous   |2009-11-05 04:49:43
Nakubaliana na nyote hapo juu! I personal have nothing against gays! Kila mtu
nachoice yake maishani. Wote tumeumbwa na Mola.. so yeye angekuwa hapendi magay
asingeweka agay duniani. Ni watu kama sisi na kweli wengi wao ni bora kuliko
heteresexual being
Anonymous   |2009-11-05 06:59:40
Hawajamuumiza mtu.. wala hawajamshika mtu hapo wakamlazimisha awe Gay, they're
two human beings who declared their love to one another... Tatizo ni? Haya mambo
yapo toka enzi zile bible na Quraan zinaandikwa sema siku hizi yapo nje
nje.
Careful while crit
Anonymous  - re:   |2009-11-05 10:20:38
[quote=anony-USA]Ukikaa Marekani muda mrefu unazoea, sababu gays are just nice
peoiple as everybody na Mungu ndio kawaumba hivyo.

Hii ndio tofauti ya watu
wanaokaa nje (they dont see that as a problem) and nyie muishio nyumbani. Dunia
ipo more than 3 bil
Anonymous   |2009-11-05 11:46:19
Hao Wanao jidai kwamba OO dini ooh hakuna dini inayo ruhusu..Blah Bla Bla hao
ndio utakuta wanafanya dhambi kubwa kuliko mtu mwingine yeyote! Hebu acheni,
enzi hizo zilikuwa enzi hizo dunia imebadilika na nyie lazma mu accept it....GET
WITH THE PROGRAM.
anonymous   |2009-11-05 12:47:42
Ukiongea na mtu gay utajua tu, sababu ndivyo walivyoumbwa na Mungu na
hawajifichi. Sijui vitabu vitukufu vinavyosemwa lakin hapa USA watu hawafati
sana Ukristo wala Uislamu, wao Mungu wao ni bills na kufanya kazi. Na hap kuna
amani na ufuataji wa sheria k
Anonymous   |2009-11-05 17:44:24
cmon so kama Mungu aliumba hao wanaoenda kinyume na maagizo ya dini then why
did he put the commandments?ppl stop it.Mbona machangu hamsemi wameumbwa
hivo?kutetea ujinga tu na akili kuwa corrupted na western culture.GAYS NOOOO
...hata mademu wanaopenda T
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook