|
BIG BROTHER AFRICA YAPAMBA MOTO, WIFI YETU KWA MWISHO NI BALAAA.... |
|
Written by Mange
|
|
Sunday, 29 August 2010 18:30 |
|
siku njema mama kitumbo
Jamani big brother Africa ya mwaka huu inanoga, manake huko ndani tuna malesbian wawili wasio na aibu yani wanatifuana mbele ya kadamnasi
Kinachosikitisha ni kwamba mmoja wa hao malesbian ni wifi yetu merly, ambae ndie girlfriend wa mwisho.
Hivi ni kweli mwisho hajui girlfriend wake analiwa na mwanamke mwenzie?
Ingia humu mdau kuona video
Na
Humu pia
Dunia hii imekwisha kwa kweli, hivi hawa wanawake hawana familia?
EDNA
|