|
WEEKLY JUICE WITH ENINKA: TATIZO NDANI YA NDOA.... |
|
Written by Mange
|
|
Wednesday, 04 November 2009 13:30 |
|

Nimeshasikia sana kwamba kuna wanawake wengine baada ya kujifungua huwa hawataki tena kuwa karibu na waume zao kimwili ama kufanya tendo la ndoa. Na kuna Ndoa Nyingi ambazo huwa zinakufa kwasababu ya mabadiliko kama haya ndani ya ndoa na unakuta mwanaume anaamua kutoka nje ya ndoa ili kujikidhi kwa hili.
Je ni kitu gani kinapelekea mwanamke kubadilika na kufanya asitake tena kufanya hivi? Je ni Stress ya kuwa na mtoto? Ama ni stress anazopewa na mumuwe ama ni uzee ni kitu gani??
Na nimesikia hata wanawake wengine inabidi wafanye tendo la ndoa kwa kuwa anaogopa kumpoteza mume wake.Hili tatizo linatokana na nini?? Je huu ni ugonjwa na ka ni ugonjwa je unaweza kutibika?
ENINKA - CANADA
|