Who's Online
We have 387 guests and 1 member online
  • Fleetaves
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday6613
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week6615
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month53687
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933254
Login

KENZO MANIA......
Written by Mange   
Tuesday, 07 September 2010 18:54

Baby Kenzo at 4 days old...

yeiiii, im 4 days old...

baby Kenzo at 3 days old....

his first doc's appointment...he screamed and screamed...it was scary....

Kenzo meets uncle Imran...

Daddy-Son moment.....

Comments
Add New Search
Anonymous   |2010-09-07 14:30:55
hongera mumy..u luk gd..so to ur cute boy!!!! MUNGU akukuzie mpenzi.....
maskini jeuri  - uko juuu     |2010-09-07 14:53:52
waoo jamani Baby Kenzo anakua haraka hadi raha..only four Days???Mange dia upo
juu...everything Bomba.Hukai ndani jamani walau arobaini??(joke)

love you
Kenzo
Anonymous   |2010-09-07 15:40:01
that was a shortest maternity leave.....mie nilidhani ulivyosema maternity leave
itakuwa ni mwezi!
Anonymous   |2010-09-08 06:38:11
mie nilisema ingawa nikabaniwa, kuna wanaoweza kwenda likizo ya uzazi lakini
sion mange na uturn. tutajuaje na kuyaonaje?
Anonymous  - re:   |2010-09-07 15:46:44
Anonymous wrote:
that was a shortest maternity leave.....mie nilidhani ulivyosema maternity
leave itakuwa ni mwezi!

maternity leave is still ON....Could be more than a month or less....
Anonymous   |2010-09-07 15:47:40
most beautiful baby, i have ever seen sio utani
Anonymous   |2010-09-07 15:51:08
Haters watajibebaaaaaa!!!!! Wengine wanaona km mazingaombwe vileee maana
walitegemea sahivi bado unatembea mguu pande kisa kuzaa,mie hapo ndio silewagi
watu wanavyojiendekeza na kufanya km vile kuzaa ndio sijui kitu gani,mama
mkwe,mawifi,mashangazi,ote wanahamia na miushirikina kibao kuvalisha watoto
mikamba eti mivuje sijui vitu gani.Na sio sii ukichukulia ni big deal basi
inakuwa hivyohivyo hata kwenda haj unasindikizwa.
Ohoo subiri arobaini iishe
ndio utoke nje,ujinga mtupuuuu!!!
Nimkupenda Mange,Mungu akujaalie mpenzi najua
kuna wengine wanaangalia huku kiroho cha wauma hapa,maana walikaa ndani na
mimaji ya moto na kufungwa mikanga ya kiuno for 40days lakini ado mitumbo
imewaporomoka km fuko la magimbi,u only have 5days and looks hot
hot,hehehehehee!!
Acha nnyamaze mie maana nja kitawauma wengi!!!
Anonymous   |2010-09-07 16:19:51
we nawe.....vipi umetoka kunywa chang'aa mwenzetu?

she stated that she was
off for maternity leave thats we "wadau" tumeona kama imekuwa short ndo
tukauliza na keshatufafanulia, sasa we kiguu na njia uliyewekwa ndani siku 40
naona iliku-touch eeh! some pipo!
Anonymous   |2010-09-07 19:03:51
kimewauma ujumbe ulikowalenga na ndo mana wameweka dole jekundu! mtajibeba hivyo
hivyo na miwivu yenu, mmesahau mwenye nacho anaoezewa? mtakonda roho mwaka huu!!
Anonymous  - re: re:   |2010-09-07 19:07:15
Anonymous wrote:
Anonymous wrote:
Mange congrats you look hot, just a quick question mtoto wako walimtahiri
hapo hapo au? Nategemea kujifungua mtoto wa kiume yaani
nikifikiria maumivu namsaidia kulia, sijui nitaepuka vp. Nilikuwa
nataka kujua wanafanyagaje. Je mzazi unakuwa na option ya baadae?

shosti mie si Mange ila najibu swali lako, mtoto wangu
walimtahiri a
week baada ya kuzaliwa. huku Uk huwa hawatahiri hospital tulienda
private, na dk alikataa sisi wazazi kuingia ndani ya chumba cha opereshen,
ila baada ya dk 10, ametoka amelia kidogo tu wakati anakojoa basi, 3
days amepona kabisa kabisa. 
usimcheleweche sana akiwa mdogo ndio nzuri
zaidi ila inatia huruma ukikiangalia ki dudu ki, kinakuwa chekunduuuu!
:woohoo:

ati ni kweli jamani, ukimtahiri mtoto bado mchanga sana , dudu yake
inakuwa kibamia akiwa  mkubwa??
Anonymous   |2010-09-08 06:30:45
mi wangu katahiriwa na miezi miwili pia uk tulienda private coz hawatahiri na
wazazi tulikwua ndani kwakuwa doctor lazma a-explain ila itu anachofanya na
mnaona mambo ya kuwekwa nje utajuaje wanamfanya nini mtoto?he is a veryyy good
doctor the best kwa mambo ya circumcision kama kuna mtu anatafuta yuko UK halla
kwa mange nitawapa recommendation
Anonymous   |2010-09-07 16:08:55
Mange congrats you look hot, just a quick question mtoto wako walimtahiri hapo
hapo au? Nategemea kujifungua mtoto wa kiume yaani nikifikiria maumivu namsaidia
kulia, sijui nitaepuka vp. Nilikuwa nataka kujua wanafanyagaje. Je mzazi unakuwa
na option ya baadae?
Anonymous   |2010-09-07 16:28:40
:D :D :D :D :D :D tumbo limewaporomoka kama fuko la magimbi.....mie hoi
Anonymous  - re:   |2010-09-07 17:07:43
Anonymous wrote:
we nawe.....vipi umetoka kunywa chang'aa mwenzetu?

she stated that she was
off for maternity leave thats we "wadau" tumeona kama imekuwa
short ndo tukauliza na keshatufafanulia, sasa we kiguu na njia
uliyewekwa ndani siku 40 naona iliku-touch eeh! some pipo!

mdau chukuo busuuu! bbbbbbuuuuuuu mwahhhhh!
wewe shosti unabwabwaja kama
umesukutua na ulanzi, hayo yote hapo uliyoyasaga ndio uliyofanyiwa na
mpaka leo ukapata huo mdomo wa kunya, na ukae ukijua MKATAA KWAO MTUMWA
ALWAYS!!!
Anonymous  - re:   |2010-09-07 17:13:47
Anonymous wrote:
Mange congrats you look hot, just a quick question mtoto wako walimtahiri
hapo hapo au? Nategemea kujifungua mtoto wa kiume yaani
nikifikiria maumivu namsaidia kulia, sijui nitaepuka vp. Nilikuwa
nataka kujua wanafanyagaje. Je mzazi unakuwa na option ya baadae?

shosti mie si Mange ila najibu swali lako, mtoto wangu walimtahiri a
week baada ya kuzaliwa. huku Uk huwa hawatahiri hospital tulienda
private, na dk alikataa sisi wazazi kuingia ndani ya chumba cha
opereshen, ila baada ya dk 10, ametoka amelia kidogo tu wakati anakojoa
basi, 3 days amepona kabisa kabisa.
usimcheleweche sana akiwa
mdogo ndio nzuri zaidi ila inatia huruma ukikiangalia ki dudu ki,
kinakuwa chekunduuuu! :woohoo:
Anonymous  - re:   |2010-09-07 17:16:16
Anonymous wrote:
Haters watajibebaaaaaa!!!!! Wengine wanaona km mazingaombwe vileee maana
walitegemea sahivi bado unatembea mguu pande kisa kuzaa,mie hapo
ndio silewagi watu wanavyojiendekeza na kufanya km vile kuzaa ndio
sijui kitu gani,mama mkwe,mawifi,mashangazi,ote wanahamia
na miushirikina kibao kuvalisha watoto mikamba eti mivuje sijui vitu
gani.Na sio sii ukichukulia ni big deal basi inakuwa hivyohivyo hata kwenda
haj unasindikizwa.
Ohoo subiri arobaini iishe ndio utoke nje,ujinga
mtupuuuu!!!
Nimkupenda Mange,Mungu akujaalie mpenzi najua kuna
wengine wanaangalia huku kiroho cha wauma hapa,maana walikaa ndani na
mimaji ya moto na kufungwa mikanga ya kiuno for 40days lakini ado
mitumbo imewaporomoka km fuko la magimbi,u only have 5days and looks
hot hot,hehehehehee!!
Acha nnyamaze mie maana nja kitawauma wengi!!!

SASA HAPO CHA KUMCHUKIA M...
Anonymous   |2010-09-07 17:28:48
haaa, unawauo mashoga zako bongo....haaaa!! mwaka huuu mbona kazi waliozaa
watoto wa kiafrika bongooooooooooo
Anonymous   |2010-09-08 06:31:48
ur shallow bitch eti watoto wa kiafrica akili za kitumwa nyau wewe!

PRoud mama
of 2 dark chocolate babies..
JUDITH   |2010-09-07 18:45:14
WEE MAMA KENZO UMBEA MTUPU HAUNA CHA MATENITY LEAVE WALA NINI
Anonymous   |2010-09-07 19:04:15
exactly.....maternity leave from what?
Anonymous   |2010-09-07 19:20:14
we sio judy orijino!!
Anonymous   |2010-09-07 19:24:58
yaani hiyo picha inayomwonyesha baby kenzo akiwa na siku tatu utadhani ana miezi
mittu lol! wakati unakula chips mtoto huyu alifaidi sana ebu cheki tuu
alivyotoka na afya!
Anonymous   |2010-09-08 06:02:25
haaaaaaaaaaaaaa imekuuma enhe JUDITH wa kichina maana ulijua anaenda leave japo
upumzike kurushwa roho Mma K safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mwaga vitu mpaka
chooni lete picha alaaaaaaaa mashauzi hapo ndo kwake na unayaweza utatia
mashauzi kwenye choo cha pasipoti saizi au kuleta machejo wakati umevaa
misulupwete TUPE RRRRRRRRAHAAAA JAMANI UTAMU JAMANI RAHA JAMANI KUMOYO SASAMBU
SASAMBU SASAMBU
Anonymous   |2010-09-07 19:07:41
Kenzo must be a good baby...yani picha nyingi amejilalia mwenyewe! Hongera
sanaaaaaaaa!
Anonymous   |2010-09-07 19:08:03
your son is very handsome duh hongera sana aisee mtoto mtamu kama peremende
Anonymous  - re:   |2010-09-07 19:12:18
Anonymous wrote:
haaa, unawauo mashoga zako bongo....haaaa!! mwaka huuu mbona kazi waliozaa
watoto wa kiafrika bongooooooooooo

LABDA WEWE NDIO ROHO INAKUTOKA, KAMA NA WEWE UNAWABUDU WAZUNGU, IM
VERY PROUD WITH MY AFRICAN BEAUTIFUL CHILDRENS, AND I WONT CHANGE THEM
NA KITU CHOCHOTE!!!

SIO WATU WOTE WANA HUO UGONJWA WA WAZUNGU!
Anonymous   |2010-09-08 13:08:52
SIO - CHILDRENS! ni CHILDREN! watch out!
julex   |2010-09-07 19:14:32
hellow
mange hongera umependaza na msafi baada ya kuzaa,nivizuri unavyotembea
coz unafanya mwili uwefit na kidonda kupona mappema .kiss
ur fun
Anonymous  - re: re: re:   |2010-09-07 19:32:03
Anonymous wrote:
Anonymous wrote:
Anonymous wrote:
Mange congrats you look hot, just a quick question mtoto wako walimtahiri
hapo hapo au? Nategemea kujifungua mtoto wa kiume yaani
nikifikiria maumivu namsaidia kulia, sijui nitaepuka vp. Nilikuwa
nataka kujua wanafanyagaje. Je mzazi unakuwa na option ya baadae?

shosti mie si Mange ila najibu swali lako, mtoto wangu
walimtahiri a
week baada ya kuzaliwa. huku Uk huwa hawatahiri hospital tulienda
private, na dk alikataa sisi wazazi kuingia ndani ya chumba cha opereshen,
ila baada ya dk 10, ametoka amelia kidogo tu wakati anakojoa basi, 3
days amepona kabisa kabisa. 
usimcheleweche sana akiwa mdogo ndio nzuri
zaidi ila inatia huruma ukikiangalia ki dudu ki, kinakuwa chekunduuuu!
:woohoo:

ati ni kweli jamani, ukimtahiri mtoto bado mchanga sana , dudu yake
inakuwa kibamia akiwa  mkubwa??

SIO KWELI MDAU!!
Anonymous   |2010-09-09 07:06:29
Nyie wacheni uwongo huyo mtoto wako wa kiume akishafikia miaka 10 tu hatataka
umuone hicho kibamia chake, labda babake sasa nyie mmejuaje kuwa mtoto
akitahiriwa mdogo sana akiwa mkubwa anakua kibamia mmepimia wapi? Mimi nina
mtoto wa miaka 14 hata sijui anafananaje wala sitaki kujua hainihusu na It is
his privacy atajua huyo mkewe huko mbele ya safari.
Anonymous  - re: re: re: re:   |2010-09-07 20:03:24
Anonymous wrote:
Anonymous wrote:
Anonymous wrote:
Anonymous wrote:
Mange congrats you look hot, just a quick question mtoto wako walimtahiri
hapo hapo au? Nategemea kujifungua mtoto wa kiume yaani
nikifikiria maumivu namsaidia kulia, sijui nitaepuka vp. Nilikuwa
nataka kujua wanafanyagaje. Je mzazi unakuwa na option ya baadae?

shosti mie si Mange ila najibu swali lako, mtoto wangu
walimtahiri a
week baada ya kuzaliwa. huku Uk huwa hawatahiri hospital tulienda
private, na dk alikataa sisi wazazi kuingia ndani ya chumba cha opereshen,
ila baada ya dk 10, ametoka amelia kidogo tu wakati anakojoa basi, 3
days amepona kabisa kabisa. 
usimcheleweche sana akiwa mdogo ndio nzuri
zaidi ila inatia huruma ukikiangalia ki dudu ki, kinakuwa chekunduuuu!
:woohoo:

ati ni kweli jamani, ukimtahiri mtoto bado mchanga sana , dudu yake
inakuwa kibamia akiwa  mkubwa??

...
Anonymous   |2010-09-07 20:33:41
Congrats bibie...I'm loving the 4th picture.Cute eeh!
mluguru   |2010-09-07 21:47:15
mange minatamani nikanyonye mashavu kababy Kenzo jamani kakoo soo sweet...na
mbona hujamuwekea toy hata moja :( nimechunguza kwenye cotbed hakuna toy hata
zile mobile nini sijui sijaziona,kwenye car seat hamna toy whyyyyyy?????plz
muwekee kababy chetu cha u-turn toys!!then umejifunga tumbo lako na nini niambie
hadi dukaulilonunua hiko kifungio lol illi na minikanunue nipo njiani kuelekea
Labour..shkrani na usiku mwema kiss baby Kenzo for me.
Anonymous   |2010-09-08 03:11:09
duuh,baby Kenzo ana afya njema..hapo hajatimiza mwezi duu cpat picha akianza
kuchangamkia nyonyo atakuwaje..hongera c mchezo
Anonymous  - re: re:   |2010-09-08 04:17:33
Anonymous wrote:
Anonymous wrote:
we nawe.....vipi umetoka kunywa chang'aa mwenzetu?

she stated that she
was off for maternity leave thats we "wadau" tumeona kama
imekuwa short ndo tukauliza na keshatufafanulia, sasa we kiguu na njia
uliyewekwa ndani siku 40 naona iliku-touch eeh! some pipo!

.....
..uwiii....hhahahahhhahahahhahahaa
jaman wewe asante...u make my
day..eti umesukutua kwa ulanzi..hahhahahahhaha

mdau chukuo
busuuu! bbbbbbuuuuuuu mwahhhhh!
wewe shosti unabwabwaja kama
umesukutua na ulanzi, hayo yote hapo uliyoyasaga ndio uliyofanyiwa na mpaka
leo ukapata huo mdomo wa kunya, na ukae ukijua MKATAA KWAO MTUMWA
ALWAYS!!!
VUVUZELA ORIGINAL  - NIMEJIFUNZA KI2 KIKUBWA SAANA.   |2010-09-08 04:42:16
MANGE MAMA NAKUPA SALUTE MTOTO WA KIPARE!!!!!!!!

JAMANI UNANIPA MTAZAMO
TOFAUTIIIIIIII NA NILIVYOKUA NAFIKIARIA JUU YA UZAZI BAADA YA
KUJIFUNGUA...............

U JAS KIP IT HOT!!! I ADORE YOU
SAAAANAAAAA!!!!!!!

MHHHHHH HONGERA!!
Anonymous   |2010-09-08 05:07:57
mmm mange hongera yani tumbo kwishine safi sana.

mama Bryan
angy   |2010-09-08 07:00:10
congrats dear..mtoto anakua mpaka raha,i cant wait to see mine soon coz
nimejichokea hatari..god bless you always.
mdau   |2010-09-08 07:15:10
hongera mange mamiii, mungu awalinde na awape furaha daima
ila me nna swalii,
tumbo huna kabisaaa na hapo hata ulivo vaa haionyeshi km umelifunga.
tueleze
siri ya urembo huo mana waafrica matumbo mengi yanakuwaga makubwa na unafungwa
tumbo na kukandwa na wifi au shangazi kwa maji ya moto!!
msaada wa majibu
plzzzzzzzz

be blessed
Yai   |2010-09-08 07:18:10
Mungu akujaalie mange umepata mtoto mzuri sana.Kwetu huwa tuna jina la mtoto
yoyote akizaliwa anaitwa "BABY SUPUU" na Kenzo kweli ni Baby Supuu!
Hongera.Ila tulia umkuze akue mamaaaa.
Anonymous  - re:   |2010-09-08 08:42:04
Anonymous wrote:
hongera mumy..u luk gd..so to ur cute boy!!!! MUNGU akukuzie mpenzi.....

JAMANI HUYU UNCLE IMRAN HATAKI MKE?! NA MIE NIWE KARIBU NA NYIE !!!!!
LMAO
Anonymous   |2010-09-09 12:25:20
qiqiqiqiqiqiqiqiq lol! mdau umenichekesha mno!
Anonymous  - re:   |2010-09-08 09:26:36
Anonymous wrote:
Haters watajibebaaaaaa!!!!! Wengine wanaona km mazingaombwe vileee maana
walitegemea sahivi bado unatembea mguu pande kisa kuzaa,mie hapo
ndio silewagi watu wanavyojiendekeza na kufanya km vile kuzaa ndio
sijui kitu gani,mama mkwe,mawifi,mashangazi,ote wanahamia
na miushirikina kibao kuvalisha watoto mikamba eti mivuje sijui vitu
gani.Na sio sii ukichukulia ni big deal basi inakuwa hivyohivyo hata kwenda
haj unasindikizwa.
Ohoo subiri arobaini iishe ndio utoke nje,ujinga
mtupuuuu!!!
Nimkupenda Mange,Mungu akujaalie mpenzi najua kuna
wengine wanaangalia huku kiroho cha wauma hapa,maana walikaa ndani na
mimaji ya moto na kufungwa mikanga ya kiuno for 40days lakini ado
mitumbo imewaporomoka km fuko la magimbi,u only have 5days and looks
hot hot,hehehehehee!!
Acha nnyamaze mie maana nja kitawauma wengi!!!

MAJITU MENGINE BWANA M...
Anonymous   |2010-09-08 16:06:53
YES UNCLE IMRAN YUKO ANATAKA MKE JE WEWE UTATOA TIGO???
bianca   |2010-09-09 04:44:31
:woohoo: :woohoo: :woohoo:
haki ya mungu u-turners mna mambooo...
thank u
mdau kwa kunichekesha asubuhi hii..
Anonymous  - re:   |2010-09-08 20:22:38
Anonymous wrote:
SIO - CHILDRENS! ni CHILDREN! watch out!

MDau! nimeandika kwa hasira! najua ni children! slip of
tongue!!!

thanks anyway!!!
Anonymous  - re:   |2010-09-08 20:28:13
mluguru wrote:
mange minatamani nikanyonye mashavu kababy Kenzo jamani kakoo soo
sweet...na mbona hujamuwekea toy hata moja :( nimechunguza kwenye cotbed
hakuna toy hata zile mobile nini sijui sijaziona,kwenye car seat hamna
toy whyyyyyy?????plz muwekee kababy chetu cha u-turn toys!!then umejifunga
tumbo lako na nini niambie hadi dukaulilonunua hiko kifungio lol illi
na minikanunue nipo njiani kuelekea Labour..shkrani na usiku mwema kiss
baby Kenzo for me.

toys is not advisable! kwenye cot bed na hasa mtoto akiwa mchanga sana.
Anonymous   |2010-09-09 03:59:34
kwikwiwkwiw,jaman humu uturn pana raha,stress zote zinaisha kwa kusoma comments
za watu... ww anony wa hapo juu umenivunja mbavu sanaaaaaaaaa
kisare   |2010-09-09 04:15:13
Huyu mtoto wa kununua mbona sio africast na mtu gani siku mbili yupo barabarani
baada ya kuzaa it was a fake pregnancy think about it if you believe
Anonymous   |2010-09-09 11:11:30
You are very right it was a fake mimba
Yaani abebe kikopo cha mate muda wote
for just usanii?!
na alivochoka mwishoni for just usaanii?@Aise kweli akili
ni nywele za kwako ni full wigi
Anonymous   |2010-09-09 08:58:35
wE MJA LEO MJINI HUYO IMRAN NI MME WA WIFI YAKE MANGE!
Halafu ili uew current
humu ndani anza kusoma comments toka first page otherwise nenda kaangalie
mapicha ya harusi kuleeee
USHAMBA TU
Jamilla   |2010-09-09 12:00:56
Jamani mtoto Kapewa Jina La Perfum ahhh Mange una mambo KENZO indeed dear hes
such adorable Boy and I am sure kina Kimambi are very Proud now where is aunty
Alma jamani and Fatu? KENZO KENZO You are such a good fucking handsome Lit Boy
!!!!! Bakoraaaaaaaa!!!
Juliana   |2010-09-09 12:06:38
Hongera sanaaaaaaaa Mange,vp kuhusukudondoka kwa kitovu cha mtoto?maana huku TZ
wanasema hadi cku 7,naomba nifahamishe best.
Anonymous   |2010-09-09 16:20:51
jamani, hivi mumewe ndio yuko busy aje, maana sioni anafanya kitu chochote
kumsaidia mkewe, ama ndo uzungu? mapenzi ya kiamericano si mchezo, hahahahhaha
Anonymous   |2010-09-09 18:24:33
Mange jama upo juuuuuuuuuuuuuuu na unapiga bakora mbaya
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

Find U turn Blog on facebook