|
MECKISHA WA LONDON...NDANI YA BONGO...... |
|
Written by Mange
|
|
Wednesday, 04 November 2009 21:13 |
|
 Meckisha na Mange…. Kabla mdau hujatuma comment ya kizushi kuhusu mavazi.nilikuwa naelekea Gym…lol
Jioni ya leo Meckisha wa London alikuja kunitembelea kidogo mitaa ya Upanga kwa Ndugu Zangu. Katika mazungumzo nikamweleza kuwa nimesikia amekuwa Bonge la Movie Star na kwamba amecheza muvi na Mr. Kanumba akesema ni kweli na kwamba movie yenyewe inatoka December ya Mwaka Huu. Kaniambia Hiyo Movie ni kali mno ime-actiwa mamtoni mjini London….
Kwa kweli nimempenda Meckisha, ni msichana mcheshi mnooooooo, and very beautiful I must add. Lets support her and BUY LEGAL COPIES of their Movie Lovely Gamble.
Please tuache kununua zile movie za barabarani ,zile ndio zinazowaangusha wasanii wetu.
Check out the trailer for Lovely Gamble
">
|