Who's Online
We have 295 guests online
Total number of Visitors
mod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_countermod_vvisit_counter
mod_vvisit_counterToday6963
mod_vvisit_counterYesterday8768
mod_vvisit_counterThis week6965
mod_vvisit_counterLast week82441
mod_vvisit_counterThis month54037
mod_vvisit_counterLast month319970
mod_vvisit_counterTotal No. since we started4933604
Login



GLOBAL PUBLISHERS WAMEFULIAAAAAAAAAAAA......
Written by Mange   
Thursday, 26 August 2010 19:38

 

Picha feki iliyotolewa na global publishers leo...

picha iliyorushwa na uturn majuzi

Waandishi wa habari wa kibongo bwana, hawana hata haya…

Sasa kama mlitaka kuweka story na picha si mngeweka tu na kutoa credit kwa uturn kwa hiyo picha ya pete,

Sasa cha kwenda kujaribu kutoa logo ya uturn kwenye hiyo picha manake nini?manake uwizi and very poor journalism…

Ila atleast leo mmetoa story moja ya ukweli in years…lol…

Alafu huyo mtu wenu wa graphics need to be fired yani unaona kabisa picha feki…lol….

 

Comments
Add New Search
Anonymous   |2010-08-26 15:36:40
wow yaani huwezi kusema kama fake kabisa wamejitahidi sana..lol
Anonymous   |2010-08-26 15:39:56
Hahahahaha. wamejitahidi sana kufuta logo but u can still tell kuwa kuna kitu
kimefutwa hahahhaa Mange u need to "SUE" em. Yaani hapa unashinda kesi
kabisaaaa na viherehere vitawaisha.
Anonymous   |2010-08-26 15:55:36
feki kivipi?waambie wameiba tu ila hakuna u-fake kwa vile hawajabadilisha kitu
ila logo yako tu!pole
Anonymous   |2010-08-26 15:59:11
Aaaahh jamani!! That is a shame to Global Publisher!! Afu Mange kama ulijua
vile!1 Yani hawaoni hata aibu LOH!! Yani wameniboa!! Wamenikera!! Sasa nimeamini
sina haja ya kupitia mtandao wao tena!! Kamakazi yao ni COPY AND PASTE!! HAHAHA
kweli huyo mtu wao wa graphics ni ZERO afu hata hajui!! Wampeleke
akasomee tena ujuzi POOR!! Hahaha..you go Mange Girl, we know wefirst saw it
here!! Wanakera!! By the way, why dont u sue them, Mange??
Anonymous   |2010-08-26 17:13:53
sasa awa-sue kwani wamefanyaje na kwa kosa lipi je yye ana hakika kuwa hiyo
picha haikuwa public na alipewa exclusive rights na mwenyewe au mnashoboka tu,
wenzenu wakati wanaporomosa mavitabu nyie mko busy na hift jobs sasa kujue
kiingereza mnadhani mnajua na sheria, mnachekesha sana you need to know the
facts kabla ya kukimbilia kutoa mawazo au ushauri kama tamu meza kama chungu
tema kama inauma MEZEA
Anonymous   |2010-08-27 04:58:02
Hehehe we uliyetumwa na shigongo sa hizi unashaa na kujikojolea...
Anonymous   |2010-08-27 10:57:33
sina haja ya matusi wala lugha chafu ila ukweli ndio huo hapo, ukiweza meza,
usipotaka tema ukikuuma mezea, ASENTI
Anonymous   |2010-08-26 16:30:44
Niliona leo nikasema lazima nije nicomment huku. Hao na kwani waandishi wa
habari au ni kazi ya copy na paste, hawana lolote. Yaani it's more than poor
journalism at least wangetoa credit ila wanasema magazeti mengi ya nje
yameandika hizi habari si waseme tu picha wametoa wapi. This is truly a joke of
a so called tabloid hata Enquirer la huku lina unafuu maana they can verify and
give credit when it's due. Ila hawa wanataka kujifanya kwamba wao ndio news
breakers.
Anonymous   |2010-08-26 18:00:21
I expected same! Na wao kutwa nzima wanashinda chungulia u turn wa copy habari
alaf wanajiita namba wani IQ newzpepa! The the the!
UdakuuuuuuuuuuuuuUuuuuuuuuuuuuuuu! Hebu Kibonde wape asalamaleykkkkkk kwa kufuta
logo!! Alaf mange hawa c ndio walikua wanakuua sana pindi una ugomv na
mwanasheria alokuvuta nguo ikachanika Kempiski? Wapotezee
Anonymous   |2010-08-26 23:10:21
hakuna cha namba wani iq wala nin,i dhiki zinawasumbua tuu wezi wakubwa hamna
cha iq wa nini ni kweli mmefulia hamna story hadi mnyatie vyanzo vya ukweli
ovyoooooo!!! kama wale wezi wengine wanaojiita ati "the great thinkers"
wakati humo ndani yamejaa madudu bin maushuzz huwezi amini ni wao nachekaga tuu
basi
Anonymous   |2010-08-27 04:09:23
JAMANI HII YOTE NI MITANDAO NA TENA NI YA KIBONGO YOTE HUSUDA YA NINI KAMA
GLOBAL WAMETOA KUNA TATIZO GANI JAMANI ...KWELI NIMEAMINI WA TZ HATUPENDANI
Anonymous   |2010-08-27 09:35:32
wewe ndo huelewi! ukitoa habari mahali lazima utoe credit ila kwa upeo wako
mdogo naona hata nikikuelewesha hutaelewa. usiandike as if habari ni yako
original km picha walivoiba wangecredit picha hata magazeti makubwa duniani
wanafanya hivo utaona chini wanaandika picture courtesy of....(walipoitoa)..bt
ur too thick mate ushakimbilai kwenye hatred badala ya kuangalia mantiki
yenyewe..kwaheri
DEUS  - MBONA MAJUNGU JAMANI   |2011-04-19 08:19:27
AISE NDO MAANA WATANZANIA TUNASHINDWA KUENDELEA COS TUNAKALIA VITU AMBAVYO
HAVINA MSING HATA KIDOGO, BADALA YA KUTAFAKALI KATIBA YETU ITAKUWAJE SISI
TUNAFATILIA WAANDISHI WETU JAMANI HIVYO TUTAFIKA KWELI????????????
Sweet girl  - HOVYOOOOOO   |2010-08-27 05:37:36
sasa awa-sue kwani wamefanyaje na kwa kosa lipi je yye ana hakika kuwa
hiyo
picha haikuwa public na alipewa exclusive rights na mwenyewe au mnashoboka
tu,
wenzenu wakati wanaporomosa mavitabu nyie mko busy na hift jobs sasa
kujue
kiingereza mnadhani mnajua na sheria, mnachekesha sana you need to know
the
facts kabla ya kukimbilia kutoa mawazo au ushauri kama tamu meza kama
chungu
tema kama inauma MEZEA



PUMBAFU WEWE!!!Eti wanajua sheria,Mange
anaifahamu sheria sana...ACha kuongea kama huna akili wewe...Wewe ndo mpumbafu
na lijimnga la mwisho kwanza wewe ndo imekuuma ndo mana ukakalisha matako yako
kutype upumbafu huu wa kijinga hapa..Nyooo,ndio wamecopy wakafuta log ya U-turn
inaonesha kabisaaa,wao ndo hawajui kitu kazi kucopy and paste....Aibu tu...
Anonymous   |2010-08-27 10:59:40
acha nicheke akili kumukichwa mpenzi hehehehehe asante sana mimi situkani ila
ukweli ndio huo hapo na huyo mwanasesele wenu akitaka na aende mahakamani halafu
tuone heeeeeeeeeee LAKO MCHAMBIA VIGUNZI
Anonymous   |2010-08-27 13:02:13
unaijua hatimiliki wewe ama unaongea??? ingekuwa yke exclusively si angeenda
kuisajili atumie yeye peke yake, msitake kupeana sifa za kijinga hapa, watu
wanaongea tu eti aishtaki global publisher kwa ground ipi hasa nyie mnaojifanya
mnaijua sheria wakati mpaka leo mko vijiweni badala ya kuwa mjengoni
Anonymous   |2010-08-27 07:16:52
:angry: :0 :X
Anonymous   |2010-08-27 08:21:35
HATA KU-COPY HAWAWEZI. WAMEANDIKA KELVIN BADALA YA KEVIN.
Anonymous   |2010-08-27 08:22:39
NEXT CHARAZA LOGO YAKO HATA MARA 6 KWENYE PICHA MOJA!
YAI   |2010-08-27 09:21:34
Mange kama ulikuja vile ukasema kabisa jamaa watakuja kuiba na kweli ameiba nixt
time ukitoa Breaking News, mama seka logo yako kotekote isoache sehemu tuone
watafanyaje? WEZI WAKUBWA.

NAE SHIGONGO HANA HATA AIBU? AU HAJUI KUWA WAANDISHI
HANA? ALIOKUWANAO NI WA KUCOPY NA KUPASTE? LOH
AIBU!
MZXYXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX(msonyo mrefu)
Anonymous   |2010-08-27 11:14:37
nilijua tu lazima waichukue hiyo picha
jamaa  - mmmh   |2010-08-27 11:45:37
Wote mnaokomenti hamna nyimbo!
Anonymous   |2010-08-27 12:08:36
LOGO UNGEWEKA ACROSS THE PICTURE NOT ON THE TOP OF THE PICTURE, TAKE EVERYTHING
AS A LEARNING EXPERIENCE.
Anonymous   |2010-08-27 13:04:50
huo ndo utandawazi hamna cha experience wala nini mnataka watu wale wapi mjini
hapa!1
Anonymous   |2010-08-27 12:40:53
nanyi kha.! angekuwa amekutoa picha yako hapo sasa ,acheni chuki na maneno
yanayoleta mizozo...magazeti mangapi yanacopy pics ndo mmeona GPL????km hamna
hbri na ninyi msianze mambo ya umbea ucokuw ana faida..tupa kuleeeeeeey
jay     |2010-09-01 07:59:19
kwani hiyo picha ilipigwa na kamera moja tu?i think wengi walipiga so kuna haja
gani ya ugomvi?...halafu Mange kubali kataa ila mshukuru sana Shigongo cos
ugomvi wake na wako ndo umekupandisha chat,ulikuwa unajulikana ila si kama sasa
hivi so amekusaidia hata kama ulikua ni uongo,,ukibana bana ukieka weka furaha
yangu ni kwamba ujumbe umeusoma.
Anonymous   |2010-09-01 14:00:56
JAMANI UKIANGALIA SHIGONGO PICHA ZAKE NYINGI NA HABARI ZAKE NYINGI ANAZIPATIA
KWA BLOG ZA HAPA KWETU KAMA NI MSOMAJI MZURI WA GLOB. UKIKAA BAADA YA SIKU
CHACHE NDO UNAKUTANA NACHO KWA SHIGONGO. HAWANA UBUNIFU KWA UJUMLA.
friday habau     |2011-08-24 10:32:24
jamani muache kero kwa wandishi kwa c taaluma yao??then kama picha c orgn so,wat
happen waweza potezeaa!!!!! :)
friday habau     |2011-08-24 10:33:32
unafki kwa journalist acheni!!!!!!
Write comment
Name:
Email:
 
Website:
Title:
UBBCode:
[b] [i] [u] [url] [quote] [code] [img] 
 
 
:confused:8):lol::x:P:oops::cry::evil::twisted::roll::wink::!:
:?::idea::arrow::blink::dead::coffee::karate::gossip::hahaha::newpost::love::lips:
:no::nono::rofl::shrug::stop::tape::thumbsup::wail::waves::yahoo::yes:
 
Please input the anti-spam code that you can read in the image.

3.26 Copyright (C) 2008 Compojoom.com / Copyright (C) 2007 Alain Georgette / Copyright (C) 2006 Frantisek Hliva. All rights reserved."

 
 
Find U turn Blog on facebook