Who's Online
We have 307 guests online
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday6919
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week6921
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month53993
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933560
Login



MAMA UTURN AENDA MATERNITY LEAVE...LOL...
Written by Mange   
Friday, 03 September 2010 21:58

Hey guys,

Im gonna take a break from blogging, just so I can catch my breathe, and concentrate on the new baby….

Will be back nitakapokuwa fit…

Mshindi wa milioni moja ilileta utata sana manake mpaka sasa tunawashindia kama 20 hivi, administrator anasema kuna issue ya time synchronization na kwamba ni kweli all these people walikuta the 1,000,000 count.

Sasa anachofanya administrator now ni kutafuta who was the first kukuta hiyo 1,000,000 mark.

Also kwa wale washindi mliosema kwamba hamtaki kutangazwa kwenye blog kama umeshinda na hutaKi jina lako litajwe ,samahani sana ila itabidi tuku disqualify,manake sasa watu wataaminije kulikuwa na mshindi kama tusipomtaja humu?

Mshindi atatangazwa soon….



Comments
Add New Search
Anonymous   |2010-09-03 17:12:48
Pumzika mama, nakuamania sana. Hakuna kitu kizuri na chenye raha duniani kama
kuwa na watoto. Mwenyezi Mungu awape nguvu, faraja, upendo, matumaini na afya
njema wewe, mumeo, watoto wako na dada subira pia.
Anonymous   |2010-09-03 17:13:59
jamani tutakumis...ila kupumzika muhimu.may God bless you.
Anonymous   |2010-09-03 17:21:19
all the best usisahau kumhadhinia mwanao sikioni hata kwa siri mwenyezi amtunze
akuwe akutunze inshaallah! hongera saaaaaaaaaaana mtoto pua kama yako hongera
dear.pumzika saaaaana! tunakusubiri kwa hamu ukirudi itakuwa mashauzi ile kinoma
:) lol.mana hata arobaini hujamaliza ushapendeza haya yetu macho
Anonymous   |2010-09-03 17:38:41
Maskini uso umekuchoka japo unajikaza.
Anonymous   |2010-09-03 17:56:47
Hongereni sana baba na mama Kenzo. Mungu awakuzie kijana wenu mzuri. Na awe
mtoto mwema na mwenye mapenzi kwa wazazi wake. Pumzika mama maana si kazi ndogo
hiyo.
Love,
Mama Sasha.
Anonymous   |2010-09-03 18:09:16
hongereni
Anonymous   |2010-09-03 18:10:04
wasiotaka kutajwa ndo mavuvuzela wenyewe
Anonymous   |2010-09-03 19:49:35
Jamana mbona nitakonda! lol
Gongrats mama!! I'm sure dada kenzo is sooo happy
right now.
Anonymous   |2010-09-03 19:58:13
pumzika mamiy, na ule haswa kazi sio ndogo uliyoifanya, usijali kuhusu shepu
itarudi tu, u a still young Mama wawili, hehehe!
Anonymous   |2010-09-03 20:08:58
congratulation Mangie and your family
for your. brand new baby boy, someone
who's sure to bring a world of love and happiness and joy to
everything!




mdau Mama Nanihii :kiss:
Anonymous   |2010-09-03 20:28:59
Maskini uso umekuchoka japo unajikaza. weeee ushawahi kuzaa au hebu tuwekee
huo uso wako tuone

HONGERA MAMA BHOKENZO
Anonymous   |2010-09-04 03:37:28
Mange hongeraa sana sana na mungu aendelee kukupa afya njema wewe na
mtoto...YAANI NIMEFURAHI SANA KUMUONA MTOTO YUKO KWENYE AFYA NJEMA PAMOJA NA
WEWE....

JAMANI MSIOTAKA KUKUBALI KAMA MANGE YUKO JUU BASI NYIE MTAKUWA
MMEROGWA.....Mie naishi Dubai Hiyo American Hospital ndio hosipital
wanaojifungulai Royal family (Viongozi wengi wa ndani ya bunge la dubai au
serikali huwa wake zao wanazalia kwenye hiyo hospital)...Boss wangu ni moja ya
matajiri wa kwanza hapa dubai na wanapesa kama mavi wote wake zao wanatumia
hospital hiyo Mange uko juu kama mawingu!!!!

NINA UHAKIKA BEI YA KUJIFUNGULIA
HAPO IMEPITA HATA ILE RANGE ROVER AMBAYO WATU WALISEMA NI YA MKOPO.....Ha ha ha
ha lol...Mavuvuzuela nawasuibri na midomo yenu mirefu kama
chuchungi.

Kapumzike mwaya..........
Anonymous   |2010-09-04 15:45:30
Wee mshamba nini, mume wa mange ni marekani sasa akazalie huko kwa walalahoi???
kwenda kuzaliwa huko sio mange ni tajri kazini kwa mumewe ndio wanalipa na ana
insurance vile vile!! usitufanye watu washamba mbwa wewe niko denmark nimezalia
hospital ya copenhagen ambayo hata queen wetu mkwewe wanazalia hapohapo sasa
tufauti iko wapi?? mbona hawana special hospital ingine?
wacha kusifia
usichokijua. Je angekuwa tanzania si angeenda aghakhan ambapo ndio matx
wanapotibiwaa?? tambaa kule eti mange tajiri, ujaona tajiri nini wewe
anoni   |2010-09-04 17:24:11
:D weye ndio mshamba ya denmark na ya uarabuni wapi na wapi,,hiyo denmark
welfare state usawa kwenda mbele ndo maana unaenda sawa na hao wa royal family
heheee kajaribu kushindana na wenye visima vya mafuta raaaaaaaah
Anonymous   |2010-09-04 05:50:40
hongera mami, jamani raha raha rahaaaa........ Mungu akutunzie akujalie afya
tele wewe na mtoto. raha ya dunia ni watoto.
Anonymous  - re:   |2010-09-04 08:34:09
Anonymous wrote:
Maskini uso umekuchoka japo unajikaza.
..


wapi wewe..!! ushamba na ujinga unakusumbua..weka uso wako
hapa..tuuone??!! muone hujiamini kama unaoga nje!!
Anonymous   |2010-09-07 13:48:08
TENA CHOO CHENYEWE CHA MLANGO WA GUNIA
Anonymous   |2010-09-04 10:53:43
Jamani mange tutakumiss ile mbaya utakaa muda gani maternity??? Yani approx tym
hongera sana n the bby is cute kama mm hahahahahhaah lol jamani msinikandie mm
ni mzuriiiiiiii kama mtoto wa mdhungu lol
Anonymous   |2010-09-04 11:38:16
Mdau hapo juu uliyeongelea kuhusu American Hospital kuwa juu wanajifungulia watu
Fulani tu, well you are partially right. Ila I'm sure mme wake Mange has the
best insurance coverage from his job kwa Kazi anayofanya ndio maana they could
afford such a place. Ukiwa na insurance inacover costs Kama hizi mtu si
unachagua tu ujifungulie wapi. Kama huna that's another thing, I'm sure mange
can back me up on this
Anonymous   |2010-09-04 13:46:56
Congratulations for bringing a precious life to this world. Pole kwa kazi sasa
pumzika na deka ipasavyo maana that work sio mchezo. God Bless you and your new
family. ahh sasa na mimi natamani mtoto mwingine lol
Anonymous   |2010-09-04 14:00:00
hongera sana mange ,sasa una mtu wa kukukanda maji maana umezaa natural
usinibanie.
Anonymous   |2010-09-04 15:46:30
naona haya mambo ya kukandana ni ya kibongo bongo ulaya watu wanazaa hamna
storry ya kukandana kukandana, unajihudumia mwenyewe. wa mama wanakuwa wazima
wa afya.
VUVUZELA ORIGINAL   |2010-09-06 08:14:04
I ALSO WANTED TO ASK THE SAME? MAANA MIMI CJAWAHI ZAA SASA KUNA VITU VINANIMIX
KIDIGO.....

KWANZA HONGERAKWA KUMALIZA SHUGHULI SALAMA MAY GOD BLESS AND TAKE
CARE OF YOU ALL!!!!! UMLEE MTOTO VEMA...........................NILIKUA NJE YA
NETWORK COVERAGE NIMEINGI TOWN CHA KWANZA NI KUANGALIA TU U TURN NIKAKUTA MTOTO
WA KIPARE UNA KITU CHEUPEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!! NILIFURAHI
SANA 4 SURE.

ILA SWALI LANGU KA NLIVOSEMA APO JUU MANGE UNA ELDER YYT
ANAKUSAIDIA HOME ZAIDI YA NANNY AMBAE BOSI WAKE MKUBWA NI KENZO???????


UNAENDA PUMZIKA ITS FINE TAKE YUA TIME AND WEN FINE UNIJIBU,,,,,, NA WENGINE
MNAOJUA HOW IT WORKS BAADA YA KUZAA EMBU TUPEANE MSAADA
PLIZ!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1

U TURN IDUMU.......................
Anonymous   |2010-09-04 15:23:03
lakini si mpaka uwe na hiyo kazi ya maana ya kukulipia hiyo insurance,tena hizo
insurance zina cover tofauti unaweza kua nayo na ukawa kwenye semi private
room,kwa hiyo usijifanye unaelewa sana yuko juuu mwenzio unawashwa nini?hongera
mama Kenzo mtoto anaonekana ana afya nzuri na wewe mwenyewe unaonekana uko poa
mungu awape maisha faidi mwaya!!!!
Anonymous  - re:   |2010-09-04 17:33:07
Anonymous wrote:
lakini si mpaka uwe na hiyo kazi ya maana ya kukulipia hiyo insurance,tena
hizo insurance zina cover tofauti unaweza kua nayo na ukawa
kwenye semi private room,kwa hiyo usijifanye unaelewa sana yuko juuu
mwenzio unawashwa nini?hongera mama Kenzo mtoto anaonekana ana afya nzuri
na wewe mwenyewe unaonekana uko poa mungu awape maisha faidi mwaya!!!!

Kama huelewi kuhusu insurance uliza. Kwanza kama umesoma kwanini usiwe na
Kazi ya maana inayokupa benefits kama hizi??? Someni mpate kazi za
maana hv vitu wala hamtashangazwa navyo. Pili insurance inaweza kuwa
100 % coverage ama 80% nk this doesn't mean utalala "semi private"
room, Ina maana watakulipia bills zako kwa percent Fulani depending on
your package, the rest inakuwa out of pocket. Ndio maana wengine wanaweza
wakakaa hospital hata 3 days cause everything is covered na wengine...
Anonymous   |2010-09-05 06:35:26
kini si mpaka uwe na hiyo kazi ya maana ya kukulipia hiyo insurance,tena
hizo
insurance zina cover tofauti unaweza kua nayo na ukawa kwenye semi
private
room,kwa hiyo usijifanye unaelewa sana yuko juuu mwenzio unawashwa
nini?hongera
mama Kenzo mtoto anaonekana ana afya nzuri na wewe mwenyewe
unaonekana uko poa
mungu awape maisha faidi mwaya!!!!

MDAU HAPO UMEONGA CHA
MAANA HAWAJUA WANACHOONGEA KAMA NI INSUARANCE YA KUCOVER KUJIFUNGULIA AMERICAN
HOSPITAL BASI HUYO MUME WAKE MANGE AMAFUNGUA MWNEYWE NA SIO KAMPUNI
YAKE...WAARABU HAWANA UJINGA HUO ha ha ha ah ah ........Yaani kiufupi LABDA
NIWAAMBIE...WANAOJIFUNGULIA HAPO NI KAMA MANGE MTAKE NI HIVYO MSITAKE NI
HIVYO...NA KAMA NI INSUARANCE INAYOLIPIA HAPO BASI NI WAFANYAKAZI 30 TU DUBAI
NZIMA WANAOLIPWA WAKE ZAO WAKAZAE HAPO....

MANGE UKO JUU HIYO HOSPITALI NI YA
MATAJIRI KAPUKU HAINGII HUO NDO UKWELI...TENA HUYO KAPUKU HATA KWENDA PIMA DAMU
TU YA MALARIA HAMUDU (JAPO MALARIA...
Anonymous   |2010-09-05 06:38:21
kini si mpaka uwe na hiyo kazi ya maana ya kukulipia hiyo insurance,tena
hizo
insurance zina cover tofauti unaweza kua nayo na ukawa kwenye semi
private
room,kwa hiyo usijifanye unaelewa sana yuko juuu mwenzio unawashwa
nini?hongera
mama Kenzo mtoto anaonekana ana afya nzuri na wewe mwenyewe
unaonekana uko poa
mungu awape maisha faidi mwaya!!!!

MDAU HAPO UMEONGA CHA
MAANA HAWAJUA WANACHOONGEA KAMA NI INSUARANCE YA KUCOVER KUJIFUNGULIA AMERICAN
HOSPITAL BASI HUYO MUME WAKE MANGE AMAFUNGUA MWNEYWE NA SIO KAMPUNI
YAKE...WAARABU HAWANA UJINGA HUO ha ha ha ah ah ........Yaani kiufupi LABDA
NIWAAMBIE...WANAOJIFUNGULIA HAPO NI KAMA MANGE MTAKE NI HIVYO MSITAKE NI
HIVYO...NA KAMA NI INSUARANCE INAYOLIPIA HAPO BASI NI WAFANYAKAZI 30 TU DUBAI
NZIMA WANAOLIPWA WAKE ZAO WAKAZAE HAPO....

MANGE UKO JUU HIYO HOSPITALI NI YA
MATAJIRI KAPUKU HAINGII HUO NDO UKWELI...TENA HUYO KAPUKU HATA KWENDA PIMA DAMU
TU YA MALARIA HAMUDU (JAPO MALARIA...
Anonymous   |2010-09-05 08:28:15
Mbona ni kawaida tu kutibiwa au kuzalia American Hospital. Huku au anywhere
else apart from 3rd world countries, its where matajiri, kings and queens have
special hospital.

Yes, its expensive but not everybody ni mbeba box and its
unaffordable.
Anonymous   |2010-09-05 10:22:41
the most awaited baby of the year! we love u toto uturn...
congratsss
Anonymous   |2010-09-05 19:18:55
shwain sana kwani mkimpa hongera kwa kujifungua salama mtakufa?mmmekalia
kudiscuss hospital tuu, mbona hamjawahi kutuma picha zenu humu na misura yenu
mkiwa mmetoka kujifunguaa? kuna mijitu ina roho mbaya utadhani inauza sumu kwa
bei ya rejareja blood nyau!! hasa hayo manyanga'u ya US na europe wivu tuu, hata
mkijifungulia majuu ni kwenye public hospital na sio kali kama hii, ndo shida
kipofu akiona mwezi kaazi kwelikweli
anony   |2010-09-06 03:07:30
nyang'au mwenyewe!!!
Anonymous   |2010-09-07 13:51:11
cha kwako hicho hebu wahiwahi ile shifti yetu usije ukakosa ugali na vijipesa
vya kupeleka sabuni nyumbani halafu mbona hatujakutana viwanja muda au ndio
vibarua vimepungua mpaka kutoka wikiendi nako mtihani
unknown   |2010-09-08 01:22:56
kama ni USA na Ulaya tutakwenda sana, mkibaki na maneno sie tunasonga mbele.
Endeleeni kuchonga mtapata maendeleo yenu kwa kuchonga sana. Unavyoulizia shift
kana kwamba hapo tz watu wote ni managers kumbe yale yale tu. LIFE NI POPOTE
JAMANI DONT HATE GUYS NA ITS nobody's business kumpangia mtu pa kuishi!!!!!!
Mkiweza Tokeni Na Nyie sio Mnarap tu! DONT HATE we have changed our lifestyles
deal with yours guys!!!
Anonymous   |2010-09-08 18:25:01
haaaaaaaaa bishisti pole eti hate wanachukiwa kina hilton na kina mange sio
wewe...mchambia gunzi...wapiiii..
unkown   |2010-09-09 14:37:13
sasa kumbe una majibu kuwa binadamu hamridhiki! ukiwa nazo hamtaki..ukikosa bado
maneno..kafieni mbali na wivu wenu!!!
Anony  - re: re:   |2010-09-09 14:46:22
Anonymous wrote:
anony wrote:
mbona mnawaka sana vijana mna matatizo gani enh??? kama mna hasira wa watu
wa US na ulaya..chukueni biki mtafute siafu muwatoboe..you will
feel better! kuropoka humu haisaidii tayari wapo huko na nyie
endelezeni yenu bongo mzidi kufanikiwa!
na wewe mdau unayesema uko toronto
mbona una stress sana huh??:-)..:-), wenye hela zao
hawajitangazi tunaona tu mapigo yao na kupigia mstari majibu wenyewe
..wee endelea kuringa na change unazopata wenzio wakiishi maisha yao..pole
sana nenda Tanzania kapumzike urudishe akili zako timamu!




uanze kurudisha kwanza zakwako kwa ajili ya hiyo harufu ya mavi
uliyokremu kwa kushinda kwenye mavi, minyoo inakuwasha sioeeh kanywe
anteper, wenye hela kibao wanajitangaza fala jike weee!! unikome kama
ukoma




Wanaojitangaza ndio empty headed kama wewe.. Kitulize kama unazo
tutajua tu otherwise kama&nbs...
Anonymous   |2010-09-05 22:35:38
:kiss: you people are wierd kama kazaa hapo sipesa zake mwenye jamani au zamume
wake...nyie mmekazana insrnc insrnc haya na hizo insrnc zenu zika wazalie watoto
mama mange hongera u have such a cute baby....god bless you we say mashaallah.
Tesa  - Tesa   |2010-09-06 03:38:36
asiyefahamu nani kuwa wanawake mna roho mbaya sana! Kutwa mnapenda kuona
wanawake wenzenu wanateseka na kuzeeka kwa matatizo.
Hamuwezi vumilia mwanamke
mwezenu akiwa na maisha mazuri, mume mzuri elimu nzuri. Roho zinachemka
wivuuuuu...... Mnatamani kumwiga hamuwezi, mnatamani hata kumuiba mume wake kama
mlivyozoea. nina hakika wanawake kibao tanzania wanatamani wampate mumewe..
yaani uwe tu hata nyumba ndogo kama mlivyozoea. Yaani mtembee naye ili tu aumie
roho kama mnavyozoea kufanya, hata kama ikigharimu utu wako! Sehemu kubwa Dar
imejaa cheap women, wakivizia wanaume wenye hela ili nao waonekane wako juu!!!
Hamna lolote! Swallow it guys hamuwezi kamwe, hii ni beyond your reach... hata
kama mkiweza mtaishia kuwa the other low woman.Hamuwezi funga ndoa kama ile,
wala nini, kwanza wakuwaoa wako wapi????

Acheni roho mbaya wanawake na kuona
cha mwenzio nakutamani kiwe chako usiku na mchana, mnatamani kuuza uhai ili
mpate m...
Anonymous   |2010-09-06 11:39:15
umenena..WAnawake wa kitz wana wivu mno! mtu huwezi kukubali na kusifia
panapostahili lazma mtatafuta cha kupond! vidole havilingani..penye sifa
papewe..mange unamaisha mazuri sana Mungu kakujalia una akili umesoma mlee
mwanao na mumeo nakutakia kila la heri..wabongo kila kitu kwao lazma waponde
nadhani ushawazoea..
Anonymous   |2010-09-06 07:13:00
Wewe wa scanavia sijui US na huko maulaya hata kama huko kwenu hospital kama
hizo making na maqueen wanatumia sio dubai-UAE.....unajua Dubai/Japan ni nchi
ambazo mtu anaweza kuingia anavyotaka kama vile k/koo na mbagala lakin wewe
mfanyabiashara unaeingia na kutoka ni wachache wenu ambao mnamudu kuishi hapa na
familia zenu.....Hizo nchi ambazo mnaishi nyinyi huko ulaya/US ni rahisi mtu
kuisha japo kuingia muda mwingine inakuwa ni kazi kidogo....

KWAHIYO MAISHA
YANATOFAUTIANA....IKIWA MANGE ANAENDESHA RANGE ROVER DUBAI...NA KUZALIA AMERICAN
HOSPITAL NA HATA ZILE NYOMBA ALIZOPOST KUTUONYESHA HUYU NI MTU WA MAISHA MENGINE
JAMANI ...Kubalini tu.

CHA MSINGI AMEZAA SALAMA BASI, TUNAMSHUKURU MUNGU
Anonymous   |2010-09-06 07:15:37
Wewe wa scanavia sijui US na huko maulaya hata kama huko kwenu hospital kama
hizo making na maqueen wanatumia sio dubai-UAE.....unajua Dubai/Japan ni nchi
ambazo mtu anaweza kuingia anavyotaka kama vile k/koo na mbagala lakin wewe
mfanyabiashara unaeingia na kutoka ni wachache wenu ambao mnamudu kuishi hapa na
familia zenu.....Hizo nchi ambazo mnaishi nyinyi huko ulaya/US ni rahisi mtu
kuisha japo kuingia muda mwingine inakuwa ni kazi kidogo....

KWAHIYO MAISHA
YANATOFAUTIANA....IKIWA MANGE ANAENDESHA RANGE ROVER DUBAI...NA KUZALIA AMERICAN
HOSPITAL NA HATA ZILE NYOMBA ALIZOPOST KUTUONYESHA HUYU NI MTU WA MAISHA MENGINE
JAMANI ...Kubalini tu.

CHA MSINGI AMEZAA SALAMA BASI, TUNAMSHUKURU MUNGU
Anonymous   |2010-09-06 07:16:28
Misnifananishe maisha ya kwenu na maisha ya dubia ni tofauti...wewe ulizalia
american hospital sweden..huwezi zalia hapa dubai hata siku moja....
Anonymous   |2010-09-06 20:17:43
Hahahah huyo anayedanganya nano? Hakuna American hospital Sweden nimeishi miaka
ishirin najua kona zote hatuna mambo ya private hispitals huku. Wote tunajitinga
humo humopublic hospitals ña tunapata the best of care...
Anonymous   |2010-09-06 07:50:16
Mange muadhinie mtoto we ni muislamu, muandinie hata wewe mwenyewe unaweza sioni
la ita shehe.
Anonymous   |2010-09-07 10:54:32
tutolee uswahili wako na imani haba hapa mtoto wa kidhungu huyu sio wa
manzese!!!!!
Anonymous   |2010-09-07 19:51:41
ha ha haaa safi sana mdau washaanza kuchawia, enzi ya mmiba usivae skuna sijui
nini mimba itatoka mara utaumwa oe.. ah.. uu, sasa wameanza, wafanyieni watoto
wenu mtakaowazaa eboh!
Anonymous   |2010-09-06 11:08:07
:dry: :kiss: :D :pinch: :s ;) :whistle: :huh: :woohoo:
:unsure: :) :side: :X
Anonymous  - re:   |2010-09-06 21:40:46
anony wrote:
nyang'au mwenyewe!!!


kenge mfu wahed kimekutachi hee!! na badodo mezeni topaz!! laana kum!!
anony  - re: re:   |2010-09-07 12:44:41
Anonymous wrote:
anony wrote:
nyang'au mwenyewe!!!


kenge mfu wahed kimekutachi hee!! na badodo mezeni topaz!! laana kum!!



utakufa nalo..na bado mtasema sana!! wa US wa ulaya lkn tukitua DIA
macho yamewatoka kutuomba hadi miswaki tunayopewa bure ktk flights
nyama wewe!!!
Anonymous   |2010-09-07 13:45:34
hahahahaha shosti tizama maana unaweza kupata PERIOD ghafla kwa wivu ullioupata
na mahasira shifti leo saa ngapi
Anonymous   |2010-09-07 19:36:49
ana hasira utadhani kabakwa na mbwa koko kutwa kujidai na US, vimiji wanavyoishi
ovyooo, kazi 24/7 hana hata muda wa kujiachia stress zako mpelekee bibiyako
kijijini, huyo unayemletea miswaki, we ndo nunda dot com!!
anony   |2010-09-08 01:14:01
wivu??? are you serious???? hahahahahaaaaa.... uliza lingine kama huna swali
usiandike kitu..
anony  - re:   |2010-09-08 01:15:21
Anonymous wrote:
ana hasira utadhani kabakwa na mbwa koko kutwa kujidai na US, vimiji
wanavyoishi ovyooo, kazi  24/7 hana hata muda wa kujiachia stress
zako mpelekee bibiyako kijijini, huyo unayemletea miswaki, we ndo
nunda dot com!!




Nitakupatia wewe naona una shida nao... nenda na wewe ukajidai nayo
hiyo US kama dili wivu ukuishe!
anony  - re: re:   |2010-09-07 12:46:34
wivu unakusumbueni..paki na wewe uende huko us au ulaya ukaringe nini
kuropoka..pumbavu!
Anonymous   |2010-09-07 19:42:23
hata sie tunaishi majuu vilevile msidhani nyie tuu ndo mlikwea pipa, hayawani
weye dege lisiloliwa muonewe wivu kwa kipiii? kwani huko marekani mnafanya kazi
white house?? au kazi kuosha mikojo na mavi? then mnaenda kurusha waturoho
facebook hamna kituu! tumeni hivyo vicent msaidie kwenu kwenye dhiki kuu!!
anony   |2010-09-08 01:11:58
jajajajajajaa....! mtakufa siku si zenu nyie poleni hahahaaaaaaaaaa.....kelele
za chura hazimzuii tembo kunywa maji ..
its so funny kuona kero zenu zisizo na
kichwa wala miguu wala kiuno...
Anonymous  - re: Tesa   |2010-09-06 21:45:48
Tesa wrote:
asiyefahamu nani kuwa wanawake mna roho mbaya sana! Kutwa mnapenda kuona
wanawake wenzenu wanateseka na kuzeeka kwa matatizo.

Hamuwezi vumilia mwanamke mwezenu akiwa na maisha mazuri, mume mzuri
elimu nzuri. Roho zinachemka wivuuuuu...... Mnatamani kumwiga
hamuwezi, mnatamani hata kumuiba mume wake kama mlivyozoea. nina
hakika wanawake kibao tanzania wanatamani wampate mumewe.. yaani uwe tu
hata nyumba ndogo kama mlivyozoea. Yaani mtembee naye ili tu
aumie roho kama mnavyozoea kufanya, hata kama ikigharimu utu wako!
Sehemu kubwa Dar imejaa cheap women, wakivizia wanaume wenye hela ili nao
waonekane wako juu!!! Hamna lolote! Swallow it guys hamuwezi kamwe,
hii ni beyond your reach... hata kama mkiweza mtaishia kuwa the other low
woman.Hamuwezi funga ndoa kama ile, wala nini, kwanza wakuwaoa wako
wapi????

Acheni roho mbaya wanaw...
Anonymous  - re:   |2010-09-06 21:48:27
Anonymous wrote:
umenena..WAnawake wa kitz wana wivu mno! mtu huwezi kukubali na kusifia
panapostahili lazma mtatafuta cha kupond! vidole
havilingani..penye sifa papewe..mange unamaisha mazuri sana
Mungu kakujalia una akili umesoma mlee mwanao na mumeo nakutakia kila
la heri..wabongo kila kitu kwao lazma waponde nadhani ushawazoea..



yaani wivu umewajaa kweli hata kama mko ulaya hamna maisha kama ya
mange, mnahangaika usiku na mchana na kazi tatu tatu mnachoka ka mbwa
koko anaesakura majalalani
Anonymous  - re:   |2010-09-06 21:51:41
Anonymous wrote:
Wewe wa scanavia sijui US na huko maulaya hata kama huko kwenu hospital
kama hizo making na maqueen wanatumia sio
dubai-UAE.....unajua Dubai/Japan ni nchi ambazo mtu anaweza
kuingia anavyotaka kama vile k/koo na mbagala lakin
wewe mfanyabiashara unaeingia na kutoka ni wachache wenu ambao mnamudu
kuishi hapa na familia zenu.....Hizo nchi ambazo mnaishi nyinyi
huko ulaya/US ni rahisi mtu kuisha japo kuingia muda mwingine inakuwa
ni kazi kidogo....

KWAHIYO MAISHA YANATOFAUTIANA....IKIWA MANGE
ANAENDESHA RANGE ROVER DUBAI...NA KUZALIA AMERICAN HOSPITAL NA HATA
ZILE NYOMBA ALIZOPOST KUTUONYESHA HUYU NI MTU WA MAISHA MENGINE JAMANI
...Kubalini tu.

CHA MSINGI AMEZAA SALAMA BASI, TUNAMSHUKURU MUNGU



tena hasa hao wa ulaya na americana hamumfikii mange ng'ooo mtaosha
vibibi miaka mia na hamtoweza ufala tuu, mashuzi yenu pelekeni facebook
Anonymous  - re:   |2010-09-06 21:55:24
Anonymous wrote:
Misnifananishe maisha ya kwenu na maisha ya dubia ni tofauti...wewe
ulizalia american hospital sweden..huwezi zalia hapa dubai hata siku
moja....



mwambie huyo fala tena alibahatika na wala sio kivile, ni public
hospital tuu alienda, vile alishazoea mwananyamala kufika ulaya anadhani
ati kaenda hosp ya queen unajeuri pimbi wewe? wewe umeandikiwa vya
public tuu full stop!!
Anonymous  - re:   |2010-09-06 21:56:27
Anonymous wrote:
Mange muadhinie mtoto we ni muislamu, muandinie hata wewe mwenyewe unaweza
sioni la ita shehe.


mmeanza!! babake ni mkristo!!
Anonymous   |2010-09-07 08:57:40
hawa ndio nisiowapenda mie, kwanini mnaingilia mipango ya baba na mama kuhusu
dini ya mtoto?
Anonymous   |2010-09-07 13:47:02
MADOGO YANA NAFUU MTAJITWISHA MPAKA UKUWADI SASA HUO MHADHANA UMEAMBIWA LANCE
NAE MUISLAMU AU NA MAISHA YAO HATA KAMA MANGE AMEFANYA SAWA WEWE YANAKUHUSU
OVYOOOOO KAMA TAMBALA LA DEKI
katarine   |2010-09-07 03:10:49
Tesa - Tesa

NAKUBALIANA NA WEWE ASILIMIA MIA MOJA

MWENZIO AKIJAALIWA MSIFIE NA
MSHUKURU MUNGU KWA HICHO HICHO KIDOGO
ALICHOKUJAALIA

TUPENDANE JAMANI

MBARIKIWE WOOTE
Anonymous   |2010-09-07 11:27:41
Nice! Niko will be happy...
Anonymous  - re:   |2010-09-07 11:31:25
Anonymous wrote:
Hahahah huyo anayedanganya nano? Hakuna American hospital Sweden nimeishi
miaka ishirin najua kona zote hatuna mambo ya private hispitals huku.
Wote tunajitinga humo humopublic hospitals ña tunapata the best of
care...


haya wee yaambie hayo machakubimbi kutwa kujicompare na mwenzao pyuuu,
mtaenda saana public hospital hizo ndo hadhi yenu na nyie wa huko
US ndio kabsaa, mmefulia public hospital ndo uwezo wenu msijisheue
humu ndani!!
Anonymous   |2010-09-07 12:55:05
Jamani msifananishe maisha ya UAE na Ulaya. Maisha ya ulaya rahisi sana. UAE
kila kitu gharama, nyumba kodi juu, elimu ni juu. tukatae tukubali Mange ana
maisha ya juu sana, maisha ya wenye visima vya mafuta ni balaaaaaa. kilicho
rahisi UAE ni mafuta ya gari tu.
Anonymous  - re: re: re:   |2010-09-07 19:32:23
anony wrote:
Anonymous wrote:
anony wrote:
nyang'au mwenyewe!!!


kenge mfu wahed kimekutachi hee!! na badodo mezeni topaz!! laana kum!!



utakufa nalo..na bado mtasema sana!! wa US wa ulaya lkn tukitua DIA
macho yamewatoka kutuomba hadi miswaki tunayopewa bure ktk flights
nyama wewe!!!



nyama alokuzaa, unadhani humu ndani wote waonacomment wanaoishi bongo
tu?? niko toronto nahela ya kutosha na sichambishi kama wewe kiuno jug
fala wee
anony   |2010-09-08 01:01:45
mbona mnawaka sana vijana mna matatizo gani enh??? kama mna hasira wa watu wa US
na ulaya..chukueni biki mtafute siafu muwatoboe..you will feel better! kuropoka
humu haisaidii tayari wapo huko na nyie endelezeni yenu bongo mzidi
kufanikiwa!
na wewe mdau unayesema uko toronto mbona una stress sana
huh??:-)..:-), wenye hela zao hawajitangazi tunaona tu mapigo yao na kupigia
mstari majibu wenyewe ..wee endelea kuringa na change unazopata wenzio wakiishi
maisha yao..pole sana nenda Tanzania kapumzike urudishe akili zako timamu!
Anonymous   |2010-09-09 04:35:13
na ungenijua ungejua mapigo yangu una kwaishakoo ya ubongo wewe, rudi we ndo
urudi bongo ukatoe stress za kunusa nusa mavi kila saa, shawin sana
anony   |2010-09-09 14:31:34
lol! isiwe tatizo ndugu..naona unataka sana kuonekana una pesa ila huna pa
kuweka matangazo. Nenda Fox News watakutangaza
Anonymous  - re:   |2010-09-09 04:31:36
anony wrote:
mbona mnawaka sana vijana mna matatizo gani enh??? kama mna hasira wa watu
wa US na ulaya..chukueni biki mtafute siafu muwatoboe..you will
feel better! kuropoka humu haisaidii tayari wapo huko na nyie
endelezeni yenu bongo mzidi kufanikiwa!
na wewe mdau unayesema uko toronto
mbona una stress sana huh??:-)..:-), wenye hela zao
hawajitangazi tunaona tu mapigo yao na kupigia mstari majibu wenyewe
..wee endelea kuringa na change unazopata wenzio wakiishi maisha yao..pole
sana nenda Tanzania kapumzike urudishe akili zako timamu!




uanze kurudisha kwanza zakwako kwa ajili ya hiyo harufu ya mavi
uliyokremu kwa kushinda kwenye mavi, minyoo inakuwasha sioeeh kanywe
anteper, wenye hela kibao wanajitangaza fala jike weee!! unikome kama
ukoma
anony   |2010-09-09 14:26:40
huna sera..kalale
Anonymous   |2010-09-09 11:24:17
ha ha haaaa uwiiiiiiii
Anonymous  - re:   |2010-09-10 02:26:44
anony wrote:
huna sera..kalale



mbilimbi mbovu wee ukiguswa unatoboka!! domo kama sahani ya mbwa! shwain
wahed
Anonymous  - re:   |2010-09-10 02:28:21
anony wrote:
lol! isiwe tatizo ndugu..naona unataka sana kuonekana una pesa ila huna pa
kuweka matangazo. Nenda Fox News watakutangaza



changanya mironjo kule, pasnanuu mkubwa!
mama nanihino   |2010-09-15 13:50:40
sasa wewe mama kenzo mbona unajiandikia mwenyew hizo status nzuri c utuache
majaji tufanye kazi yenu..nway leo mtoto wako na msalimie da subira
ulimbukeni
mbaya ndugu usiufanye tuko wengi tunaoishi maulaya na tumezaa hospital kwapesa
lakini kimyaaaaaaaaaa... nahasa huko arabuni ndio usijisifu kabisa mana mpk
nyumba na gari mnapewa vya kazi SIO VYENU so tuliza mcheche mzungu akustiri
huyo. cku njema mpenz.
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook