Who's Online
We have 306 guests online
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday6990
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week6992
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month54064
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933631
Login



NATAKA KUJUA TABIA ZA WANAUME WA KIARABU....
Written by Mange   
Thursday, 26 August 2010 20:03

Niaje mama U-turn?
wadau wa u-turn naomba mnisaidie katika hili
Ni kawaida kuwasikia watu wakianisha tabia za baadi ya jamii fulani,utasikia kabila fulani bwn wahuni,au wachoyo n.k.japo inakuwa si kweli kwa  wote.Hasa hasa katika mapenzi nimeshawahi kusoma humu watu wakieleza tabia za waswahili na wazungu.Mm sasa shida yangu ni kujua tabia za wanaume wa kiarabu na tena akiwa anatoka na msichana mswahili..

Uturn

Ntakusaidi kidogo hapo kwa vile nimeshaishi uarabuni kidogo…kwa miaka michache niliyoishi huku sijawahi kumuona mwarabu na msichana mweusi…ukweli ndio huyo…sio mall wala sio barabarani wala sio kwenye hoteli sijawahi kuona…

Wanaume wa kiarabu hawadate wanawake weusi openly.sana sana anaweza kukudate kisirisiri akakupa kila kitu unachokitaka ila hawezi kwenda na wewe popote au kumwambia mtu yoyote…

Mwarabu akiwa na mwanamke ambae sio mwarabu ni mara chache sana tena maran nyingi wanachukua wazungu, wale mablond kabisa, I have seen a couple of arabs hapa at dinner with Caucasian blonde women….

Labda kama unaongelea waarabu wa bongo.ila waarabu wenyewe wa urabuni umkute na mwanake mweusi…sijuiiiiii

Ila wako very attracted to black women,kuna shogangu flani alikujaga kunitembelea huku kipindi flani mbona palikuwa hapatoshi yani walikuwa wanamshangaa huyo rafiki yangu wanatamani wamfate ila wanashindwa,huyo shogangu kafungasha kweli kweli,mambo ya serious junk in the trank…lol …yani walikuwa hawaaamini kuwa yote yak wake…that was the first them niliona mwanaume wa kiarabu totally mesmerized by a black woman and still hawakuweza kusogea kumuomba hata number ya simu…

Comments
Add New Search
mimi   |2010-08-26 15:11:11
ni watu wazuri sana im aunty got married to arabian guy from qatar,they go
public like no one bussiness.im not sure bot dubai.bt niwanaume wazuri i min
inside and outside.
Katarine   |2010-08-27 02:53:49
kula tano huo ndio ukweli Mdau!
Anonymous   |2010-08-26 15:34:08
Waarabu wengi wanaoa wasichana wa kisomali na ni weusi soo sijui Mange anasema
weusi waaje?? Watu wazuri sana kama anakupenda endelea nae tu!!
Anonymous   |2010-08-27 05:01:43
Landa waarabu wa Bongo mie nipo Bahrain sijawahi ona, landa waarabu maskini
wasiokuwa na mahari ya kulipia waarabu wenzao.. Hata Qatar nimekaa sijaona its
quite unusual...
saudia   |2010-08-27 10:13:20
hi upo bahrain eneo gani if u dont mind mie nipo khobar na huwa natembembelea
bahrain mara chache kama wewe ni mtanzania n hutomind then tujuane
Anonymous   |2010-08-26 16:14:38
Wanaume wa kiarabu wana sifa zifuatazo
1. Wake zao hawaonekani
public

2.Wanapenda sana tiGo

3. Wanapenda sana makalio makubwa kutokana
na sababu ya 2 hapo juu.

4. Wana wivu wa kupindukia kwa wake zao,
Anonymous   |2010-08-26 22:54:55
sio wote wanapenda tigo, mbona nao wanongoza kwa kula jicho na wao ni waarabu?
Anonymous   |2010-08-26 16:15:51
kumbe sio mimi tu nilikuwa nashangaa kwa nini sioni couple ya pure local mwarabu
alievaa kanzu na vitambaa vyao akiwa na demu black
Anonymous   |2010-08-26 16:41:05
Ninachojua mm na uzoefu wangu mdogo nao wana lugha chafu na tabia chafu sana,
kila uozo wa tabia uko arabuni nilisikia hata tigo ilianzia uarabuni! kukiwa na
mashindano ya mswahili aliyebobea lugha chafu na mwarabu, atashinda mwarabu, ila
very handsome
Anonymous   |2010-08-26 18:06:57
wanapenda sana harufu ya udi down below kwa damwatima!!!!. shoga ujue
kujifukukiza. na mchezo wa chini pia wanapendelea sana ila wana dharau
kwelikweli hasa ukiwa mweusi tii kama ulokosekana na radi, example my self!!!!
Anonymous   |2010-08-26 19:30:09
mimi kwauzoefu wangu mdogo sijakaa uarabuni lakini huku nilipo kuna waarabu
kwanza ni wabaguzi kupita kiasi wanabagua watu weusi wanaubaguzi hadi msikitini
can u imagin nina rafki yangu ni msudani ila msudani mweusi ila wanaishi
Saudiarabia yani anakwambia hawa waarabu weupe niwabaguzi saana wanawabagua hadi
wao niliona hadi picha ya harusi ya dada yake walikua wasudani weusi watupu,sasa
kama wanawabagua hadi hao how to the pure black ,na jinsi unavyoona africa
tunavyotetemekea wazungu na wao ni hivyohivyo wanajiskia sana malaya wachafu
kila uozo anao mwarabu walichojaliwa nacho ni handsome tuu basi
Anonymous   |2010-08-26 19:33:04
Very few date blacks but not on their list...simple. If they are attracted with
black mostly it must be the ass kama alivyosema mdada hapo juu.

Wanadharau
and very few are for real longterm relationship. I mean those arab from Arabian
Countries not the one in Bongo.
Katarine   |2010-08-27 02:52:26
Acha uongo wewe , unasikia tu hujui
Anonymous   |2010-08-26 20:40:40
they do not have respect for women
Anonymous   |2010-08-27 05:06:44
Yani kabisa the majority wana nyodo ibaguzi wa rangi na dharau za ajabu... Rangi
nyeusi wanaipenda sana sema hawajui pa kuanzia wanaogopa kuchekwaaa...
Anonymous   |2010-08-26 23:10:42
nilishawahi kutoka na mwarabu ila msimwambie boyfriend wangu atazimia bure.
kilichonishangaza alikuwa anaficha
Anonymous   |2010-08-27 00:51:34
Mlikuwa hamjui, sio waarabu tu, wanaume woote wana dharau sana kwa wanawake,
hasa yeye akiwa ana pesa yuko juu. Wengine wanajua tu kuficha hizo dharau zao.


Pili wanaume wote wanapenda makalio makubwa hata kuyashika tu panapo
majamboz bila kula tigo kwao burudani, ila wengine wanaona aibu kwa wanawake zao
wasijefikiriwa vibaya.

Wanaume wote wazuri ni taste na mtazamo wako tu ndio
utachagua hivi au vile.

Wanaume wote wanapenda kunyenyekewa ni hulka
wameumbiwa nayo kwa kuwa tuna asili ya wanyama kwa hiyo wao kama madume hupenda
kuweka teritories na ndio sababu ya kuwa na wivu uliopita maelezo.

Na wanaume
wa kiarabu wanaogopa kuonyesha mahusiano yao au kuwa na uhusiano na wasichna
weusi hadharani kwanza wengi wao wanakuwa tayari wamekwishaozwa, kumbukeni hawa
wanaoa wakiwa na umri mdogo. Suala la rangi si tija wengi wanaoa Unguja na Pemba
sana tu na hao si waarabu.
Katarine   |2010-08-27 02:51:41
Jamani mimi nipo Dar ninadate Muarabu ninachokijua kuhusu wao ni
1-Kweli
hawapendi muongozane ongozane wanapenda kuficha wake zao nyumbani
ila ni maadali yao na wivu

2-Wanajua kupenda na kuhudumia wala huna
haja ya kuomba yaani jukumu la kukulea wewe loote anaona ni lake

3-wanaroho nzuri sana hata kwa Familia ya Mwanamke

4-SIJAWAHI
KUOMBWA TIGO NA WALA KUSHIKWA KWENYE TIGO WATU WAACHE KUWASEMA
VIBAYA LOOHH!

YAANI MIMI MWENZIO KIKWAZO NI DINI TU ILA NIPO TAYARI
KUSALITI FAMILIA NAJUA SITAPATA MWANAUME WA KUNIPENDA KIUKWELI KAMA HUYU
TENA...
Marichui   |2010-08-27 02:59:04
Namfahamu Mdada fulani hivi anadate na Muarabu anatokea nchi hizi za Kiafrica
..Jamani anapendwa mno na kuhudumiwa kama Malaika

Ila jamaa yake anawivu
hataki kabisa avae vimini, au nguo ya kumuonesha shepu ni Ugomvi
Mkubwa

Mwisho wanaMapenzi ya kweli yaliyoagizwa na Mwenyezi Mungu
JIBEBE   |2010-08-27 03:11:15
NINACHOKIJUA KUHUSU wAARABU NI WATAMU SANA + WIVU KWA SANA UKICHEKA NA MWANAUME
MWINGINE MBELE YAKE UNAACHWA LIVE

TAKE CARE MDAU
Anonymous   |2010-08-27 04:18:43
Mie kila nikimuona mwarabu yoyote najua napenda sana TIGO no more
Anonymous   |2010-08-27 04:27:52
am learning english washika dau let me try to give my contribution in
English

I know this people they don't love black people ONLY they want to
use as in other way round.
also i heard from some other peole This Arabian
people they like to use other way to make SEX ,I MEAN TIGO WAY.
. :kiss:
:kiss:
Anonymous   |2010-08-27 07:40:16
We nawe tutokee hapa kama lugha haipandi si uoandike tu
kiswahili,...
Msghwhvgdhxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx..... ....... :angry:
anony   |2010-08-27 11:38:05
naweye roho mbaya kama mtengeneza sumu funga bakuli lako..mtu kishasema
anajifunza kiingereza kama amekosea muelekeze alipokosea sasa atajua lini...uwe
na michango ya maendeleo!!!
Anonymous   |2010-08-27 04:34:00
You have to specify wether, he is pure arab or mwarabu tu wa kariakoo. kuna wale
waarabu wanakua wamezaliwa wazee wote wawili waarabu na wanakua wanaoana wenyewe
kwa wenyewe, na wanadharau sana. na kuna Wale wa kariakoo ni waswahili wenzetu
mara nyingi wanakua mzazi mmoja anakua mwarabu mwengine mswahili. Sasa kama
mwarabu wako wa kuchovya, tabia zao ni kama za wanaume wakiswahili.
Anonymous   |2010-08-27 07:37:22
Shoga nina bwana wa kiarabu nikupe ukweli wa mambo kwasab umetaka kuyajua.
1.
hela utapata na shida zako ndogo ndogo zote zitaisha, mambo ya malazi, mavazi,
gari sjui nini utaacha kuongelea.
2. Ila ijitoe dadaa....kwanza wewe ni wa
kukaa ndani..kutoka kwa ruhusa na kwa kutoroka akijua imekula kwako.
3.Uvungu
utaugawa mpaka utachanganyikiwa, wanapenda ..... aisee...na tigo utaombwa
nisikufiche

In short wapo waarabu wazuri nisikukatishe tamaa....ila
nikiambiwa nitoe ushauri...sikushauri shoga tafuta mswaili au mzungu.
mimi   |2010-08-27 06:11:59
[/size][size=large]
wakina dada mimi nimeshafika dubai kwa vocation mara 3, na kila nikienda
huko wale waarabu huwa wananiangalia kwa jicho la tamaa kama nini.
na utakuta saa nyingine wana smile ili niende kuwafata, lakini nini
sifanyi hivyo! labda kwa sababu nina makalio mazuri!!!!! utajibeba.....
kwa kifupi nimeshapewa few numbers in dubai na waarabu lakini naogopa
TIGOOOO
Anonymous   |2010-08-27 07:36:25
hamna kitu,,hawako attracted na black,,sema wanapenda kuchafua mablack,,na
akikupata ata.. hadi ukomee,,maana kwa mwarabu mwenzie hawezi,,na kama akimpa ni
kwa taratibu,,,,kaa mbali nao,,utaenjoy z 1st day only,,ziku zingine utaziona
kama huko jehenam..mwaya,,,,
wanadharau sana,,,na kumtaka mweusi ili
wakuingizie kinyama tu,,,kwa fujo akusugue hadi uzimie,,
mwarabu mwenzie hawezi
kumfanyizia hivyo,,,

kama unampango wa kuolewa huko hiyo si ndoa bali
utumwa,,yaani tigo kwenda mbele tena kwa fujo..na kazi ndo itakuwa hiyo
tu,,wakumzalia atakuwa mkewe wa kwanza mwarabu mwenzake,,


Anonymous   |2010-08-27 07:43:31
Hahahahaha Umenichekesha sana.. it's so tru yaani majority ya waarabu wana
kaubaguzi fulani hivi anataka atie wmeusi apate cha kuhadithia rafiki zake na
tigo ndo usiseme loh hadi kasheshe..
Anonymous   |2010-08-27 06:27:35
yeah they do not hav respect 4women especially not for black women
Anonymous   |2010-08-27 09:15:53
wote tunakumbuka historia ya enzi za utumwa kuwa asilimia kubwa ya watuma
waliochukuliwa wakti ule waluzwa uarabuni na hasa wauzwa kutoka katika soko la
watumwa la zanzibar-wakati ule zanzibar inatawaliwa na sultan wa oman...sasa
fact ni kwamba japokuwa statistics zinaonyesha kuwa waafrika wengi walipelekwa
uarabuni kama watumwa leo hii hakuna generation za waafrika ambao babu zao na
vizazi vingine vya nyuma walizaliwa na kukulia uarabuni...ukilinagnisha na
watumwa waliopelejkwa katika mabara mengine kama america, europe n.k ukweli ni
kuwa hulka ya hawa wenzetu ipo tofauti sana hawathamini weusi na hawakutaka
kizazi cha weusi katika nchi zao so wengine walikuwa castarted ili wasiweze
kuzaa, baadhi waliuawa na hivyo kukifanya kizazi hicho kiishie...kwa mantiki
hiyp bi dada uliyetaka ushauri nakubaliana na wadau wengine hapo juu kuwa hawa
wenzetu hawathamni wanawake wa rangi nyingine isipokuwa waarabu wenzao...to be
fair well...
Anonymous  - re:   |2011-09-07 19:42:15
Anonymous wrote:
wote tunakumbuka historia ya enzi za utumwa kuwa asilimia kubwa ya watuma
waliochukuliwa wakti ule waluzwa uarabuni na hasa wauzwa kutoka katika
soko la watumwa la zanzibar-wakati ule zanzibar inatawaliwa na sultan
wa oman...sasa fact ni kwamba japokuwa statistics zinaonyesha
kuwa waafrika wengi walipelekwa uarabuni kama watumwa leo hii hakuna
generation za waafrika ambao babu zao na vizazi vingine vya nyuma
walizaliwa na kukulia uarabuni...ukilinagnisha na
watumwa waliopelejkwa katika mabara mengine kama america, europe n.k
ukweli ni kuwa hulka ya hawa wenzetu ipo tofauti sana hawathamini weusi na
hawakutaka kizazi cha weusi katika nchi zao so wengine walikuwa
castarted ili wasiweze kuzaa, baadhi waliuawa na hivyo kukifanya kizazi
hicho kiishie...kwa mantiki hiyp bi dada uliyetaka ushauri nakubaliana
na wadau wengine hapo j...
Anonymous   |2010-08-27 10:06:15
Je waharabu koko au wamanga Mijusi wa Bongo mnawaonaje??
Anonymous   |2010-08-27 10:20:52
¨shostito ngoja nikupe lists, mwarabu, mhindi, msomali, ni wabaguzi kuliko
mzungu. mara nyingi wanaoana wao kwa wao! Ukiolewa na mwarabu ama mhindi 1
katika 100 ambaye atakua willing kukuonyesha kwa familia yake! Bahati mbaya
akianza yeye kufa, hutaambulia hata kijiko. Kwa ndoa sikushahuri, ila km kuchuna
tu wanachunika maashaallah. coz wao wanaamini mwanamke ni pambo ndani ya nyumba
na mwanaume kazi yake ni kulitake care. Na tigo nayo uindaye! KWAHERI.....
:woohoo:
Anonymous  - re:   |2010-08-27 10:20:53
Anonymous wrote:
We nawe tutokee hapa kama lugha haipandi si uoandike
tu kiswahili,...
Msghwhvgdhxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx...... ...... :angry:



jamani si anajifunza?? tangazo la omo: asipochafuka atajifunzaje????
Anonymous   |2010-08-27 10:33:28
jamani wee nabil wangu acha tuu muarabu wa yemen yule aah! yani alikuwa mzuri
kama yesu bonge la handsome kweli alinizidi uzuri, na hakuna cha tigo wala nini
yani alikuwa mpole mtartiibu mapenzi kujali loo hadi church alikuwa
ananisindikiza pale azania front he he hee! yani acheni tuu, kweli kuna watu
wanajua kujali ukiomba kitu anakuletea fasta tena na maua juu ya kusindikiza
hitaji lako yaani ooh, wappppiiii wangu muhibuuuuuu, nabil popote uliko God
bless youuu, AMEN!
VUVUZELA ORIGINAL   |2010-08-27 13:03:36
ULIONJESHWA TAMU UKAACHWA NINI?? MAANA ULIVYOANDIKA KWA FEELINGS KA NAKUON A
VILE. POOOLE WEE.
Anonymous   |2010-08-27 12:17:35
waarabu symbolize tigo.
Hayo mengine yote kama kupewa gari na kutimiziwa kila
kitu kila mwanaume siku hizi mwenye kipato anafanya.
If you have money and
success its just fulfilling to help and take care of a woman.
The reason behind
waarabu kupenda tigo ni kuwa zamani ilikuwa wanawake wanazificha bikira zao kwa
hiyo wanaume wakawa wanapewa tigo, afrika siku hizi labda asilimia 0.00000000001
ndio wanaolewa na bikira hence tigo sio ishu ila kwa kujaribu tu.
Tigo Oyee,
mtandao wa wajanja, kama huwezi kuomba tigo na ukapewa then pole yako.
VUVUZELA ORIGINAL   |2010-08-27 13:09:36
HEBU MDAU WAAMBIE HAO... AFTERALL TIGO SIKU HIZI KA FASHION TU MJINI,,,,ASILIMIA
90 YA WANAWAKE MJINI WANLIWA JICHO MSIJISHAUE HAPA WAARABU WAARABU.

KWANZA
CKU HIZI SI WAARABU WALA WASWAHILI TIGO WOTE WANAKULA BISHENI KUBALINI,,, KILA
MTU SIRI YAKE NA MWANDANI WAKE.............

KWA HIYO WEW ULOOMBA USHAURI
AMUA KINGINE SI KUTISHIWA UTALIWA TIGO SI AJABU HATA WEWE NDO MCHEZO
WAKO.

WANAKUTISHA TUU,, WE PENDA INGIA ALAFU UTAJUA TABIA ZA MWANAUME WAKO
UKIWA NAE HUMU MTANDAON UTAPATA KILA MANENO,, UKUTE WAKO HAYUKO HIVYO!!
English learner  - re:   |2010-08-27 12:35:18
Anonymous wrote:
We nawe tutokee hapa kama lugha haipandi si uoandike
tu kiswahili,...
Msghwhvgdhxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx..... ....... :angry:


thank you but i learn from my mistake will not stop thank
you..nitaendelea mwenzio
Anonymous   |2010-08-30 19:29:53
Endelea dear, hamna aliyezaliwa anajua kiingereza kila mtu anajifunza at some
point. Be blessed and keep it up.
English learner  - re:   |2010-08-27 12:36:21
anony wrote:
naweye roho mbaya kama mtengeneza sumu funga bakuli lako..mtu
kishasema anajifunza kiingereza kama amekosea muelekeze alipokosea
sasa atajua lini...uwe na michango ya maendeleo!!!


thanx my dear ...
Anonymous   |2010-08-27 16:38:03
napenda wanawake wenye confidence mwaya jifunze huyo mwandazimu hapo juu naona
hata english haujui don't mind her/ him.
Anonymous   |2010-08-27 12:48:24
waarabu ukiona cousin wake mwanamke kaja kuwatembelea ujue mke mwenza....kaa
mkao wa threesome
vuvuzela   |2010-08-27 13:04:33
unapoteza mda wako .waarabu hawaoi bali wanapangiwa wake hivyo anaweza akaoana
hata na shangazi yake ambaye hajawahi kumuona wala hajui yukoje .wewe utabaki
kuwa nyumba ndogo milele na hakuna atakyekujua katika family yao.ila kama swala
la nyumba ndogo huna tatizo nalo usihofu endelea tu .hayo mambo ya tigo
mkipendana mnapeana tu .mbona wanaume ma aunt kibao tu nao wanatoa nini?hilo ni
uamuzi wa mtu na mpenziwe .
Anonymous   |2010-08-27 14:21:58
mIMI NI MWANAUME, DADA YANGU ALIKUWA NA BOYFRIEND MWARABU NA SISI HATUKUJUA,
LAKINI JINSI ALIVYOFANYIZWA ASIKUAMBIE MTU, ALIHARIBIWA HADI AKAWA KAMA
AMEDUNGWA MASINDANO SEHEMU ZA SIRI NA HASA KWENYE MAKALIO.ALISHINDWA KUTEMBEA
KUMBE MARA ZOTE TULIONA DADA ANAKUWA MWENYE PESA NA VITU VYA THAMANI ANAVIWEKA
HOME KWAKE TULIDHANI ANA KAZI YAKE INAMPA PESA YA KUTOSHA KUMBE HUYO
MWARABU.LAKINI YOTE HAYO YALILIPWA KWA MAJERAHA NDO YAKAWA NDIYO IN
RETURN.

HADI LEO DADA YANGU HATAMANI KUSIKIA HADITHI YA HAO JAMAA, NA MIMI
NILIMWAMBIA TUPA NNA VITU VYOTE KUTOKA KWAKE ILI USIKUMBUKE.

UKITAKA MWARABU
YOU NEED TO SUCRIFICE YOURSELF THEN YOU GO THROUGH ALL THE SO CALLED UFILAUNI.
Anonymous   |2010-08-30 09:01:04
hee huyo nae alikuwa anamlaje hiyo tigo?? maana hata hapa mtandaoni wanaoliwa
tigo wako kibao na tunaishi nao tunafanya nao kazi lakini wako poa tu wala
hawana hayo unayoyasema ingekuwa kila anayeliwa anakuwa mgonjwa sidhani kama
wangerudia na hao mashoga huko mtaani wangekuwa huwezi kuwasogelea
Anonymous   |2010-08-27 14:28:30
tabia za waarabu, ni wabaguzi wa na wivu sana,wa chafu kwa maana wengi wao
wanapenda sana tigo yani ndo mchezo wao mkubwa kama hujaanzwa atakufundisha
mpaka utazoea na akikuta upo sealed basi shoga utafaidi vingi, mazawadi cha
muhimu hapa zingatia mavazi yako yawe ya hesima,heshima,adabu,na staha utamshika
vizuri n.k....ila akili kichwani kwako maana usitegemee kutambulishwa kwa ukoo
wao wala kutangaziwa ndoa kama ikitokea akafanya hivyo jua huyo ni mwarabu
maskini na siku akipata mali basi jiandae kuletewa bi mdogo wa kiarabuuu
taratiiibu utavungasha virago na kurudi kwenu kitunda!.....pia utaishia
kuzalishwa...na ukiwa na bahati atakulelea watoto bila shida. Cha muhimu jua
utakuwa nae kwasababu gani.......kama ni mapenzi, kumchuna au kujirusha na
kupast time.
SUMNI   |2010-08-27 17:10:06
mungu nisamehe na niko ashamed.ila nilikuwa na mwarabu kutoka Oman ila alikua
anakaa Tz kikazi. ndio alikua ananipa kila kitu ila T


kwa kweli
wanahudumia sana, ila wana wivu sana na dharau kwani alifika kuniambia mbona
njamba sana kila nikaaa. wakati anajua sana why najamba,

ukweli ndio huu!!!
Anonymous   |2010-08-27 17:48:53
mungu nisamehe na niko ashamed.ila nilikuwa na mwarabu kutoka Oman ila
alikua
anakaa Tz kikazi. ndio alikua ananipa kila kitu ila T


kwa
kweli
wanahudumia sana, ila wana wivu sana na dharau kwani alifika kuniambia
mbona
njamba sana kila nikaaa. wakati anajua sana why najamba,

ukweli ndio
huu!!!

DADA WW HADI UMENITOA MACHOZI, BUT DONT BE ASHAMED OF URSELF , FUTA
HIYO MEMORY N MOVE ON COZ MWILI WA BINADAAMU NI HEKALU LA MUNGU SO NYUMBA
IVINJUKA SI UNAREPAIR! TAKE CARE OF UR PRECIOUS BODY, KUUMISUSE MWILI KWA HELA
HATA KAMA BILIONS SIYO COZ HAKUNA SPARE PART PART, WW DADA ULIYEOMBA USHAURI
USIENDE HUKO PLZIF LIGI NDO HILI
Anonymous  - re:   |2010-08-27 19:49:48
VUVUZELA ORIGINAL wrote:
HEBU MDAU WAAMBIE HAO... AFTERALL TIGO SIKU HIZI KA FASHION TU
MJINI,,,,ASILIMIA 90 YA WANAWAKE MJINI WANLIWA JICHO MSIJISHAUE HAPA
WAARABU WAARABU.

KWANZA CKU HIZI SI WAARABU WALA WASWAHILI TIGO
WOTE WANAKULA BISHENI KUBALINI,,, KILA MTU SIRI YAKE NA
MWANDANI WAKE.............

KWA HIYO WEW ULOOMBA USHAURI  AMUA KINGINE
SI KUTISHIWA UTALIWA TIGO SI AJABU HATA WEWE NDO MCHEZO WAKO.

WANAKUTISHA
TUU,, WE PENDA INGIA ALAFU UTAJUA TABIA ZA MWANAUME WAKO UKIWA NAE
HUMU MTANDAON UTAPATA KILA MANENO,, UKUTE WAKO HAYUKO HIVYO!!



mdau umenena tena wanaume wa kibongo ndo wameibukia kweli, hadi mibaba
wote wanakula kisamvu cha kopo!!
Anonymous  - re: re:   |2010-08-27 19:51:40
English learner wrote:
Anonymous wrote:
We nawe tutokee hapa kama lugha haipandi si uoandike
tu kiswahili,...
Msghwhvgdhxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx...... ...... :angry:


thank you but i learn from my mistake will not stop thank
you..nitaendelea mwenzio


mwambie huyo limbukeni hata rome haikujengwa siku moja, kukosea njia ndo
kujua njia
Anonymous  - re:   |2010-08-27 19:56:16
Anonymous wrote:
mIMI NI MWANAUME, DADA YANGU ALIKUWA NA BOYFRIEND MWARABU NA SISI
HATUKUJUA, LAKINI JINSI ALIVYOFANYIZWA ASIKUAMBIE MTU, ALIHARIBIWA
HADI AKAWA KAMA AMEDUNGWA MASINDANO SEHEMU ZA SIRI NA HASA KWENYE
MAKALIO.ALISHINDWA KUTEMBEA KUMBE MARA ZOTE TULIONA DADA ANAKUWA MWENYE
PESA NA VITU VYA THAMANI ANAVIWEKA HOME KWAKE TULIDHANI ANA KAZI YAKE
INAMPA PESA YA KUTOSHA KUMBE HUYO MWARABU.LAKINI YOTE HAYO YALILIPWA KWA
MAJERAHA NDO YAKAWA NDIYO IN RETURN.

HADI LEO DADA YANGU HATAMANI
KUSIKIA HADITHI YA HAO JAMAA, NA MIMI NILIMWAMBIA TUPA NNA VITU VYOTE
KUTOKA KWAKE ILI USIKUMBUKE.

UKITAKA MWARABU YOU NEED TO
SUCRIFICE YOURSELF THEN YOU GO THROUGH ALL THE SO CALLED UFILAUNI.



usitishe watu ilikuwa bahati yake mbaya tuu, mbona kuna weusi wenzetu
wanafanya mambo ya kutisha sana tuu tena kwenye kila rangi
mweusi mweupe kuna disaster kibao ...
Anonymous   |2010-08-27 19:58:07
STEREOTYPIIIIIIIIING
Anonymous  - re:   |2010-08-27 20:01:08
VUVUZELA ORIGINAL wrote:
ULIONJESHWA TAMU UKAACHWA NINI?? MAANA ULIVYOANDIKA KWA FEELINGS KA NAKUON
A VILE. POOOLE WEE.


sikuachwa shost nilikuja majuu kula kitabu na ndio sikurudi tena na yeye
akarudi kwao
Anonymous  - re:   |2010-08-27 20:05:20
Anonymous wrote:
wote tunakumbuka historia ya enzi za utumwa kuwa asilimia kubwa ya watuma
waliochukuliwa wakti ule waluzwa uarabuni na hasa wauzwa kutoka katika
soko la watumwa la zanzibar-wakati ule zanzibar inatawaliwa na sultan
wa oman...sasa fact ni kwamba japokuwa statistics zinaonyesha
kuwa waafrika wengi walipelekwa uarabuni kama watumwa leo hii hakuna
generation za waafrika ambao babu zao na vizazi vingine vya nyuma
walizaliwa na kukulia uarabuni...ukilinagnisha na
watumwa waliopelejkwa katika mabara mengine kama america, europe n.k
ukweli ni kuwa hulka ya hawa wenzetu ipo tofauti sana hawathamini weusi na
hawakutaka kizazi cha weusi katika nchi zao so wengine walikuwa
castarted ili wasiweze kuzaa, baadhi waliuawa na hivyo kukifanya kizazi
hicho kiishie...kwa mantiki hiyp bi dada uliyetaka ushauri nakubaliana
na wadau wengine hapo j...
Anonymous   |2010-08-31 05:38:16
Unajua umenifundisha kitu hapo, kweli kwanini hakuna weusi kama Marekani na
kwingineko. Thanks
Anonymous  - re:   |2010-08-27 20:19:17
[quote=Anonymous]mungu nisamehe na niko ashamed.ila nilikuwa na mwarabu kutoka
Oman ila alikua
anakaa Tz kikazi. ndio alikua ananipa kila kitu ila T


kwa
kweli
wanahudumia sana, ila wana wivu sana na dharau kwani alifika kuniambia
mbona
njamba sana kila nikaaa. wakati anajua sana why najamba,

ukweli ndio
huu!!!

DADA WW HADI UMENITOA MACHOZI, BUT DONT BE ASHAMED OF URSELF , FUTA HIYO
MEMORY N MOVE ON COZ MWILI WA BINADAAMU NI HEKALU LA MUNGU SO NYUMBA IVINJUKA SI
UNAREPAIR! TAKE CARE OF UR PRECIOUS BODY, KUUMISUSE MWILI KWA HELA HATA KAMA
BILIONS SIYO COZ HAKUNA SPARE PART PART, WW DADA ULIYEOMBA USHAURI USIENDE HUKO
PLZIF LIGI NDO HILI[/quote


nashukuru dada yangu kwa ushauri ila nimeshasahau
na ninaendelea na maisha yangu vizuri tu.
ila inabidi saaa nyengine utoe ukweli
ili watu waelewe ingawa wabaya sio wote!

Mange naona umedelete baadhi ya
maneno, samahani kama nimeeka mameno machafu nilikuwa najitahidi kumpa uwazi
UFOO   |2010-08-28 05:44:28
[color=red]Jamani hapa bongo hata waburushi pia eti waarabu. Yaani wanadharau
kama nini ila na wao wakifika huko kwao Iran wanadharauliwa hata hawawezi kuoa
mwarabu wa iran na wao wanaonekana Waswahili tu na wanaoana mtoto wa baba mkubwa
na baba mdogo au mama mdogo yaani ukiwa na watoto wa kike na kaka yako ana
watoto wa kiume basi wanaoana wenyewe hadi mwisho. Ila kwa kufirigisa waswahili
usipime yaani wanachukua wasenge sana sasa unategemea akikutaka wewe msichana
atakuomba nini kama sio tiGo. Kama unataka kubaki na bikira angalau moja usiende
kwa waarabu. Atakustahi siku ya kwanza ila baada ya hapo unasukumwa choo kama
kawaida. Alafu energy yao ndio usipime. Akishakulegeza anakuacha. JAMANI HAWA
WATU NI BIG NOOOOO :X
Anonymous   |2010-08-28 06:03:27
Ndugu mpendwa dada yangu!! huko wala husijaribu coz kwanza wanaubaguzi kuliko
kitu chochote then ukiwa nae hautatakuwa na raha coz hata ndugu zake
hawatakupenda! yupo dada huku Arusha aliolewa na muarabu akapapatika sana na
sisi tulimkataza coz huyo aliyemuoa tunamjua tunafanya nae kazi nahuyo dada
anafanya kaz kwenye campuni ya utalii ila tofauti na yetu! ndugu yangu alipendwa
tu kwa kipindi ni marafiki! dada kaona yeye ndo yeye coz halitaka chochote
anapewa! saa ya mwisho akaamua kuisha nae had kubeba mimba! siku ya kujifungua
alijazwa kanga matakoni coz alikuwa hafai alivyochakazwa huko nyuma, pili baada
ya kukaa uzaz muda mfupi alitimuliwa ka mbwa na mtoto kanyimwa! sasa hiv bila
pedi atembei coz maji yanayotoka huko sio mchezo then hata mavi hayasikii
anakuja kuyaona yapo miguuni.hayo ndio mavuno yake coz alipenda pesa akapata na
mengineyo.Tigo ndio amri yao kuu. sikushauri
UTATOA TU   |2010-08-28 07:02:13
hahaaaa.
ukipenda boga penda na uwa lake...upooo
Anonymous   |2010-08-28 08:39:46
UKQWLI NI HUU BIBIE.....MI PIA NILIWAHI KUPENDANA NA MWARABU NA ALINIPENDA SANA
SANA, WIVU KWA KWENDA MBELE ALINIPA KILA NINACHOTAKA...HAKUNA KWENDA KOKOTE
MPAKA AJE AKUCHUKUE NA KUKUPELEKA NA HATA KAMA ATAKUWA BUSY KUNAKUWA NATAXI
MAALUMU KWA AJILI YAKO AU ANAMTUMA RAFIKI YAKE, MARUFUKU KUPUYANGA KWA MIGUUU
AU KWA GARI YAKO N.K...SIJAWAHI OMBWA TIGO..ILA KATIKA SUALA LA NDOA HUWA NI
GUMU MNO KUOA RANGI NYEUSI NA AKIOA NI KINGUVU KUBALI KUTENGWA NA FAMILIA
YAKE...NA KUBALI UKEWENZA YAANI AOE MKE ALOPEWA NA WAZEE WAKE NA AKUOE WEWE ILA
WANAKUWA NA MAPENZI YA KWELI HASAA WANAJUA KUPENDA MNO......HAO NI WAARABU WA
AFRICA..


WAARAB WA UARABUNI NEVER NEVER NEVER EVER EVER EVER KUOA
MWAFRICA...HUWA WANAOANA WENYEWE KWA WENYEWE...KWANZA HATA HAYO MAKABILA YAO
YANA CLASS...KUNA WAJUU MPAKA WA CHINI YAANI MWARABU WENYE KABILA LA JUU HAOI
MWARABU MWENYE KABILA LA CHINI NA MAHARI ZAO NI KIBOKO...HATA WALE
MASKINIIIIIIIIIIIIIIIII...
Anonymous   |2010-08-28 08:40:25
VERY TRUEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

Namfahamu Mdada fulani hivi anadate na Muarabu
anatokea nchi hizi za Kiafrica
..Jamani anapendwa mno na kuhudumiwa kama
Malaika

Ila jamaa yake anawivu
hataki kabisa avae vimini, au nguo ya
kumuonesha shepu ni Ugomvi
Mkubwa

Mwisho wanaMapenzi ya kweli yaliyoagizwa
na Mwenyezi Mungu
...........................................
...........................................

Jam ani mimi nipo Dar ninadate
Muarabu ninachokijua kuhusu wao ni
1-Kweli
hawapendi muongozane ongozane
wanapenda kuficha wake zao nyumbani
ila ni maadali yao na wivu

2-Wanajua
kupenda na kuhudumia wala huna
haja ya kuomba yaani jukumu la kukulea wewe
loote anaona ni lake

3-wanaroho nzuri sana hata kwa Familia ya
Mwanamke

4-SIJAWAHI
KUOMBWA TIGO NA WALA KUSHIKWA KWENYE TIGO WATU WAACHE
KUWASEMA
VIBAYA LOOHH!

YAANI MIMI MWENZIO KIKWAZO NI DINI TU ILA NIPO
TAYARI
KUSALITI FAMILIA NAJUA SITAPATA MWANAU...
Anonymous   |2010-08-28 09:14:57
We nawe tutokee hapa kama lugha haipandi
si uoandike
tu kiswahili,...
Msghwhvgdhxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx...... 
;......




Acha roho mbaya we Paka shume usiyekuwa na mwangalizi,nyambafu
mkubwa,macho km guruguja kabanwa na mlango,shuwaini wee!
mxxxxxxxxxyyy kabisa.
Anonymous  - re:   |2010-08-28 13:18:13
Anonymous wrote:
STEREOTYPIIIIIIIIING



chapa lapa kule maaluni mkubwa!!
Anonymous  - re:   |2010-08-28 14:08:24
Anonymous wrote:
Ndugu mpendwa dada yangu!! huko wala husijaribu coz kwanza wanaubaguzi
kuliko kitu chochote then ukiwa nae hautatakuwa na raha coz hata ndugu
zake hawatakupenda! yupo dada huku Arusha aliolewa na muarabu
akapapatika sana na sisi tulimkataza coz huyo aliyemuoa tunamjua tunafanya
nae kazi nahuyo dada anafanya kaz kwenye campuni ya utalii ila tofauti
na yetu! ndugu yangu alipendwa tu kwa kipindi ni marafiki! dada kaona yeye
ndo yeye coz halitaka chochote anapewa! saa ya mwisho akaamua kuisha
nae had kubeba mimba! siku ya kujifungua alijazwa kanga huko coz alikuwa
hafai alivyochakazwa huko nyuma, pili baada ya kukaa uzaz muda mfupi
alitimuliwa ka mbwa na mtoto kanyimwa! sasa hiv bila atembei coz
maji yanayotoka huko sio mchezo then hata haja kubwa hayasikii anakuja
kuyaona yapo miguuni.hayo ndio mavuno yake coz alipenda pesa akapat...
Anonymous  - re:   |2010-08-28 13:29:27
Anonymous wrote:
We nawe tutokee hapa kama lugha haipandi
si uoandike
tu kiswahili,...
Msghwhvgdhxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx...... 
;......




Acha roho mbaya we Paka shume usiyekuwa na mwangalizi,nyambafu
mkubwa,macho km guruguja kabanwa na mlango,shuwaini wee!
mxxxxxxxxxyyy kabisa.



ha ha haa uuwii, dada natamani ningekuona wakati unatamka hayo maneno
laivu manake nimecheka sana, guruguja ni nini? ha ha haaaaa
Anonymous   |2010-08-30 06:55:32
jamani jamani mbavu zangu uwiiiiiii

ila twene mbele na turudu nyuma, TIGO
MUHIMU, bidada maisha yenyewe mafupi mtu tu mwaya ila raha za dunia kwa ni
nini...? nje hutoki, hutotembea kwa miguu, anakupa kila kutu kwa nini usimpe?
UTAJIBEBA (KAZI KWAKO)
enunu Nyenya   |2010-08-30 08:02:55
hahhahahahaa jamani mi niliwahi kuwa na mwarabu kwakweli alinipenda kwa kifupi
tulipendana nilikuwa mwanafunzi wa chuo enzi hizo alinihudumia kila kitu maisha
ya kichuochuo.
ila sasa wivuuuuuuuuuuuuu mpaka ilibidi niwe na simu mbili
haelewi cha marafiki wala nini. na suala la ndoa lilikuwa halipo kabsa isipokuwa
nmilikuwa nipangishiwe nyumba na kupewa vitu vya hapa na pale na mapenzi mengi
yalikuwa ya kujificha jificha tu kwenye gari ila mapenzi yako mootoooo
Anonymous   |2010-08-30 12:39:04
WAPENZI NAOMBA KUULIZA ,MIE HIYO TIGO SIJAWAHI KUIFANYA AM MARRIED NA MBONGO
..LAKINI NACKIA UKITOA TIGO UNAPATA TABU YA KUZAA NA MANESI ETI WANATUKANA
SANA
LAKINI JE NAOMBA KUULIZA HIVI UKITOA TIGO MWANAMKE UNASIKIA RAHA AMA NI
MWANAUME PEKE YAKE NDIO ANASIKIA RAHA WALE MLIOTEST MTUJUZE ..MSINIMEZE
TAFADHARI KUULIZA SI UJINGA
zuhura  - mume muarabu     |2010-08-31 08:28:25
kwa kweli mm nilishawahi kuolewa na muarabu mmoja hapa dar hizo tabia kuwa
wanapenda tigo ni wanaume wote kwa ss ni ww mwenyewe tu kujilegeza kwako ndio
utaliwa wanapenda sio waarabu sio wachaga sio wazungu yaan kila kabila ila wao
wivu umezidi kupitiliza hakya mungu hawa watu dharau wanazo na japo mm
nimechanganya kidogo ndio sababu akanioa kingine wanamasimango kupitiliza mm
nilikua napendwa sana mpaka nikaona dunia yangu ila tabia yake ndio ilinishinda
kila siku ugomvi nisipigiwe simu na mtu yoyote ile ni vita na hataki ushoga na
mtu waarabu kwa wivu wanaongoza utapata chochote kwao lkn hapo tu
Anonymous   |2010-09-01 04:41:08
mange umebania comment yangu eeeeh!! si uweke tu mwenzio kauliza hajawahi kuliwa
tigo nimemjibu umeminya minyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! khaaaaa cjui ukojee???
haya mjibu wewe basi... au
TIMA   |2010-09-01 05:21:28
jamani tigo ni kitu cha kawaida siku hizi hapa bongo...nani asiefanya?
mnajishaua tu hapa ila wengi tunawajua nyie mnaotokea kwenye blog kila
siku

dada mwaya amua mwenyewe ila ishu ya tigo isikutishe...kwanza anaweza kuwa
na kadude kadogo hata usiumie hheeee heeee haloooo....TIGO TAMUUUUU BIBI WE
mimi   |2010-09-03 07:08:12
Mange udumu............guys mm najifunza daily with the comments in
here,znajenga sana...na kufurahisha pia..LMFAO.. but cha msingi wewe ulieomba
ushauri weka vitu wazi mapema kwa huyo mwarabu wako...unataka nini na hutaki
nini...ndoa,uwazi kwa ndugu...na tigo kama wapenda hupendi sema mpenzi..then
kama kakupenda kweli yatafanyika yote ukiona anakuzingua
potezeaaaaa...........ni hayo tu. :D
MTOA T   |2010-09-03 07:35:29
TIGO TAMUU WEEEEEEEEE JITOLEE TU
Anonymous   |2010-09-04 10:07:59
Mambo mama U-turn,congs from Italy for delivering a beatiful baby boy Kenzo, i
dont know and i have never met you. But i like almost everything you are
doing....,your open mind,and frankness.... i love the name especially when you
wrote Kenzo Kimambi Lowrey, you know some could put it Kenzo Lowrey as if he is
not your son, i love this revolution of a tanzanian woman.... in america is
normal to use both surnames if you like....i think ill do the same when i will
have my baby...take care and kisses to the new born,god bless y'all.Love ippy
babu  - uuzaji wa magari     |2010-09-04 11:49:30
naona hujabaatika kuwa karibu na waarabu halisi wanapenda sana black ila hawajui
waanzeje
kijogoo   |2010-12-19 21:17:37
Jamani wanamtandao mi namtaka demu wa kiarabu nami nimle tigo,coz wanwaharibu
sana dada zetu na sisi wacha tuwachafue wakwao
kijogoo   |2010-12-19 21:21:46
kama vpi njoo nikufundishe kwanza
ukuni  - hahahha   |2011-05-27 11:30:57
kwa anaehitaji kufundishwa kuliwa tigo awsiliane na mm kwa emil hii
roughtee@gmail.com
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook