Who's Online
We have 370 guests and 1 member online
  • Fleetaves
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday6631
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week6633
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month53705
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933272
Login



IPAD INAUZWA.....
Written by Mange   
Thursday, 26 August 2010 19:51

 

Salaam Aleikum.
Naomba msaada kuwatanganiza wadau kuhusu hii machine (ipad) ambayo mtu aliniagiza kumletea, na mara baada ya kufika nayo bongo story ikawa ndefu, hela ikawa haipo mkononi tulivyosikilizana.

Brand New ipad Wifi-3G Never been opened. VGA Connector, Docking Station and Original Carrying Case ; both have never been opened
Serious Buyers Only,  Please  Call 0787-842-328 or  This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it


Please dont call if you are not ready to purchase the item...Bei Maelewano

Comments
Add New Search
Anonymous   |2010-08-26 21:10:13
wewe kweli hujui biashara unasema usipigiwe simu sasa kama bei hujatoa humu
lazima utapigiwa kuulizwa bei then mtu afikirie na kuchunguza kama unalangua au
laaaa

na sababu umesema imekataliwa basi inabidi upunguze bei hapo as ndio ni
new ila unaweza poteza pesa
sema shilingi ngapi na i ya kutoka nchi gani
tuangalie bei unataka pata zaidi ya ulivyonunua au la

pia tangazo langu
linaishia mtu kama nilivyosoma una hasira sana na ambaye hajanunua pia na kuomba
usipigiwe

marketing kweli mtu ujuzi na akili

mdau
Anonymous   |2010-08-27 03:47:01
ntajua ka nataka kuinunua baada ya kujua bei yake, sasa unaponambia dont call if
urnt ready to purchase nakuwa sikuelewi ungeweka japo bei ya kuanzia kabla ya
kufikia maelewano angalau nitafanya maamuzi kama nipige ama vipi manake ntakuwa
nshajua if i'll manage to buy or not. So expect my call very soon
Anonymous   |2010-08-27 11:36:47
we kaka uanchekesha kweli! sasa usipigiwe kama mtu ana taka kuzungumza
bei?biashara lazma kusumbuliwa ndio maaana ukienda dukani unamsumbua muuzaji we
na mwisho wa siku unaweza usinunue vile vile..kaa ivo ivo na IPAD yako nilikwua
na mpango bt ushaniudhi
Anonymous   |2010-08-27 12:53:26
hiyo sentensi ya "please dont call" hata sikuimalizia...u may wanna
rephrase it ili i-sound vizuri. hao ambao hawako serious wanaweza wakajua watu
ambao wako serious
Anonymous   |2010-08-27 18:57:06
mmenifurahisha cha kushangaza hajajibu labda kaisha iuza ila angeipiga picha pia
hilo KIBOX AMBACHO HAKIJAFUNGULIWA TUONE

...kama kweli mmh labda kaifungua
Anonymous   |2010-08-28 06:13:02
yan wewe muuzaji kwenye biashara una F! u know nothing! eti usipigiwe kama
haununui unadhani mtu kama anataka maelezo ndio anunue anafanyaje! itamlazimu
apige aulize ni ya wapi nabei ndio ajue ananunua au la! rekebisha msemo.
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook