Who's Online
We have 374 guests and 1 member online
  • Fleetaves
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday6740
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week6742
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month53814
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933381
Login



BEFORE AND AFTER KENZO....
Written by Mange   
Friday, 03 September 2010 16:56

Uncle Sheriff and daddy keeping mommy company while waiting for Baby Kenzo...

 

daddy to be waiting and waiting...lol

 

mommy,killing time watching grey's anatomy..i loved the American Hospital

first class hospital...just awesome....

 

4hrs after he was born...just hanging out...lol

 

hey cutie we r going home soon....

happy mommy...

my son,kenzo....my heartbeat...

leaving the american hospital....

 

about to leave

 

 

 

father and son...daddy cant cant stop smilling....

me and my boyz....

At home, Kenzo meets his full time nanny, dada Subira....

Comments
Add New Search
Anonymous   |2010-09-03 12:21:18
Congratulations Mange, God bless u!!!!!!!!!! Cute family.
JESTINA     |2010-09-03 12:26:45
MANGE HONGERA SANA MPENZI. MUNGU AWABARIKI NA AWAKUZIE. ENJOY EVERY MINUTE. HE'S
SUCH A SWEETIE PIE. MWAHH TO BABY KENZO.
Anonymous   |2010-09-03 12:34:30
hongera zako sana wewe na mumeo kwa kweli acha tu ni raha sana, na hiyo hospital
ni matawi ya juu sana utadhani holiday inn ha ha haa, umependeza sana utadhani
unaenda mtoko flani kumbe ndo umetoka kujifungua, hongera kwa kujiweka sop sop
sio mikanga hadi machoni, hii style lazima nicopy
Hilda     |2010-09-03 12:35:35
Hongera sana Mange, He is so cute jamaniiiiiiii
eva   |2010-09-03 12:35:41
I adore your life Mange..u look so happy. Mungu akupe baraka zake ailinde na
familia yako. xoxo
Anonymous   |2010-09-03 12:54:57
Wow, I love the hospital and gal you like like a million dollari kwa kweli. Hv
inakuwaje wengine wakijifungua they look as if they just stepped out of a
modelling shoot na wengine utasema wanasubiri kupiga chafya?? Hongera my dear
you look lovely and the cute lil man hata siwezi kusema zaidi, hongera mnoo
jivunie mama.
KATARINE   |2010-09-03 12:55:02
MANGE MIMI HIYO HOSPITAL TU NIMEPIGA PICHA YA MWANANYAMALA YETU DU BADO SANA
KWETU

HONGERA SANA SANA MAMA WEWE NA MUMEO
Anonymous   |2010-09-03 13:54:22
sis tunaozalia majuu kama USA sio big deal kwetu
hongera sana mtoto kafanana na
baba jamani dadake yuko wapi?
Anonymous   |2010-09-03 20:21:30
WEKA PICHA:::::::::::;;;;;

MAMAK HONGERA
Anonymous  - re:   |2010-09-03 13:05:44
KATARINE wrote:
MANGE MIMI HIYO HOSPITAL TU NIMEPIGA PICHA YA MWANANYAMALA YETU DU BADO
SANA KWETU

HONGERA SANA SANA MAMA WEWE NA MUMEO


hahahahaha nimecheka nusu nikojoe yaani umecompare na mwananyamala? We
mdau kweli chizi.
Anonymous   |2010-09-03 13:19:46
u luk fab n sexy yani hata umetoka kujifungua kweli wewe dada u belong to a
celebrity world..hongera sana mtoto is too cuteee sipati picha kakizidi
kukua..

hongera tena mama KASSANDRA N KENZo a.ka mama KK!
Anonymous   |2010-09-03 16:51:56
itakua ni mama CK maana ni CASSANDRAH na sio KASSANDRA! halafu kwanza jina lake
haswa ni Bhoke so inaweza ikawa MAMA BK vile vile!
Anonymous   |2010-09-03 20:23:06
uwiiiiii wadau mna maneno kha nimecheka mno asante

au basi mama BHOKENZO
Anonymous   |2010-09-03 13:22:10
shyttt mange u r just living a super duper life, tell me who wouldnt want ol
this n more. congs gal for bringing bby kenzo to this earth btw u r soo lookng
good, sexy mama ol the way. mungu akujaalie kila la kheri na akuondolee kila
baya mama kenzo.
eeeh jamani tuombeni bahati na si uzuri..lol
Anonymous   |2010-09-03 13:24:17
duuh nanny msafi na mrembo mpaka rahaa, amlee kenzo wote kwa upendo inshallah
Anonymous   |2010-09-03 13:57:01
LAZIMA APATE FULL TIME NANY MANGE IS READY TO HIT THE ROAD USIFANYE MCHEZO NA
MAMA UTURN HAPIKI WALA ALEI MTOTO.YEYE NI KUJIRUSHA TU KAMA DUNIA INA END KESHO
;)
Anonymous   |2010-09-03 13:34:55
Hehe nimeiona moses basket ! sasa mashauzi ndio yameanza asiye mwana aeleke jiwe
hongera mwaya sijui suala la kunyonyesha na nido za kichina itakuwaje
Anonymous   |2010-09-03 14:04:21
haswaaaa! mtoto kwenye moses basket thats watz up tena ina handles. bab kubwa!
ungekuwa bongo mashoga zako machangu wasio olewa WENYE MABUZI KILA CORNER
wangeishia kumchungulia hivo hivo kama nany ingawa nanny atambeba off course
lakini kwa wale .......... wangeishia kumchunguria hivo hivo.
Anonymous   |2010-09-03 14:10:53
Maana ya jina "KENZO" ni nini? Naomba kuelimishwa.
Anonymous   |2010-09-03 15:21:22
Origin and Meaning of the Name Kenzo

Gender: Boy

Origin: Japanese


Meaning: Wise and three
Anonymous   |2010-09-03 16:34:33
Mange nafikiri kajikurupukia kwa kina kimora hata maana haijui.. Nice baby...
Anonymous   |2010-09-06 19:49:36
Hata huyu kuna shogaye ana mtoto Kenzo kule facebook mtoto point 5 Kama kamdoli
ndo kule atakuwa kalitoa. Watoto wengine jamani wazuri Kama pipi wanakufaya mtu
utafute ma Point five.
Anonymous   |2010-09-06 20:06:21
Mwambie Mange akuulizie alipolitoa manake site za majina miyeyusha yaweza Kuwa
ina maana ya ajabu...
DADA   |2010-09-03 14:40:39
na hadithi ya kikopo ikaishia hapo.. hadithi hiyo inatufundisha nini? kwa kweli
usikitupe kwa sababu mwakani tu utakitafuta Mange, labda ukaidi amri ya Mungu
kuwa mkazae muongezeke muijaze nchi..
Anonymous   |2010-09-03 15:50:10
hongera, haya watoto wawili mweusi na mzunguuuuuuuuuuuuu
Anonymous   |2010-09-06 20:02:36
Inahuuuu?
Anonymous   |2010-09-03 15:51:01
MBONA UMETOKA MAPEMA HOSP?? AU MAMBO YA PESA??
Anonymous   |2010-09-06 13:43:15
Sa kama anajisikia vizuri kwa nini aedelee kulala hospitali??
unafikiri kama wewe uliyelala temeke wiki nzima!!
Kitobelo  - Beiiiiiiiiiiiiiiiiiiiib bwoooi   |2010-09-03 16:00:18
CONGRAT ... atlast jameni mpaka rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.... utamuuuuuuuuu


kila heri ktk kumlea Kenzo.
Anonymous   |2010-09-03 16:06:29
Umezaa chapu chapu kweli, inaelekea umezaa natural maana mtoto amezaliwa siku
hiyo hiyo na kuruhusiwa.you lucky girl I wish na mie nije kuzaa hivyo faster
faster.
Anonymous   |2010-09-03 16:09:29
mange unahaki ya kufanya mashauzi mambo yako makubwa siyawezi bibi,unafunika
mwenzetu na shughuli unaziweza mimi hapa namimba ya miezi 3 hata kuchana nywele
siwezi nikikaa nimekaa kuoga mara moja kwa siku tena kwa kusukumwa na nilikua
hodari kweli nikijipenda ila sasa mambo tofauti,hao mashoga zako wangekuonea
wivu tu wenyewe hawazai wala hawaolewi mabuzi all over kina H,MI CHICHEMI MANGE
USIJE NIBANIA,,,,
Anonymous   |2010-09-03 16:52:35
mdau wewe ni mchafu wa kuzaliwa mwanamke mzima full kunuka kikwapa,oga bibi
unamuona mange anavyowaka
Anonymous   |2010-09-03 17:29:11
sio mchafu mimba changa unaijuwa weye! inavopelekesha ????.wengine hawana mimba
hawachani nywele kutwa mawig na lessfront embu nieleze wenye lessfront wanachana
nywele ? mimba ikifika miezi minne ndo afuweni
Anonymous   |2010-09-03 18:19:15
UKIANGALIA KWA PICHA, UNAJUAJE KAMA MANGE HANA KIKWAPA.....
Anonymous   |2010-09-03 16:50:47
you look sooooo fabulous.hee utafiikiri umeenda dukani kumnunua mtoto,wengine
tukisha kuzaa sura inakuwa kama unataka kulia,unakuwa na machovu juu ya
machovu.lakini mwenzetu unaonekana super tu.hongera sana,you are so lucky.mzungu
usimuache.Wanaume wa kibongo ni miyeyusho tu.
suzy  - congratulation!   |2010-09-03 17:05:19
hongera mange!!!!
but mbona ujatutangazia mshindi mwenye hit ya 1000000
Anonymous  - re:   |2010-09-03 17:26:48
Anonymous wrote:
mange unahaki ya kufanya mashauzi mambo yako makubwa siyawezi
bibi,unafunika mwenzetu na shughuli unaziweza mimi hapa namimba ya miezi
3 hata kuchana nywele siwezi nikikaa nimekaa kuoga mara moja kwa siku
tena kwa kusukumwa na nilikua hodari kweli nikijipenda ila sasa
mambo tofauti,hao mashoga zako wangekuonea wivu tu wenyewe hawazai
wala hawaolewi mabuzi all over kina H,MI CHICHEMI MANGE USIJE NIBANIA,,,,


Wewe ni mchafu period.......usisingizie mimba. Mimi mimba sasa miezi 7
lakini kujipenda mwili wangu kama kawaida.Mwanamke usafiiiiiiiiiiiiiiiii
Anonymous   |2010-09-03 17:35:32
IKIWA CHANGA INATEGEMEA WATU WENGINE KUOGA MALA MOJA TU SI UTANI NYWELE
VINTUNGUUU NONESTOP.
KUANZIA MIEZI 4 MPAKA 9 INAKUWA TOFAUTI MSOSI UNAKULA
UNAVOTAKA NA KUJIPENDA NDO USISEME KUSHOW OFF KIBENDI ILE MBAYA.
Anonymous   |2010-09-04 01:45:43
watu wengine viherehere unajua mimba changa au unasikia wewe?mange hii mimba ya
2,mimi hata kunyanyuka siwezi kizunguzungu mda wote na kichwa kuumwa kila nikila
natapika nikijaribu kuchana nywele kizunguzungu kizsi kwamba nimezikata kabisa
wanawake wengine mnongea tu hta hamjui nini mnaongea
Anonymous   |2010-09-06 11:47:12
mimba hata ikiwa ya nne huwa zinasumbua zote..nimeteseka mimba zangu zote 2 tena
ya pili was worse
Anonymous   |2010-09-04 01:48:33
KWELI MIMBA CHANGA HUWA ZINASUMBUA UTAKUA SAWA KUANZIA MIEZI 6 NA KUENDELEA NA
KAMA MARA YA KWANZA POLE DADA NAELEWA USEMACHO KUOGA HUWA NI KAZI UNATAKA ULALE
MDA WOTE
Anonymous   |2010-09-03 17:31:50
congrats ndoa ndo ishajibu! when u have a supportive, loving, and caring hubby
like Lance lazima upendeze....mijianaume ya kibongo ukizaa all they think about
sasa uroda lini......
J  - Ms   |2010-09-03 17:56:10
Mad congrats Mange.
Anonymous   |2010-09-03 20:30:29
siamini dada subira umekua nanny! jamani kujijibisha maccoment yale yote ya
kumchamba Mange nilijua utanipa hiyo kazi. ila haina noma.
kweli nimeamini
subira yavuta heri dada


hongereni sana, baby kenzo
very cutieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Anonymous  - re:   |2010-09-03 21:58:53
Anonymous wrote:
MBONA UMETOKA MAPEMA HOSP?? AU MAMBO YA PESA??


Ukijufungua salama bila complications zozote sehemu nyingine hawakuweki
more. Huku kwa Obama kama umejifungua kawaida watakuweka at least
three or two days depending na hospital. Wengine wanatokaga mapema
cause mambo ya fwedha, everyday unapokaa bili inaongezeka.
Anonymous   |2010-09-04 00:37:04
Haya wadau mnaopenda kushindana kazi kwenu, Mtajiju MANGE IS THE BEST hutaki BE
MY GUEST.........!
Hakuna cha marekani wala Uk hapa ni mamge mange supastaa wa
kibongo anaetesa majuu! Kama mnabisha tuonyesheni watcha got kama hamjaishia
kukopa.
na wewe mdau unaedai jina kaiba kwa kimora na kimora aliiga kwa
nani? Jirani yako au?
Anonymous  - re:   |2010-09-04 03:28:16
Anonymous wrote:
shyttt mange u r just living a super duper life, tell me who wouldnt want
ol this n more. congs gal for bringing bby kenzo to this earth btw u r
soo lookng good, sexy mama ol the way. mungu akujaalie kila la kheri
na akuondolee kila baya mama kenzo.
eeeh jamani tuombeni bahati na
si uzuri..lol



haswaaaaaaaaaaaaa!!!
Anonymous  - re:   |2010-09-04 03:30:34
Anonymous wrote:
Maana ya jina "KENZO" ni nini? Naomba kuelimishwa.


sachi google bibi utapat hata maana halisi ya jina lako! babynames.com
Anonymous   |2010-09-04 05:34:31
best of luck mange! mtoto kafanana na babake kwelikweli!
take ur 1 year umlee
baby fully matunzo! mtoto ana raha yake bwana starehe haziishi. Mlee ili akikua
ajue kuwa amelelewa na baba na mama sio kama casandra, amemiss dady luv ana mama
luv wakiwa pamoja.

Congrats Mange! ur super duper.
Mdau - Fatma Amani.
fee   |2010-09-04 05:47:49
Wow wow congs mange wenye wivu wajinyonge
Anonymous   |2010-09-04 07:09:03
i dont no how du i explain my fillings! for ril nimefurahi utazani mimi ndo
nimetoka kujifungua! hongera sana Mange then mtoto mzuri sana ana afya nzuri
amefanana sana na Dady wake! Mungu akukuzie ur swit [color=blue]KENZO.
Anonymous  - re:   |2010-09-04 07:21:45
Anonymous wrote:
sis tunaozalia majuu kama USA sio big deal kwetu 
hongera sana mtoto
kafanana na baba jamani dadake yuko wapi?


Binadamu mna matatizo. ukisema hongera tu utapungukiwa nini?? mpaka useme
sisi tuliozalia majuu kam USA sio big deal kwetu looh!!!!! weka picha
na wewe tukuone
Anonymous   |2010-09-04 13:47:45
nilimjibu huyo mwenye kupapatia hospitali wewe kimekuwasha nini mwanangu wa tatu
nimemzalia WASHINGTON HOSPITAL CAPITALI YA U.S.A hata politician wa U.S.A
wanatibiwa hapo uwezi ilinganisha na hii na wa kwanza nimemzalia FRANKLIN SQUARE
HSPTL sasa mimi sawa na nyinyi mnaopapatikia hii ya dubai? na waTZ sote
tunaoishi majuu ndo hospitali zetu tena hata siku mbili au tatu tunajiachia tu
hsptl bill inalipwa na goverment kwani tumezaa raia wa USA so kama hamna fwedha
wala hatutii shaka hata kama surgery bill iwe elfu 20$ inalipwa na goverment
kisa cha kutoka haraka haraka sisi kwetu hsptl za kifahali ni kama kwenda bafuni
.na picture si weki sio big deal kwangu ;) ;) na pesa ninayo ninasave najenga
hotel bagamoyo ndo mana silipi hsptl si raia wao??????kodi nayolipa usa kwa
mwaka inafika $70.000 inawatosha hiyo.
Anonymous   |2010-09-04 16:08:39
haaaaaaa kimekukwama bishosti pole weeee hebu wahi shifti bishosti uwiiiiiiii
mama BHOKENZO bakoraaaa kama kawa hahahaha

Halafu tushakujua wewe sio
nanihiii wewe kujifungua hicho kitot cha kibabu cha kizungu hahaha wewe
tutakuanika...hahahaha CHEZEIYAAA mange mtot wake km mkewe lance wapiiiiii
Anonymous   |2010-09-04 16:25:46
WIVU UMEKUTINGA UNATAMANI ADI UFE...BABAKO KAFA ATA BAISKELI HANA..ETI
HOTEL...NYOOOO!ACHA WIVU BIBI WE PENYE MAZURI SIFIA ROHO IMEKUKUNJIKA KAMA
UMETOKA JEHANAMU LOH!
Anonymous   |2010-09-05 10:26:10
una wivu sana..wewe uko USA umezalia huko its normal residents wa huko kote
wanazaliwa kwenye such hospitals so it aint a biggie bt kwa DUBAI its uckin yeah
coz sio wote wanazaliwa such hosp mpk uwe na insurance ya maana umenikamata???
Anonymous  - re:   |2010-09-04 08:52:22
Anonymous wrote:
mange unahaki ya kufanya mashauzi mambo yako makubwa siyawezi
bibi,unafunika mwenzetu na shughuli unaziweza mimi hapa namimba ya miezi
3 hata kuchana nywele siwezi nikikaa nimekaa kuoga mara moja kwa siku
tena kwa kusukumwa na nilikua hodari kweli nikijipenda ila sasa
mambo tofauti,hao mashoga zako wangekuonea wivu tu wenyewe hawazai
wala hawaolewi mabuzi all over kina H,MI CHICHEMI MANGE USIJE NIBANIA,,,,
...


mmh wewe dada mchafu..!! tena sio kidogo...utanuka shoga??! unaoga
mara moja ??? na ukute unaishi dar ?? LOOLL...utavunda mpenzi
!!na kuchacha kabisa !!
Anonymous   |2010-09-04 13:50:10
wewe ni sawa na wale wanaotowa mimba changaaaa hawajui hata joto ya mimba
inavopelekesha au haujawai pata mimba full stop
Anonymous   |2010-09-05 10:27:05
shosti hujazaa wewe na omba usipate hiyo mimba ..first trimister inatesa sana
unaongea jambo ambalo hulijui
Anonymous   |2010-09-04 09:03:11
Mama Kenzo naomba kuuliza, nafuatilia kuanzia una mimba changa na ulivyofanya
mimba si ugonjwa, nimejifunza mengi sana, umejifungua natural maa? If yes umevaa
nguo nyeupe sana vip MP? si utachafuka?? Nauliza jamani sijawahi zaa wala
kushika mimba naogopa balaa ila mange kanipa picha tofauti sana kuhusu kuuleta
uhai duniani! Wenye uzoefu nao mnijibu ila si kunitukana plzz! all da best Mange
Anonymous   |2010-09-05 10:28:16
MP si unavaa pedi jamani??unaweza kununua extra large mimi hata nikiwa kwenye
period huwa navaa nguo nyeupe na sijichafui and btw hiyo damu anayotoa sio MP ni
damu chafu MP inakuja kurudi akishapunguza kunyonyesha
Anonymous   |2010-09-04 09:57:04
mdau, yes, nimejifungua kawaida no c-section...ila nimecheat kidogo kwenye mambo
ya pain, nilifanyiwa epidural...lol...

mange
Anonymous  - re:   |2010-09-04 10:49:02
Anonymous wrote:
mdau, yes, nimejifungua kawaida no c-section...ila nimecheat kidogo kwenye
mambo ya pain, nilifanyiwa epidural...lol...

mange




be ready kwa maumivu ya mgongo au magoti! hata mimi niliomba epidural
ila mgongo sina hamu nao.
dd  - msadaaaaaaaaa     |2010-09-04 12:32:19
anony uliyempa ushauri Mange akae tayari kwa maumivu ya mgongo na magoti. naomba
msaada wakooooo. mimi nilipata epidural pia. jamani tangu nimeipata sina amani
na mgongo. na pia naumwa magoti sanaa. yaani nateseka na magoti ajabu. wakati wa
Winter nakuwa kama kilema, viatu virefu sivai tena. niliwahi kusikia kutoka kwa
watu kuwa mgongo umesababishwa na epidural. lakini nilikuwa sijawahi kuambiwa
kuwa maybe na magoti chanzo chake ni hicho. je na wewe unatatizo hilo la magoti?
na yanaumaje? na je unavaaga viatu virefu? nisaidie kunielewesha ndugu.
wako
mdau
DENMARK.
Anonymous   |2010-09-04 13:54:57
mimi niliezalia washington hsptl wala niko powaa na mazoezi nilianza two wks
latter ila miguu ilivimba fo a wk kama matende sema wanake wengi wanapata
matatizo ya mgongo ni kuomba mungu its a big risk kuchezea mgongo ila wakati
tunauchungu hatukumbuki hayo.
Anonymous   |2010-09-04 11:23:06
Huyu mtoto alikuwa anasubiriwa na ulimwengu mzima wa Tanzania. Tena in three
ways. Ubaya, Uvuguvugu, Uzuri. Sipati picha kama ungejifungulia Tz, hao wageni
wangejaaje nyumbani kwako. Ingebidi uweke visiting hours n vigezo vya ku-qualify
kuvisit....tehetehetehetehe.

P.S Kwa yeyote atakayenishushua,"K*@^& la
mama yako"
Anonymous  - re: re:   |2010-09-04 11:27:05
Anonymous wrote:
Anonymous wrote:
mdau, yes, nimejifungua kawaida no c-section...ila nimecheat kidogo kwenye
mambo ya pain, nilifanyiwa epidural...lol...

mange




be ready kwa maumivu ya mgongo au magoti! hata mimi niliomba epidural
ila mgongo sina hamu nao.

Maumivu ya mgongo ni lazima ukishajifungua, whether umetumia epidural or
not. Ile weight yote ya mtoto unayocarry around for nine months
sio mchezo. Kila mtu ana experience vitu different after delivery
depending na mwili wako nk
Anonymous   |2010-09-05 10:31:52
sikupata maumivu ya mgongo after kujifungua watoto wangu wote wa3..sikupigwa
epidural though ilikuwa natural birth without kwa zote na sijawahi sumbuliwa na
mgongo..mgongo ulliuma the last month kwenye mimba zangu zote bt immediatly
nilivoshusha engine ikapoa kabisa..
Anonymous  - re:   |2010-09-04 11:33:02
Anonymous wrote:
Mama Kenzo naomba kuuliza, nafuatilia kuanzia una mimba changa na
ulivyofanya mimba si ugonjwa, nimejifunza mengi sana, umejifungua natural
maa? If yes umevaa nguo nyeupe sana vip MP? si utachafuka?? Nauliza
jamani sijawahi zaa wala kushika mimba naogopa balaa ila mange kanipa
picha tofauti sana kuhusu kuuleta uhai duniani! Wenye uzoefu nao
mnijibu ila si kunitukana plzz! all da best Mange


Ukijifungua ndio unableed for a while ila it doesn't mean you can't wear
what you want. Kuna pads unapewa au unaweza kununua special
kwa mahitaji haya hata unitumie za kawaida ni usafi wako tu. Mimi hata
kabla sijajifungua nilikuwa navaa nyeupe wakati wa period, inategemea na
your comfortability level mdau.
Anonymous   |2010-09-04 15:40:55
nime notice humu kuna mijitu miswahili alafu inajifanya babkubwa sasa cjui U.S.A
hospital U.k hospital in my ass.. Ili iweje badala ya kumtakia mwenzenu ulezi
mwema mnaleta compttn za kishamba wekeni picha zenu 2one nyie ndio wale wenye
roho za kwanini mtajiju na mtajibeba mwaka huu .mdau Uk
Anonymous   |2010-09-04 17:39:53
Dada nakuunga mkono...

Mnachotakiwa ni kutoa Congrats za nguvu, mwenzenu
kajalia kuwa mama, such a great thing.

Mahasidi wape kitu wakae...mtajibeba
na roho zenu mbaya.
Anonymous  - re:   |2010-09-04 21:01:28
[]mdau, yes, nimejifungua kawaida no c-section...ila nimecheat kidogo kwenye
mambo ya pain, nilifanyiwa epidural...lol...
AHSANTE KWA KUNIJIBU MAA! U CAN
GIVE BIRTH FOUR HRS LATER POSING FOR NICE PIC! HONGERA SANA, NIKISHIKA MIMBA
NITACOPY NA KUPASTE UNGANGARI WAKO! EPIDURAL NDO NN? NIELEZEE KIDOGO
Mi   |2010-09-05 12:24:07
Sindano unachomwa uti wa mgongo halafu unakuwa paralysed kwahiyo husikii kabisa
maumivu ya kuzaa wakati mtoto anataka kutoka. Pia sio kitu cha kuchezea
inafanywa na anasthesic prof au utajikuta unakaa will chair maisha.. tena kwa
bongo nisingekubali epidural hata siku moja mara kumi wakufanyie c-section..
Anonymous   |2010-09-05 14:27:29
kwa sie tusioelewa hiyo epidural sasa kama umeparalayze una push vipi?
Anonymous   |2010-09-06 19:57:46
yani kila maumivu ya uzazi(contractions) unavyopata badala ya kusikia maumivu
unaskia tu Kama kitu kinasukuma tumboni kwa hiyo kikisukuma ndo contaction hizo
na wewe unapush hapo hapo, kunakuwa na midife wa kukuelekeza...
Anonymous   |2010-09-05 14:49:25
najifunza mengi mie usafi ukiwa na mimba kujipenda urembo uwe pale pale mtoto na
kile ki moses kikapu mara tena epudural ahahahahahhh asante mange nitaiga vyote
hivi once nikipata mimba,
Anonymous   |2010-09-06 19:58:49
Iga ufe ndugu yangu mengine si ya kuiga...
Anonymous  - re:   |2010-09-05 19:24:44
Anonymous wrote:
nime notice humu kuna mijitu miswahili alafu inajifanya babkubwa sasa cjui
U.S.A hospital U.k hospital in my ass.. Ili iweje badala ya
kumtakia mwenzenu ulezi mwema mnaleta compttn za kishamba wekeni picha
zenu 2one nyie ndio wale wenye roho za kwanini mtajiju na mtajibeba mwaka
huu .mdau Uk


umeionaa eeh, yani inatia kinyaa kweli wakati huko majuu kwenyewe, yana
dhiki kwa kwenda mbele ni hizo public hsopital ndo wanaleta nazo
mashauzi humu shwain sana!! pindeni mgongo na vikazi vya kishenzi
manyau shume wahed!!
Anonymous   |2010-09-06 07:35:12
hongera my dear..u luk gorgeous but plz plz nakuomba usisahau kufunga tumbo!tena
kwa khanga macosette hayafui dafu kwa khanga so plz plz...usiache!mwah
Anonymous   |2010-09-06 10:29:33
all the best Mange god be with you always

Ndimi chakubimbi
Anonymous   |2010-09-07 06:07:55
hongera mange nakutakiwa malezi mema na mumeo.ila kaumbushia tu kuwa usisahau
kufunga kanga tunakupenda na tunataka tukuone km zamani na shepu yako.

mama
Bryan
aziza   |2010-09-07 07:15:47
what a beautiful baby boy,God bless yu n your family u look great...dada sikujui
ila leo nimepitia umu kweli wee mfano wa kuigwa.life is short.
Anonymous   |2010-09-07 11:44:33
MANGE YOUR TOO MUCH WAUMIZE ROHO WENYE WIVU WAPASUKE WAFE KWELI UMETULIA WANGU I
WISH IF COULD BE LIKE YOU ONE WHEN I GET PREGNANT I WANT TOOL GUD ALL THE TIME
OOH HAVE A WONDERFUL LIFE AND MAY GOD BLESS UR MARRIAGE
Anonymous   |2010-09-08 06:56:28
Mange umeonesha jinsi ulivyo mwanamke ngangai! Hongera sana na Mungu
akujalie makuzi mema ya wanao keep it up!
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook